HUYU ASKOFU NI BALAA! BILA WOGA AWAPA KIBANO KIZITO WATEKAJI NA WAUWAJI WA MZEE WA CHADEMA

  Рет қаралды 88,253

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 252
@chaluuzamichael4361
@chaluuzamichael4361 Ай бұрын
Excellent, courageous Priest indeed! God bless you man of God!
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi Ай бұрын
KAMA SERIKALI HAIWAJUI WATEKAJI BASI NCHI NZIMA INAWEZA KUTEKWA MAANA WATEKAJI WANA NGUVU KULIKO POLISI
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Ай бұрын
Yaani wewe na Mimi tunafanana kimtazamo
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Upo sahihi
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 Ай бұрын
Ni mapolisi ndio wahusika
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 Ай бұрын
Washenzi wakubwa kama hawa soka hawajapatikana tuingieni barabarani
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Wasojulikana MUNGU awa uwe kw Ajali ndenge+ma cruzer vx wapinduke Allah atusaidie KWANZA,hili wafe kw Ajali,rabb nsataraa Tanganyika,
@ReubenRaymond-zh4yw
@ReubenRaymond-zh4yw Ай бұрын
M! Mfano wa Askofu Mwanamapinduzi ni hisia kali na unamaana sana. Kweli tujifunze kuwa na dhati ktk kazi zetu. Bravel.
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Sijui na watoto wetu soka na wenzie kama wapo hai mungu tusaidie
@claudmjama777
@claudmjama777 Ай бұрын
Nakuombea uzma baba askof,,,kwa jina la yesu uwe na uzma tele. Ahsante kwa utetezi wa taifa letu.
@HussenMasangula-v4i
@HussenMasangula-v4i Ай бұрын
Watumishi wote wa mungu wakemee ili la utekaji kwactail hii hakuna aman tz
@jitulakaleboymastr6477
@jitulakaleboymastr6477 29 күн бұрын
Ubarikiw mtumish
@fadhilidanieli1478
@fadhilidanieli1478 Ай бұрын
Yaaaan watumishi wa MUNGU mliokaaa kimya hamtoki kukemea kama huyu Mungu anawaona MTUMISHI barikiwa saaaana
@NyakazegekalumangaWambura
@NyakazegekalumangaWambura Ай бұрын
Amina baba . Hongera.
@mosesmwaisela2455
@mosesmwaisela2455 Ай бұрын
Hongera sana kusema ukwel. Uzuri wanajisema wenyewe. Ujue Mungu yupo kazin. Watajisema sana
@IsackIsacksamson
@IsackIsacksamson Ай бұрын
Hili jambo lnamgusa kila bnadam mwenye ubnadam hata firauni anaweza sema this is too murch
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 Ай бұрын
Hongera sana Mtumishi,Mungu akubariki sana na akuongezee upako
@asaphmwinukaministry33
@asaphmwinukaministry33 Ай бұрын
Viongozi wote wa Dini wakisimama na kusema hivi hadharani , Bas Angalau suluhisho litaonekana!!Wengine kazi kula sadaka zetu kuteteea waumini wao aaaah
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Ай бұрын
AMIN AMIN. MTUMISHI WA MUNGU KWA JINA LA YESU KRISTO .
@PeterMafuru-l6r
@PeterMafuru-l6r Ай бұрын
Great man of God
@NwakaKasabaja
@NwakaKasabaja Ай бұрын
Huu ndo utumishi aisee 1timotheo4:11-16.hongera baba
@dorothyminja8523
@dorothyminja8523 Ай бұрын
Hawawezi kutekwa watu na kuuwawa Kila Leo alafu vyombo vyote vya usalama vishindwe kutambua. Mbona makosa mengine wanawapata? Akitukanwa tu mtu wa Serikali, anapatikana. anayeuwa au kuteka mtu wa Itikadi nyingine hapatikani.Shiida sanaa
@malaikahansen
@malaikahansen Ай бұрын
MUNGU akulinde na kukubariki sana mtumishi mpenda haki. Na atakae nyoosha mkono wa uovu juu yako MUNGU akashighulike nae na mabaya na uovu wao uwe malangoni pao. Damu ya YESU ikanene mema juu yako kinyume na mabaya yote juu yako. Tunaitangazia Tanzania amani, upendo, umoja na mshikamano. Na wote wanaoleta uovu mkono wa MUNGU uwazuie na ardhi ya Tanania iwatapike.
