NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA.Waimbaji CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS.MRATIBU ALOYCE GODEN KIPANGULA. DSM

  Рет қаралды 1,217,152

Aloyce Goden Kipangula

Aloyce Goden Kipangula

2 жыл бұрын

NYIMBO HIZI.
1 EE MAMA YETU MARIA-P.F MWARABU
2 ASANTE MAMA WA YESU PF MWARABU
3 SALAMU MARIA- F.A. NYUNDO
4 EWE MAMA MARIA- PF MWARABU
5 UMSIHI MWANAO YESU-PF MWARABU
Huzuni kati Muhimu sana za Mama Mama Maria ambazo zimekuwa zikitumika sana katika uinjilishaji. Nyimbo hizi zimejipambanua vilivyo kumwelezea, kumuomba na kujivunia Mama Yetu Maria.
TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUONYESHA UPENDO KWETU KWA TUTULETEA MAMA WA MKOMBOZI WETU NA MWOMBEZI WETU BIKIRA MARIA NA PIA KUTULETEA WATUNZI WA NYIMBO AMBAO KUPITIA TUNGO ZAO TUMEZIDI KUMFAHAMU VEMA MAMA MARIA.
NAMI NISIYESTAHILI MUNGU AMEAMUA KUPIA KWANGU ILI INJILI HII IPATE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI. HIVYO MUNGU AMERUHUSU KURECODIWA NYIMBO HIZI ILI ZISIKIKE KWA WATU WOTE.
NAWASHUKURU WANAKWAYA WAKATOLIKI PAROKIA YA CHANG'OMBE (CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS) KWA UTAYARI WAO KATIKA UINJILISHAJI.
MUNGU ATUBARIKI SOTE.
KWA MAONI NA USHAURI HATA UFADHILI ILI INJILI HII KWA NJIA YA NYIMBO IPATE KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI. KARIBU UWASILIANE NAMI KWA SIMU NO
+255 754 459 766
+255 655 459766.
ALOYCE GODEN KIPANGULA
MRATIBU CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM TZ
#kanisakatoliki #changombecatholicsingers #katoliki #kmkm#nyimbozakatoliki #kanisakatoliki #kwayakatoliki #nyimbozainjili #kwaresma

Пікірлер: 413
@user-tp6qj1mf4u
@user-tp6qj1mf4u 8 ай бұрын
Mama yesu tuombee na watoto wangu tuishi maisha mzuri
@mariewilliams3662
@mariewilliams3662 Ай бұрын
Asante mama Bikira Maria kwa kunipenda na kunihurumia...nitakupenda daima❤
@emmahmuthoni9029
@emmahmuthoni9029 10 ай бұрын
Pray For Us Oh Holy Mother Of God, That We May Be Made Worthy Of The Promises Of Christ ❤🙏
@elizabethgogo6289
@elizabethgogo6289 Жыл бұрын
🙏🤲HAKIKA kupitia kwa nyimbo za mama Bikira Maria ua nafarijika sanaa
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Elizabeth Gogo. Tumwendee Mama Maria Naye atatuombea kwa Yesu Kristo
@user-gs5lu9mr8i
@user-gs5lu9mr8i 10 ай бұрын
Baraka za mwana wako tunazipata kweli Maria yote ni kwa ajili yako muombezi wetu Maria
@leahkahuka6825
@leahkahuka6825 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo za mama bikra Maria
@nellynaviranda6615
@nellynaviranda6615 Жыл бұрын
❤❤❤ pray for us to your Son Jesus Christ to be strengthen during this time we mourn our beloved son James.
@reginahmatiru8186
@reginahmatiru8186 Ай бұрын
May we experience mama Maria on a daily in our home 😊😊😊😊❤❤❤🎉🎉🎉
@MFANOPETRO
@MFANOPETRO Жыл бұрын
Nice solemn . enjoying Mother Mary song from Tanzania Arusha
@veronicaatieno8580
@veronicaatieno8580 6 ай бұрын
Huyu ni mwanamke hodari sana,ile uwezo na nguvu mwenyezi Mungu alimpatia tangu kuzaluwa kwake, binadamu na viumbe vyote vya Mungu wako chini yake
@abrahamkimeliarapchebochok4645
@abrahamkimeliarapchebochok4645 23 күн бұрын
Amen ❤
@EstherNgugi-sn1fq
@EstherNgugi-sn1fq 2 күн бұрын
32 🎉​@@abrahamkimeliarapchebochok4645
@ritaimboko9324
@ritaimboko9324 Жыл бұрын
Blessed Sunday 🙏. Don't forget a rosary a day keeps soul at peace
@nyalwalvictor935
@nyalwalvictor935 2 жыл бұрын
Proud to be a Catholic. Nyimbo nzuri za kumsifu Mama Yetu Maria.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
ASANTE SANA
@KatelezuMalole-vg1cr
@KatelezuMalole-vg1cr 9 ай бұрын
Ww unamsifu Mungu au unamsifu mariamu?
