LAKINI HATA SASA (NIRUDIENI MIMI) CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS - ALOYCE GOLDEN 0754459766 Kwaresma

  Рет қаралды 1,472,324

Aloyce Goden Kipangula

Aloyce Goden Kipangula

Күн бұрын

Maneno ya wimbo
Kiitikio:
Lakini hata sasa asema Bwana nirudieni, mimi kwa mioyo yenu yote x 2
Mashairi:
1. Fanyeni mabadiliko mioyoni mwenu, kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza - nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote.
2. Pigeni Tarumbeta huko Sayuni, waambieni watu wote ili wafunge - nirudieni mimi...
3. Kusanyeni watu wote waleteni kwangu, waleteni na watoto hata wazee - nirudieni mimi ...
4. Mpingeni yule mwovu atawakimbia, nikaribieni nami nitawakaribia - nirudieni mimi ...
5. Takaseni mikono yenu iliyojaa dhambi, safisheni mioyo yenu yenye nia mbili - nirudieni mimi ...
#changombecatholicsingers #aloycegolden #mtakatifumikaelimalaikamkuu

Пікірлер: 370
@SophiaCharles-z8m
@SophiaCharles-z8m 6 ай бұрын
Wanaosikiliza wimbo huu mwaka huu 2024 bwana aturehemu maana huruma zake ni nyingi mno gonga lake hapa💪💪💪
@kevomiriam
@kevomiriam 4 жыл бұрын
Mungu Wangu nakusadiki wewe na natamani sana kukurudia. Nisaidie mungu Wangu kwa nguvu yako tu peke yangu Siwezi. Amina
@gabrielmroso7577
@gabrielmroso7577 2 жыл бұрын
Amina
@mbasamarco9913
@mbasamarco9913 7 ай бұрын
Kwaresma njema kwa wakristo wote 14/02/2024
@emmahmuthoni9029
@emmahmuthoni9029 2 жыл бұрын
Nirudieni mimi asema Bwana, kwa mioyo yenu yote🙏. May God have mercy on us and grant us the grace to always go to Him always.
@experykinabo641
@experykinabo641 3 жыл бұрын
Mungu uwabarili Sana watunzi was nyimbo hizi zinatubariki Sana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 3 жыл бұрын
Amina
@noelanamkubalisanamchomvu3755
@noelanamkubalisanamchomvu3755 4 жыл бұрын
Eee bwan yesu naomba mwaka huu 2020 unisamehe na unipe moyo wa kukurudia nimepotea san kweny mazambi
@AshulaMombo
@AshulaMombo 7 ай бұрын
Kweli hiii nyimbo nyimbo inagusa japokuwa sio mkatoliki
@joscomaligite4224
@joscomaligite4224 4 жыл бұрын
Huu ni mda mwafaka kabisaa hongera sana waimbaji wanaousikiza wimbo huu kwaresma hii 2020 tujuane hapa
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 жыл бұрын
Amina
@martinmhando8351
@martinmhando8351 4 жыл бұрын
@@AloyceKipangula kaka hapa ulitulia
@samwelgeorge1465
@samwelgeorge1465 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@nurdinseleman4809
@nurdinseleman4809 4 жыл бұрын
@@martinmhando8351 🎀
@happinesspatrick3902
@happinesspatrick3902 4 жыл бұрын
Mimi siyo Mkatoliki lkn huu wimbo huwa unanikosha sana.Ahsante Mungu na mtunzi wa wimbo🙏
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 жыл бұрын
Asante kwa Kuungana nasi katika kusikiliza sauti ya Mungu Kupitia wanadamu. Endelea kutufuatia Kupitia KZbin channel Yetu. Ya Chang'ombe Catholic singers
@sayunimosses1892
@sayunimosses1892 4 жыл бұрын
Tuko wengi
@ablessed6712
@ablessed6712 4 жыл бұрын
@@AloyceKipangula God bless you as you continue to Evangelize to His children.. I love your songs, they inspire me so much... From Karen, Nairobi - Kenya... Ubarikiwe Ndugu....
