No video

KWANINI HAVITOKEI KWA WAKATI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 17,515

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

Luka 15:11-19
Wengi tunamuangalia shetani katika upande wa kuchelewesha vitu,lakini tunasahau kwamba kuna wakati shetani huwahisha vitu na kutokana na hilo akakuharibia maisha yako.
Ukisoma mstari wa 11-12 tunaona yule mtoto mdogo ndio alitaka urithi.Kiuhalisia mtu anayetoa urithi ni yule ambaye yuko karibia na kufa,kwahiyo alipotaka urithi kabla baba yake hajafa kuna eneo ambalo aliliua kwa baba yake,eneo la maamuzi.Ndio maana huoni baba yake akibisha,na hakuishia hapo tu bali aliwapa urithi watoto wake wote wawili hata yule ambaye hakuomba.
Mstari wa 13 unasema;
Luka 15:13
[13]Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya uasherati.
Baada ya huyu mtoto mdogo kupewa tu urithi wake hakukaa sana,alichukua vitu vyote alivyopewa na akaenda nchi ya mbali kabisa.Kuwa makini sana ukiona jambo linakusukuma usiwe na subira,chunguza kujua ni kitu gani kinakusukuma ufanye maamuzi ya haraka hivyo.Shetani alihakikisha huyu mtoto anaenda mbali kabisa na uwepo wa baba yake.Adui anapotaka kukupiga lazima kwanza akutengenezee mazingira ya kujitenga na anakupa kabisa na sababu za msingi.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: kzbin.info/door/67L...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
#Sunbellakyando #RealityofChrist #Rocmedia

