LEMA AMVAA NABII MKUU GEORDAVIE MKUTANONI - ''MNAFIKI WEWE, NITASHUGHULIKA NAYE''....

  Рет қаралды 28,026

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

LEMA AMVAA NABII MKUU GEORDAVIE MKUTANONI - ''MNAFIKI WEWE, NITASHUGHULIKA NAYE''....
(VIDEO HII IMEKUJIA KWA HISANI ya THE CHANZO == www.youtube.co.... )
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha na mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kwa wingi kumpokea Godbless Lema, mbunge wa zamani wa Arusha ambaye anarejea nchini leo akitokea Canada.
Lema alikuwa nchini Canada uhamishoni tangu baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2020 kwa kile alichodai kuwa ni kuhofia usalama wake.
(LIVE HII IMEKUJIA KWA HISANI ya THE CHANZO == www.youtube.co.... )
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 89
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@DawuanRCh02
@DawuanRCh02 Жыл бұрын
Hadir myimak om🤝🤝🤝🤝🤝🎁
@ambajaph
@ambajaph Жыл бұрын
Kumsema geordavie lema umechemka....Kwani Mungu anakaa kwenye majengo mbaka umuwekee tiles, kujenga nyumba ya ibada ya kifahari Ni mtazamo wa kizamani ambapo watu wazamani walifikiri Mungu anaishi kwenye majengo, lakini Sasa tunajua Mungu anaishi ndani ya mtu. Tiles za Nini Sasa. NABII YUPO SAHIHI SANA KUWASIDIA WATU. kwa kadri Mungu alivyo mjalia.
@charleykapella7200
@charleykapella7200 Жыл бұрын
Huyu ndo Lema tulikumiss mzee wa kazi kamanda !!
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 Жыл бұрын
Mhe Gambo... 🤔😂😂😂😂😂😂 Kazi Iendeleee👏👏👏🤗 Dini na Siasa, wapi na Wapi? 🤷🏽🤷🏽🤷🏽🤦‍♀️
@vintz338
@vintz338 Жыл бұрын
Hapo kweny dini, waachie weny dini brother
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 Жыл бұрын
Utumwe kiongozi ukimbilie Lema.
@waytvtz2549
@waytvtz2549 Жыл бұрын
Lema kiburi inakupeleka pabaya ungepambana na siasa siyo watumishi wa Mungu kitu gan wewe uliwahi kufanya ambacho nikikubwa kuliko ya nabii mkuu badala ungempongeza nabii kwa kitu alichofanya wewe unatukana kwa sababu gambo kampokea nabii nabii mkuu siyo mwanasiasa nilikuwa nakupenda lema kumbe wewe mbwa tu huna lolote fungua hiyo kanisa tuone pumbavu zako
@rosemaryikamba5288
@rosemaryikamba5288 Жыл бұрын
Umechoka kweli ndo akili ulonunua Canada kaa Kwa kutulia acha kubwabwanya au kwasababu alipokelewa na Gambo ndo unataka kuchafua pole Sana Gusa pengine sio NABII MKUU GEORDAVIE 🔥🔥🔥
@hassanmkwama9900
@hassanmkwama9900 Жыл бұрын
Halafu viongozi wa kisiasa kama Hawa apewe jimbo, chadema mtasubiri sana
@ynyynyyny
@ynyynyyny Жыл бұрын
Big up Lena kwa makavu live
@emmanuelnyinyigwa8043
@emmanuelnyinyigwa8043 Жыл бұрын
Umeanza vibaya aise dli na siasa mambo ya din waachie wenyewe huko utakwama
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Жыл бұрын
Lema Bado mpumbavu sana kwaiyo mtu kutoka iyo pesa ajabu.mbona sabodo aliwapa chadema pesa ujasema kitu.
@jemedalmalima5946
@jemedalmalima5946 Жыл бұрын
Kwa akili hii wapinzani wakuongoza inchi hii hawapo kabisa
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 Жыл бұрын
Ohoooooo Patamu hapo Sasa🙄😂
@godfreymkanje5667
@godfreymkanje5667 Жыл бұрын
We need the point....ourleader how we are going to make strong contry nasio vijembe...bado tupo kulele. Tubadilike acha kumsema
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Жыл бұрын
Kweli kabisa, Yaani huyo kaja kupokea bahasha za kaki km tundu lisu, akimaliza anasepa.
@monicadavie4382
@monicadavie4382 Жыл бұрын
Umelaniwa wewe,Mpumbavu Mkubwa,unaweza kujifananisha na nabii
@yeremiakameta9838
@yeremiakameta9838 Жыл бұрын
Rema nikilema wahaki tusilaumu sana mana jinali najitambulisha
@PastorJovin
@PastorJovin Жыл бұрын
Lema kwisha kisiasa kuwagusa watumishi wa MUNGU na kuwaita wanafiki hautakuwa Kiongozi tena
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Aisee iyo hekima mkubwa naitafakari ciipatii jibu kuhusu kufungua ww kanisa nakuchukua waumini Daaaa !
