Kujikolonisha na Hatari za Wakati Tuliomo

  Рет қаралды 302

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Ай бұрын

Katika mada hii aliyoiwasilisha kwenye Kongamano la 36 la Kiswahili la Bayreuth (Mei 17-19, 2024), Profesa Aldin Mutembei wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam anajadili dhana ya kujikolonisha kama mbinu ya kisasa inayodhamiria kuyarudisha mawazo ya "afadhali wakati wa mkoloni", ambayo ni hatari kwa uhuru wa fikra na uhuru wa Waafrika.

Пікірлер: 4
@tumainisangaonline6536
@tumainisangaonline6536 Ай бұрын
Hakika Prof. Mtembei Hakika tumeendelea kujikolonisha katika nyanja nyingi ingawa lugha hubeba utajiri wote wa jamii. Nimekuwa nikitafakari juu ya ukoloni hata katika kutatua changamoto za Kiafrika kwa kuamini kuwa mataifa ya Kimagharibi yatatusaidia. Jambo ambalo si sahihi kwa mtazamo wangu. Hakika mawazo haya yakibebwa na Nadharia ya Uzuu yanajadiliwa kwa ufasaha kabisa. Afrika tuamke na kuanza kutumia lugha zetu kuwasilisha maarifa mbalimbali hasa lugha yetu tamu nanpendwa ya Kiswahili❤❤❤
@femksenkoro3739
@femksenkoro3739 19 күн бұрын
Huu muhadhara ulitakiwa utolewe katika vyuo vikuu vya Afrika ya Mashariki.
@mahamoudhaji9696
@mahamoudhaji9696 Ай бұрын
Kujikolonisha kwingine ni hiki kinachoitwa scholarship ambazo kwa mtazamo wangu zinalenga kuwachukuwa vijana wetu wenye uwezo mkubwa ambao wanatarajiwa kuwa ndio wasimamizi wa mambo yetu baadae wanachukuliwa vijana hao kwenda kulishwa na kuaminishwa ya huko wanakoenda kiufupi ni wanaenda kutengenezwa kwa mujibu wa mahitaji ya mtengenezaji
@Francisqolito
@Francisqolito Ай бұрын
Msomi ni bora kimaarifa kuliko mtu ambaye hajasoma ..lakini wote wako sawa mbele ya hukumu ya Mungu kitabia!
Ukomboaji wa Fikra: Ngugi baina ya Lugha na Tafsiri
32:47
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 505
Iran After the Elections: Debunking the Propaganda with Mohammad Marandi
1:27:04
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 4,1 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 31 МЛН
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,8 МЛН
Ukombozi wa Maarifa Asilia ya Kiafrika katika Zama za Utandawazi
55:32
Kiswahili Havana, Kuba 2024
16:07
Durusu Kiswahili
Рет қаралды 330
The House of Wonders continues to show wonders, but as a documentary
48:19
KWETU HAKUNA WAFUNGWA, NI WANAFUNZI - SHEIKH ABEID KARUME
8:23
Lugha ya Kiafrika kwa Ukombozi wa Muafrika
22:48
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 190
Prof. Mutembei na Kujikolonisha na Uchawa wa Wasomi | GUMZO NA WALIMU
29:42
Ida Hadjiyavanis adhamiria kuzirejesha kazi za Gurnah  nyumbani
15:32
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 932
Haya Ndiyo Majibu ya Makonda kwa Wanaouliza Anatafuta Nini
15:03
Global TV Online
Рет қаралды 67 М.
Je, Wairaqw wa Tanzania wana asili ya Kiarabu? | GUMZO NA WALIMU WETU
13:49
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 2,6 М.
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 17 МЛН