@josephsilla2271
@josephsilla2271 4 жыл бұрын
Some Mathayo 15: 21_28
@josephsilla2271
@josephsilla2271 4 жыл бұрын
@@sayunimosses1892 Soma Mathayo 15: 21_28
@rozimsuya8937
@rozimsuya8937 4 жыл бұрын
Ewe mwenyezi mungu nakuomba unijaze roho ya kutambua uwepo wako katika maisha yangu
@msonobarizakaria100
@msonobarizakaria100 4 жыл бұрын
Mwaka 2020nakuomba mungu ufanye aadiliko moyomi mwangu nikurudie ww
@theetinashow
@theetinashow 2 жыл бұрын
Listening this now😭😭😭Mungu nijalie niweze kuwa na amani, niweze kutosheka na ulichonibariki nacho
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🙏
@Sarviuschaless
@Sarviuschaless 6 ай бұрын
Daaaah huu wimbo naupenda sana aseee
@SydneyFarajah
@SydneyFarajah 6 ай бұрын
Tujue kwamba kipindi hiki cha Kwaresma, tunakumbuka kifo na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyesulubiwa kwa dhambi zetu. Tufe na tufufuke moyoni mwetu Pasaka hii kukumbuka mateso yake na kifo Chake msalabani. Amina 🙏🕊️
@agnescharles4921
@agnescharles4921 4 жыл бұрын
My name is Nelson Ochoo Lino. I am a South Sudanese. I love e Roman Catholic & apostolic Church with e whole of mai heart.
@josephmoyo3486
@josephmoyo3486 4 жыл бұрын
Agnes Charles God bless you, well come Songea --Southern district Tanzania
@godwin4004
@godwin4004 4 жыл бұрын
Proud of you Agnes,
@catherinejames9510
@catherinejames9510 4 жыл бұрын
Agnes Charles blessed
@judithkabutha3163
@judithkabutha3163 4 жыл бұрын
In my heart
@nicholaskobelo1149
@nicholaskobelo1149 4 жыл бұрын
I real like this song very much.
@lameckmlyangaa6589
@lameckmlyangaa6589 Жыл бұрын
Ni kweli tunapaswa kumrudia mungu bila kujibakiza ,pamoja Sana aloyçe kipangula
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@AnnnjeriMburu
@AnnnjeriMburu 5 ай бұрын
eiyyy....this is on another level 🎉.... biggup manzee 🤟
@LavunessNzunda
@LavunessNzunda 6 ай бұрын
Nisaidie eee mungu pekeangu siwezi nipe nguvu uvumilivu maana we ndo tumaini langu.kira anae niwinda windo limludie yy
@nayoomisweya6890
@nayoomisweya6890 3 жыл бұрын
nyimbo nzuri for Kwaresma, Mungu tujalie tukurudie
@lucyshirima9332
@lucyshirima9332 2 жыл бұрын
Kabisa haswa mwez huu wa kwaresma
@adeltuschairman6155
@adeltuschairman6155 2 жыл бұрын
Kuna wimbo nautafuta ila nimesahau jina ila nilisikia wanaimba ivi SASA NIWAKATI WAKUPEANA AMANI YA BWANA, Kama unaujua naomba jina lake maana nimetafuta saana siupati
@damianocostantine9042
@damianocostantine9042 4 жыл бұрын
Mungu wangu me pia ni mdhambi sana sisitahili hata kuitwa mwana wako kwa maana nimevuluga ukirsto wangu wote naomba unisamehe nitie nguvu nisimame tena kwa mara nyingne nikufuate wewe hadi siku ya kufa kwangu AMINA
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 жыл бұрын
Amina
@dianaminja3175
@dianaminja3175 Жыл бұрын
Mungu ni mwenye neema na rehema
@damianocostantine9042
@damianocostantine9042 Жыл бұрын
@@dianaminja3175 🤝🤝🤝
@josephsembibirugiramarorac1976
@josephsembibirugiramarorac1976 Жыл бұрын
Ikatolik
@catherinedeus8378