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Hahaha naona lema kafuta banqi Sasa mwisho wako umefika lema
@issayaramadhan4863
@issayaramadhan4863 Жыл бұрын
Lema ni mpumbavu sana mpumbavu mjibu sawa sawa na upumbavu wake, Huyu jamaa hajielewi kabisa kama unaowahutubia Wana akili timamu hawawezi kupigaa hata makofi,siasa ni siasa kanisa ni kanisa usingize mambo ya siasa kwenye kanisa,kwanza inakusu nini hayo ni maono yake usingilie maono ya mtu,na utambue Kuna BABA yetu NABII MKUU MH DKT GEORDAVIE BAROZI WA AMANI,watu wengi amewagusa na kuwatoa katka vifungo vya umasikini,unapo ongea kufuru ya kipumbavu tafakali kwanza Mimi binafisi nahisi unatatizo la akili upimwe kwanza sio Bure unatafuta kiki kipumbavu itakugalimu bro!!!!!!!!
@leonlenguyana7996
@leonlenguyana7996 Жыл бұрын
Hii ya million mia itakushushia heshima maana watanzania wanaangalia wanachokipata kwako hata kama ni haramu.
@jemedalmalima5946
@jemedalmalima5946 Жыл бұрын
Tatizo sio yeye amechanganyikiwa na ukimbizi
@devothaenyasi6500
@devothaenyasi6500 Жыл бұрын
Kwendaaa nilikuwa nakuona mtu kumbe hewa
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Nabii mkuu kaumia kudaadake
@whiteAfrican83
@whiteAfrican83 Жыл бұрын
Na ndo wakati wenu Sasa wakusahaulika umewadia kama mlifikiri mna Mungu Sasa ndo mnakwenda kumjua anafananaje
@Veni584
@Veni584 Жыл бұрын
Unaanza kufeli, Nabii anakuhusu nini shughulika na kilichokuleta, Nabii yupo siku zote hajawahi kukimbia
@kambonamahmadoo6814
@kambonamahmadoo6814 Жыл бұрын
KUMBE HUYU LEMA NI WA HOVYO KWELI,,,NILIDHANI NI KIONGOZI SASA UKISHUGHULIKA NA JODEVI,,NDIO NINI SASA,,BURE KABISA MMEKOSA SERA
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 Жыл бұрын
duuuu@kwenye makanisa tena
@nyerere1259
@nyerere1259 Жыл бұрын
Pua
@justinpeter5172
@justinpeter5172 Жыл бұрын
Ila hilijamaa nimeshindwa kulielewa kabisa kwahiyo yeye anajua kuweka Tillis ndokusali au
@sullecom
@sullecom Жыл бұрын
Siasa umeshindwa kanisa utaweza halafu kanisa huwezi fungua huna wito
@karimkassam331
@karimkassam331 Жыл бұрын
Umefilisika hoja....
@theresiamichael5817
@theresiamichael5817 Жыл бұрын
mekupendaaaa bureee karim wang....bora umeonaaaa
@yeremiakameta9838
@yeremiakameta9838 Жыл бұрын
pamoja
@silivestatesha9262
@silivestatesha9262 Жыл бұрын
Unatafuta lana zabure
@zablonsegere2367
@zablonsegere2367 Жыл бұрын
Lakini kumbuka hao unaoongea nao ndio waumini wa Nabii mkuu , Unadhani watakuelewa ?
@walletsmail-su7vc
@walletsmail-su7vc Жыл бұрын
Ko kama kpigwa tufanyeje
@brownmtofole
@brownmtofole Жыл бұрын
Unakosea,Watanzania tutashindwa kukuelewa,usichanganye siasa na dini au imani za watu,hii ni hatari sana kwani itasababisha migawanyiko na hivyo kutofikiwa kwa malengo mazuri ya chama.Huu siyo wakati wa porojo,ni wakati wakuipanga mikakati ya kuwaunganisha Watanzania wenye itikadi mbambali ili waweze kudai haki zao.
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 Жыл бұрын
Lema akili yako ni ndogo sana. Usidhani ukiwa kwenye siasa unaweza kuwa control kila mtu ni mpumbavu tu ndiye mwenye akili hiyo, unadhani unaweza ku-wa Control hata watumishi wa MUNGU?. Kwa Nabii GeorDavie wewe ufiki hata kwenye ukubwa wa sisimizi achana nae. Na hautafanikiwa kwa namna yoyote labda utubu na kumuomba msamaha. Tunajua umeenda umerudi vizuri tumefurahi kukuona ndugu yetu kumbe unarudi ushughulike na GeorDavie mtumishi wa MUNGU? hakika bora ungekaaa huko huko. Wewe ni nani ushughulike na mtumishi wa MUNGU.
