SUBSCRIBE CHANAL : ILI UWEZE KUPATA DARSA ZA RAMADHANI KUTOKA KATIKA MASHEIK MBALI MBALI
Пікірлер: 139
@RadjiNimpano-bl9xz10 ай бұрын
Kiukweri Naona Uko sawa, kabisa, maaana Tufuate mwezi na sio Nchi., hata Sudan Ukionekana Tufunge, na Sio kungojea Saudia
@MaryamHassan-t3t10 ай бұрын
Kwelii kabisaa shukraaan mabroukk 😊
@IbrahJuma-r5s10 ай бұрын
Wellsaid masha Allah
@AhmedSaid-hy4vp10 ай бұрын
Sahihi shekhe
@KassimMwarengwa-yj8fd10 ай бұрын
Tumuogope mungu,tusimtukane shehe wetu
@omaryabdul205010 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh ndugu zangu waislamu sheikh yupo sawa kuhusu jambo hili la mwezi kuonekana saudia au popote tu pale Saudi Arabia ina miji mitukufu lakini sasa hivi sio masheikh au waislamu wengine wanaoruhusiwa kutangaza mwezi isipokuwa serikali tu hebu kumbukeni mwaka 2020 wakati wa kufungua ramadhani miezi ya Afrika ilikataliwa na saudia
@seifrashid206410 ай бұрын
Masha Allah
@KapondaZenaida-g3z10 ай бұрын
Uposahihi kiongozi wangu
@Tweech10 ай бұрын
Saum makbul jamanini. Jibu ni kuwa wano ishi mjini hawana habari za mwelekeo ya mwezi. Watu wa inje za miji wanamazoeo ya mwendo wa mwezi. Saudia kuwa na habari ya kuona mwezi ni kwamba wamejaliwa, haswa mji wa Majmah; kuna Ar Ruwedah, Al Wasiyyah na Al Ghat. Ni mjii muhimu kutizam mwezi kwa wakat wote inapo potea na inapo chomoza. Sababu ni hii! Ni bahari ya jangwa inyo toka chini kwa rangi ya mchanga ikakamta wingu kwa kubadili rangi ya nnjano (blue sapphire) na hapo hlifichiki mwezi kabisa wengi huzuru sehemu hi ya Al Ghat kushudi tukio hii. Sheik, kubali yani muda wenu hamshudiyi hii sababu mpo penye penye mwanga ya umem mwingi. Mbona St. Petersburg, Riyadh, Nairobi, Dar esalaam na Kampala licha ya tofauti na umbali masa huwa Sawa hr12? RAMADHA KAREEM
@salummohammadomar501510 ай бұрын
Yeyote àtakaye nizusjiya mambo ambalo mm mtume wenu sijalifanya au kulifanya basic ajiandaye makaazi yake ktk moto Allah atuhifadhi na moto sh Izudin muogope Allah
@ArsenalThegunnerz11 ай бұрын
Allah amesema kila mmoja hukosea saudia si watu mpaka wasikosee kila siku hawakosei
@IbrahJuma-r5s10 ай бұрын
The great challenge
@jumakapilima729510 ай бұрын
Hoja ya kijinga, mbona hijja hafuati ya Kenya?
@abuhafs477410 ай бұрын
Nynyi wabajuni mbona ukionekana KWALE MWEZI nynyi hamuukubali na nnyny mna nini uzalendo ama ukabila
@sadahmakshnada450310 ай бұрын
😅😅😅
@hassanovajunior697210 ай бұрын
Acha uwongo wako
@abuhafs477410 ай бұрын
@@hassanovajunior6972 we kama hujui sema hujui ama hujaskia usiseme acha uwongo wajua uwongo ww
@FarahAli-bx6ei10 ай бұрын
Siku zote basi ni wao tu,saudia😂😂
@ahmedalsaadi710810 ай бұрын
Watanzania tunashida sana uwezi ona mwarabu anafata chochote cha kiswahili
@AliSalim-yu4mo10 ай бұрын
Yaani wewe ndio Debe tupuuu!unalishwa kasumba na akili zako zifanyie majaribio kidogo,kwani kuna mwezi wa Waarabu na Waswahili?na ikiwa ndio hivyo basi tutafute pia Mtume wetu wa Kiswahili maana Mtume Muhammad yeye hakuwa Mswahili
@nassirzamzam931211 ай бұрын
Kiama kitatokea siku moja, laylatul kadri itatoka siku moja, hakuna mambo ya matilahi.