@catherinedeus8378 Жыл бұрын
Mtafute Baba Padre akupe kitubio hasa kipindi hiki🙏🙏
@magrethrichard5653
@magrethrichard5653 5 жыл бұрын
namkubali sana uyu kwayamaster wetu jaman!Yan Unamfurahisha sana Mama ang ukiwa mbele pale kanisan~ad akitaka kwenda kanisan utamsikiaa kwan Aloyce anakuwa misa ya ngap?yaan~Mungu akubariki sna katika utume wako
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 жыл бұрын
Sifa na utukufu Ni kwake yeye aliyetuumba na kuruhusu huduma hii kuwepo
@anithawilson914
@anithawilson914 5 жыл бұрын
magreth richard yuko vixur xana mpendawa
@alfanninja2176
@alfanninja2176 4 жыл бұрын
dogo yo
@lilianemmanuel2789
@lilianemmanuel2789 3 жыл бұрын
Mungu nirudieni 2021
@quisteves5956
@quisteves5956 Жыл бұрын
Heard this song first at mtwapa Catholic church in mombasa jumatano ya njivu
@esterpantaleo246
@esterpantaleo246 3 жыл бұрын
Kupitia kwaresma hii baba, narudi kwako naomba unipokee kama nilivo japo mm sisitahili ila huruma yako tu yatosha kwangu.
@AdveraGration-bm4fx
@AdveraGration-bm4fx 7 ай бұрын
Ee mungu nisaidie mi mwenyewe siwezi
@onifardnkwama1820
@onifardnkwama1820 4 жыл бұрын
hakika nitamrudia Bwana wangu kwa moyo wote, asante kwa wimbo mzuri,nipo isanga Lutheran mbeya.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 жыл бұрын
Amina
@japhetraiton9310
@japhetraiton9310 4 жыл бұрын
Amina
@rachealbenedctor8134
@rachealbenedctor8134 4 жыл бұрын
Tutakase baba kwa damu yako ya thamani tuokoe Mungu na janga hili linaloilimbuka dunia tuponye na ugonjwa wa corona Ee MUNGU
@williammusyoka7317
@williammusyoka7317 4 жыл бұрын
Yeah kweli anatutaka tumrudie maana ametusamehe Dhabi zetu hivyo tumwedee akae nasi, Amen
@mariamdonad7947
@mariamdonad7947 3 жыл бұрын
Tumrudie kwa kufunga na kusamehe waliotukosea na tuombeane.
@barnabasmalashi4873
@barnabasmalashi4873 5 жыл бұрын
Nawaombea muendelee kutangaza neno la mungu kwa kuimba
@denisbernad9411
@denisbernad9411 4 жыл бұрын
Jinarabwana rihmiliwe
@teclahkomba5421
@teclahkomba5421 3 жыл бұрын
Rip Magufuli 💔🇹🇿
@christophermwanilwa7074
@christophermwanilwa7074 3 жыл бұрын
R.I.P Rais wangu Magufuli
@RenatusMatungwa
@RenatusMatungwa 3 ай бұрын
R.I.P
@patrickkambale777
@patrickkambale777 5 жыл бұрын
Hakika mnatukumbusha kumrudia Mungu,mbarikiwe
@tonnhmhadisamhadisa5289
@tonnhmhadisamhadisa5289 4 жыл бұрын
Naitwa tonnh mhadisa au baba mikaeli kwa kweli hongeleni kwa sauti zenu kwa sauti ya dhahabu sio kawaida mungu awatie nguvu
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 жыл бұрын
Amina
@justusochieng7715
@justusochieng7715 4 ай бұрын
Kweli Yesu Kristu ni mwenye huruma and subra kwa watenda dhambi...wimbo huu ni dhihirisho kamili ya utu wake
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 ай бұрын
Asante Justus
@lilianiwandelage7081
@lilianiwandelage7081 3 жыл бұрын
Wimbo mtamu ujumbe mzuri barikiwa sana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 3 жыл бұрын
Amina
@krispinapastori7584
@krispinapastori7584 4 жыл бұрын
