Tundu Lissu, Zitto Kabwe Wagusa Panapouma | Washusha Hoja Nzito Mabadiliko Tume ya Taifa Uchaguzi..

  Рет қаралды 89,764

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Ай бұрын

Taarifa ya kubadilisha jina la 'Tume ya Taifa ya Uchaguzi' kuwa 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi", imepenya kila kona na kila mdau amekuwa na mtazamo wake kwenye mabvadiliko hayo.
Kwenye #powerbreakfast April 12,2024, Huyu hapa Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA na Zitto Kabwe Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT.

Пікірлер: 214
@Entertainment-hg4ms
@Entertainment-hg4ms Ай бұрын
Hotuba za Tundu Lissu(The Law giver) zitakuja sikilizwa na vizazi na vizazi. We are taking for granted ya huyu kiumbe . He is very exceptional
@clarencelazaro9600
@clarencelazaro9600 Ай бұрын
Tundu lissu super brother
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Ай бұрын
Na ieleweke wazi kuwa Raisi huyuhuyu ni kiongozi wa chama na ni mgombea uraisi. Conflict of interests. Hakuna uhuru hapa. Ni uhuru bandia au karatasi tu, haukupi nguvu yoyote kama Mtanzania. Inaipa CCM nguvu zote na haki zote. Ni upendeleo na ubinafsi bila kujali haki wala sheria Za chama vingi. Ni dictatorship inayobarikiwa na wana CCM na kuwadharau sana wananchi. Wananchi wanadai katiba mpya ili iondoe huu uchafu. Ndipo Tume huru itathaminika na hawa wana CCM. Tundu Lisu, uko sahihi kabisa kisheria.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Kwa maelezo yako tatizo sio Katiba ni UKATIBA. Ni kweli 99% Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi (SIO TUME) wanaipendelea CCM lakini sio Kikatiba. Katiba yetu ipo vizuri sana tatizo HAIHESHIMIWI na wakati mwingi HAITEKELEZWI. Sasa hii KATIBA MPYA bila Watanzania kuwa na UKATIBA ni bure.
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 29 күн бұрын
FACT
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Ай бұрын
Be blessed my Excellency honourable tundu lisu the great thinker.
@khalfannahayimbekwa1440
@khalfannahayimbekwa1440 Ай бұрын
Wengine hatukuelewi Tangazeni Lugha yetu ya Taifa kiswahili .tuwatendee haki wananchi wetu waliowengi.tunafahamiana .
@levissanga8867
@levissanga8867 Ай бұрын
Hakika Mungu akuzidishie maisha na afya njema mh. Tundu
@SalvaJoseph-lq8tq
@SalvaJoseph-lq8tq Ай бұрын
Napenda hoja zenu waandishi wawe hata vijijini kwetu yako mambo mengi yana tuumiza kama hayo Mmsera Kati
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp Ай бұрын
Ndomaana lisu Hatakiwi Kuishi Yani Nizaidi Ya mwalilimu Ata Mbumbu Anaerewa Nondo za Lisu
@scolarymahenge9867
@scolarymahenge9867 Ай бұрын
daaaaa jamaa anajua
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp Ай бұрын
@@scolarymahenge9867 atr
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Ай бұрын
MUNGU anakusudi lake Kwanza lissu
@lorelore2930
@lorelore2930 Ай бұрын
Yaan to be honest napenda sana kumsikiliza lissu wallah, yaan anajua sana kuongelea huyo jamaa kweli ni mwanasheria namba moja tanzania hakuna ubishi
@PolycarpMassawe
@PolycarpMassawe Ай бұрын
Respect brother tundu lissu
@edesaron9070
@edesaron9070 Ай бұрын
Mwamba lissu💪
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr Ай бұрын
Huyu tundu lisu nizaid yamkombozi wa nchi hii tumuunge mkono kwakila mwenye akili timamu,na mzalendo wa kweli
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Ай бұрын
Hakika ndugu umeongea ukweli, kila mtu mwenye akili timamu atamuunga mkono Tundulissu. Lakini kama mtu hana uelewa au ni chawa mnufaika na mfumo wa kifisadi wa ccm hawezi kumkubali huyu mwamba. Ni jambo la wananchi tuamke tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, na tumkatae shetani ccm na wafuasi wake wote uchaguzi huu 2024/2025 kuanzia wenyeviti wa vitongoji, madiwani, wabunge na Rais.