@SeifMassoud10 ай бұрын
Suali ni moja tu, iwe mwezi umeonekana saudia, america, china au wapi kule, kuonekanwa kwa mwezi kunatakiwa uwe na ushahidi na usahihi wa dini wa yule aliouona na alieutangaza,, jee anaefunga kufuata nchi nyengine ana uhakika kwao wameangalia mwezi au wamefuata calendar zao tu, na ni mazingira gani mwezi umeonekana hadi ukatangazwa?
@abakibibi991710 ай бұрын
WEWE UNAISHI SAYARI GANI MAWASILIANO YOTE KILA KITU KIPO WAZI
@iddimohamed25410 ай бұрын
We hauko duniani sijui uko wapi mambo yako wazi kabisa walio ona mwezi hua wanatoa mkapa video wataka nn tena....
@yasinimufuruki365010 ай бұрын
Options ni mbili tu uuone mwezi au utimize shaaban 30 au ramadhani 30 una wahi nini? Ili iweje? Mpk useme China mwezi umeandama nafunga timiza 30 km kwako hauja one kana unadhani mtume hakulijua hili mpk akatoa hiyo hadithi?
@IsayaSosolo-nx8zk10 ай бұрын
Mwafrika Ana dini yeye unafiki ndiyo unamfaa! Mtajibizana wenyewe na dini yenu ya haki sisi wengine makafiri!
@Alyafyonline123410 ай бұрын
Hii mada sheikh atatowa ufanuzi juu ya hili suala
@AliSalim-x6q10 ай бұрын
Hata arafa wana yao
@JohnchuwaPastor10 ай бұрын
Mtume ametuamrisha tumfuate yeye ndiyo kiigizo chema na katuachia zawadi mbili quraan tukufu na Sunna na wala sio Saudia
@idrisalikembe183110 ай бұрын
kweil shekh wang
@Alyafyonline123410 ай бұрын
Kila moja na uwelewa wake ila sisi hapa dunia hatuzi kujua ipi ipo sahihi
@hasanimkamba837710 ай бұрын
kuifwata Sodia ya Sasa kunataka uwe mjinga kidogo watu wanasimamiwa na marekani Kila kitu
@DjumaAsha10 ай бұрын
Yote tisa Kumi saudia ingali nchi tukufu
@yasinimufuruki365010 ай бұрын
Hija na arafa ni tofauti na hili we ndo uwe na akili
@AbdulIssa-o7e10 ай бұрын
Msufi mpotoshaji huyu ndo shida ya watu wa bidaa hawana hoja za kielmu kazi yao kupotosha watu na kuharibu sunna ya mtume na kutetea mabidaa yao wallah siku ya qiama mnadhima kubwa Allah na watu wenu mlowapotosha kwa kule kunzulia mtume wa muongo uongo na kumchafulia dinni kama hakufundisha acheni batwil rudini kwa sunna za mtume mtapata kuongoka
@DesertTears10 ай бұрын
Nimejaribu kushikanisha unaongea Nini ila sijakuelewa kabisa😂😂 haya andika na kilugha yenu labda tutakuelewa
@IddiSalim-b2i10 ай бұрын
Ulionekan kenya sehem gan ukisem utoe n ushahid
@jumakapilima729510 ай бұрын
Tunakupa challenge nyingine, kuna hijja zaidi ya saudia?
@DjumaAsha10 ай бұрын
Hakika🤝🤝🤝🤝hizo ni propagande za Maadui wa uwislam Allah atuongoze
@Alyafyonline123410 ай бұрын
Ipo wap
@JohnchuwaPastor10 ай бұрын
Unafik ndo uliojaa saudia ya sasa je dunia nzima hauonekani mwezi ispokuwa Saudia
@jumakapilima729510 ай бұрын
@@JohnchuwaPastor kabla hujauliza swali Hilo, jiulize je hakuna upande mwingine wa kuelekea katika kuswali mpaka uelekee Makkah?
