Hivi watu wengi nyie mnanishangaza yaani mnampenda zuchu na wakati mbosa wanamuzidi kuimba hicho ni kwa sababu aliolewa na diamond sijui ni kwa nini zangu mnamo sapoti mboso naomba mnisaidie hapo comment section
@mohammedkidody5618Күн бұрын
Dah ttz nyota
@AlfroLyd21 сағат бұрын
Tafuta content Bro. Acha Lavalava na Maisha yake
@TausAbasi-jf2xxКүн бұрын
Andika ngoma kali😂😂
@Fantastic.-gm1eoКүн бұрын
Wcb ina zuchu na diamond tu ndio wakali lakini lava, d voice, qeen na mbosso ni machoko tu hilo lipo wazi kabisa, sema mbosso angalau anasikika sababu anabebwa na kupewa sana support na lebo, ila na yeye ni choko tu kama lava na wenzake.
@BarbaraPatience-qt9ccКүн бұрын
Ujinga
@MichaelFrank-r1h20 сағат бұрын
We nae ni msenge
@goromamussatvonline20 сағат бұрын
unawazimu wewe sio bure
@Fantastic.-gm1eo20 сағат бұрын
@@MichaelFrank-r1h toa maoni, povu kafulie nguo.
@Fantastic.-gm1eo20 сағат бұрын
@@goromamussatvonline Huo ndio ukweli na kila mtu anafahamu.
@mkitotv7621Күн бұрын
Kila mmoja na baht yake hata vidole havilingani
@Aziza-tx4jx18 сағат бұрын
Sasa mbona ana afya tele kuliko wote na tupo simat acheni maisha ya watu mtaumwa moyo
@FatumaJumanne-p4d23 сағат бұрын
Amalze mkataba wake aondoke
@DavidLuango-u4sКүн бұрын
Uyo jamaa anateswa san
@mbenamdudu7856Күн бұрын
Nimecheka sana mwanangu anateswa na nini huyu jamaa