Рет қаралды 381
Gumzo la Ghassani
Ewe Uliye karibu, kuliko yangu pumziWewe Unayenijibu, hata kama siuliziHaya yanayonisibu, najuwa Kwako si kaziUkiamuwa Mwenyezi, yatakwisha masaibu