@DjumaAsha10 ай бұрын
@@JohnchuwaPastor iyo ni pawa walopewa na Allah Mpaka Dunia kutanduka
@salummohammadomar501510 ай бұрын
Kuweni na Akili basi hata hija Arafa umra nendeni sehemu nyingine sio lazima saudiya mbona mnakimbiliya huko huko nyiye vp amkeni
@DjumaAsha10 ай бұрын
Hakika umenena Kaka Tufaham iyo ni nchi Tukufu Ma sha Allah
@RiazJuma-v9k10 ай бұрын
Wapi kwa sharia tufuate Saudi
@AliSalim-yu4mo10 ай бұрын
Sheikh hapa usichanganye watu,sio kumfuata Saudia!hapa ni kufuata hukmu Tu ya kuonekana Kwa mwezi na kuhusu watu kufuata Saudia Tu sio kweli maana mwezi huonekana Yemen na watu wangafunga na hata wa Saudia hufunga baadhi ya watu lkn sio kiserikali maana Serikali ya Saudia ni kweli wanafanya kama hapa Tanzania na Kenya,na kuhusu make kumfuata mume wake ni Jambo la hski kama vile unavyosrma mtoto wako lzm akufuate wewe!
@MohammedBakari-pn9yg10 ай бұрын
Sheikh kua muadilifu ...ebu toa mfano mmoja tu ....aliesema watu wanafunga kwafuata mwezi wa saudia ninan??
@irtshisekedikhamis564810 ай бұрын
Walio tangaza walisema mwezi umeonekana saudia
@mohammadswaleh690011 ай бұрын
Kutoka lini ukawa mtu wa kutoa fatwa Kuweni na inswaaf.nyinyi hamufuati mwezi wa mtu yeyote asiyekua shariffu,Ramadhan iliyopita mwezi ulionekana kenya sehemu tofauti mukasema mwezi wa wasomale hamuukubali mpaka wa mashariffu Muogopeni Allah wacheni kujitetea na Saudia huo ni uhasidi
@hajifakimakame410 ай бұрын
Acha chuki, mfahamu sheikh anachokisema
@mohammadswaleh690010 ай бұрын
Huyu wamuhisabu ni shekhe? Pole brother na shekhe wako
@hajifakimakame410 ай бұрын
Na ndio mana nikasema na mwanzo "Punguza kiburi" sasa ni kitu gani kilichomfamya asiwe sheikh
@salimakida9510 ай бұрын
Jibu swali ?saudia keshafata mwezi mwingine?
@mohammadswaleh690010 ай бұрын
@@salimakida95 ww ushafuata mwezi wa popote au unafuata wa bakwata?
@nassirzamzam931211 ай бұрын
Ulimwenguni kuna ardhi wa islamu wanafunga sehemu yenyewe ni upande wa North Pole kuna wakati halioni jua kwa masiku wa kitaka kufungua muazini wa nafuta mecca.
@esir666710 ай бұрын
Shekh fata sunna na qur an usiangalie nan anafata nin
@AliSalim-x6q10 ай бұрын
Suudia ni nchi ya ki islamu na jamaica ni makafir kama mwezi umeonakana nchi nyingi nyi nyi mwanaifanya dini ikawa nzito wapotezeni majaheel
@IbrahJuma-r5s10 ай бұрын
Na Sheria wanazofuata ni za kiislam?na katiba Yao ni qur an
@IbrahJuma-r5s10 ай бұрын
Na Sheria wanazofuata ni za kiislam?na katiba Yao ni qur an
@iddiyrashid168211 ай бұрын
Hata palestina kuna ardhi takatifu mbona watu hafuati huko
@Alyafyonline123411 ай бұрын
Hapo waisalm ndio wanatakiwa watafakir kwann kuna mvutano wa mwezi
@AliSalim-x6q10 ай бұрын
Hao ni wazushi
@nassirzamzam931211 ай бұрын
Mtume s.a.w aliutangaza uislamu kwa walimwengu wote alipo kua mecca na madina na mtume s.a.w alikuja kwa walimwengu wote ulimwenguni.
