Kazi za Usiku wa Manane Marekani, Canada na Ulaya

  Рет қаралды 3,508

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 10 ай бұрын
Wewe huwa una maneno mengi ila michongo hutoi na kila mchongo wako lazima upige watu.
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 ай бұрын
Huwez tafuniwa kila kitu jifunze kutafta fursa
@ShaniAbdala
@ShaniAbdala 10 ай бұрын
Shukran EBM mungu akubariki sana tusiobatika kuomba green card mwaka Jan tunamuomba mung atuwezeshe mwaka huu inshaallah
@YuscoZahir
@YuscoZahir 7 ай бұрын
Hi mamb
@ReginahNgeleja
@ReginahNgeleja 8 ай бұрын
Shuklani kaka Ebm
@EssauLucas
@EssauLucas 10 ай бұрын
Mzee kazi kazi. Mbona ukutanzania tunalinda. Kwamwezi lakina nusu kwamwezi bd tunapiga. Kazitu. EBM kazikazi
@ShallyKaim-v4h
@ShallyKaim-v4h 10 ай бұрын
Shukran,,,, kka,,,,
@nassorohassan3630
@nassorohassan3630 10 ай бұрын
shukran sana father
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 10 ай бұрын
Kweli kabisa
@kevinnyaleso3031
@kevinnyaleso3031 10 ай бұрын
Nashukuru unavyozidi kutufahamisha!. Maisha Amerika!.
@elogevyizigiro1157
@elogevyizigiro1157 10 ай бұрын
Asante
@MfizoCrypto
@MfizoCrypto 10 ай бұрын
Kazi ni kazi hakuna excuses kwenye maisha , la msingi usiibe.
@jumahamad2227
@jumahamad2227 10 ай бұрын
Saf sanaaaaa kaka
@howardbillionaire
@howardbillionaire 10 ай бұрын
tuko hapa kujua before tuombe hizo green card
@hamsikrasheedi1796
@hamsikrasheedi1796 10 ай бұрын
nimesha experience kaz za usiku ilinitesa sana kwenye kupata usingizi asubuh ina umiza sana
@DorcusLoy
@DorcusLoy 10 ай бұрын
EBM ni ofisi za dar sky city mo
@homeandaway2811
@homeandaway2811 10 ай бұрын
Kwanini umeweka makaburi boss 😅 unatutisha
@OmaryMkengemba-xz1hk
@OmaryMkengemba-xz1hk 10 ай бұрын
Kaka unatugea elimu sana ambayo ata atulipii mchawi bando to
@MoiseNgiruwonsanga
@MoiseNgiruwonsanga 10 ай бұрын
Naishi rochester ny nfanya kazi amazon night shift unaongey ukweli kbsa
@maulidally7098
@maulidally7098 10 ай бұрын
Sasa kiongozi unatuhadithia tu tupeni njia ya kupata kazi na njia ya kufika huko.
@MisanaMasatu-zz4xr
@MisanaMasatu-zz4xr 10 ай бұрын
Bro ukiwa na pesa njia zipo kama 500k za kufik huko, ila kama huna pesa bc njia hzo hutaziona. Tafuta pesa kwanza
@svt3
@svt3 10 ай бұрын
@maulidally7098; na kila mara anavyo waambia njia kinacho itajika ni pesa zako tu na utandawazi umerahisisha mambo wala sio lazima hata uambiwe, fanyeni utafiti karne hii kila kitu kiko wazi
@TinaMane
@TinaMane 10 ай бұрын
Tupe majina ya uhakika wa agents ambao watatusaidia kufika uko. Maokoto yapo tutalipa
@abdallahnassor2945
@abdallahnassor2945 10 ай бұрын
​@@TinaManeDnyota Dula Star Au Bambad
@CalebLema-zx4ig
@CalebLema-zx4ig 10 ай бұрын
Bambad​@@abdallahnassor2945
@KibwayaMsouth
@KibwayaMsouth 10 ай бұрын
EBM tunakupata mzee ila napenda kujua zile kazi zetu za kupiga magari rangi huko u s a nako zipo au?
@YuscoZahir
@YuscoZahir 7 ай бұрын
Hi
@EssauLucas
@EssauLucas 10 ай бұрын
Lalamchana fanyakazi usku
@maulidally7098
@maulidally7098 10 ай бұрын
Mm jamn nimeongea na mtuma hii video sio watu wengine
@DorcusLoy
@DorcusLoy 10 ай бұрын
JamN waambie ofisini wapokee simu tunafika ofisini hawapo tunataka kuaaply community college sorrry waambie watupigy tuliye acha namb
@ezrakiduko6135
@ezrakiduko6135 10 ай бұрын
mwaka huyu kwa uwezo wa mungu nitaomba green card
@YuscoZahir
@YuscoZahir 7 ай бұрын
Za sahz ndugu
@danfordgabriel8304
@danfordgabriel8304 10 ай бұрын
Nakufuatilia nipo night shift sasa hivi, night shift zinachosha sana
KWANINI WATU WENGI WAKIFIKA ULAYA, USA, CANADA WANABADILIKA?
1:47:11
UNAWEZA KUPA KAZI MAREKANI, CANADA AU ULAYA WAKATI UPO AFRIKA?
18:37
EBM na JOYCE K NURSE wakutana kuongelea maisha ya Canada na USA
19:24
Kujiunga na jeshi Jeshi la Marekani | Taratibu na faida zake
12:29
Ushamba wangu mwanzoni Marekani - Maisha Ughaibuni
53:50
EBM SWAHILI
Рет қаралды 6 М.
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 412 М.
Maisha ya Marekani: Maswali na Majibu nilipokuwa TikTok Live
3:08:54
EBM SWAHILI
Рет қаралды 2,3 М.