Asante sana Sophy kwa elimu pana sana mno juu ya afya ya akili,NIMEPATA ELIMU ZAIDI kupitia ww,Mungu akujaze umri mrefu wa kutuhudumia❤❤❤
@ERICAHMWAKILUNGUАй бұрын
Huyu mama ni WA pekee ..yaan hata kumtaja mumewe anamtaja kama mtu asiye na brand kabisa kumbe ni mtu muhimu mashuhuri na wa maana saaba Tena ni lulu Kwa Tanzania yetu huyu mama ana Hekima mno sio wa kujikweza ingekuwa wengine Ile intro tu tungesikiw kamtaja ...ila yeye noo she is so real mm nimekupenda mno Sophy Mungu akutunze wewe na familia yako ❤
@nesaahaji13299 ай бұрын
Mmmmh mashaallah professor janabi anakishuna ❤❤
@zinatfazal64059 ай бұрын
Thank you Sofia Bianaku. Excellent work you are doing. Will contact you!
@sophiakimaro51749 ай бұрын
Kusema kweli sikutakiwa kumzungumzia mume wa Sophia hapa but kwa vile mmemgusia sio mbaya.ukweli Dr (mume wa sophy)amenisaidia saana kwa upande wa kupunguza uzito.zamani nilifikiri kula milo 3 ni afya lakini tangu nimsikilize Dr Janab nilikuja kugundua kula sio issue kabisa.siku hizi nakula mlo mmoja tu na nimezoea sion shida na ninapungua vizur mpaka najipenda.ukweli hongera Dr.matokeo tunayaona kuanzia nyumbani kwako.
@Mb0g0z9 ай бұрын
Mtangazaji kashituka mlo mwisho saa 12 jioni kula tena hadi keshooooo,Mtangazaji diet inamuhusuu
@patriciamaganga38918 ай бұрын
Unakula saa ngapi?
@MagrethKessy-fj1ul8 ай бұрын
Ulimsikiliza wapi na mm nikamsikilize nipungue jamn
@getrudemkinga7938 ай бұрын
@@MagrethKessy-fj1ultafuta tu KZbin utaona. Ameelezea sana kuhusu faida za kula mara chache na vyakula vinavyofaa zaidi
@RehemaFungo-c9x8 ай бұрын
Ata Mimi nakula Mara moja.nimepungua sana
@niwaelmburuja20569 ай бұрын
Hongera Sophie kwa elimu hii. Ubarikiwe sana!
@marymunisi58019 ай бұрын
Sijawahi kucoment ila!! Leo nimejikuta nalia sn....Mungu ambariki mama Yetu mzuri mwenye moyo mzuri
@zuwenaabdallah77488 ай бұрын
Kumbe Dr Janabi ana mrembo❤😊
@josephlorri4315 ай бұрын
Yuko vizuri mama Janabi (Prof)..
@elizabethnzagi62328 ай бұрын
Sofia ameongea vizuri sana amesema categorically yeye si mtaalamu wa magonjwa wa akili bali anaelimisha watu wajue hilo tatizo
@komboomar8275Ай бұрын
*Nimeanza utaratibu wa kula saa 4 asubuhi kidoogo hadi saa 11 jioni hapo najizuia kula chakula ni maji tuu ndio nakunywa hadi cku ya pili na Alhamdulillah naona mabadiliko kwenye mwili wangu..hii nimejifunza kupitia mafunzo ya Janabi*
@waterforlife93566 ай бұрын
Shukrani mola awape mzuri
@amirishauur57959 ай бұрын
Uyo mtangazaj akiishi na Io familia week tuu anapungua
@shainawilliam1039 ай бұрын
😂😂😂
@rosehillary87428 ай бұрын
Yaani akakae tu huko asiwe ameenda bure kuitembelea hiyo familia
@productivityprogressprince51568 ай бұрын
Mi mwenyewe nimeangalia tu leo nshaswma kesho naanza dayat nzuri
@shyfettymtunda46198 ай бұрын
Kumbe Sofia ndio mke wa Dr Janabi??Sikuwa najua hili wallahi. Ila Sofia namfuatilia kitambo,yeye na wale marafiki zake kina Nancy Sumari na Nasreen.