@user-yi9dr9dm1b
@user-yi9dr9dm1b 11 ай бұрын
Proud of being catholic... please dear mother Mary answer our pray through this beautiful melodies we worship you 🙏🙏
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 11 ай бұрын
🤝
@user-hs2wn6gb5e
@user-hs2wn6gb5e 6 ай бұрын
L​@@AloyceKipangula
@floranyefwe3464
@floranyefwe3464 9 ай бұрын
Heri ya mwezi October 2023 mwezi wa Rosari. 🙏🙏 Utuombeee mama yetu Maria
@zukhailagodfrey1373
@zukhailagodfrey1373 9 ай бұрын
Amina
@KatelezuMalole-vg1cr
@KatelezuMalole-vg1cr 9 ай бұрын
Maria hana huwezo wa ww kukuombea mwenye uo uwezo ni yesu tu soma biblia kitabu cha 1Timotheo 2:5 ni yesu tuu ndiye mwenye huo uwezo wa kutuombea kwa Mungu na si mariamu kuwa mama wa yesu siyo sababu anakuombeaje mtu ambaye amekwisha kufa tafakari?
@zukhailagodfrey1373
@zukhailagodfrey1373 9 ай бұрын
kila mmoja aamini kwa anachoamini nadhani maana huzuiliwi. Maria Mtakatifu Utuombee
@KatelezuMalole-vg1cr
@KatelezuMalole-vg1cr 9 ай бұрын
Sio kila mmoja aamini anacho amini kwani ww biblia yako hiyo uliyo nayo unapo isoma kuna andiko lolote umewahi kusoma kwamba mariamu ndye anae tuombea kwa Mungu?
@zukhailagodfrey1373
@zukhailagodfrey1373 9 ай бұрын
uwe unasoma na kuelewa nimesema kila mmoja aamin anachoamini ww kama unaamini biblia wengine tunaamini nyimbo wengine tunaamini rozali kwaiyo simamia imani yako ndug8
@user-lf3bj3nv5q
@user-lf3bj3nv5q 8 ай бұрын
Proud catholic,,,the songs are so touching..let's keep on praying rosary
@sharonharon-pm4ht
@sharonharon-pm4ht 9 ай бұрын
Thank God He let me to the right place catholic church, Mother Mary pray for us sinners.
@julietawataka4905
@julietawataka4905 Жыл бұрын
Pray for my..family Mama Wa Yesu
@paulnalami6
@paulnalami6 2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@kemuntomartha9741
@kemuntomartha9741 Жыл бұрын
Am not a catholic but hizi nyimbo za mama maria najikuta naomba tu ubarikiwe sana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Asante Sana Ndugu kemuto Martha kwa ujumbe wako kwani inaniongezea Moyo wà kuandaa Tafakari nyingine Muhimu kuhusu mama Maria.🙏
@user-nc7xo4ku7f
@user-nc7xo4ku7f 2 ай бұрын
Kweli nani kama maria,ni mama wetu daima nabarikiwa sana,tusisahau kuomba na kusali
@severimkatomutegeki6930
@severimkatomutegeki6930 3 ай бұрын
Bikira Maria sisi ni wanao uzidi kutuombea.Mungu atujarie tuendelee kukuimbia nyimbo mzuri zaidi.
