Uko vizuri ngurumo ,Hawa ma CCM hawataki mabadiliko,wananchi kazi tunayokubwa Sana,,uzi ni ule ule wa 2020 walivyofanya hayasemeki
@Joe-tr2vk11 ай бұрын
Umenifumbua macho kuhusu kushuka kwa taaluma ya habari Tanzania. Sikuwahi kujua ni nini kimesababisha. Asante sana
@MathewNathan-yb2bz11 ай бұрын
Enyi watawala msijae kiburi kumbukeni kuna kufa.kuna kufa na kuna hukumu mbela za Mungu.Ongozeni nchi huku mkiwa na hofu na mungu.Tendeni haki na mtangulize utu.
@MathewNathan-yb2bz11 ай бұрын
Well said.cha msingi tume iwe huru na haki.utu na haki vizingatiwe.Anayekwenda tofauti na hivyo huyo si mzalendo ni mhaini.
@mmewaswida11 ай бұрын
Siku yaja tutaelewana. Iyooo!!
@shabanadam447611 ай бұрын
Good excellence ✨️
@ephraimkalanje710511 ай бұрын
"Historic cosmestic changes! These are what they have brought to us!" Enyi mlio watoto wetu, wajukuu wetu, vitukuu vyetuu, vilembwe, vilembwekezi.....nanyi wengineo.... oneni kilichofanyika na yajueni haya! Kaeni chonjo vizazi vyetu vijavyo kuzipigania haki zenu ambazo tunazipigania sasa! Watambueni wanaotukandamiza! Ufikapo wakati wenu sisi tutakuwa hatupo! Pambaneni hadi kieleweke vizazi vyetu! Mungu atakuwa pamoja nanyi!
@Tanzaniayangu-g8v11 ай бұрын
Ccm wanachokiwazaga miaka yote ni kurithishana madaraka, tena wengi wao ni mafisadi, wasio wajibika kwa nafasi zao na wakandamiza haki za wanyonge.. niko paleee mtaniletea maua yangu mkishanielewa😊😊
@yaronaWilliam11 ай бұрын
Huo ndiyo ukweli Ngurumo, uko sahihi,tatizo ni kuweka pembeni uzalendo kwa Taifa na kuuatamia uazalendo wa vyama.
@CANARYMASENGULA11 ай бұрын
Nakukubali sana ndgu ningewajua wazazi wako kama wapo hai ningewapa maua yao
@AnsbertNgurumo11 ай бұрын
Baba alitangulia mbele ya haki miaka10 iliyopita. Mama yupo, ni mgonjwa, analindwa na neema za Mungu! Asante!
@MesiakiKayan-qm7tv5 ай бұрын
@@AnsbertNgurumo ole baba ngurumo🎉
@joejosca759411 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Mungu aturehemu😭😭😭😭😭😭😭so sad, viumbe hivi ni vigumu sana😢wanawasha moto mbele ya petroli
@MathewNathan-yb2bz11 ай бұрын
Hebu viongozi wa nchi na bunge chonde chonde tujenge taifa la kisasa na la kistaarabu kwa kutanguliza utu na haki.Isifikie kipindi tukasema heri ya mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi.yaani mkoloni angeendelea kutawala hadi leo hii nchi ingekuwa imepiga hatua kimaendeleo na ingekuwa ni nchi yenye utu na haki.
