Niligundua watu wa qassim mafuta wamemfanya shekh wao kama mtume hakosei
@Muswlih3 күн бұрын
Sio mshabik Lkn hizi RADDI zinapenya sehem nyeti kbs
@abdullabdull57713 күн бұрын
Picha umepata wapi??
@OthmanaliOthman-wb7lg3 күн бұрын
Hiyo passport size kwani nyo sio picha mnona mna tuchangsnya
@SaidSeif-d4y3 күн бұрын
nabii wa pongwe kala nguruwe... haraam lakini kuna shida afanyeje😂😂😂
@KikwaleRashid3 күн бұрын
Kwani passport sio picha?
@AbubakariKiwayo-k3s22 сағат бұрын
Hawa wanao nfywata kassim wapo kiushabk Ila sio din masheh woote wanakosea ila kasm yeye hakosey amken na akili zenu ndogo
@rashidhasni21123 күн бұрын
Huyu jamaa hajatimia kiakili. Watu wamuache tu.atakuwa ana psychological problems sio bure
@arafatimsongo53283 күн бұрын
Hakuna kisichokuwa na mwanzo iko siku huyo shekh anaeneza hizo picha atazitolea majibu alipozipata hapo ndipo uma wataelewa ukweli uko wapi
@rashidhasni21123 күн бұрын
Hilo ndio tatizo la malezi. Amekulia kwenye fikra za uwamsho hawezi kuacha mabaki ya aliko lelewa. Baba yake si uamsho aliniambia mwenyewe kuwa Baba yake alifungwa na akina shekhe msellem huyu unaomsmbuwa ni uamsho 😊 hakuna shekhe letu Abul Fadhli Qaasim Mafuta Qaasim kumjibu huyu na mfano wake
@NassorHassan-no1cr3 күн бұрын
Iyoo sio hoja eti baba yake muamsh ndo nin sasa? Kwan hakuna mitume ya Allah baba zao makafikir? Kakojoe ukalale
@auroxenterprises80033 күн бұрын
Je Kasim mafuta baba yake ni salafi😂tulia dawa iwaingieeeee
@AlmasAbdallah-r3g3 күн бұрын
Mbona sheikh umeulizwa maswali rahisi2 kwamba hiyo picha umepata wapi? Kama umepata kupitia passport size sema akhy😁😁😁usiogope kuambiwa umechunguza
@HassanHamad-rf9tq3 күн бұрын
Mwambie qassimu mafuta atoe Bayani kuhusiana na hili ttukinai kwanini apige picha hali ya kuwa yeye haikubal picha.
@AlmasAbdallah-r3g3 күн бұрын
@HassanHamad-rf9tq Mmeambiwa ni passport sasa nyie leteni ushahid kwamba si passport na hamujaedit hiyo picha😁😀au mpaka azungumze Qassim Mafuta?? Huenda hilo ndo jambo linawaumiza sana.
@mhrmahir37563 күн бұрын
hujaulizwa wew bendera mbovu kaulizwa huyo kijana anaewakokota mpuuz wapi katoa hio pic mana hata wale watu wake wa karib hawana iwe kamtumia yeye tu huyu jamaa na wenzake
Abuu nuam kwan mtu akikosea na wewe unakosea kwa makusudi kwasababu fulan kakosea inaonekana wazi kuna jambo lingine ila siodin fulan akikosea na mimi nakosea kwa makusud
@rashidhasni21123 күн бұрын
Huyu ana mbegu za ukhawaarij. Baba yake ni uwamsho ndio maana akizungumza mpaka kwenye akida anakosea
@NassorHassan-no1cr3 күн бұрын
Khawariji wa kwanza kassim amesema asaa anahamasisha watu kumwaga damu
@ShafighuShabani3 күн бұрын
We rashidi pole Bado we kipofu wanijua akida ww au wakusudia akida ya pongwe kama waijua akida nitajie vitabu 6 mama vyaakida ukivitaja kweli mnaijua akida nakuja pongwe
@NassorHassan-no1cr3 күн бұрын
@@ShafighuShabani kassim mafuta Ana batili nyingi sannna halaf wala hatarajaaa
@NassorHassan-no1cr3 күн бұрын
Uyo Muhammad mafuta ndo uchafu mtupu
@NassorHassan-no1cr3 күн бұрын
@@ShafighuShabani saiv watu wengi wameshawafaham batili zao wanajifanya wao ndo walio miliki daawa
@abdullabdull57713 күн бұрын
Dini nayo unatafutia kiki wewe jamaa mche Allah
@HannatKhamis-k7c3 күн бұрын
Nyinyi wafuas wa Kassim mafuta mupo katika ushabiki t na sio dini hamna lolote usafi ni kikundi t kipotofu maana kama mupo kwenye haki musingemkingia sheikh wenu kwenye makosa yake maana hatatuseme ni passpot size tupeni dalili bas aya au hadithi iliyoruhusu jambo hilo, kuna salafi yoyote aliewahi kupiga picha?
@twaibumikidadi73773 күн бұрын
Swali Kwanini apige picha wakat yy amesema ni haram!! Au ndio * anasema asiyeyafanya?
@AlmasAbdallah-r3g3 күн бұрын
Mmeambiwa ni passport na mmeedit sasa keteni ushahid kupinga hayo kwa kusema picha mmetoa wapi
@mhrmahir37563 күн бұрын
kwan nan kakwambia amepig kwa ushad gan mbon nyi mabendera hamna akili vzur em fahamun
@mhrmahir37563 күн бұрын
@AlmasAbdallah-r3g nyiny na huyo manaemuona ni mwalim bas mmechanganyikiwa kwa sabb tuseme sisi ndo bas kuna watu kwet wametokea kwa kuikata pas size kwa akili zenu bas ni baada ya kutoa nyie je nyiny wap mliipata mana kwetu sis kuona ni kupitia nyinyi sas mmeipata wap suali fupi
@mhrmahir37563 күн бұрын
na km huelewe shekh abdallah alisema ni pass..ya shughuli flan ilikua bas huenda ikawa hivo point shughuli flan km kichwa chako nkizima chafaham..pia shelh mwenye kwa khabr za badh ya ikhwa kasem mi sjapig picha rabda wameniviazia km kawaida yao na si mara moja je mna ushahid gan mabwana nyieeee km kwel mwataka hak mana mwenye ndo tufanye ashasema hivo