Always when I hear this song it reminds me that this earth is not my home my home is Heaven..... in order to reach to Heaven repentness must be done.... 🙏
@kemilembecharles5653
@kemilembecharles5653 7 ай бұрын
Hakika wimbo ni mzuri saana na ujumbe mzito unaotukumbusha tumrudie Mungu wetu kwa mioyo yetu yote, tafasri ni kwamba yeye muda wowote anatupkea tumrudie tu na sisi makao yetu siyo hapa ni kwake mbinguni huko ndiyo makao yetu ya kudumu yako, tumrudie jamani yeye ni mwema ila kwa nguvu zetu peke yetu hatuwezi tunahitaji msaada wake atusadie ili tuweze kumrudia. Nawatakia kwaresima njema wakristo wote na Mungu kila mmoja wetu atusadie tuweze kutimiza nia zetu tunazotamani kutimiza katika kipindi hiki cha kwaresima 2024
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 7 ай бұрын
Amina
@mathewmathesela1989
@mathewmathesela1989 6 ай бұрын
Amina
@moseshekima314
@moseshekima314 3 жыл бұрын
Yoel 2:12 Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea;
@gudilaerinest5829
@gudilaerinest5829 4 жыл бұрын
kwaresima hiyo inakuja tutubu na kuamini injili
@jacksonmunissi1008
@jacksonmunissi1008 4 жыл бұрын
Ee kristu mwenye mema tusikilize Sara zetu
@angelopaul100
@angelopaul100 4 жыл бұрын
2020 Lent listening from Kenya Machakos
@igobekomagessa5463
@igobekomagessa5463 2 жыл бұрын
Amen.... Bwana wangu Yesu kristo naomba unisaidie.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🤝
@gordianbagobweki2129
@gordianbagobweki2129 4 жыл бұрын
The song is very touching, full of humility and penitence!
@johnmsemes1507
@johnmsemes1507 4 жыл бұрын
Mungu yupo nasi, Amina.
@awesomeworldchanel
@awesomeworldchanel 7 ай бұрын
It's 2024, Lent season again...blessed with the best song🙏
@damariskariuki5383
@damariskariuki5383 Жыл бұрын
Mungu nisamehe sifai mbele yako
@janenganga3580
@janenganga3580 4 жыл бұрын
Nimemrudia bwana kwa moyo wangu...Asante kwa wimbo mzuri..
@dianarwehumbiza3005
@dianarwehumbiza3005 4 жыл бұрын
Lent time! Tunakurudia wewe bwana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 жыл бұрын
Amina
@isaackgabrieltv5514
@isaackgabrieltv5514 4 жыл бұрын
Mtunzi wa nyimbo huu alitafakar sana alimuomba Mungu amtie maneno ya kuhubiri kwenye utunzi huu
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu
@geroldjacob9845
@geroldjacob9845 2 жыл бұрын
Good song were so calmy
@anethbrian9018
@anethbrian9018 2 жыл бұрын
Mungu atusamehe makosa yetu sisi wanadam
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🙏
@levocatuslevelian6174
@levocatuslevelian6174 2 жыл бұрын
Asante sasa nimeutafta sana huu wimbo
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🙏
@markmurithi4003
@markmurithi4003 3 жыл бұрын
Wishing my fellow catholics a happy and fruitful Season of Lent.Let us remember to pray,fast and give alms; as we begin the journey to Calvary.Listening from Mombasa Archdiocese...
@rasugujohn2279
@rasugujohn2279 4 жыл бұрын
Such a wonderful song. During this Lenten season, I wanna come back to you Lord. Nakurudia kwa moyo wangu wote. Help me God!!