@TajewuoMoseka11 ай бұрын
Chadema watachukua dola 2025 lazima
@Byondorujulika1711 ай бұрын
Asante sana muzee wetu kwa uchambuzi wako muzuri na wakuelimisha jamii yetu kuelewa yanayo endeleya inchini Tanzania, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
@AbigailBateyunga11 ай бұрын
🔥🔨🗡️😭⁉️💃🕺👪👭👯🧑🦲🤽🤰🕺Mungu mponye Mama yetu TANZANIA Amen 🙏
@johnhamli248911 ай бұрын
Logical
@christinenyagiro666211 ай бұрын
Tulia utakuja kujutia uliyo yafanya bungeni kwa yote uliyo yafanya kwa wakati wako siku moja Mungu atakuuliza uliyo yafanyia Wanainchi
@KamwandaNzowa-eo4ur9 ай бұрын
Kusema ukweli Magufuri aliharibu sana kwa kitendo Cha kuharibu Uchaguzi hii kama njia ya Hawa nao kutumiya njia Ile ile
@abdulhalimjuma778611 ай бұрын
Maslahi mbele yalobaki mtajijua wenyewe
@KwiniJoel11 ай бұрын
Waache tu watajua Mataifa yote ambako mapinduzi yalifanyika haikutokea bahati mbaya Ilitokea baada ya kuona uvumilivu umezidi. Sasa waache MaCcM waendelee kupuuza maoni ya wenye nchi huku wakikandamiza raia wenye akili wasio na hatia mahakamani na kuwabambikizia kesi za kihaini, kichozi, uhujumu uchumi eti tu Kwa sababu wameshindwa kushindana nao Kwa HOJA zenye mashiko. Danger😢😢😢😢😢😢😢😢
@adammjomba581411 ай бұрын
Chadema kuchukua dola 2025 watachukua lakini hawatapewa CCM ipotayari kuua mtu watu lakini sio kuachia nchi kwa chama chochote ,CCM watatoka ktk utawala kwa njia 2 tu 'Ama kwa mtutu wa bunduki au kwa laaana ya Mungu ,yani MUNGU aangushe ufalime wao kwa sababu ya dhuluma, kudhulumu watu wa Mungu ,kwa njia ya kura msahau kuiondoa CCM
@OliveryHagite11 ай бұрын
Hata hivyo Yana mwisho, kwa kuwa ccm wanajitengenezea njia rahisi ya kuingia ktk madaraka kwa hadaa, lkn wajue kuwa wanaoumizwa na Sheria hiyo ni Watanzania zaidi asilimia 90 na wananufaika na Sheria hiyo ni chini asilimia 10. Watanzania asilimia 90 wananyanyaswa sana na huo mfumo, mungu ana uwezo wa kuwavusha hata kama mazingira ni magumu wakashinda na kushika Dola , Baada hapo CCM msije mkaanza kulialia kutaka kubadilisha hiyo Sheria maana usidhani mkuki ni mchungu kwa nguruwe tu.Na msidhani hiyo Sheria mnawatungia chadema tu , bali Watanzania %90 , Sheria inawasaidia kushinda kwa dhulmaili muendelee kuharibu raslimali. Mungu wasaidie Watanzania hao kuvuka salama kufika nchi ya ahadi.
@samwelmatemu887311 ай бұрын
Hakuna bunge kuna kikao cha ccm dodoma.
@richardmakweta887511 ай бұрын
Tanzania Tanzania loo!! Wabunge dhambi hiyo mtaitubia wapi??
@aliyageorge679411 ай бұрын
Watatoka 2025...
@knight675711 ай бұрын
Una uhakika🤔👀
@allyvindili909911 ай бұрын
Ila kiukweli hii nchi imeoza pakubwa watz hatuna maamuz na atuogopw
@mmewaswida11 ай бұрын
Unawatoa kwa mbinu gani? Hata Samia apate kura 1 atakuwa rais kwa miswada hii
@kenedyrocky464111 ай бұрын
NI KWELI NAKULILIA TANZANIA YANGU 😭😭😭😭😭😭
@Tumosafarini11 ай бұрын
Hakuna tume huru hapo!
@christinenyagiro666211 ай бұрын
Kheri kutawaliwa na wakoloni. Waingereza wangetutawa tungekuwa sasa kama Uingereza. Kwa sababu hawana mazingeumbwe. Hawana haja ya kuwa mafisadi. Kwa kweli hata Nyerere angejua wangemgeuka kiasi hiki hii Inchi ingekuwa mbali. Sasa mwisho mtakuwa watoto wa sultani kwa lazima.
@frankjohn870611 ай бұрын
Pengine ni bunge la watawala kwa kuwaweka wabunge waliowataka wao tofauti na waliochavuliwa na wanainchi
@omaryyusuph787710 ай бұрын
Akuna bunge tz kuna wacheza kibao kata tuu lakini wajue watanzania sasa sio mazuzu ipo siku .
@christinenyagiro666211 ай бұрын
Kuna kufa ndiyo. Samia hawezi kufa alisema baba yake Makamba. Kwahiyo anaweza kuwa na kiburi kudharau wanainchi wa Inchi hii. Hata hao wabunge ndiyo genge la Ikulu
@PaschalKimboka11 ай бұрын
Siyo wetu ni wa Ccm
@BonifaceHassan-j5m11 ай бұрын
Hatujielewi, tu mbulazyete!