@eunicemazinge5177
@eunicemazinge5177 Жыл бұрын
Mama Bikira Maria mama yetu utuombee kwa mwanao Yesu🙏
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@KatelezuMalole-vg1cr
@KatelezuMalole-vg1cr 9 ай бұрын
Huyo hna uwezo wa yye kutuombea mwenye huo uwezo ni yesu tuu 1Timotheo 2:5
@kamuzungudeo1680
@kamuzungudeo1680 2 жыл бұрын
Nafurahi sana kwa nyimbo za Maria
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🙏
@eveliusrwebangira-uv7ot
@eveliusrwebangira-uv7ot 10 ай бұрын
Hail Mary mother of God pray for us...🙏
@andreamissama1273
@andreamissama1273 11 ай бұрын
Thanks for uploading this collection! May God keep blessing you and may you keep doing His work!
@lydianjoki-ze3wd
@lydianjoki-ze3wd 10 ай бұрын
Happy Birthday mama Maria,mama waYesu,I love you always ❤
@juliuskhan5134
@juliuskhan5134 Жыл бұрын
Nilipenda sana hyo nyimbo mama yetu Maria mamaangu mzazi pia anaitwa Maria kwahyo niisikiapo nyimbo za mama yetu Maria najisikia faraja
@abrahamkimeliarapchebochok4645
@abrahamkimeliarapchebochok4645 23 күн бұрын
Am always blessed in listening to the songs of Mother Mary.. Hail holly Queen..
@nancymunyithya6659
@nancymunyithya6659 Жыл бұрын
Wao. Beautiful prayers, mama Maria kindly intercede for my Family
@readwithme64
@readwithme64 Жыл бұрын
Thank you beautiful choir. I've been stressing out today so much but when I listened to this, this calm just engulfed and I said liwe liwalo, mother Mary I know you won't abandon me, I will accept any outcome that pleases Your Son, as I know you won't abandon me. I'm not perfect. Often times, I feel alone for this, but I know Mother Mary understands for she has worked this earth and even seen her Son suffering and through these songs I think she's heard my request for intercession and no matter the outcome , I know she won't abandon me on my life's journey.
@benjaminwabwire8291
@benjaminwabwire8291 8 ай бұрын
Be strong in whatever you go through...in prayer with you.
@LoulouMapendo-km4gs
@LoulouMapendo-km4gs 9 ай бұрын
Holy holy Mary pray for us🙏
@annagodson6573
@annagodson6573 9 ай бұрын
Asante Mama wa Yesu! Tunomba utuombee kwa mwanao Yesu atusamehe makosa yetu! ❤❤
@PatriciaJanet-nt8rc
@PatriciaJanet-nt8rc 11 ай бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zake mama yetu maria amen
@mikegathonjia7049
@mikegathonjia7049 Жыл бұрын
Best catholic melodies,, be blessed
@jamesgacheru2476
@jamesgacheru2476 Жыл бұрын
I love maria song so much,they heal my soul and find myself contemplating blessing to choirs
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@emilianmanda
@emilianmanda Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏. Tuombee eeh mama maria kwa mwanao
@jacintamuthinimaweu7026
@jacintamuthinimaweu7026 11 ай бұрын
Amen pray for us sinners
@judithnguli7053
@judithnguli7053 10 ай бұрын
5:38
@veronicaatieno8580
@veronicaatieno8580 6 ай бұрын
The power of virgin Mary,her purity,her holiness and graces,her immaculate conception still remains a mystery to many
@joeopondo5916
@joeopondo5916 Жыл бұрын
I love Our dear Virgin Mother,The Immaculate Conception.
@jusperabuonji4971
@jusperabuonji4971 Жыл бұрын
The songs are such healing, yatuliza ukweli. Bikira Maria Mama yetu, tuombee kwa mwanao hasa mimi na kazi mpya ya sales. Be with Dad too. pray for us and all the Christians'.
@faithcarol6118
@faithcarol6118 Жыл бұрын
3
@stephenomongin6380
@stephenomongin6380 2 жыл бұрын
Am proud to be actholic I love the this song
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
🙏
@user-xe4wz4xu3r
@user-xe4wz4xu3r 11 ай бұрын
Mother Mary pray for us ❤
@anuaritesafi7017
@anuaritesafi7017 10 ай бұрын
Aksante sana maman wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌹
@user-ji5wz6tx1k
@user-ji5wz6tx1k Жыл бұрын
I love mum Mary sana pray for our country
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina. Mama Maria awe mwombezi wetu sote
@ShyliviaKerubo
@ShyliviaKerubo Ай бұрын
Asante mama Maria Kwa kutuombea wote tunakupenda siku zote
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Ай бұрын
Amina
@irenegatiba8411
@irenegatiba8411 Жыл бұрын
So beautiful so solemn. Mother Mary please hear our prayers through this very beautiful melodies
@sixtusmomburi1332
@sixtusmomburi1332 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akubariki katika kazi zako zote za mikono yako na akili yako
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina Tumshukuru Mungu kwa Yote
@readwithme64
@readwithme64 Жыл бұрын
In need of Mother Mary's prayers and praying still, for the acceptance of Gods will regardless. Grateful for these uplifting songs. This life path can be hard.