@ahmadmzoa7410 ай бұрын
Ajabu na kweli?! Mpaka manaswara wamo kwenye mijadala ya Waislamu?! Ama kweli pilipili usoila yakuwashia....ni..?!
@Alyafyonline123410 ай бұрын
Hili ndio tatizo kubwa jaman waislamu tuwen makini katika suala hili la mwezi
@mabablaz12310 ай бұрын
Mimi nafata salafiyun madhhabi ..walakin sheikh izudin ana hoja na lazima asikizwe kwahili naamuunga
@mahmoudmchiu536910 ай бұрын
we gongo
@ALIKHAMIS-un4fv10 ай бұрын
Hakuna salafi mwenye kumuunga .mkono sufi huyu anaewaomba wafu mamrui uko
@nassirzamzam931211 ай бұрын
Qur'an iliteremshwa mecca na madina na amri ya ramadhan iliteremka mecca na madina.
@ZINDUKAMUISILAMU3011 ай бұрын
Kwa hivyo unamaana gn
@Alyafyonline123411 ай бұрын
Unamaanisha nn hpo au ndio watu waendelee kufuata mwezi wa saudia au
@mohammadswaleh690010 ай бұрын
@@Alyafyonline1234 hakuna tatizo kufuata mwezi WA Saudia kwani Saudia ni makafiri?Au huyo izzudin Muulize kama Ashafuata mwezi isipokua uonekane na masharifu TU ndio wanafuata
@jumakapilima729510 ай бұрын
Na sisi tunakupa challenge wewe, kuna kibla zaidi ya saudia?
@hassanovajunior697210 ай бұрын
So what?
@jumakapilima729510 ай бұрын
@@hassanovajunior6972 so that,,,
@jumakapilima729510 ай бұрын
@@hassanovajunior6972 so that,,,,
@RiazJuma-v9k10 ай бұрын
Kwani Africa haina mwezi 😅😅😅😅 lazima tufuate nchi zingene😅😅
@Alyafyonline123410 ай бұрын
Mwezi upo lakn wengne uzalendo wa kwao hawaujuw ndio maana mwezi wa afrika hautaki mpka waone saudia
@SadiHassan-ob6nv10 ай бұрын
Acha zako
@burhanmuhammed223410 ай бұрын
Saudia kuliteremka qurani Shekh lazma tuwakubali
@broumaiyyah801810 ай бұрын
Ndo qur an inasema hvyo kua tufate mwez wa saudia??
@ubeydearthmoney743010 ай бұрын
Mufti Wa Saudi Mwenyewe katangaza Kila mtu afunge na mwezi wa kwao
@deathrow800410 ай бұрын
Ilikua makka
@deathrow800410 ай бұрын
@@ubeydearthmoney7430@IBN BAZ NDIO ALITOA KAULI HII ILA KAULI YA UTHAEMIN ALIKATAA
@mustafasuleiman318810 ай бұрын
Neo colonialism
@iddimohamed25410 ай бұрын
We funga vile unajua wachana na saudia..
@hassanovajunior697210 ай бұрын
Saudia ni wazandiki lazima wasemwe
@iddimohamed25410 ай бұрын
@@hassanovajunior6972 Bora ni waislamu khalas wakitangaza mwezi twafuata we ngojea utangaziwe na mufti...
@swahilitherapytv384610 ай бұрын
Saudia sio hoja kwenye mambo ya dini, mara ngapi tumefunga mwezi wa Kuwait, Yemeni, Kenya. Acha uwongo hizdini sufi wewe
@hemedjackson226111 ай бұрын
Unajua najaribu kufikiria hapo awali wazee wetu wa miaka ya 60,70,80 walikuw wakifunga kw kufuata mwez gan kbl ya utandawazi ? Tulikuw tunafat saudia au Tanzania? Na wazee wetu walikuw hawan elimu ya muandamo wa mwezi?
@Alyafyonline123411 ай бұрын
Wazee walikuwa nafuta mwezi kuona kwa macho sio kusikia nchi nyengne tatizo sasa hivi utandawazi ndio ilioharibu dini yetu asilimia kubwa sana
@shabirhatibu525910 ай бұрын
Uislamu ni dini iliokamilika toka mtume anaaicha...so watu wanasoma kilekile walichosoma wazee wa toka miaka 5000 iliopita
@hemedjackson226110 ай бұрын
@@shabirhatibu5259 suali langu hawa vizazi vya 5000 nyuma walikuwa wakifuat muandamo wa mwez gan w saudia au muandamo wa nchi husika?