@cosmasmpwage2576
@cosmasmpwage2576 3 жыл бұрын
Ninapoisikia hii nyimbo namkumbuka hayati Magufuli 😭
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 3 жыл бұрын
Usichoke Kumwombea Ili apokelewe Mbinguni
@susannyaguthii4713
@susannyaguthii4713 4 жыл бұрын
Tutamrundia kwa kweli. Good song watching in Lebanon
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 жыл бұрын
Asante kwa kutufuatilia Kutoka Lebanon
@pamelasimiyu4037
@pamelasimiyu4037 3 жыл бұрын
I absolutely love this song. It was one of the songs sang today during Ash Wednesday Mass, very appropriate for this time as we begin lent.
@josephrugira8833
@josephrugira8833 Жыл бұрын
Uko. Vizuri ktk utunzi ndg yetu Aloys kipangula
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu
@AgnesHillary-js4hd
@AgnesHillary-js4hd 6 ай бұрын
Niludienii me mioyoni mwenu ....God is good
@sophiakaranja2324
@sophiakaranja2324 4 жыл бұрын
Tumrudie bwana kwa maana ni mwaminifu kwetu kila wakati.
@mulendabisoga7224
@mulendabisoga7224 3 жыл бұрын
Wimbo huu una nipandisha ki roho, ingawa mimi si mukatoliki.mubarikiwe wote, ndugu aloyse
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 3 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu
@philoteusbenjamin146
@philoteusbenjamin146 3 жыл бұрын
nawatakia wakristu wote mfungo mwema wa kwaresma
@lulumahatane6486
@lulumahatane6486 3 жыл бұрын
Mungu wangu nijalie moyo wa kujirudi
@belindananjala8844
@belindananjala8844 4 жыл бұрын
Wow, it's lent,time to L-live E-every N-negative T-thoughts and go back to the Lord who is always having a positive thoughts to each and every one of us,time to repent and reconciliation ,I wish you a blessed lent
@catherinalfah7842
@catherinalfah7842 4 жыл бұрын
Mungu nimekosa mbele zako sistaili kuwa mwanao mm mkosaj
@lilianduke1304
@lilianduke1304 Жыл бұрын
live or leave?
@justakaranja9102
@justakaranja9102 2 жыл бұрын
My favourite song. It is my phone ringtone and am finding it difficult to change.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🙏
@charlesmgendi3152
@charlesmgendi3152 4 жыл бұрын
Atukuzwe bwana wetu yesu Kristo.
@ryanjr6401
@ryanjr6401 3 жыл бұрын
Lord have on us. Lord have mercy on us. Lord have us. Iam truly blessed when i listen to this song..May anyone listening to this song be blessed too
@carolinemdundo1005
@carolinemdundo1005 3 жыл бұрын
Huu wimbo naupenda sana. Unanifanya nitathmini mwenendo wangu
@patrickboniphace1493
@patrickboniphace1493 4 жыл бұрын
Mungu mwenyezi, hawabarikieni nyoote wenye mapenzi mema,mmaependa nakumwami kwa mioyo safi na minyoofu, Amina
@Lucy-yv7zh
@Lucy-yv7zh Жыл бұрын
It's that time again. The lenten season is here with us as usual.Time to reflect more, repent, pray and give alms to the less fortunate. Have a blessed Lent period
@ammytv8338
@ammytv8338 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@ammytv8338
@ammytv8338 Жыл бұрын
Lucy❤️❤️
@josephmoyo3486
@josephmoyo3486 4 жыл бұрын
Tunawapateni vzr sana, tukiwa Songea.