@pendobruno111
@pendobruno111 Ай бұрын
Ipo siku tatekwa Tanzania nzima na hakuna atawajua watekaji
@RodgersChishenga
@RodgersChishenga Ай бұрын
Ukweli ni uchungu. Askofu unasema ya na yo um I za nyoyo za.wengi. Ukiwa upinzani,ukikosoa serikali unapotezwa. El a Ho ng era Mtumishi, bola shaka wafanyie changamoto hizi ili Us a lama uwepo. God protect you.
@pendobruno111
@pendobruno111 Ай бұрын
Mungu ingilia mwanzo 11:7 wafarakanishe
@WilsonLuchwele
@WilsonLuchwele Ай бұрын
Hongera Baba askofu,ccm hamuwezi kututisha milele,mtaanguka tu,na si mbali 29:39
@SimonBwire-b8h
@SimonBwire-b8h Ай бұрын
Safi Sanaa Mchungaji
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 Ай бұрын
INJILI inao UWEZA wa kuokoa maisha ya mtekaji na aliyetekwa kwa sababu machoni pa Mungu wote ni wenye dhambi kama hawajampokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wao. Ukimtetea aliyetekwa ni haraka sana kusahau na dhambi zake usizozijua .Utaona dhambi ya mtekaji hutaona dhambi za mtekwa kwa sababu wewe ni mtu tu na unaona nje. Lakini mchunguza mioyo yaani Mungu yeye huwa anawajua wote na hata dhambi za mtekwa. Kwa hiyo ili tukemee maovu INJILII ndio Dawa kwa wote wawili. Mtekaji na mtekwaji. Maaskofu HUBIRINI INJILII. Msiwahurumie watu kibinadamu, bali kwa huruma ya Mungu yaani KRISTO aliyetufia sote.
@wilfredmuruve3323
@wilfredmuruve3323 Ай бұрын
Watatajana tuu.. hawatapata amani... Ni swala la muda... Baba wa Mbinguni atawaanika
@asaphmwinukaministry33
@asaphmwinukaministry33 Ай бұрын
Sio baba wa Mbinguni..Hali sasahv ni Tete,,Tufanye maamuzi tu
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 11 күн бұрын
Tunakuomba hamasisha maombi siku ya maombi kwa wote waliyokufa na kutekwa. Nakuwaombea watekaji mungu awalani bwana ahimidiwe..milele na mileleo
@ngwilaemmanuel
@ngwilaemmanuel Ай бұрын
Brow upo vizuri Sana hatuwezi ongozwa na RAIS shetani
@Nedjadist
@Nedjadist Ай бұрын
Shetani ni yule aliyeuawa, maana yeye ndiye aliyeanzisha haya. Acha Udini wa kijinga. Kosa la Samia ni kuwa ni rais mnyonge. Pengine wanamshinda nguvu!