@danielkagola6332
@danielkagola6332 Ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu Lissu
@JoshuaMutinda-fb4fu
@JoshuaMutinda-fb4fu Ай бұрын
Baba w taifa lisu
@user-kg8dn6qr8o
@user-kg8dn6qr8o Ай бұрын
Kilichobadilika hapo Ni jina
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
Lisu hakili nyingi
@ayububrantaya6624
@ayububrantaya6624 Ай бұрын
Lissu anajitaidi kutuamsha
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Huyu ndugu yetu nakuelewa sana . Kifupi yuko vizuri sana.
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Ай бұрын
Lissu ni Mtu moja safi tuu ila kwakuwa ni Yuko upande wa pili ndio maana watu wanajilazimisha kutomwelewa lakini wakikaa chemba wanajisemea yule bwana ni Mtu.
@shilogileshilogile4392
@shilogileshilogile4392 Ай бұрын
Katiba mpya ni ya lazima CCM waache Longolongo
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 Ай бұрын
Zito nimekuelewa na pia lisu limekuelewa zaidi
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 Ай бұрын
Kwa kawaida mwizi hapendi ukweli ni mtu wa Giza daima hakuna tume huru hapo ni maigizo tu
@charlespeter560
@charlespeter560 Ай бұрын
Changamoto ya Zitto ni undumilakuwili. Hivi kweli kuna mpinzani yeyote aliyewahi kutangazwa kirahisi rahisi? labda yeye peke yake. Inabidi tukubaliane kwa upamoja, tuna changamoto kubwa sana kwenye Tume yetu na kuirekebisha ni jukumu letu sote. Tusilete usanii usanii. Tunapokuwa na mamalka ya uteuzi na usimamiaji wa uchaguzi iliyo fair na HURU, inapelekea kuwa na viongozi sahihi ambao jamii husika inawahitaji, na ndio chanzo muhimu cha maendeleo kwa jamii husika. Huwezi ukapandikiza viongozi kwenye jamii ukategemea kutakuwa na harmony kati ya jamii na huyo/ hao kiongozi. Inakuwa kama kujenga Mnara wa babeli na ndio moja ya vyonzo vya kutokuwa na maendeleo katika jamii zetu. Jamani, Tanzania ni yetu sote, Tunapokuwa na Tume imara na iliyo HURU kweli, ni faida kwa Watanzania wote. Sio Watawala sio wapinzani, ni watanzania wote.
@JoshuaMutinda-fb4fu
@JoshuaMutinda-fb4fu Ай бұрын
N mbadala wa baba wa taiga tundulisu,
@mwengajacob4514
@mwengajacob4514 Ай бұрын
Hongera Mh Tundu, nampongeza mh. Zito pia maana Leo ndio kidogooo namuona Kabwe yuleee wa miaka Ile. Kipindi kizuri. Big up
@user-gl8kc3ec8s
@user-gl8kc3ec8s Ай бұрын
Hakika Huyu ndie mh zito alie Nishawihi kuielewa Chadema❤
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 Ай бұрын
Hongela lissu poti
@user-cp1pu4ev8h
@user-cp1pu4ev8h Ай бұрын
Zito kabwe ni afadhali ukimwi ndumila kuwili
@josephtheophill6918
@josephtheophill6918 Ай бұрын
Nchi hii inatakiwa iongezwe na Rais mwenye akili kama Lissu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Nchi inaongozwa kwa utaratibu maalum sio akili za mtu fulani.
