Vizuri sana 👏🏽👏🏽👏🏽... ninaweza kuimba kidogo tu ☺️
@oussenimhamadi5674 Жыл бұрын
Sayi Michael,Abdul karim,Jacinta,Janiffer......,You are all my best Swahilian teachers from youtube :NINAMPENDANI WOTE SANA.
@KiswahiliWithAbdulkarim Жыл бұрын
Asante sana 🙏🎇
@dawnmontgomery1822 Жыл бұрын
Asante SANA Kaka Abdulkarim. Kusaidia sana!!!
@KiswahiliWithAbdulkarim Жыл бұрын
Karibusl sana
@bembenyeusi7163 Жыл бұрын
Mifano wangu : Mimi niliposaidia watu, nilishinda baraka - when i helped people, i found blessing (i got blessed ). Sisi tunapoona mwanga, tunaweza kupata mafanikio- when we see light, we can find success. Wewe utakupopiga kelele, wao watakuja - when you (will) make noise, they will come.
@KiswahiliWithAbdulkarim Жыл бұрын
Vizuri sana 👏👏👏🎉
@HamYukb Жыл бұрын
Kaka mm mtakuoataje
@hudsonwobusobozi9498 Жыл бұрын
Mimi nilipofikiri nimefika nilisimama Sisi tutakapofika tutasimama. Wao walipotenda mema walicheza Mwalimu. Am please mark me. Thanks for your teaching 😄
@KiswahiliWithAbdulkarim Жыл бұрын
Vizuri sana 👏👏👏👏🎉
@MariaNakintu-r8p11 ай бұрын
Mimi nipomaliliza Kula nilala
@KiswahiliWithAbdulkarim10 ай бұрын
Vizuri sana
@omphilentsweng87473 ай бұрын
Mwalimu alipofundisha hatukuzungumza (when the teacher taught, we did not talk)
@omphilentsweng87473 ай бұрын
Mwalimu anapofundisha hatuongei (When the teacher is teaching, we don't talk)
@KiswahiliWithAbdulkarim3 ай бұрын
Vizuri sana👏👏👏
@lineguidance2809 Жыл бұрын
past tense mimi nilipofanya kazi nililipwa present tense-mimi ninafanya kazi nalipwa future tense-mimi nitakapofanya kazi nitalipwa
@KiswahiliWithAbdulkarim Жыл бұрын
Future tense and past tense is correct... however for present tense it will imply a habitual tense .. therefore we say Ninapofanya kazi ninalipwa
@bisi1980 Жыл бұрын
Mwalimu Habari za Leo? Can you please do a video on describing objects. It is clean, it is dirty, it is bending, it was bending. Tafadhali. I will be waiting patiently.
@KiswahiliWithAbdulkarim Жыл бұрын
Sawa sawa kaka
@shadrecksiulapwa7750 Жыл бұрын
My teacher you're so good and you hv taught me swahiri just from your video sessions right here in Lusaka zambia
@KiswahiliWithAbdulkarim Жыл бұрын
@@shadrecksiulapwa7750 karibu sana
@bembenyeusi7163 Жыл бұрын
Asante, mwalimu. Lakini nina shaka moja : For future, why not simply : Nitapokula but Nitakapokula? Why adding 'ka' before the verb, instead of simply (ta), being this one the marker of the future (nitakula - i will eat) as goes the rules of some other tenses lent in the lesson? Unisaidie, mwalimu. Ningekushukuru kama kawaida.
@pelothomogitlhagiso496 Жыл бұрын
Is 'every time' not 'Kila wakati' Mwalimu?
@KiswahiliWithAbdulkarim Жыл бұрын
It also means that
@Teaching3566 ай бұрын
Mbona inasemekana kuwa ukisikia "na" inabidi utumie(Ing) sasa wewe unatumia unatumia umbo mama, naomba nieleweshe mwalimu au kwa kuwa unatumia kila yaani hali mazoea? itakuwa ndo ivo mwalimu.