@personpeter2221
@personpeter2221 Ай бұрын
​@@Nedjadist hakuna rais mnyonge dunian rais ni mtu anaye sema tu na wanatekeleza kama unahs rahs ni mnyonge chana picha yake hazaran ukutane na wajomba😂
@desolz3809
@desolz3809 Ай бұрын
😂😂😂😂​@@personpeter2221
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
​@@Nedjadist huyu raisi ni shetani kweli we unaleta udini kwenye uhai wa watu mama Samia ndio mtuhumiwa namba Moja kuhusu huu utekaji ameufumbia macho muda mrefu
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
​@@Nedjadistkama wanamshinda nguvu ndio aondoke hatufai hatuwezi kuwa na raisi ambae hawezi amri zikatekelezwa huyu ni raisi au Sanam lipo lipo tu
@MosesMagwila
@MosesMagwila Ай бұрын
Huyu ndo askofu maana anaona na kusubutu kukemea baba nitakuja niwe kondoo wako ktk kanisa lako
@johnmwakifulefule2998
@johnmwakifulefule2998 Ай бұрын
Barikiwe Sana mtumishi
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Ай бұрын
❤❤❤ Amri ya mama tu mambo yatakuwa shwari. Huyo kijana hata mimi nilimsikia, hata Spika nilimsikia
@pendobruno111
@pendobruno111 Ай бұрын
Mama anatoa kila gori milioni tano watakaowapata watekaji hao atawapa nao shilingi ngapi? Nahamu wapatikane Mungu wangu macho yangu yawaone maana naumia sana moyo wangu
@GhaniaSaid-u5k
@GhaniaSaid-u5k Ай бұрын
Viongozi wa waislamu wanafiq wamekuwa kimya hawa wkristo wanapaza sauti ww mchungaji allah atakulipa ujira wako
@bakarifakih4228
@bakarifakih4228 Ай бұрын
mnafiki ni wewe,kwani huwasikii mashekh wanavosema mtandaoni kila siku,au unawaona wachungaji tuu
@EvaristiTarimo-br4jg
@EvaristiTarimo-br4jg Ай бұрын
Mtumishi nchi hii sifa zimeharibika tu mlilie Mungu kwa uchungu wa rohoni kama esta na wayahudi mungu akadhihirike nahuo ufalme Ufitinike nakungolewa kwajina la Yesu
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Ай бұрын
Ukiwa na mifugo ikaanza kupotea mmoja mmoja anaechunga anakuwa anahusika Kwa hili police hawana pakutokea
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 Ай бұрын
Kama Mungu anawatetea watu kwa namna hiyo ya kibinadamu basi angekuwa mwingi sana kule Sudan ya Khartoum, maana kule watu wanakufa sana na hakuna suluhu yoyote iliyopatikana ktk hayo makundi mawili hasimu yanayogombania madaraka. Mungu HURUMA yake kwa wanadamu iko kwenye INJILI. Mungu alituhurumia kwa kuruhusu Yesu Kristo afe ili sisi tuwe HAI. Kama hatuitambui HURUMA hiyo ya Mungu, naye Mungu haitambui huruma yoyote ya kibinadamu. Acheni kujifanya mnahurumia sana watu kuliko Mungu mwenyewe aliyewaumba. HUBIRI Injili, humo ndimo mlimo na HURUMA ya Mungu kwa wanadamu.
@josephshirima9836
@josephshirima9836 Ай бұрын
Kuna sehemu kidoogo umeeleweka lkn kwingine wala hujaeleweka ulichoandika.
@DeusNkunga
@DeusNkunga Ай бұрын
Baraza la Maaskofu Katoliki(TEC) kemeeni hilo, msikae kimya! Igeni mfano wa Maaskofu DRC!
@CalmOmbreSky-iz2hj
@CalmOmbreSky-iz2hj Ай бұрын
Sawa umezungumza ya ukweli. Lakini usiitumie madhabau vibaya niritamani ubirie watu waokoke tukauridhi uzima wa milele
@aaronswai3092
@aaronswai3092 Ай бұрын
Ee BWANA mbariki huyu Askofu sawa sawa na neno lako!
@RaysonMtui
@RaysonMtui Ай бұрын
Maandiko yanasema aliacha wale Kenda,akaenda tafuta aliepotea lkn kwetu kimya,paza sauti mtumishi wa Mungu.