@LeonidRevocutus-sx1ed11 ай бұрын
Hao sio wabunge ni kikundi cha ccm
@abdalahgunda131911 ай бұрын
We don't have palament only ccm member in palament house principle control palament house is the principal committee of ccm top few politician who run all national kamati ya maadili ndio lnayoendesha nchi sio hiyo bunge ndio maana wao wanaangalia kijina sio watanzania chochote wanaweza pitisha sababu wao ni kijani wanatetea kijani sio watanzania Hawana mpango nao hata hao wavaa kijani wanateseka ili kijani kizuri zaidi zipo hapo juu ccm masikini wanaiteseka mpaka unaona huruma Bora hata wapinzani sababu hawavai kijani wanekubaliana na hakisi lakini hao wavaa kijani wanateseka sana wakiamuni kuwa kijani mwanzao kuwaona Sasa Hawa wao kwa wao wanatesana tuwaamini kutupa tume huru kinawatara wapo Dunia gani Wana ccm wenzao walilalamika mashamba nyumba mabarabara kesi nyingi tuu laa mungu tusaidie
@christinenyagiro666211 ай бұрын
Lakini tutendelea kulia lia mpaka lini?
@kenedyrocky464111 ай бұрын
KAKA YANGU UMEFANYA NIKUTAFAKARI MBALI SANA
@ramadhanibahati282911 ай бұрын
Lipi ni jema kwako
@1961nungwi11 ай бұрын
Ile Sheria ya uandishi wa habari kwa kweli ilinisikitisha. Huwezi kuweka vigezo vya mtu kuwa Mwandishi wa habari. Ni kipaji, kama kucheza mpira, au kama kuwa mfupi au mrefu. Mfano, Dr Janabi ana andika sana Kuhusu Afya yetu, na kutangaza kwenye KZbin. Je, Hana vigezo vya kuwa Mwandishi wa Habari? Wachumi, kama yule Mkuu wa Soko la Hisa DSM anaandika Kila Wiki kwenye gazeti, je Hana vigezo vya kuwa Mwandishi wa habari? Vyama vya kitaaluma vinatakiwa, na vina uwezo wa kujiendesha vyenyewe. Serekali kuvipangia ni kuvitawala kimawazo, kuvi control, ni namna mojawapo ya kuincontrol jamii. Jamii inatakiwa iwe huru.
@VeronicaMwakimbingi11 ай бұрын
Shida waliyonayo hw Viongozi wetu wanataka walazimishe kututumikia tena wakati wananchi tumewachoka na uwongozi wao namna wanavyotuongoza,ni waroho wa madaraka wanataka kutulazimisha kutuongo wkt wananchi hatuwataki,wasipotaka kuzisikia sauti za wanainchi watatoka kwa kuzomewa na ndicho wanachokitaka,tuko pamoja sn nchi yt tunaipenda ndo maana hatutaki iingiye kwenye migogoro isiyo isha
@allyvindili909911 ай бұрын
Mechi ya simba na yanga alafu MANGUNGU ateue waamuz iv kuna fair apo Co kama ccm hawajui ila hawatuogop wanajua wananchi ni takataka tu
@JumaNjiku-df1fd11 ай бұрын
Hiyo ni tume ya kulinda CCM. Sio tume kwa ajili ya Wananchi. Hao wabunge ni Mhuri wa serikali, hawapo kutetea wananchi, kwao CCM ni muhimu kuliko nchi.Pity! Hawatambui kazi ya bunge,wanadhani kazi yao ni kulinda serikali badala ya kuisimamia.Bunge lilifanya kazi nzuri chini ya Samuel Sita tu!
@OdiloMagungu-uf5is11 ай бұрын
Bunge dhaifu na la hovyo kabisa haijawahi kutokea
@MichaelSangula11 ай бұрын
Ni sahihi liwe kikaragosi cha watawala kwani hata hapo walipo wengi wao hawapo mjengoni kihalali rejea uchaguzi mkuu wa 2020 ulivyo kuwa na utata
@BozaDizamile-u1d11 ай бұрын
Broo Hii Inataka Vikundi Vya Uwasi Kuiondoa Ccm Madalakani Bila Kufundisha Vijana Kushika Bunduki. Na Kuingia Mstuni Nchi Hii Ccm Aiwezi Kutoka Madalakani
@elibarikimollel714911 ай бұрын
Hii tume inakua huru kwa maandishi tu baada ya kujaza neno "Huru" tu kwasababu bado bunge limeridhia Rais ambaye pia ndiye mwkt wa chama tawala, chama chao,naye ni mgombea, kuteua tume kutoka watu wa chama chake kuusimamia huo uchaguzi wanaouita huru, lakini miswada inatoka kwao, wakaipitisha wao, kwa matakwa yao! Maoni yetu wananchi yakaambatanishwa na miswada hiyo ili Mkuu wa nchi wakayaingize maoni hayo sirini nje ya bunge! Tunakwenda wapi kama taifa huru?!
