Ukiona mtu hawezi kusaidia ndugu wa karibu kama wazazi na badala yake anasaidia wasiomuhusu bila sababu au kukiwa na sababu,ujue kwa namna yeyote ile huyo mtu hayupo sawa kiroho,
@naomilumolwa78643 сағат бұрын
Ni kweli😔😔
@catherineaketch4270Сағат бұрын
Ni ukweli have incidence
@fidelymasokero17992 сағат бұрын
Alimshuhudia Mungu siyo mwanadamu ukificha ushuhuda hata Mungu atauficha uso wake, beatrice alieleza namna ambavyo shetan anamtumia dadaake.
@LLl-p4r3lСағат бұрын
Alitoa ushuhuda kwa uzuri ila sio kwa ubaya ila watu wamelibeba tofauti ila inauma xana 😢😢😢😢😢😢
@Yana-o2u13 минут бұрын
Ushuhuda ni kusema uliyotendewa na Muumba wako na sio kuinvolve wengine ili kupata huruma za watu..These were very critical issues of which she wasnt suppose to expose in social medias..bad enough she knows exactly her sister is already a superstar
@lizyliz535732 минут бұрын
Unajitahidi sana kumtetea na naweza nikaelewa maana hata wewe hauko consistent kwenye imani yako Anyway tunajua unamtetea martha though umezunguka😊
@SamsiaKassaKangeta4 сағат бұрын
Isaya acha unafiki! Hakuna siri tena kwenye Ukristo yote wekeni peupe! Mathayo 10:26.,27. 26. Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana. 27. Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
@Clex-f5sСағат бұрын
Jibu unalo mtumishi Joan ana sauti inakuwaje mtoto anakuwa na sauti hvyo 😢 🙏🏽
@everlyneiminza57224 сағат бұрын
Bibilia inasema usipo saidia watu wanyumbani mwako. Hata ukasaidia wa nje hamna Baraka kabisa
@@AbelCharles-co6qbyeremia 17:5 amelaaniwa yule amtegemeae mwanadamu na kumfanya Kinga yake na kumwacha BWANA.....Malizia andiko na sio kuungaunga
@stephenlugariki361555 минут бұрын
Biblia hiyo hiyo inasema mzazi ni Mungu wapili hilo unalielewaje
@MTUMISHIBarnaba32 минут бұрын
@@stephenlugariki3615let’s ANDIKO ambayo inasema Eti mzazi ni Mungu wa pili
@MTUMISHIBarnaba30 минут бұрын
MANDIKO YANASEMA waeshimu baba Yako na mama yako ili huishi miaka mingi
@AbelnegoPhilimon2 сағат бұрын
YEYE ASIYEJALI WATU WA NYUMBANI MWAKE NI MBAYA KULIKO ASIYEAMIN
@silviasaleh466723 минут бұрын
Sio kuianika familia, kumpatisha shetani haya.
@Eangle6663 сағат бұрын
Mwanangu isaya kula Tano5👊👊 Ategemea cha nduguye hufa masikini familia huwa zina mambo mengi ila sitaki kuzungumza sana
@FaethestherСағат бұрын
Mwalimu nauliza hivi mtu anaezaje adopt mwanamke muzima ambaye yuko na mama na baba mzazi😶..na bado ana mtoto wake wa kijana.
@naomilumolwa78643 сағат бұрын
Umeongea vzr mtunishi.
@SelinaDorcas3 сағат бұрын
Ww mtumishi neno linsema ukiona mwenzako kapotea njia jaribu kumrudisha kwa njia inayofaa
@user-kw9hy3cx8tСағат бұрын
Hapa kwetu 254 ni Erick omondi ako hivyo ila twampendaa tulijua hilo wakati wa mzibaa wa dunguye ila nani kamaa yy mondiii hiroooo
@evanjelistrobertkashasha5 сағат бұрын
naitwa robert kashasha ni mhubiri na mwinjilist napenda sana kumtumikia Mungu kwa viwango vikubwa lakini nakosa support
@GraceBarunguza4 сағат бұрын
Anzia hapo hapo padogo ulipo, support itakuja mbele trust me kuna watu wanakujua na wana uwezo wa kukusupport kabisa kwa hali na mali ila hawatafanya mpaka waone hatua zako , najuaga watu wote walioitwa kwenye huduma huwa hawakwami, so wewe anza , milango itafunguka.
@Visionofeagle96894 сағат бұрын
Ukitaka support utanaswa na freema.
@evanjelistrobertkashasha4 сағат бұрын
@ enh kwa nini kaka
@MabulaEliasibassa2 сағат бұрын
Nakusalimu kupitia jina la Yesu. Kwa ufupi sana kama ni mhubiri wa kimakanisa yanayoamini nguvu ya Roho Mtakatifu makanisa ya kipenteste jitqhidi sana kuwa chini ya baba wa kiroho ambaye utamtii. Na chochote utakachofunuliwa kukifanya anza na baba wa kiroho na si huku mtu wa Mungu.
@iddylumbila73998 минут бұрын
Wote mliotoa commenta za mtegemea cha ndugu hufa maskini mnajiona mko sawa, ila tambueni na ninyi ni wazazi wa badae mjiandae kuyavulia haya anayoyapitia mama yake martha.