@susanajustine71908 ай бұрын
Me too
@HappinessMgonja-dt3wg7 ай бұрын
Me too!
@Babygirl7588 ай бұрын
kumbe ndo ana sauti nzuri hivi. never heard her speak before. such a soothing voice, major ASMR vibes
@michaelsamson96637 ай бұрын
Kwel pesa nzul unachkua mtu yoyote weka ndani aijalishi unasula mbaya kiasi gani
@AdamSaffi2117 ай бұрын
Jamani kamusaidieni Haji Manara, ni mgonjwa pia! 6 marriages, is that not a record? Kwenda kwenye shughuli za UWT, huyu anasema ni mwanaume!
@joycehaule97172 ай бұрын
Mbea weyeeee
@BonnyMwajombe-iu7hb8 ай бұрын
Isee janab hoyee , aah janab sio kipofu nakukubal
@kabuladotto227 ай бұрын
Nimekupenda bure dada yangu
@mcback43848 ай бұрын
Mimi mwenyewe nakula mara 2 tu kwa siku, saa 5 na saa 1 na nimeshazoea na sisikii njaa muda wowote
@DativaMbowe5 ай бұрын
😂😂😂😂
@Meru24Channel8 ай бұрын
mnamhoji mtu mwenye profile kubwa bila maandalizi poor sound
@AizackKalenge-ro5rc9 ай бұрын
Asante Kwa interview
@hanifamziray2779 ай бұрын
Mzee janabi umeoa mtt mbichi kbs
@hawanjama398 ай бұрын
Huyu Dada si mdogo kama uwazavyo
@NeemagraceJohari9 ай бұрын
Asante sana
@rajabodhuman13006 ай бұрын
Mshaurini na huyo ndugu mtangazaji ili aendane na sisi ktk kipindi chetu mla chips mkubwa huyo
@foodbasiccourt20288 ай бұрын
Msiamini fata mpendavyo eat healthy ila waongo hawa huyu janab kfc anaenda huyu siku tuko coco beach yupo na watoto wanazibugia icecream
@mussahamad4048 ай бұрын
Wewe kula mzeee sawa
@foodbasiccourt20288 ай бұрын
@@mussahamad404 tule chochote ila kwa kiasi na mda dont skip breakfast .dont skip snacking eat sapa before 6pm to give room to food to digest
@MurshidSelemanАй бұрын
1
@kobzupdates8 ай бұрын
Noma sana
@isackmgema73768 ай бұрын
Tafuta mic sauti Haina Quality kabisa
@rahabnkya82768 ай бұрын
ASANTE sana SOPHY
@amedeuskimario88959 ай бұрын
Huyu n mtt wa janab au mke waandish vp apo hamjakosea caption yenu
@claudiajames20039 ай бұрын
😂😂😂😂kwakweli sikujua Sofia ni mke wa prof,mi nilijua ni mtoto wa prof Janabi
@mwanrique8 ай бұрын
She is 40+ have some respect for them.
@monalisaally43879 ай бұрын
Ahsante sana dada nimejifunza kitu kupitia wewe na nitaacha kula ovyo kuanzia leo
@foodbasiccourt20288 ай бұрын
Sisi saa kumi na moja tukichelewa 5.30 pm nakula kila kitu. Usile kwa kuchelewa utanishukuru baadaye
@Kabwela7769 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 ni tofauti sana mtu anaongea kuhusu mental health ila nikimsikiliza naona kwa uwazi hajui anachoongea, kwa nchi zilizoendelea ni madaktari na nurses ndio uwa wanaongea mambo hayo maana ndio professional yao , afya ya akili ni pana na magonjwa mengine ni diagnos, syndrome na zingine ni condition
@FreeGod3688 ай бұрын
Usiwe too rational uyo dada ni daktar kabwela
@Kabwela7768 ай бұрын
@@FreeGod368 sio daktari mkuu ni mbabaishaji tu hajui kuhusu mental health na huko Tanzania 🇹🇿 hata mtu akiwa hajui anaweza kuwa na guts za kuhojiwa na kueleleza kitu ambacho hakijui! Mental health ni specialization ya watu mkuu!