@fawwazshamr1989
@fawwazshamr1989 Жыл бұрын
Amiina mama yetu tunakupenda kutuzalia mkombozi
@collinsmuyonga6887
@collinsmuyonga6887 2 жыл бұрын
Mama maria twakupenda sana kwa uruma ulio nayo kwetu
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@user-uh2ri2lt8s
@user-uh2ri2lt8s 5 ай бұрын
Barikiwa Mama Wa Mungu na sisi. Uendelee kuombea ulimwengu ili tupate nguvu za kushinda maovu yote, tukae na nia ya kutakasisha kila wakati roho zetu, tuweze kustahili saa yoyote kuingia Mbinguni. Amen!
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 ай бұрын
🙏
@marymulandi5310
@marymulandi5310 Жыл бұрын
Congratulations for the good songs. I love them.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amina. Tubarikiwe sote
@millicentayugi3659
@millicentayugi3659 9 ай бұрын
❤ Mama Maria bikra. Utuombee kwa. Mwanao yesu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 ай бұрын
Bikira Maria afya ya wagonjwa muombee mama yangu ambaye ni mgonjwa Amina❤
@gumathomarleni2556
@gumathomarleni2556 6 ай бұрын
Mama mwenye heri me as a mother i pray that you protect all mother's around the world your a mother you know well the pain we go through as mother's forgive us mother's ooh mother mary beloved mother mama mwenye hekima ya Mungu utuombee sisi kwa mwanao
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 6 ай бұрын
Amina 🙏
@zuhurambonde3185
@zuhurambonde3185 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana nyimbo hii
@EmiliaKasalila
@EmiliaKasalila 2 ай бұрын
Heri ya mwezi May mwazi wa rozali takatifu Ee mama bikra Maria utuombee kwa mwanao yesu kristo Njia zetu zifunguke awabariki wanafunzi wote walio katika vyumba vya mitihani na wanaotarajia kuingia kwenye vyumba vya mitihani waweze kufanya vizuri God bless all them🙏🙏🙏✍️✍️🙏
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 ай бұрын
Amina
@RoSe-yy2nf
@RoSe-yy2nf 2 жыл бұрын
Proud to be a Roman Catholic🙏 Am blessed to have Mother Mary, Mother of Catholic Church Love from UGANDA 🇺🇬
@judithjuma6102
@judithjuma6102 2 ай бұрын
Nyimbo safi na nzuri zake Mama Bikira Maria. Niombee kwa Mwanao Yesu Kristu kila mara. Ninawahitaji sana katika maisha yangu.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 ай бұрын
Amina
@user-cw6or5no7u
@user-cw6or5no7u 9 ай бұрын
I am truly Blessed....tuombee mama yetu...
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 9 ай бұрын
Amen
@user-gv9zo3os2m
@user-gv9zo3os2m 8 ай бұрын
Mama Maria mama yetu mwema utuomhee kwa mwanai Yesu tunakkumbana na changamoto nyingi maishani peke yetu hatuwezi mama tunaomha k msaada wako utusaidie.
@user-eu3zz9uv2p
@user-eu3zz9uv2p 8 ай бұрын
Utuombee mama yetu maria🙏🙏🙏
@fetty1571
@fetty1571 8 ай бұрын
Ee Mama yetu Maria tuombeee kwa mwanao Yesu kristo tuwe salama mpka saa yetu ya kufaa🙏🙏
@SarapiaDamas-je5fc
@SarapiaDamas-je5fc Жыл бұрын
Wooow let's keep on praying via her prayers.
@kasembomasele5918
@kasembomasele5918 Жыл бұрын
I'm proud to be a Catholic church
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@user-mn3ik1rx1e
@user-mn3ik1rx1e 9 ай бұрын
Bikira Maria tunaomba utuombee kwa mwanao yesu alie kufa msarabani kwa ajili yetu sisi amen
@zenobiakapere1379
@zenobiakapere1379 9 ай бұрын
Asante mama yetu Maria,tuombee kwa mwanao atuepushe na shida za dunia hii hasa magonjwa.
