Shairi: Nakupendaje? Diwani: Siwachi Kusema Muziki: Ally Fadhil Juma
Пікірлер: 30
@elizabethmwamaso2183 жыл бұрын
Mashaallah maneno matamu!!
@abdallahomar71783 жыл бұрын
Maa shaa Allah jazaakallah kullal kheyr...l
@fatmatwalib84083 жыл бұрын
Mhhh.Ma Sha Allah 👌
@najeebjumabhalo61523 жыл бұрын
Ya salaam!!
@riphatmuhene96154 жыл бұрын
Hahahaha ila usisahau MG pendo kitu cha khiari
@fatmahamdoun744 жыл бұрын
Riphat Muhene ujuwe hata shetani akitaja jina kashapata chano na kiti maneno Maalum kwenda kwa mtu mahsusi ingekua wanaume wote hivi Dunia ingepungukiwa na dhulma ya mapenzi lol
@fatmahamdoun744 жыл бұрын
Nimeirudia mara tatu nimesahau kama napika lol khatariii! Na tatizo clip zinakua Kama za wasafi Kuna app hazikubali kabisa ku download as clip jamani
@riphatmuhene96154 жыл бұрын
Tumia Tubemate
@fatmahamdoun744 жыл бұрын
Maa shaa Allah Maneno matamu unatamani usikilize hongera zake kwa mlengwa anataka nini?? Tena Allah awazidishie @MG
@riphatmuhene96154 жыл бұрын
Lkn mapenzi hayana sababu!! Je sababu ikiisha itakuaje
@fatmahamdoun744 жыл бұрын
Wanasema mapenzi hayatabiriki wala hayana formula lol waulize wapendao na wapendwao labda! @Muhene