@valenakomba76863 сағат бұрын
NA HUO KWA KWELI UKIUNGALIA ULIKUWA SIYO USHUHUDA BALI NI MASHITAKA AU MAOMBI YA KUSAIDIWA KUTATUWA TATIZO LAO LA KIFAMILIA.
@James-Jabari6 сағат бұрын
kiburi cha hela
@lulanjamd38865 сағат бұрын
Ilikuwa ni jambo la wakati tu shetani anatesa sana watu martha na huyu binti Kuna kitu kibaya kimejificha hapo
@sleyumngolo37 минут бұрын
Mh inaoneka hapa martha kuna jambo soon litaripuka na kila atashangaa😮
@ocgmazee40424 сағат бұрын
Sasa ushuhuda angeuongelea wapi zaidi ya kanisani?
@abelimanitv5502Сағат бұрын
Hivi mtu anapotoa ushuhuda kwa watu ili waongeze nguvu ya kumuombea dada yake atoke kifungoni kipi kinakuwa kibaya je mnaposema Beatrice ameleta mambo haya mtandaoni mnamaanisha nini hasa maana si beatrice aliye-record na dhamira yake haikuwa kumuhaibisha dada yake ila alikuwa anaongea na dunia kuwaonyesha vile shetani anawafunga watu katika vifungo vyake; shida ni vile amemgusa dada yake vile ambavyo hamkupenda kusikia kitu kibaya kutoka kwa martha kwa sababu ni mtu maarufu na anaimba nyimbo za dini, kwani ni vibaya kutoa ushuhuda unaohusu familia yako au ushuhuda unataka uwe wa namna gani ambao hautagusa wewe mwenyewe na familia yako? je mlitaka kusikia mafanikio ya kifamilia tu na vipi angetoa ushuhuda wa kumsifia dada yake je huo ndo ungekuwa ushuhuda mzuri? hebu tuacheni unafiki kwa kujifanya kuwa wachambuzi wazuri kisa tunaaminiwa na jamii
@onesimemlendja2243 сағат бұрын
Husioo jali wale wa nyumbani mwako, umekana imani tena wewe ni mbaya kuliko hasiyoamini
@philomenastephen33643 сағат бұрын
MIMI NI MAMA . LAKINI MTOTO KUNISAIDIA AU KUNIPA CHOCHOTE NI HIARI YAKE . SITEGEMEI KABISA MTOTO HATA AKIFANIKIWA VIPI. NI VYAKE NA HAVINIHUSU. NITAFURAHI NAYE KWA VYOVYOTE TU. ILA MIMI NI WAJIBU WANGU KUWAPA WATOTO WANGU VYOVYOTE NITAKAVYOWEZA. LAKINI MTOTO SI LAZIMA.
@AnnaMunis-g9m3 сағат бұрын
Akikudharau je,?akiabudu Miungu mwingine?wanao wakitengana je?akisema umuonyeshe wakunga kama kweli umemzaa je utajiskiaje mpendwa
@PhimoniMwakalili3 сағат бұрын
yani wewe ashumu unaumwa sanaaa mwanao ana pesa nyingi tu lakini hakupi ata miaa.. utajisikiaje kama hutaanza kulaani
@Mariam-ke4og26 минут бұрын
Mchungaji hebu jaribuni kumuelewa BEATRICE anachotaka mama yake apate msaada yeye ahitaji pesa ya dada yake na hawezi kumsaidia mama yake peke yake na MARTHA anahela na anasaidia watu kwa nini asimsaidie mama yake ? mchungaji inamaana unasapoti mama mzazi asisaidiwe? katika hali ya kawaida unaona ni sawa, Bite kaomba msaada wa watu kwa sababu ameshindwa kulimaliza yeye pekeyake
@Cecyscola54 минут бұрын
Huyu Joan anatuniwa na shetani
@YungeBunzali-lm1hm3 сағат бұрын
Itoshe kwa kusema 95% ya wasanii, viongozi wa dini, matajili pia viongozi wakubwa wa nchi wanatumika na nimawakala wa shetani
@BeatriceNyaboke-uy7ml2 сағат бұрын
Ata ww mwalimu hujui kitu
@AbelnegoPhilimon2 сағат бұрын
Kwan wewe si mwalimu je Mungu kasemje kuhusu watoto n mzazi? Lakini pia jinsi gani Mungu anaweza kufikisha ujumbe kwa watu wake? Kumbuka pia huyo ni figure katika jamii, Mungu huwa hadhihakiwi. Umechambua chin ya kiwango sana,
@MajutoElliasiСағат бұрын
Umesikia uku urusi inahamisha vitu uku siria usiku wa manane
@NiyongaboLeonidas-hp7kh3 сағат бұрын
Ndiyo maana mambo ya Hawa wanaojiita watumishi WA Mungu Nimeanza kuchoka nayo kwasababu hawana jipya Kwa waumini hapo ni baadhi lakini siyo Woto
@Brunoh90Tv7 сағат бұрын
Wasanii siku zote wanaishi kisanii sana
@AraAra-fs7tgСағат бұрын
umenena vema mwalimu
@GlorioseGoro13 минут бұрын
Sasa yesu ni mungu..?