@dayneslyimo7100
@dayneslyimo7100 9 ай бұрын
Ee mama mwema utuombee kwa mwanao Yesu kristo tujaliwe mema yote,hekima na Amani amina
@theresiapatrick7860
@theresiapatrick7860 9 ай бұрын
Asante sn Mama Bikira Maria muombezi wetu, uzidji kutuombea dunia imejaa madudu
@user-cw6kk2rw8f
@user-cw6kk2rw8f 9 ай бұрын
Amina mama etu tuombee kwa mwanao mpendwa atusamee zambi zetu na atujalie afye njema na mafanikio mema yanayo kupendeza mbele zako Aminaa
@drarthurbinja6637
@drarthurbinja6637 Ай бұрын
Maman Maria Ndiye mama yetu sisi wa kristu kalika
@godfreymaina9596
@godfreymaina9596 Жыл бұрын
Much thanks,roho yangu ina utulivu sasa.
@monicakavete4931
@monicakavete4931 Жыл бұрын
Mama Maria twakupenda utuombee Sisi wanao na Dunia
@joeopondo5916
@joeopondo5916 Жыл бұрын
very refreshing dear Mother.Joe Opondo
@maryomega1703
@maryomega1703 Жыл бұрын
Continue interceding for us Holymother Mary in this valley Tears Amen
@user-rn7ch1ed1y
@user-rn7ch1ed1y 8 ай бұрын
Eee mama yetu Maria tukuomba usituache gazani utuombee, Amina.
@nathanngumi8467
@nathanngumi8467 4 ай бұрын
Amina. Ee Mbarikiwa Bikira Maria, utuombee sisi wanao dhaifu.
@johnmiano5662
@johnmiano5662 6 ай бұрын
Awesome Marian mix
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 6 ай бұрын
Thanks for listening🙏
@RudolfNgalason-wz3zm
@RudolfNgalason-wz3zm 9 ай бұрын
Hongereni sana, wimbo mzuri na mmeutendea haki. Hongera Aggy na wenzako
@rweyemamurweyongeza4879
@rweyemamurweyongeza4879 2 жыл бұрын
Nyimbo ni nzuri sana, natamani nipate saa ya ukutani yenye picha Mama yetu Bikira Maria, ila iwe memory card inayoimba nyimbo za Bikira Maria
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa Ndugu, Nyimbo za Mama zinagusa Sana
@rosenyariki5457
@rosenyariki5457 Жыл бұрын
Nice songs ,mother mary pray for us ,amen🙏🙏❤❤
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@trissateddy9909
@trissateddy9909 Жыл бұрын
Nakumbuka mbali mnooo,tukiwa wadogo Sana.Hizi nyimbo tamu sana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Ni Kweli ni nyimbo za Siku nyingi Sana
@maureentonde6425
@maureentonde6425 Жыл бұрын
Mama Maria intercede for me 🙏🙏🙏
@AntoniaLeonard-pm7zu
@AntoniaLeonard-pm7zu 8 ай бұрын
Mwenzi wa rozari takatifu tuombee mama wa yesu🙏🙏🙏Kwa mwanao yesu
@rosewanjiru8596
@rosewanjiru8596 Жыл бұрын
MOTHER MARY IS THE dearest ONE on Earth..how she's a mother to everyone on earth...love u My Queen my Mama
@duncanokari6242
@duncanokari6242 Жыл бұрын
Nice songs
@nellyouncemutheu4931
@nellyouncemutheu4931 Жыл бұрын
Great songs 👏👏🙏🙏
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@veronicamollel8179
@veronicamollel8179 10 ай бұрын
Mama Maria usiniache mama yang uwe nami daima nisaidie kwenye kazi zote
@christinefaila6591
@christinefaila6591 Жыл бұрын
Niko na raha sana Kuwa katolika, watoto wa mama Maria ni neema ya upeke shalom...