@margaretmbatha9864
@margaretmbatha9864 2 ай бұрын
His unconditional 💕love regardless of our inquities 😭
@ridemptorrwebangira7370
@ridemptorrwebangira7370 4 жыл бұрын
God please help me be fully committed to you during this lent period and after. 🙏🙏🙏
@wamburaalexander4308
@wamburaalexander4308 4 жыл бұрын
I LOVE CATHOLIC CHURCH AND THIS WILL WILL BURRY ME
@maureenmwangi8311
@maureenmwangi8311 Жыл бұрын
Its that time of the year again...24/02/2023❤️
@markmurithi3960
@markmurithi3960 2 жыл бұрын
To all my fellow Catholics,we are approaching the holy week!!!Wishing you all a blessed week and a glorious Easter season as we prepare to commemorate the passion of our Lord and later on celebrate with great joy the Great Solemnity of The Resurrection of Our Lord and Savior Jesus Christ!!!!
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🙏
@jaramg4303
@jaramg4303 Жыл бұрын
I do love this song
@justinepissa8773
@justinepissa8773 Жыл бұрын
Ppoo oopswww wee
@gabrielkamau1468
@gabrielkamau1468 8 ай бұрын
Heart touching words towards seeking seeking our eternal future, very kind request,,,l feel very much humbled as l listen to the words of this song, God have mercy
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 8 ай бұрын
🙏
@raelkorir9750
@raelkorir9750 4 жыл бұрын
When hearing this song reminds me far,may the lord glorify u
@modestmyomba8589
@modestmyomba8589 4 жыл бұрын
nzuri sana mungu awe nanyi nyote
@carolinemwende1073
@carolinemwende1073 3 жыл бұрын
17/2/2021💕
@happynessdaudi988
@happynessdaudi988 3 жыл бұрын
8/3/2021❤️
@velonicacharles-6124
@velonicacharles-6124 7 ай бұрын
Mungu awabariki watunzi wote na waimbaji
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 7 ай бұрын
Amina
@rosaaoko3397
@rosaaoko3397 3 жыл бұрын
Wimbo wa toba ..wimbo mzuri!
@selinamashoko2490
@selinamashoko2490 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana huu...mbarikiweni nyote.
@martinsntonyo8537
@martinsntonyo8537 5 ай бұрын
Wimbo huu umenifariji sana kipindi hiki cha kwaresma na kuniweka karibu nae
@charlesbenjamin8488
@charlesbenjamin8488 2 жыл бұрын
This Song makes me remember my time in St. Josephs Boys Kitale. The mass was lively because of the great choir there.
@simkare288
@simkare288 Жыл бұрын
My school too when we're you there?
@charlesbenjamin8488
@charlesbenjamin8488 Жыл бұрын
@@simkare288 finished last year in April due to covid. Class of 2020. What of you?
@christinasway9443
@christinasway9443 4 жыл бұрын
Corona imenileta hapa😥tumrudie bwana
@susangatunge8162
@susangatunge8162 2 жыл бұрын
Nawatakia Kwaresma njema
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
Nawe pia twakutakia kwaresma Njema
@emmanuelmosha4658
@emmanuelmosha4658 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@prosperprotace9384
@prosperprotace9384 4 жыл бұрын
2020 Ee Bwana naomba unifungulie milango ya rizik popote niendapo naomba unitangulie ukanisafishie njia niepushe mbali na shetani Amina
@japhetprincemunga7828
@japhetprincemunga7828 8 ай бұрын
One of my favourite song to date it's a very uplifting song
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 8 ай бұрын
🙏
@harriemimi1874
@harriemimi1874 2 жыл бұрын
Ee mwenyezi mungu tuongoze kwa njia zako zote wakati huu wa kwaresma 🙏🙏
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🙏
@esthermanyama327
@esthermanyama327 3 жыл бұрын
Tulixhiken neno la Mungu siku zote
@theodosiashawa9266
@theodosiashawa9266 4 жыл бұрын
Ee mwenyezi MUNGU mwingi wa rehema mwaka huu 2020 naomba uwe mwaka wa baraka kwangu kupitia wimbo huu nikurudie wewe bwana kwa moyo wangu wote.
