LEMA AMPASHA WAZIRI MASAUNI "USIENDE TENA KWENYE MSIBA WA WATU WALIOTEKWA, HAJATEKWA NA MAJAMBAZI

  Рет қаралды 18,881

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@feizalmas
@feizalmas Ай бұрын
Dah umeongea maneno imara na magumu sana mungu akupe nguvu
@InnocentLuvanda
@InnocentLuvanda Ай бұрын
Maneno magumu ya watu wagumu,Mmm Lema maneno Yako yamepenya ndani ya mioyo ya watanzania wapenda Amani.
@solobennymwanshinga6714
@solobennymwanshinga6714 Ай бұрын
Kweli kabisa wanatuchukulia poa, bila aibu wanauzulia hadi mazish
@jr0687rescue
@jr0687rescue Ай бұрын
R.i.p mzee wetu
@KetonyMbedule-f4w
@KetonyMbedule-f4w Ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@HusnaKassi
@HusnaKassi Ай бұрын
kusema kwel imeongea maneno mazur sana adi yamenitowa machozi😢😢😢😢😢😢😢
@sarahmwakipembe5033
@sarahmwakipembe5033 Ай бұрын
Daaaaa tanzania. Inatisha
@MjbSulliet
@MjbSulliet Ай бұрын
We are just Being deluded by this Duniya but its nothing. Wako wapi akaina Karouna aliepewa utajiri, Wako wapi akina Firouna, Wako wapi akina Hitra, Benito msolini etc😢😢, JAMANI ACHENI KUMWAGA DAMU
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn Ай бұрын
Mbn lowasa alituhumiwa Richmond akajiusulu hapo hapo chap
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 Ай бұрын
Mungu wetu simama nnasi
@muhidinally3460
@muhidinally3460 Ай бұрын
Jamani mungu ukowapii ? Inuka uji teteee!!😮😮
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t Ай бұрын
Maneno magumu sana haya hebu tunaomba viongozi simameni imara
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl Ай бұрын
Mcheza kwa upanga
@Mahirwazanzibar
@Mahirwazanzibar Ай бұрын
Wajiuzulu watapat wapi hela za kula na za kujinufaisha na familia zao
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf Ай бұрын
Lema wewe huwezi kuwa kwenye list ila wewe una listi ya watu mtakao uwa
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 Ай бұрын
Ndugu hayo maneno jihadhari mungu ni wawote siku zenu zinahesabika
@tobiasimruma703
@tobiasimruma703 Ай бұрын
Lema ndie mwk taifa ajaye
@ReymonStevens
@ReymonStevens Ай бұрын
Niko tayar kufia popote nikitafuta maisha yangu lkn sikujiinginza kwenye siasa sitak chama chote chote me japo nitaheshima mamalka iliyopo madarakani siku nzote
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 Ай бұрын
INAUMA INAUMA SANA WATU KUCHUKULIWA KAMA KUKU. MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI INGILIA KATI. TETEA WENYE HAKI WA NCHI HII.
@issakazi2758
@issakazi2758 Ай бұрын
Lema acha ujinga Kwa kauli za ujinga
@MahuwileMwenemilao
@MahuwileMwenemilao Ай бұрын
Wewe ni mtu wa ajabu tubu kwa hiyo kauli.yko
@OmaryHamisi-n6q
@OmaryHamisi-n6q Ай бұрын
Kidole Cha kati
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf Ай бұрын
Basi zima yani hamna mtu alie chukuwa clip ya video
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy Ай бұрын
Thubutuu?!! @😷😎🙆🙆
@jumadinya3796
@jumadinya3796 Ай бұрын
Siku ya mtu ikifika atakufa MUNGU alie muumba ndio anajua kifu chake hakuna ajuae mauti yake ni kipi kitamuua alicho weka saini yake kwa muumba wake kila moja atakufa kwa siku na saa imefika
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf Ай бұрын
Nahakika serekali haita lala itahakikisha huu ndio mchezo wa mwisho wa kina mboe
@JamaliAlly-zy1ff
@JamaliAlly-zy1ff Ай бұрын
Duuh huyu jamaa mungu kampea maneno ya busara
@ZainabuVeriuse-q5h
@ZainabuVeriuse-q5h Ай бұрын
Mimi nadhani hiyo sms ya kukuuwa ingepelekwa police kwaajiri ya uchunguzi
@f.a6043
@f.a6043 Ай бұрын
Ushauri wako ni sawa lkn watu hawaaminiani tena maana hakuna malaika hapa duniani😂
@SelemaniHamiss
@SelemaniHamiss Ай бұрын
M
| DAYBREAK | After The Political Floods
1:00:00
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 11 М.
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 23 МЛН
ЛУЧШИЙ ФОКУС + секрет! #shorts
00:12
Роман Magic
Рет қаралды 22 МЛН
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 303 М.