@FreeGod3688 ай бұрын
@@Kabwela776 Now i got u bro, mtu akijua kushaur skuiz anajona mental health expert🤣🤣
@mariamsemwaiko81698 ай бұрын
@@Kabwela776kashasema ni msimamiaji😅😅😅
@davidbukuku49248 ай бұрын
Hamjamuelewa Sophia hajajinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa masuala ya afya ya akili lkn Kwa sababua anasimamia kituo Cha afya ni vzr kufahamu mambo ya afya kinagaubaga ndo masuala mengine amejibu kwama yanaweza kuongelewa vzr na mtaalam
@malungamtoro90478 ай бұрын
Sema nini,vijana tafuteni ela
@stevenlevittt9 ай бұрын
Nipo hapa kwaajili ya 15:58
@nashbeka99928 ай бұрын
Thank you
@stevenlevittt8 ай бұрын
@@nashbeka9992 You're welcome
@BonnyMwajombe-iu7hb8 ай бұрын
Mimi nakula mara moja saa 13 :00 mlo kamili na saa 19 nakula matunda tuu afya yangu ukiniona hadi utanionea wivu.
@emma38607 ай бұрын
Naomba maelekezo ndugu yangu kama hutojali
@HappinessMgonja-dt3wg7 ай бұрын
Me too dear
@HappinessMgonja-dt3wg7 ай бұрын
Matinda km nini vile...
@lucymlelwa16268 ай бұрын
Tukipimwa wengi ni vichaa
@ezekielmabwai4829 ай бұрын
Kweye msosi hapo noma, hapo naona kwamba wote na mume wako Wana utapialo. Mungu amewapa kuleni tu mapochopocho mshibe. KULENI BATA MAISHA HAYARIDI NYUMA, Mashimo yanatusubiri.
@revenanthmandari70049 ай бұрын
Asante kwa elimu nzuri
@shanwedispensary21698 ай бұрын
❤😂😂 😂😂@@revenanthmandari7004
@HanifaOman-oo4pl8 ай бұрын
Ukipata maladhi ndiyo utayakumbuka hayo anayofundisha sofia
@ezekielmabwai4828 ай бұрын
@@HanifaOman-oo4pl Uliwahi kusikia wanaokula vyakula vyote ndo wanakufa, au ndo wagonjwa? Si uende hospitali kawaulize wagonjwa? Utapingana na Mungu alieumba kifo??
@rehemageorge95068 ай бұрын
😂😂😂😂 daah eti kuleni tu😂😂
@ramadhanimtetu36569 ай бұрын
Dada sofia samahani kuna watu wanasema profesa Janabi anakula upepo tu hivi -ni kweli au na yeye anakula ?
@mrafb72248 ай бұрын
we jamaa unanichekesha sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MaryBrayn8 ай бұрын
😅😅😅😅
@petermanala61388 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nimecheka mpaka nalia 😂😂😂 jaman
@fatmamsiliwa84857 ай бұрын
😂😂😂
@moriscollins44949 ай бұрын
Ila kweli watumishi tulio wengi tuna tatizo la afya ya akili
@felicianfrancis98959 ай бұрын
Ni kweli asee. Baadhi ya maboss Wana mambo ya ajabu sana. Wanajiona wao ni Kila kitu na wanathamini maslahi Yao tu bila kujali watumishi walio chini Yao. Hawaoni mema na daima wanastress waliochuni Yao. Wengine wana inferiority complex kutokana na elimu na background zao. Wanaboa sana na ndo vyanzo vya matatizo ya afya ya akili. Shame on them wenye tabia kama hizo.