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Ni Neema juu ya Neema kuwa na Mama Maria
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
AMINA
@carrenkemunto9303
@carrenkemunto9303 11 ай бұрын
The songs are uplifting and a blessing to our souls.Mary Mother of God pray for us.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 11 ай бұрын
🙏
@itchyfeetke
@itchyfeetke 6 ай бұрын
I love this songs because I remember when my life was in a terrible stage I ask Mary mother of g
@user-if4ml4eg7j
@user-if4ml4eg7j 11 ай бұрын
Spiritually nourishing.God bless you
@damasmgaya3859
@damasmgaya3859 Жыл бұрын
Asante mama malia kwakutuzalia mtenda miujiza kwenye maisha yetu
@clarissetshama5970
@clarissetshama5970 3 ай бұрын
Ma maman merci pour ta grâce, aide moi à payer les loyers de personnes bien
@user-hc1pg8lh9c
@user-hc1pg8lh9c Жыл бұрын
Good compilation songs, greatly blessed.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
Amen
@ambikayves9899
@ambikayves9899 Жыл бұрын
Mama Bikira Maria tuombeye kwa mwanawako Yesu christu atutoe gizani
@salmaselfy2064
@salmaselfy2064 2 жыл бұрын
Nyimbo nzur zinabariki sana hongeren barikiw
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 жыл бұрын
Amina
@pascalruvugo1392
@pascalruvugo1392 Жыл бұрын
Napenda saana nyimbo hizi. Saidiyeni kwakupata mimi naishi kamembe tawn inchini rwanda.
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Жыл бұрын
Safii sana mungu akubari lugha yetu bana vingereza vyawenyewe uko hata kiswahili hawakijui hongera
@adalbertmbuyu6940
@adalbertmbuyu6940 9 ай бұрын
Intercède pour nous sainte Marie, la mère de Jésus, notre mère. Union de prière plus spécifiquement en ce Mois d'Octobre, Mois Marial❤🎉 du saint Rosaire ❤🎉
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 9 ай бұрын
🙏
@clarissetshama5970
@clarissetshama5970 10 ай бұрын
Mama umecha neema béni ma famille,mes enfants,nos projets
@timsregan7991
@timsregan7991 4 ай бұрын
❤ good old mission, Catholic school songs
@reginamosha6606
@reginamosha6606 Жыл бұрын
Big up Aloyce
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Жыл бұрын
🙏
@RufinaMbela
@RufinaMbela 2 ай бұрын
Mama Maria ni mama kweli na bikira kweli❤
@marryjoseph7362
@marryjoseph7362 Жыл бұрын
Naposikiliza nyimbo za mama Maria najikuta nafalijika sana natamani wasichana wote wapende kusikiliza nyimbo za mama Maria Mana Ni nzuri na zina ujumbe mzuri
@zuhurambonde3185
@zuhurambonde3185 Жыл бұрын
Àmina kubwa
@WangechiMwangi
@WangechiMwangi 5 ай бұрын
Pray for us O holy Mother of God,rhat we may made worthy of the promises of Christ🙏🏾🙏🏾
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 ай бұрын
🙏
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 30 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 49 МЛН
NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA
57:34
ELIPIDIUS RESPICIUS
Рет қаралды 749 М.
Divine Mercy Chaplet (Swahili)
26:15
Betsy C Dayanand
Рет қаралды 1,2 МЛН
LITANIA YA BIKIRA MARIA-BAHATI ZENA FT KENNYRUSH MUSIC
12:08
BAHATI ZENA
Рет қаралды 6 М.
NYIMBO ZINAZOTIA FARAJA_Best collection
40:44
gratus Media
Рет қаралды 15 М.
NYIMBO ZA BIKIRA  MARIA | Valeriana Mayagaya
38:00
Valeriana Simon
Рет қаралды 73 М.
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
Alexander mumo
Рет қаралды 2,3 МЛН
#Mix: Mkusanyiko Nyimbo za Mama Maria - Vol. 04 | Non Stop
31:50
BEST OF ST. JOSEPH'S MIGORI CATHOLIC CHOIR [DJ FELIXER ENT.]
2:13:09
CATHOLIC MUSIC MIX
3:28:08
Positive Sounds
Рет қаралды 3,5 МЛН
ҮЗДІКСІЗ КҮТКЕНІМ
2:58
Sanzhar - Topic
Рет қаралды 5 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
2:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 12 МЛН
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 88 МЛН
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 3,1 МЛН
Қанат Ерлан - Сағынамын | Lyric Video
2:13
Қанат Ерлан
Рет қаралды 3,2 МЛН
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 91 М.