@TheodosiaSangka
@TheodosiaSangka Ай бұрын
Mwamba Tundu Lisu🙏✌👊
@TheodosiaSangka
@TheodosiaSangka Ай бұрын
Jamani tume ili iwe huru wajumbe wagombee nafasi watume cv zao endapo rais anateua nasi itakuwa jina tu limebadilika bali bado tume itakuwa nado iko chini ya milki ya ccm
@TheodosiaSangka
@TheodosiaSangka Ай бұрын
nasi =bali
@kaguripenina63
@kaguripenina63 Ай бұрын
​@@hajihassan5433xawa lakin mtu mwenyeakili ndio anakubali kuweka utaratib unauzungumzia kaka haji
@danielkanso
@danielkanso Ай бұрын
Hii ni zaidi ya shule big up Lisu nikuelewa sir kubadilisha jina siyo kutatua tatizo bali naona changamoto iko pale pale sijaelewa nini maana ya kubadili jina la tume
@tobiasimruma703
@tobiasimruma703 Ай бұрын
Watanzania thanks jaman
@PhilipoMwita-ge2oj
@PhilipoMwita-ge2oj Ай бұрын
Chama pekee Cha upinzani ni chadema tu Hivi vyama vingine hakuna kitu Unakuaje chama chama Cha upinzani halafu unaenda sawa na chama tawala Chama Cha upinzani nikupinga serikali kwa hoja
@salumchema5098
@salumchema5098 Ай бұрын
Tundulisu.kiboko
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 Ай бұрын
Ahsanteni ACT na Mwami upo vizuri sanaaaaaaaa
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
KATIBA MPYA NI SASA
@hezekiamtera3559
@hezekiamtera3559 Ай бұрын
Watanzania tumezoea kudanganya lakini hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho
@ghettoboysmusic7118
@ghettoboysmusic7118 Ай бұрын
Nimeipenda hii inatuonyesha jinsigani wanasiasa wanavyo pambana Kufanya yao Sema sisi wananchi baado hatuja elewa na kusimama Kama wananchi
@aminimushi6945
@aminimushi6945 Ай бұрын
Watanzania tumechukuliwa misukule,hata tufanyeje,hatuelewi na hatutaelewa.hapa ni kuomba nusura ya Mungu.
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 Ай бұрын
Zito, anafanya kazi ya ccm
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 Ай бұрын
Kushiriki chaguzi zijazo kwa sheria hii ni kuikanyaga KATIBA
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 Ай бұрын
Waliounga juhudi (wabunge,madiwani) waliharibu sana ari ya wananchi kuwaamini wanasiasa kuwa niwachumia tumbo badala ya mageuzi.
@conasmalale1073
@conasmalale1073 Ай бұрын
kaamka saa 9 mwenzenu anawasubri
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 Ай бұрын
Lissu viva❤
@FestoOlomi
@FestoOlomi Ай бұрын
Kazi kweli kweli
@RaymondKilomeye
@RaymondKilomeye Ай бұрын
Nch ya machawa na majambaz wapo tayar kuuwa ili waendelee kutawala milele
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Ай бұрын
👊✌👍.
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 Ай бұрын
Good lissu💪💯💪
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Kipanya ukimyumbisha Lisu hatayumba!, wewe sikiliza nondo,ukifikia swali jingine uliza atakujibu katika hazina yake ya hekima....
@evelina9621
@evelina9621 6 күн бұрын
Baba.umesema.kweli.tume.iko.mikononi.ccm
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 Ай бұрын
Tanzania ya Leo sio ya 1977, watawala wasijisahau kabisa 😳😳😳
@user-ms3tp9oy2o
@user-ms3tp9oy2o Ай бұрын
Nice from tz
@desmondchelango
@desmondchelango Ай бұрын
Kiukweli VIONGOZ mliepewa kibali Cha kutusemea tunawaombea mikakati ya katiba mzidishe uzito usifanyike uchaguzi kabla ya katiba mpya maana kama nchi Iko salama uchaguzi tutafanya hatakama itakuwa ni 2027 kikubwa uchaguzi ufanyike ndani ya katiba mpya✅ 👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v Ай бұрын
Hiyo tume siyo huru, jina tu ndo imebadilika, ingebaki tu kuitwa tume ya Taifa uchaguzi, muundo wake bado ni ule ule,watumishi wa wa tume wasitokane na watumishi umma!.