@Zainabnoor0087-ze10 ай бұрын
Tufate lamu basi, acheni ujinga Saudi Arabia Kuna Makkah na madina
@AthumaniAmiri-fv5zp10 ай бұрын
Na pia kuna club kubwakubwa tu za music
@ALIKHAMIS-un4fv10 ай бұрын
Nan kwani aliekwambia watu wanafuata mwezi wa saudia ww sema tu ww ni sufi unachuki na nchi iliyonawiri kwa Quran na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia
@arrisalastriker981310 ай бұрын
Mwezi wa kokote hayo ya saudia hakuna popote tukipata taarifa ya mwezi twafaa kufata
@martinmkoba36110 ай бұрын
Mnabishana na waloanzisha ramadhani sasa hii hajabu
@sadiqadam797110 ай бұрын
Hakuna alieanzisha Ramadhan isipokuwa Mwenyezi mungu pekee. Ramadhan ni moja kati ya nguzo tano za uislam.. Mwezi mtukufu wa Ramadhan ni Ibada na Toba kwa Allah pekee na sio kwa binadamu. Utasemaje kuna watu wameuanzisha!?
@frankrobert970610 ай бұрын
Ramadhan ni moja ya nguzo tano za kiislam na sio kweli kwamba saudia ndo walioanzisha Ramadhan ndugu sio vizuri kusema jambo ambalo sio sahihi huo ni uzushi
@jabirbocha350310 ай бұрын
Utapotosha ummah mpka lini wewe
@zenjigreen549110 ай бұрын
Je ni kweli Saudia hawaukubali uislam wa Africa kama ulivyosema Sheykh?
@hassanmohdally521710 ай бұрын
Sasa ndugu yangu hili swali lakuulizaa kweli wakti ushaambiwaa hataa mwezi uonekane popote Africa hawakubali sasa unatakaa ushaidi gani
@SleyumSalim-pq9pr10 ай бұрын
Popote utakapoonekana,sio lazima saudis,
@shabanimwiru815810 ай бұрын
Kitovu cha dini kipo pale, hiyo challenge haina mashiko.
Mwenye kufuata saudia anaamini mecca na madina ni ardhi takatifu mpaka kiama na uislamu uliteremshwa mecca na madina kwa hivyo yeyote anaefuata mwezi wa mecca na madina anaamini hanashaka ramadhani imeingia bila kua nashaka ulimwenguni siku ni moja tu.
@abdallahsuwed6511 ай бұрын
Hizo ni Akili zenu.
@abdallahsuwed6511 ай бұрын
Wao wasaud wana hiari Yao.sisi tunafuata popote.hio Saudia munasema nyinyi
@abdallahsuwed6511 ай бұрын
Mumeona wapi mwezi 29 ukaonekana kirahisi kama juzi.?
@abdallahsuwed6511 ай бұрын
Nani kakulazimisha shekh.
@princefeisla369211 ай бұрын
Kwaiyo unakanusha maneno ya mungu?maana wasema wafuata ardhi takatifu na mungu hajasema hivyo?
@nassirzamzam931211 ай бұрын
Ulimwenguni muandamo wa mwezi ni siku moja tu.
@Alyafyonline123411 ай бұрын
Hilo kweli lakn sasa hivi mashekh wengi lakn kila moja na taluma yake sasa hilj ndio tatizo
@saidishekalaghe349611 ай бұрын
Unzijua jiografia ya Ya Dunia? Au bendera fata upepo?
@alhabibymasoud344510 ай бұрын
Wee nae Kama HAUPO saw
@suleymanmohd341810 ай бұрын
Ni kweli mwezi, jua na siku ni moja, Je...,!!! Kwahiyo unataka kutuambia jua au mwezi likikamatwa Tanzania nchi zote Duniani zitaswali swala ya kuombea kukamatwa kwa jua au mwezi....,!!!!?