Пікірлер: 36
@loyceyahya2622
@loyceyahya2622 9 ай бұрын
Amen Amen Baba
@elizabethkinasha4209
@elizabethkinasha4209 2 жыл бұрын
Baba unambingu yako🙌🏾 You have no idea of how much you open my mind. Mungu akutunze milele 🙏
@EM_JUNE11_WABWANA
@EM_JUNE11_WABWANA 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mch. Sunbella mungu mzidishie nguvu
@mercyfaidajumaa9793
@mercyfaidajumaa9793 2 жыл бұрын
Ameni 🙏🙏🙏🙏
@josephmuhindo7393
@josephmuhindo7393 Жыл бұрын
Amen🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@benniemasangu7565
@benniemasangu7565 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi mahubiri yako yamenifanya kujua vingi sana vyakufanya na kutokufanya yaani mahubiri yanafundisha sana mungu akuzidishie mtumishi
@victornafwa2471
@victornafwa2471 Жыл бұрын
This is besides the teaching.This church has got very beautiful ladies.I need one of them to marry.
@atuganilekalinjila8385
@atuganilekalinjila8385 2 жыл бұрын
Nimejifunnza sana somo hii
@elinemchome9067
@elinemchome9067 Жыл бұрын
Asante Yesu kwa ajili ya Mtumishi wako Sunbela Kyando. Naomba Mungu unitengeneze. Nimebarikiwa sana
@janethfwamba8561
@janethfwamba8561 Жыл бұрын
Ninakushukuru mtumishi dady Bella sababu yote unatofundisha yananihusu Mimi ninaomba baba maombi yako ya rehema nitoke kifungoni
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Najifunza Naendelea kunyenyekea Nitafunguka tu kwa Jina la YESU KRISTU ALIYEHAI Asante mpakwa mafuta mchungaji Sunbella
@lucyhaule5779
@lucyhaule5779 10 ай бұрын
Amen
@ruthjoel2426
@ruthjoel2426 3 жыл бұрын
Amen may God bless you ad multiple more ad more daily bread 🙏🙏🙏🙏
@eliyalucas2188
@eliyalucas2188 2 жыл бұрын
I thank God for you daily
@ibrahimkarisa8674
@ibrahimkarisa8674 2 жыл бұрын
AM PASTOR KOMBE, FROM KENYA AM WATCHING, BE BLESSED PST
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 жыл бұрын
Amen, Amina
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 Жыл бұрын
Anayejua mahali naweza kwenda kusali kanisani hapa anielekeze ninafikaje kutoka Mbagala na kama naweza pata Ratiba nzuri
@nazalenamgeni3588
@nazalenamgeni3588 3 жыл бұрын
Amen sana
@kuziririzaisabatosiitegeko7088
@kuziririzaisabatosiitegeko7088 3 жыл бұрын
Amen
@jackrenesanga8728
@jackrenesanga8728 3 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@asnetminayo7297
@asnetminayo7297 3 жыл бұрын
Amen nikiwa saudi
@dorahjoseph7003
@dorahjoseph7003 2 жыл бұрын
👏
@victoriampunza1016
@victoriampunza1016 3 жыл бұрын
Amina
@latifachilala2015
@latifachilala2015 2 жыл бұрын
Yani utafikili unanijua unanambia Mimi kabisaa nakuelewaa mpaka nakuelewa tena
@jacobmakono6983
@jacobmakono6983 2 жыл бұрын
..utafikiri makahaba!
@mightytan3844
@mightytan3844 2 жыл бұрын
Sasa unejiona uko sahihi hata hekima tu huna
@paulinagabriel3003
@paulinagabriel3003 2 жыл бұрын
Heshimu tu basi hata neno la Mungu hayo mengine muachie Mungu mwnyw kaka angu, yamkini ni kwel uko sahihi kwa Imani yako lkn kwnn unahukumu kiasi hiko!!! Na hata km ni kukemea dhambi ndo wanakemea kwa namna hyo!!! Kuwa na hekima.
@jacobmakono6983
@jacobmakono6983 2 жыл бұрын
@@paulinagabriel3003 Yesu,Paulo, Petro walikemea dhambi kwa ukali mno..wanajua madhara yake ni makubwa..nyinyi mnaoichekea dhambi mtaona itakapowapeleka!!
@jacobmakono6983
@jacobmakono6983 2 жыл бұрын
Kinachoniudhi hapo ROC dhambi haizungumzwi,haikemewi..wanawake wanajichubua,hawavai vilemba!
@mightytan3844
@mightytan3844 2 жыл бұрын
Wavae vilemba vya nin tena? Wewe kama unaimani ya vilemba wao hawako kwenye vilemba.
@mightytan3844
@mightytan3844 2 жыл бұрын
Na umejuaje kama wanajichubua? Ama unajitafutia,dhambi, wew jifunze yakussidie ya wengine achana nayo maana hayakusaidii!kama mafundisho hayskubariki potezea Ila usiaze kukosoa wengine, yakwako Nani anakukosoa?
@jacobmakono6983
@jacobmakono6983 2 жыл бұрын
@@mightytan3844 wanaomkosoa Mungu hawaingii mbinguni ngo'ooo!kama hawana utakatifu wa mwili na roho hawaingii mbinguni ngo'oo!nawapa onyo mbadilike!!
@paulinagabriel3003
@paulinagabriel3003 2 жыл бұрын
@@jacobmakono6983 Msihukumu msije mkahukumiwa ninyi, who are you to judge others??!! Mungu ndiye muhukumu wa haki...sio kosa lako ni kiwango cha maarifa ulichonacho omba Mungu akupe macho ya rohoni kujua umuhimu wa hayo mafundisho... Ubarikiwe.
@jacobmakono6983
@jacobmakono6983 2 жыл бұрын
@@paulinagabriel3003 mafundisho yake nusu nasadiki,hiyo nusu myingine sisadiki kama ni ya utakatifu na ndo maana mko hivyo..hamkanywi juu ya dhambi..sijawahi kusikia akikemea kujipamba,akikemea ushabiki mpira, nk..akiitisha altar call,hakuna!utakatifu,bila huo hakuna atakaemwona Mungu!
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:22:23
Reality of Christ Church
Рет қаралды 20 М.
IMANI NA UFAHAMU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:10:24
Reality of Christ Church
Рет қаралды 7 М.
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 79 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 67 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
JE MTU ALIYEOKOKA ANAHITAJI KUFUNGULIWA? BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:49
Reality of Christ Church
Рет қаралды 16 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 16 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 19 М.
TAMBUA NEEMA ULIYONAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:33
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 15 М.
Kwa Nini Havitokei Kwa Wakati - Pastor Sunbella Kyando
14:29
Chomoza Tv
Рет қаралды 2 М.
ROHO MTAKATIFU NA NGUVU ZAKE - Pastor Sunbella Kyando
1:30:43
Reality of Christ Church
Рет қаралды 29 М.
KNOWING GOD ACCURATELY WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:02:06
SBiC Connect
Рет қаралды 169 М.
PLAY THIS MIDNIGHT BATTLE PRAYER EVERY NIGHT AS YOU SLEEP | APOSTLE JOSHUA SELMAN
3:57:37
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 79 МЛН