@safiyaalharthy6382
@safiyaalharthy6382 Ай бұрын
God bless Tundu Lissu
@ElishaOisso
@ElishaOisso Ай бұрын
Mwaka huu mbona katiba mpya itapatikana tu,watu wataandamana hamtaamin kitakacho tokea hii nchi. (Prophecy).
@user-iz4te4gs5s
@user-iz4te4gs5s Ай бұрын
Public coments
@AgustinFonga
@AgustinFonga Ай бұрын
Yaani ni uchaguzi waRAISi sio ushaguzi WA nchi akiona hashindi anaweza kufuta uchaguzi huo au akabadili Katiba na akiungwa mkono na watu wake ambao aliwapa ulaji na ndio wote walio serikalini wanaufanyia sheria
@user-ht4ud5ro4v
@user-ht4ud5ro4v Ай бұрын
Very though
@JoshuaMutinda-fb4fu
@JoshuaMutinda-fb4fu Ай бұрын
Mama katuchezea tunataka time huru katiba mpya
@jovankishamba9424
@jovankishamba9424 Ай бұрын
Uliofanyika kwenye TUME ya UCHAGUZI NI USANII.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
Wanafikiria kuweka neno HURU ndiyo Tume imekuwa huru
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 Ай бұрын
Duuh!! Mambo bado yataendelea kama ndio hivi! Kuendelea ni ngumu!!
@ABSTemu
@ABSTemu Ай бұрын
Badoo! Hata TL mmemkatiza!
@dismasmtui729
@dismasmtui729 Ай бұрын
ACT hawaaminiki!
@justineoctavian4938
@justineoctavian4938 Ай бұрын
Zitto mtu wa ajabu sana aise!!
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 24 күн бұрын
Kivipi
@user-hz1xf1kl3l
@user-hz1xf1kl3l Ай бұрын
Tumehu ifanyiwe marekebisho bd hawaja fanya mambo yanayo takiwa ilitume iwe huru
@user-nw7li6kp1t
@user-nw7li6kp1t Ай бұрын
Uchaguzi ni jambo mhimu ni msingi wa mambo yote unayotaka tufanye sisi chadema tunataka tume huru siyo tume ya kubadirisha jina tu,
@danielkanso
@danielkanso Ай бұрын
Kwa kweli kwa bunge hilii ???
@aiyaavibes7610
@aiyaavibes7610 Ай бұрын
... Eye opening
@kabalilapatrick1904
@kabalilapatrick1904 Ай бұрын
Online
@alfredmaumba780
@alfredmaumba780 26 күн бұрын
Tundulissu yuko sahihi sana na hii ndio watanzania tunataka jamani
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Hawa watangazaji upeo wao ni ndogo sana Clouds wangetafuta watangazaji wenye upeo hawaulizi maswali ya maana
@user-oc1jm5zn6g
@user-oc1jm5zn6g Ай бұрын
Lissu mwamba
@Flaviosafari
@Flaviosafari Ай бұрын
Tunahitaji tume huru iliyo huru. Sio kubadili jina la tume.
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Ай бұрын
Long the way to go Tanzania people to no mind down for ever one 😅
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d Ай бұрын
Hapa makonda anasema tuonane 2025 ana uhakika kuwa wizi utatumika tume ya uwongo lisu mungu akubariki tanzania poleni na ujinga huo
@mussangao3164
@mussangao3164 Ай бұрын
Elimu yangu ndogo mara elfu 20 ya Zitto kabwe lakini mawazo na akili za Zitto hata mtoto wa chekechea hawez kubaliana nae 😂Zitto zaman sijui kunamtu alikuwa akimwandikia vya kuongea bungeni mbona siku hiz amekuwa kama poyoyo flan hiv
@bhaijanali5092
@bhaijanali5092 25 күн бұрын
Akili yake ilibakia chadema
@CasmiryNikata
@CasmiryNikata Ай бұрын
Mungu akulinde Tundu Lissu na wote wenye lengo baya juu ya usalama wako watatangulia kufa wao, mkono wa Mungu uwe juu yako.