@KhamisMohammed-y9l
@KhamisMohammed-y9l Ай бұрын
Polisi wakiambiwa kamateni wauza bange sekunde 5 nyingi cetro zote zitajaa mjini hapa😂
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt Ай бұрын
Yaan nchi imepoteza upendo ubinafsi umeshamiri mtu anshisi atatawala mpaka kiyama
@munuoisaack418
@munuoisaack418 Ай бұрын
Tunahitaji uwekezaji kwenye usalama😅😅😅😅😅😅 maana kila kitu hatuwezi kuendesha
@jumaomari3842
@jumaomari3842 Ай бұрын
Nimeangalia wachaangiaji wengi wana toa pongezi hakuna matusi
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 Ай бұрын
Kwani ww ni nani, huli au hunywi au hiendi chooni usifanganue watu. Mungu peke yake tu ndio mwenye uwezo, usidanganye watu nyinyi ni waongo sio watu w mungu.
@tegoswadakta8996
@tegoswadakta8996 Ай бұрын
Unashetani mwilini wewe
@tegoswadakta8996
@tegoswadakta8996 Ай бұрын
Mchungaji anaongea vizuri sana wewe unapinga
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 Ай бұрын
@@tegoswadakta8996 Huo ni mono wako tu
@bupemposi5909
@bupemposi5909 Ай бұрын
Mungu mlinde msemaji huyu na Taifa letu kwa ujumla tumekuwa kama mateka ndani ya nchi yetu wenyewe Mungu shughulika nao ww ni Mungu mwenye maamuzi juu ya uhai wa binadamu shughulika nao Mungu, inatosha baba,watoto wetu wanalawitiwa wanabakwa kila tunakopita ni maumivu vilio vimetanda,Mungu tuondolee wadhalimu hawa katika Taifa letu
@tegoswadakta8996
@tegoswadakta8996 Ай бұрын
Mchungaji hongera sana sana, naomba kanisa lako lifike mbeya Tukuyu
@SamweliKitiku
@SamweliKitiku Ай бұрын
Tukipata masikofu kumi tuu kamahawa nchi hii itakuwasama sana mungu akubariki kwakukemea hili lautekaji
@mohamedzambo1511
@mohamedzambo1511 Ай бұрын
Mama anatoa tshs. Milioni TANO (5,000,000/=) kila GOLI sasa atatoa shilingi NGAPI kwa kila KICHWA KINACHOTEKWA NA KUUAWAWA?
@ElizabethMwilongo
@ElizabethMwilongo Ай бұрын
Mungu atusaidie
@abdulmajidmageja6562
@abdulmajidmageja6562 Ай бұрын
Upo vzur mchungaji wangu P1 Sana ❤
@ProphettEmmanuel
@ProphettEmmanuel Ай бұрын
uzembe kwenye taifa letu ni janga kubwa sana
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Wachungaji mahakamani,hazjui watekaji,+Bunge,halijui police wanakwepaje lawma, Asante kw hilo,, mchungaji,
@Shemandia
@Shemandia Ай бұрын
Asikofu wewekwamara yakwanza nakuombea mwenyenzi mungu akupe ulinzi.mkubwa.mbele Julia kushoto nyuma.juu. na familia yako kwaujumla Tanzania inapelekwa pabaya na watawala mungu akulinde.amin Amin amin
@ganjaligwamatata7140
@ganjaligwamatata7140 11 күн бұрын
Kwa taarifa hii ya mchungaji hatuko salama mpaka watekaji watapo amua kusitisha zoezi hili wenyewe.
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso Ай бұрын
Dah nchi yetu haina viongozi kama watu wanatekwa serikali haijui
@chrisshonga
@chrisshonga Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa BWANA
@gabrielkyando2632
@gabrielkyando2632 Ай бұрын
Hii ndo tafsiri sahihi ya mtumish wa Mungu kwa watu wake
@DomitilaJeremiah
@DomitilaJeremiah Ай бұрын
Asante sana Askofu hongera kwa kuongea ukweli
@AbubakariMtitu
@AbubakariMtitu Ай бұрын
Ubarikiwe sanaa kwa kuongea ukweli
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Lakini mungu anawajua ipo siku yao nao mungu atawateka
@RaysonMtui
@RaysonMtui Ай бұрын
Asante baba askofu swali zuri xana,hapa fimbo tunamchapa nani?
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba Ай бұрын
Wewe ni tapeli tu huna lolote la Mungu unalolijua piga makelele hapo kisha ukalale.
