Hongera sana kwa wimbo huu wenye kuturudishia tumaini na kulitukuza jina la Mungu. Tunamshukuru Mungu kwa uponyaji dhidi ya COVID 19. Stay blessed in Jesus name.
@joycemunisi12304 жыл бұрын
Safi sana Mungu awabariki
@dianessswai2854 жыл бұрын
Mungu awabariki sana hakikaa nimebarkiwa kabisaa Nimemisss sana kwayaa yanguu jamni
@beatricembise23384 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki nyimbo nzuri Sana nimefurai kuwaona nimefurahi Sana mbarikiwe na Bwana
@rebeccamoshi40474 жыл бұрын
Mnatubariki sana
@rosemakundi18494 жыл бұрын
Glory to God the Almighty. Hakika Hatuna haja ya kuwa na Hofu Mungu wetu yupo. Yaani mnaimba vizuri sanaaa sichoki kuusikiza . Mungu awabariki sana .
@derickkwigizile64274 жыл бұрын
Hongereni, Glory to God.
@kkktubungo4 жыл бұрын
Amen
@heriaminikiwoli78804 жыл бұрын
Hongereni sana vijana wa Ubungo KKKT. Mungu awape breakthrough 👏👏💯💥
@kkktubungo4 жыл бұрын
Amen
@marymadama65374 жыл бұрын
Safi sana. Kazi njema ya Mungu wetu.
@kkktubungo4 жыл бұрын
Amen
@dianamwakibinga43444 жыл бұрын
Nyimbo zenu zinanibariki Sana ebu tupieni zote wapendwa Na nimefurahi kukuona Baba mchungaji hapo na mdogo wangu Keny na kaka angu Pray na wengineo majina yamenitoka kidogo Mungu awabariki sana
@consolatablasi62123 жыл бұрын
Niliwamiss hawa vijana..
@waltermigambile51444 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@marymlay28244 жыл бұрын
Hureeeeeeee...... bravo to you.Namwona Pastor Nkya.Video na wimbo ni mzuri kiukweli
@kkktubungo4 жыл бұрын
Amen
@cleverkifaluka43374 жыл бұрын
Mungu yupo hakuna haja yakuhofu Corona kabisaaaaaaaaa. MBARIKIWE kanisa la Mungu hii kazi itafika anga za kimataifa. Jina la Bwana libarikiwe
@kkktubungo4 жыл бұрын
Amen,Barikiwa mtu wa Mungu
@iddaadams73514 жыл бұрын
.....Hakuna haja ya kuwa hofu; Mungu yupo.........🙏
@tynashao92004 жыл бұрын
Ameeen mbarikiwe mno naitaka DVD naipataje
@MwanaWaAsafu4 жыл бұрын
Kazi yenu ni njema mnoo Mbarikiwa watumishi wa MUNGU
@eliandanshau14774 жыл бұрын
Mbarikiwe saaana na BWANA kwa kazi hii njemaa
@kkktubungo4 жыл бұрын
Amen
@sarahremen64144 жыл бұрын
Aminaa hakuna aja kuwa na hofu
@valeriahema39584 жыл бұрын
Glory to God Hakuna haha ya kuwa na hofu Mungu yupo
@kkktubungo4 жыл бұрын
Amen
@goodluckmsuya1154 жыл бұрын
Safi sana hii ndio ubungo yetu hongereni vijana mmetuwakilisha ubungo vijana na kuitangazia dunia Ubungo imeiva haswa
@kkktubungo4 жыл бұрын
Sifa kwa Yesu.
@magretherasto38594 жыл бұрын
Mbarikiwe kazi nzuri🔥🔥
@kkktubungo4 жыл бұрын
Amen
@mariammgeni88304 жыл бұрын
My God..🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙄Nice voice
@webingogo36334 жыл бұрын
Truly god is able.
@mwigune4 жыл бұрын
My choir ❤️😍😍😍
@brenderrogath29744 жыл бұрын
Glory to God 🙏🏾🙏🏾😇
@praygodm.mchaki7404 жыл бұрын
Glory to our almighty GOD
@ericksonkitoz42294 жыл бұрын
wazee wangu nimewaona bna.. kazi nzuri
@kkktubungo4 жыл бұрын
Amen
@praygodm.mchaki7404 жыл бұрын
@@ericksonkitoz4229 amen ,shukrani sana ndugu yangu