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 5 күн бұрын
Ameen!
@RamaNinga-jv2xw
@RamaNinga-jv2xw Ай бұрын
Tume iliyopo imepitwa na muda wake ni lazima ibadilishwe kuendana na mahitaji ya sasa,,,VIVA CHADEMA.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 Ай бұрын
Mama anajua sanà ku(bye time)nà pesa kutumika vibaya kuunda tume zisizo na majibu.
@fahamnitwahir9249
@fahamnitwahir9249 Ай бұрын
Iissu akiongea unaona kbsa tunaongozwa na watu wenye uwezo mdogo
@rasnchimbi
@rasnchimbi Ай бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 29 күн бұрын
Kulimlinganisha Lisu and Zitto ni tusi msimtafutie umaarufu Zitto kwa mgongo wa Lisu.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Mhe.Ole ngurumwa uko sahihi,ni kiasi tu cha kurekebisha vifungu husika vya katiba iliyopo,ili tupate tume huru halisi ya uchaguzi; lakini ccm hawatataka ni ng'ang'anizi kama Nyerere,na wao wanaamini katika ujamaa wa ushindi milele!
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn Ай бұрын
Akina Lissu bwana, hongereni sana. Ila dada mtangazaji anataja namba ya simu ya kuchangia harakaharaka kwa spidi ambayo nadhani wengi kama si wote si rahisi kuinukuu! Hivyo nadhani wachangiaji sasa watakuwa haba kama si hakuna!
@boscomfundo7953
@boscomfundo7953 Ай бұрын
Lissu ni akili kubwa
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 Ай бұрын
Jamaa hawa wanafanyia pesa zetu ufisadi kwa tume sisizo na maana yoyote wala matokeo ya maana
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 Ай бұрын
Hiyo ni tume ya ccm na samia
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
TATIZO SIO UPANDE TATIZO NI SHERIA
@michaelernest4814
@michaelernest4814 Ай бұрын
Yaani craus mbalikiwe sana kumleta mheshimiwa lisu.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Mnaojadili mnatambua kuwa Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Ambapo Rais wa Tanzania anaweza kuchaguliwa bila kupigiwa kura yoyote Zanzibar, je hiyo ni sawa?
@ChristopherSteven-oe1dd
@ChristopherSteven-oe1dd 29 күн бұрын
Ni vema mnatufumbua macho
@OscarBethel
@OscarBethel Ай бұрын
Je bunge kama hili linawe,za kutupati time huru?
@OscarBethel
@OscarBethel Ай бұрын
Je bunge hili la Sasa linaweza kutupatia tume huru?
@OscarBethel
@OscarBethel Ай бұрын
Tusitegemee kupata tume huru Kwa wabunge hawa walioko bungeni kwani hata walivyoingia bungeni ni vioja vitupu hawezi kutupatia tume huru kwani tunawajuwa ni wapiga meza hawana uzalendo kabisa
@frankcharles3980
@frankcharles3980 Ай бұрын
ZITO KABWE UMEFIRISIKA KISIASA USHAKUBARI KUA KICHWA HASARA
@gangan4618
@gangan4618 Ай бұрын
​@OscarBethel Hao wabunge wenyewe ni zao la tume mbovu hii ya CCM na katiba mbovu hii iliyopo INAYOWALINDA kwa msaada wa NGUVU YA DOLA.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Mjomba umesahau mkataba wa DP WORLD Kuna munge yeyote alipinga ule mkataba pale ni acha maisha yaendeleeee
@ikotilissu5380
@ikotilissu5380 Ай бұрын
Sheria inapingana na Katiba! Itatumikaje??