@AbbasKaduma
@AbbasKaduma Ай бұрын
Jaman hii nchi imechukuliwa na kuongzwa bila katiba wala sheria mimi nnaomba viongoz wa dini zote tuombe serikalini tupewe hata siku mbili tatu za maombi kwa mungu kuhusu viongoz wetu maana hawajari kabisa watu wa chini tunaishije na kuwa tunahaki ya kusema na kuishi vizur na kwa usalama kati nchi yetu
@CatsonMwanda
@CatsonMwanda Ай бұрын
Mungu akupe neema kubwa
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 Ай бұрын
Iseee unachambua vitu ki factor🙏🙏
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 Ай бұрын
Jeshi lichukue nchi tu hawa wauwaji wamezidi
@paschallLaizer
@paschallLaizer Ай бұрын
ndooo hao hao ma ccm
@eunicekengajaha2953
@eunicekengajaha2953 Ай бұрын
Kutoka KENYA nimeupenda bureeee. YESU HUWAACHA LONDON ZIZINI N.A. KUTAFUTA WALIOPOTEA KWANZA
@bahatisamson967
@bahatisamson967 Ай бұрын
Hawa ndio wanatakiwa nchi hii
@issaissa1361
@issaissa1361 Ай бұрын
Kwa kweli mchungaji unauchungu na nchi yetu kama Mimi inaumiza sana tutetee wananchi na Tanzania yetu amani irudi
@ORG960
@ORG960 Ай бұрын
Huyu anatakiwa si kuwa tu mchungali bali hata uraisi wa nchi anastaili
@gregorymhanze
@gregorymhanze Ай бұрын
Kama watekaji hawatapatikana maana yake hatuna ulinzi kamili. Kwa kushindwa kwao maana yake ni wao wenyewe. Mie napita tuu
@secundawabura7902
@secundawabura7902 Ай бұрын
mchungaji mafundisho yakiwa mazuri makanisani watu wataacha uovu ina maana hata upande wako huwajibiki vizuri kuwajenga kiroho ndiyo maana uovu unazidi niangalie pia upande wenu
@herielimtui3875
@herielimtui3875 Ай бұрын
Mchungaji hata hapo kibaha maili moja mtamba watu wamebomolewa nyumba zao na mpaka sasa wananchi hao wanahaha hawana malazi maaskari walikuja zaidi ya elfu mbili.mpaka sasa hawajui hatima yao.
@NgajaNgaja-s4v
@NgajaNgaja-s4v Ай бұрын
Inaniuma sana watanzania wenzangu kupotea kiukweri ccm watatumaliza tusiwachague tena 2025
@JumaJush
@JumaJush Ай бұрын
Ni ccm tuu hakuna kingine wanagombea madaraka mungu atasimamia damu ya watanganyika
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 11 күн бұрын
Wachungaji mashehe mnakemea ni wajibu wenu mtu akisema wachungji musiwe wanasiyasa ujuwe huyo mtu hatufai
@HafidhAli-b6e
@HafidhAli-b6e Ай бұрын
Hana balaa lolote,hapa Luna kampeni za kumuondoa raisi wetu kwa hila na kwa sababu wanazozijuwa wenyewe,hapa Luna ,uzanzibari,uislamu,kwa sababu haw maaskofu sijawasikia alipokuwepo Magufuli na linganisha Magu na Samia majanga zaidi ni nani?