@juliusdonard9335 сағат бұрын
Mwl
@SabihaibrahimRajabu2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nilisema juzi nikatukanwa watu hawaangalii mbali
Hata neno linasema itakuwaje ? Kumupenda Mungu usiye muona? wakati wachukiya ndugu yako unaye muona?? Guys mbinguni hatuingiyi kwamana maovu tunayo nimengi sana
@RubensaroSaro-ip6by3 сағат бұрын
Kwanza unaupendeleo maana naona unamponda Bite na kumtetea Martha, kaa kimya na ww utakuwa hujui kitu
@Darlene94632 сағат бұрын
Sio beatrice ni Martha aliye achiya nyimbo
@emanuelmkama13252 сағат бұрын
Kwaio ushuhuda ni nn? Wew nae ujaelew alcho ongea beatrce yeye ajaomba asaidiwe but mama ake bana
@fidelfidel-jz4iw5 сағат бұрын
Ktk familia kuna mambo mengi sanaa unaweza kuona kuna mijitu ktk familia hajishughulishi kutengemea cha dungu hii tabia utakuta Africa Tu nchi zingine hata hawafikilii cha ndugu wapunbafu Tu wamebunda kufikilia kesho nitachulua akili gani hii
@RandB_ChannelСағат бұрын
Mnashangaza sana kwaku tafsiri utofahuti namaneno ya Mtu kwani Beatrice alisema anataka Mali za dada yake? Guys ninini mbaya Kwanini neno linasema muheshimu baba yako na mama yako kwanini neno linasema hivo? Kwani kumusaidiya mama yako alio kubeba myezi 9 tumboni kuna ubaya gani?? Guys stop ku tafsiri utofahuti inaumaga sana ukimuona ndugu yako anauwezo ashindwa kusaidiya mzazi tena mtu alio tesa na nyinyi kisha eti unamusahawu haimeki sense
@AsnathMishamo-ys5ii3 сағат бұрын
Wewe una wokovu wa kweli.? Ni familia gani ya kikristo tena ya watu ambao wengi tuliwachukulia kama watumishi wa MUNGU,? au na wewe tukueleweje? C alikuwa kanisani tena madhabahu ni kaona hana pakusemea zaidi ya madhabahuni.
@daudipartson54635 сағат бұрын
Huyo Marther amejiingiza kwenye nguvu za giza. masharti aliyopewa ni kutosaidia ndugu yeyote wa karibu. akifanya hivyo watamfilisi kwa kila kitu. ila hana mwisho mwema! Machozi ya mamake mzazi hayatamwacha salama. Atakufa hakika, bila kujali ni kifo cha aina gani.
@Eangle6663 сағат бұрын
Mimi naomba namba ya marth mwaipaj
@MichaelMathew-j3f4 сағат бұрын
Afu hawa watu vizuri vizuri hivi wanawake hivi hahahahahahahaha saa ingine wana mambo ya kushangaza sana!!! Lkn acha tu nipite
@SamwelAgast-e4s5 сағат бұрын
Number kusagana ni kitu
@NiwaeliMsanga5 сағат бұрын
Na hata matha hamtaji yesu ktk nyimbo zake
@rachelmsekena6036 сағат бұрын
Beatrice aache kutegemea cha ndugu atafute vyakwake,Martha ana haki ya kutumia pesa vile anavyotaka yeye kwasababu amezitafuta mwenyewe wasimpangie cha kufanya,kila mtu apambane kivyake
@lulanjamd38865 сағат бұрын
Wewe acha ujinga betrice hajaomba msaada ila kasema ukweli
@rachelmsekena6035 сағат бұрын
@lulanjamd3886 sasa huo ukweli aliousema umemsaidia nini kama sio kuzidisha uadui na ndugu yake
Ajaomba msaada niuchugu tuu jamani mbona available viatu vyake inauma sana kwa wenye wanapenda wazazi wao ndio tunamsapot B wasio wapenda wazazi wao ndio wanamlaum
@rachelmsekena6034 сағат бұрын
@@aishaz1 umeshaambiwa yule ni mama yake yeye na sio wa Martha wamechangia baba tu yeye ampambanie mama yake asitegemee mtu mwingine na kujiliza kwenye mitandao
@AlexBoniphaceKamomole4 сағат бұрын
Huyo Matha.ni mtumishi wa shetani tu.Anajifanya kuimba nyimbo za injili hamna kitu.
@Cecyscola55 минут бұрын
Chenye najua watanzania ni wajinga sana,kuhukumu bila kufikiria
@ClassicUsed-jg6ri3 сағат бұрын
Wakenya ni wapumbavu hawajueleweiiii
@SelinaDorcas3 сағат бұрын
Mkenya amefanya nn
@samweltriton-wt4ub2 сағат бұрын
Hahaha kuna watu wanamatatizo jmn
@ManHussein.4 сағат бұрын
Wewe nawe ni walewale tu tushakujua kwa matendo yako kitambo tu, Beatrice hana kosa lolote