@waititunjoki1762
@waititunjoki1762 Жыл бұрын
Help me Christ to dedicate all unto thee
@immanicoikonko5287
@immanicoikonko5287 3 жыл бұрын
I want more of this Song.... it's talking to my soul 🙏🙏🙏
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 2 жыл бұрын
Nakumbuka kifo cha maguful😭😭😭🙏🙏🙏
@catherinedeus8378
@catherinedeus8378 Жыл бұрын
Yaan 😭😭😭
@saidikaondo7999
@saidikaondo7999 4 жыл бұрын
Very fantastic and penitence song likely to appear, special congratulations to all singers.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 жыл бұрын
Thanks
@julesshukuru7945
@julesshukuru7945 3 жыл бұрын
Nisamehee èee bwana kwa muda huu wa kwaresma,ufufuke nami ndani ya moyo wangu,unisafishe na ku niumba tena mtu mupya kwa mwaka huu wa 2021.
@richardsweduka4537
@richardsweduka4537 3 жыл бұрын
Ee mwenyezi mungu mpumzishe raisi wetu pumzko la amani
@readwithme64
@readwithme64 Жыл бұрын
- Nikaribieni Mimi Nami Nitawakaribia - ❤ Very beautiful composition. I always hear it during the period of lent and during funerals. Such a powerful song too because I always cry when I hear it. The verses move me. I think it is derived from the Psalmist, though I don't know which Chapter. I think King David wrote this after sinning with Bathsheeba and falling from the grace of God and he was mourning and in a period of fasting , seeking God's forgiveness and was inspired to write this Psalm. I could be wrong but I think those are the origins. Anyway, I woke up this morning and the song called to me. Definitely a time to reflect on the words especially in our busy day to day life where we tend to separate God from our daily decision making without realizing every second that it is His breath we breathe. And especially too as we approach the Christmas season so Christ may be reborn in our hearts and our salvation renewed.❤ Big up to the choir for really doing justice to the song. I'm always moved when I listen to it.
@jacklinejacob2216
@jacklinejacob2216 6 ай бұрын
Yesu hakutaka mtu yeyote apotee, hii ndio nafasi pekee yakupata neema ya kumrudia Yesu hata sasa.
@leylamsakafu3202
@leylamsakafu3202 4 жыл бұрын
Inanibariki sana hii nyimbo hongereni waimbaji mungu awatie nguvu ktk kumtumikia yeye
@kevinmaombi.kateti1.178
@kevinmaombi.kateti1.178 5 жыл бұрын
Mwanza wa krsto uwaangizie
@brigittealex2264
@brigittealex2264 2 жыл бұрын
So Emotional song ❤️😭
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🙏
@simonmahundo1735
@simonmahundo1735 5 жыл бұрын
Hakika twapaswa kumrudia Muumba wetu sasa na si wakati mwingine.
@rehemamamuya9119
@rehemamamuya9119 4 жыл бұрын
Hakika kipind cha kumrudia mungu kimefika tena kwa mioyo yetu yote yatupasa!
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,8 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН
UNIHURUMIE MIMI BWANA - NYIMBO ZA KWARESMA
6:54
Kwaya ya Familia Takatifu St. Joseph Cathedral DSM
Рет қаралды 621 М.
NITAKUTAFUTA MAPEMA_Lyrics || Catholic Music. Wimbo mtamu.
3:07
SUNDAY REFLECTIONS & INSPIRATION VIDEOS
Рет қаралды 9 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
Kwa Ajili Ya Mateso Makali Ya Yesu
23:55
Catholic Hits
Рет қаралды 262 М.
Bernard Mukasa - Mwanzi Uliopondeka (Official Video)
5:48
Bernard Mukasa
Рет қаралды 6 МЛН
BWANA UNIBADILI_ Kwaya ya Mt.Maria Goreth_Chuo kikuu- Ushirika - Moshi
5:18
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 18 МЛН
Nyimbo za Mama Bikira Maria
18:45
John Maja
Рет қаралды 120 М.