@SubiranTimo
@SubiranTimo Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kweli kabisa u
@janemwaipopo
@janemwaipopo Ай бұрын
DAMU YA YESU IKUFUNIKE ASIWEPO WA KUKUDHURU
@Sophia-w5k4i
@Sophia-w5k4i Ай бұрын
Kweli kabisa
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix Ай бұрын
Uko sawa kabisa jeshi la polisi lifutwe wanajaza matumbo kwa kodi zetu bure lifutwe
@allybarabara5385
@allybarabara5385 Ай бұрын
Mambo ya viazi ya nini? Wakati waliomgawa hiyo mtu ni abiria kinda na dereva mana wliendelea na safari bila kutoa taarifa polisi (Huwezi kuwalaumu zimamoto wakati hujawapa taarifa ya moto)😮😮😮😮
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Mungu akupaliki sana tena sana
@GerrardLaizzer
@GerrardLaizzer Ай бұрын
😂😂😂nchi gani hii inashindwa hata kuwagundua watekaji sasa shule tunasoma ya nini jaman,mh kweli hii nchi yetu ni kisiwa cha amani
@hepsonmboka6776
@hepsonmboka6776 Ай бұрын
Police wataweza wenyewe? Bila msaada wa wananchi ? Maaskofu pia muulizwee mnashindwa kupiga maombi ili wapatikane. Ushauri wangu kila mmoja wetu awe mlinzi wa mwenziee, watu wanatekwa mbele za watu wengi lakini wakiuulizwa wanasema hawajuii.
@DonatibitalihoDonati
@DonatibitalihoDonati Ай бұрын
Hizoni dalili 47:05 za kufilisika kisiasa ,BORA TUTAWALIWE KIJESHI kuliko k,nyinyi em
@anthonywilliam6510
@anthonywilliam6510 Ай бұрын
IGP
@IddiMahanga
@IddiMahanga Ай бұрын
Kweli mchungaj polic wapige chini tuu amna namna
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Wanaoteka watu Myngu awalaani mpaka Vizazi vyao vilaanike kabisa kuuwa watu hovyo kisa Siasa
@nestorysamwel4499
@nestorysamwel4499 Ай бұрын
Huyu ndiye askofu, kweli wewe ni Bishop Mwanamapinduzi
@salummakadi311
@salummakadi311 Ай бұрын
Kuna viongozi wa dini wengine ni machawa wapo tu wanaitwa hivyo lakini hawapo kiimani Wala kiroho ni wasaka tongue tu
@fredrickmkandara4665
@fredrickmkandara4665 Ай бұрын
Hawa,si watekaji ni wauaji,tena makatili.Lakini,tukio hili limefanyika mchana Tena ndani ya basi,na inasemekana alikuwemo askali,wenyebasi wanamjua,awaseme.
@lamecklyimo6373
@lamecklyimo6373 Ай бұрын
Mariziano amani uongozi miaka 50 ijayo duniani hatutakuepo waache tamaa turisishe upendo na amani vijana wetu
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Ай бұрын
✔️✔️
@Nedjadist
@Nedjadist Ай бұрын
Next, watamteka Samia mwenyewe. Huyu mama awachekea wahalifu walio onja damu!
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
Ndugu kausha tuh hujui kitu mimi na ww
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 Ай бұрын
Wafanyaji hayamambo niwatu wanao ogopwa hata nahao police ,nasielewi kwann hatanami ,ila nifikiriavyo kunakitu kilikua naagenda ila yamekua yanakua yasio tegemewa ,naimekua nisawa nakumpa rungu mwendawazimu
@onesphoromakalla7713
@onesphoromakalla7713 Ай бұрын
Task force.
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 11 күн бұрын
Mwana mapinduzi usitegemee kauri ya adhabu kutoka kwa yeyote haitatolewa ukisikia tukifika hatuwa hiyo mimi nahamia malawi .
@dorotheachami4044
@dorotheachami4044 Ай бұрын
Yaani
@AlfredAloyce-wh5nq
@AlfredAloyce-wh5nq Ай бұрын
Kweli kabisa wanapoteaje
Impeachment ikweherio niki !!! | Apostle Ndura Waruinge | Bethel Clouds TV
37:26
ПРЯМОЙ ЭФИР. Золотой мяч France Football 2024
4:41:06
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 30 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 118 МЛН
Yay, My Dad Is a Vending Machine! 🛍️😆 #funny #prank #comedy
00:17
ICHUNG'WA & OTHERS WILL REGRET THEIR ACTIONS! | Rev. Maina Wa OTC
48:18
ПРЯМОЙ ЭФИР. Золотой мяч France Football 2024
4:41:06