@florencengwavi69399 ай бұрын
Inawezekana wewe pia una tatizo
@aaaaaah2908 ай бұрын
KA~MKE KA~ZURI AJABU
@verynicemonyo86718 ай бұрын
Huyu dada ni mkubwa sana ila anazingatia afya na ulaji yeye na Dokt Janab
@teddygabriel56624 ай бұрын
Mbna janab mwenyewe n kama mgonjwa
@UmmuJauzan9 ай бұрын
Mbona baba mzee mama sister du? Jamani kuna ndoa hapo au Sizon
@edsonnelson44649 ай бұрын
Mmmhhh! Usichunguze maisha ya watu halafu mwanaume hazeeeki
@NuruMfaume9 ай бұрын
Huko ndo kudanganyana!mwanaume asizeeke Kwa sababu gani?hujui nguvu za utendaji kazi wa mwanaume Kwa mwanamke unapungua kufuatana na umri? Google men performance according to age utaona!"
@Mb0g0z9 ай бұрын
Nyie mnapenda vi mario mwachen dada wa watuuu
@rehemamsuya22638 ай бұрын
Pesa inachukua nafac asee
@priscambwambo10308 ай бұрын
Janabi sio mzee hata kidogo ila ni mtunza afya yake .
@masungaiwvata14148 ай бұрын
❤
@HassanMugire8 ай бұрын
Janabi anapisi
@priscambwambo10308 ай бұрын
Hali ovyo anajua nini Kinaliwa,anajipenda hivyo tu na kiasi ni dawa sana
@ZUWENADELLOW9 ай бұрын
Habari elimu hii inatakiwa iwepo kuanzia mashuleni itasaidia sana.
@aaaaaah2908 ай бұрын
YAANI SOMI WENGI WAKO SIMPO SANA,, Kuna life flani hivi wanaishi Ziko poa WANACHOPATA WANAKAUKA TUU,,, kutana na wale wa la saba, hasa wakiwa na visenti viwili vitatu,, Weee KELELE NAMINGI NA KUBEZA ELIMU JUU😂
@MurshidSelemanАй бұрын
Janabi wewe nimwislam mbona anaejiita ni mukewa ni kichwaazi ??
@zainabusona59012 ай бұрын
Samahani dada kwani unafanya mazoezi
@NeemagraceJohari9 ай бұрын
Nimependa mafunzo yako asante sana
@fathefirst19358 ай бұрын
Huyu sasa nimemuelewa. Ni kula tu kwa kiasi. Kula mapema kile chakula cha mwisho cha siku
@georginapaul50138 ай бұрын
Dada Sophia anamwili huo toka zamani nadhani amezaliwa hivyo karithi yes na anajipenda Sana toka zamani na anaakili Sana pia na nimpole Sana
@mwanrique8 ай бұрын
Mwili unatunza, sio kuzaliwa nao ndio utakuwa hivyo hivyo...hapana
@ramadhanmasiku41058 ай бұрын
Ila mumeo alisema hali ugali , wali, na mkate sielewi mimi
@priscambwambo10308 ай бұрын
Ndio mana kasema kua vitu vingine hali
@richardhosea88279 ай бұрын
Ila na wewe mwandishi!! Hayo makucha siyo ukizingatia ni mama
@rehemakanyere41888 ай бұрын
Hafanyi kazi abafanyiwa nadada
@ramadhanmasiku41058 ай бұрын
Dih😂
@petermanala61388 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂duuuu wanawake wrngine mtihan😢😢😢😢😢😢na maku anaoshewa na dada wa kaz
@@neemayatosha1618 pamoja na umri kua mdogo ila anajitunza. Wanawke wangapi wa umri wake hawako kama yeye? Tumpe sifa yake amejitunza
@MonicaBenitomwalongo8 ай бұрын
Sana ni mdogo jamani 70 anafika kabisa bila shida
@farhannahomary55059 ай бұрын
Kumbe kuolota makopo ni changamoto za akili 😊mmmh
@FatumaMohamedi-t6t9 ай бұрын
Ana kipato huyo ndio man hathamin kaz za wengne.