@kibbysaidi781311 ай бұрын
Binafsi ningeshangaa sana kama wasingepitisha hizo sheria sababu kwanza hawa si wabunge wetu maana hata walivyopatikana ilikuwa sawa kabisa na kuteuliwa na wakuu wa CCM. Japo unayosema yote ni sahihi kabisa lakini brother hii ni Tanzania ya CCM mahali ambapo hata nchi yenyewe ni muungano wa nchi Mbili ambazo baada ya muungano zimebaki nchi Mbili Tanzania bara na Zanzibar...lo! Na kweli muungano huu hauna mfano duniani. Bila Katiba mpya yote mengine ni ulaghai tu... mbona hatuamki??
@josephmakutano706711 ай бұрын
Maccm niwababaishaji wanafiki,dawapekee yakutibu tatizo hili nikuwapiga kamatulivyoona nchi fulani zilifanya hakunalisilowezekana chiniyajuwa hiiccm itaanguka kama tawala nyingine tulizoshuhudia duniani,
@laheonlinetv216111 ай бұрын
Inawezekana kuwa na muundo wa Tume hadi angalau wilayani. ona NIDA,RITA,TUME YA UTUMISHI WA UMMA,Vipi tume huru ya uchaguzi?
@AdamSaffi21111 ай бұрын
Kuna bunge? Au mukusanyiko wa walaji wenye akili za mbu! DP world oyeee, musukuma oyeee!
@MiriamAziz-z5t11 ай бұрын
VIVA NGURUMO
@Aziz-p6s11 ай бұрын
Wacha wapitishe wanachoona ni sahihi. Mambo ni mengi nchi hii. Tukiolewa tutaolewa wote kudaadeki
@AdamSaffi21111 ай бұрын
Wanahongwa mabillioni, wote wala rushwa! How on earth did they go to Dubai to visit Dp world, all expenses paid and they awarded DP World the tender. As in selective tender - not open!
@joachimmahoo978611 ай бұрын
Hii inchi inatawaliwa na waarabu wa Dubai. Waarabu Walisema watatumia $ bilioni 2 Tanzania iwe yao kama Sudan. Ni jukumu letu Wanainchi tumwonfoe chotara wa kiarabu tuweke madarakani mzalendo mtanzania.
@joachimmahoo978611 ай бұрын
Tunavyochelewa kumwondoa huyu chotara Ndivyo itakuwa gharama kubwa Kumwondoa. Kama hamna tume huru hamna uchaguzi. Na liwalo liwe. Mama hajapigiwa kura na mkoa yote ya Tanzania kushika nafasi ya Urais. Yeye kwa sasa ni acting president tu.
Ngurumo acha utani. Kwani lini BUNGE tukutu liliacha kuwa kikaragosi cha sirkal? Ni mambo ya kuunga jitihada hata kama ni za maangamizi. Viongozi wanapoogopa watu wao ujue kuna tatizo kubwa. Tume huru haiwezi kuundwa na watu wasio huru. Hii siyo tume huru ya uchaguzi bali uchakachuaji. Ni tume ya udhuru kwa uhuru na uwazi wa uchaguzi.
@godfreyjanuary268111 ай бұрын
Mm atasielewi ila cm watajua 2025
@adammjomba581411 ай бұрын
KWA mfumo wa utawala wa ccm haiwezi kupatikana Tume huru ya uchaguzi kwa sababu ccm inataka kila aliechaguliwa kua Raisi amalize miaka 10 na yeye amkabidhi mwenzie atawale miaka 10 na yeye ukimaliza na yeye akabidhi hivyo hivyo sasa sio rahisi hiyo Chen kukatika labda kwa mkono wa Mungu peke yake na sio vinginevyo au ( utumike mtutu wa bunduki) kuisambaratisha CCM ,kitu ambacho sio rahisi. ( Tuelekeze nguvu nyingi ktk maombi ,Mungu atusaidie)
@Worldunite11 ай бұрын
Laiti baadhi ya maoni yako yangefanyiwa kazi bro
@aminimushi694511 ай бұрын
Hata kama hayafanyiwi kazi,massage sent,wenye akili wanaelewa,na Mungu anaelewa na anaona.
@adelinelyaruu303611 ай бұрын
Wameziba masikio 😢😢
@omarybakunda255411 ай бұрын
Halafu wewe huko marekani umeolewa tarifa zako tunazo rudi Tanzania.