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 29 күн бұрын
Huo utaratibu wa kamati ya usaili si mbaya, tatizo hiyo kamati inapatikanaje?
@dullahkalanjedullahkalanje1422
@dullahkalanjedullahkalanje1422 Ай бұрын
tunakuamini lissu
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
Huyu ni zito kweli kumbe hafai kabisa au ndugu yake zito
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Ай бұрын
Wala msifikiri hawajui hata muongee hoja au lugha gani.wameamua.kuna siku watajutia maamuzi yao na nashuri wapinzani msije kubadiri katiba ili kuwanyosha
@OmbeniShoo-kg8dr
@OmbeniShoo-kg8dr Ай бұрын
Usipokubali ukweli na kuutetea mazingira halisi yatakulazimisha upite njia ya kweli.
@sokastreet
@sokastreet Ай бұрын
Kumbe tunajisumbua tu kwenda kupiga kura tume nzima boss wao rais😅
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 Ай бұрын
Fisi akivishwa ngozi ya kondoo na hatakama utamwita wewe ni kondoo fisi atabakia kuwa fisi tu japo kafishwa ngozi ya kondoo kamwe hawezi kula majani yeye ni nyama na mifupa .... Kubadilisha jina pekee haliwezi kuleta kitu kipya....
@Simulizitulivuu
@Simulizitulivuu Ай бұрын
Yes
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Ай бұрын
Tatizo ni uelewa wa jambo miongoni mwa wananchi wengi. Elimu yetu ni shida.na ile white paper ilionesha 80% ya watanzania bado hawakuona haja ya mageuzi..!!
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r Ай бұрын
Ni Tanzania pekee mwenyekiti wa ccm ndiye mteuzi wa tume ya uchaguzi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Unapotosha, Tume zote duniani ni LAZIMA ziwe na Mteuzi. Tanzania mteuzi ni Rais na sio Mwenyekiti wa CCM. Pia kuna utaratibu maalum na kinachofanyika ni uhuru tu kila mtu atowe mawazo LAKINI Ibara ya 74 (Tume ya Uchaguzi) ilizingatia mambo ya msingi sana mfano Mwenyekiti wa Tume ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa kwa miaka 15. Hii maana yake hakupewa ujaji na Rais pia mtu huyo mwenye mamlaka ya kumhukumu mtu kifo, maamuzi yake yanaweza kutumiwa na nchi za Jumuiya ya Madola. Hivyo tupate mtu muadilifu wa aina gani kwenye Tume yetu? Ingekuwa soka simple tungetafuta refarii kutoka nchi nyingine. Bahati mbaya Mwenyekiti wa Tume ni LAZIMA awe Mtanzania.
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Ай бұрын
Yaani kabwe kwa alipotufikisha anapaswa kupigwa mawe hadi kufa na asipokufa apigwe tena hadi afe.yaani kweli huyu kabadirika haoni ujinga unaoitafuna nchi.asiaminike tena labda huko kwenye chama chake.amepoteza mwelekeo
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi Ай бұрын
Ngoma ya katiba haitakesha nawaambia m fisi em.tutamwaga maji kweli Mwaka wa uchaguzi na hakuna atakaekuwa salama si familia za polisiiiiis wala wake zao
Mahojiano na Tundu Lissu
27:29
KTN News Kenya
Рет қаралды 70 М.
He tried to save his parking spot, instant karma
00:28
Zach King
Рет қаралды 20 МЛН
1🥺🎉 #thankyou
00:29
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 79 МЛН
Who’s more flexible:💖 or 💚? @milanaroller
00:14
Diana Belitskay
Рет қаралды 19 МЛН
Jussa atuma salamu nzito kwa ZEC na Rais Mwinyi
53:20
Weyani Tv
Рет қаралды 8 М.
He tried to save his parking spot, instant karma
00:28
Zach King
Рет қаралды 20 МЛН