@GeofreyWilliam-ev7qd7 ай бұрын
Kuokota makopo sio kazi,ushaona mwenye akili zake anaokota makopo zaidi ya wavuta unga@@FatumaMohamedi-t6t
@NeemagraceJohari9 ай бұрын
Kila kitu kwa kiasi na kwa wakati 😊
@farhannahomary55059 ай бұрын
Ila afya ya akili ni janga jmn yaani mie naweza lia tu halafu najiuliza why daah Mungu nisaidie nakumbuka wazazi wangu nalia watu niliowafanyia mema wakanilipa watakayo nalia kisha natoka nje hii nayo sijui nini
@dee11768 ай бұрын
Kwa mwanamke hyo ni kawaida kwa sababu ya mabadiliko ya homoni ambayo hutokea kila baada ya mda
@priscambwambo10308 ай бұрын
Ukimtendea mtu jema tegemea 000 malipo usitegemee kitu toka kwa mwanadamu.
@SeverinaCheka8 ай бұрын
Matawi yenu yako wapi ?
@SebastianNgimb8 ай бұрын
Mnatuchanganya tu,kifo kipo palepale,kikionekana chakula nakula hayo mashart kuyatii kwani naishi milele,n
@HanifaOman-oo4pl8 ай бұрын
Ujapata maladhi ndiyomaana unasematu hivyo.
@noortz94168 ай бұрын
ujapata magonjwa tuulize sisi tuliopata magonjwa kila siku tupo hospital ..nilivyoacha chips wali ugali saiz mzima siumwi hata kucha nanimekata kg 15 miezi 4 ..subir kwanza ukipata matatizo ya magonjwa ndio utajua
@HanifaOman-oo4pl8 ай бұрын
@@noortz9416 kwanza Ongela Na Allhamdulillah. ...pili huyo.kama.unavyosema...uzimauwo ndiyomaana anaongeatu. Napilikutokusikiliza vizuri.maelezo ya.Dr janabi.
@evancemoevt85979 ай бұрын
Huyu mke wake au Binti yake!!! 😂😂😂😂😂😂
@Siasia2099 ай бұрын
Unachangamoto ya Afya ya akili wahi matibabu
@evancemoevt85979 ай бұрын
@@Siasia209 Hata Huyo Binti ana tatzo la afya ya akili kuolewa na Mzee wa Umri wa Baba Ake!!!
@joejoshua77918 ай бұрын
@@evancemoevt8597ulitaka Prof akuoe wewe
@petermanala61388 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kwel we hufai
@sarahmselle85628 ай бұрын
Hivi watanzania mnashida gani nyie...
@FatumaMohamedi-t6t9 ай бұрын
Kumbe viongoz pia ndio man wengne wanafanya maamuzi ya hovyo Mungu tusaidie.
Dadaangu jamani kumbe uliolewa na huyu mzee sawa maisha mema
@rashidisaidi85359 ай бұрын
Acha wivu
@upendogreutert1999 ай бұрын
😂😅😂🤭
@happinessclement60669 ай бұрын
😀😀😀😀
@twiseghekisilu88459 ай бұрын
Sio Mzee kivile,pia huyu mama sio mdogo kivile atakuwa na miaka 40+
@fatmafatu11289 ай бұрын
@@twiseghekisilu8845 hamna mkubwa sana mimi mdogo wake niko na 39 babake na babaangu ni mtu na mdogo wake hivyo mwenyewe sikujua kama aliolewa na huyu Mzee sababu tulipotezana nilivyoenda nje ya nchi