@hanifamziray277
@hanifamziray277 Жыл бұрын
Ongea mambo ya maana mambo ya kanisa yanakuhusu nn umeishiwa sera utaondoka bila kuaga
@rehemajoel7094
@rehemajoel7094 Жыл бұрын
Muda wote uliokaa Canada hiyo ndio point uliyokuja nayo! Ya kumtukana mtumishi wa Mungu BABA YETU MH. NABII MKUU DR GEORDAVIE BALOZI WA Amani!!!? Ultimutum hicho cheo utakisikia!!?
@rehemajoel7094
@rehemajoel7094 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni amemtuma mtumishi wake Nabii Mkuu GD akawasaidie watu waliounguliwa na biashara zao wengine wamekunywa sumu wengine wanakula mlo mmoja wamekata tamaa. Nabii Mkuu anawasaidia "wewe lema hutaki!!!? Hakika umechanganyikiwa hujitambui.
@munamuna4621
@munamuna4621 Жыл бұрын
Siasa na dini wapi nawapi fanya yaliyokurudisha, jambazi mkuu wa chadema ww
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 Жыл бұрын
Sielewagi
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 Жыл бұрын
Wa kupigwa risasi mbona kawa kimya tena au karudi kwa akina Hazard?
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Alichomokabio karudi ulaya bongo pagumu
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 Жыл бұрын
Huna hoja lema ulikimbia nchi baada ya uchaguzi kisngizio cha kunusuru uhai wako
@Veni584
@Veni584 Жыл бұрын
Kiongozi gani mwoga? Alitakiwa kupambana hadi mwisho, huyu akipewa madaraka atatukimbia akikutana na jambo gumu
@masumbukosiyougomvi7900
@masumbukosiyougomvi7900 Жыл бұрын
Tafakar kidogo, unapoongea na watu wakati huo wao wanajawa huzuni. Itakugalim baadae.
@henrytimothy3048
@henrytimothy3048 Жыл бұрын
Siasa na kanisa wapi na wapi ulisema dhambi kubwa kuliko zote ni uoga alafu ukawa wa kwanza kumkimbia dume magu nenda kwa nabii ukatubu dhambi ya uoga
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 Жыл бұрын
Nabii mkuu ndio nani kenge wewe?
@mwlpierre
@mwlpierre Жыл бұрын
Alikimbia Musa akaja Yesu Lema ni nani hata asikimbie wakati Mwendazake Ana vyombo vyote vya dola wanapokea amri yake
@mwlpierre
@mwlpierre Жыл бұрын
Halafu wakati ule Lisu hajakimbia kapigwa risasi na hamna upelelezi wewe unafikiri Magu alikuwa anatania na Magu amshukuru Mungu wake ana bahati kaugua moyo tungemfunga kifungo ambacho hakina idadi ya miaka
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
@@mwlpierre wew kenge kweli et tungemfunga kifungo Cha maisha,, yani mazezeta ya kuzimu utayajua tu
@mwlpierre
@mwlpierre Жыл бұрын
@@barakaothumani6421 Yaani tungemfanya mara Mia ya Sabaya (Sabaya)¹⁰⁰ tungemweka kizuizini mpaka nywele na masharubu yaote kichwani na hicho kipara na mvi kama msukule
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Lema unaitaji ukombolewe akili yako umeiasha matakoni
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 Жыл бұрын
Yako ipo mkunduni
@rosemaryikamba5288
@rosemaryikamba5288 Жыл бұрын
Wewe Lema umekosa hoja za kuongea??? mbona ziko nyingi sana au umechanganyikiwa?? NABII MKUU GEORDAVIE anahusiana Nini na Siasa??? Unachokonoa Nyuki mzingani??
@devothaenyasi6500
@devothaenyasi6500 Жыл бұрын
Kwahiyo amesaidia watu mitaji roho imekuuma. Sijui unaongea ujinga gani. Kwanza wewe inakuhusu nini hiyo nyumba ya ibada inakuhusu nini.
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 Жыл бұрын
Eti ndio viongozi wenye maono hawa daah tz bangi yote
@king_King-4029
@king_King-4029 Жыл бұрын
Asee hata mie sielewagi hii nchi, sasa mipango ya mtu inatuhusu nin sisi wananchi, iko siku watamuattack mtu kisa kanunua gari ila mama yake hajamnunulie baiskel
@prophetislael5265
@prophetislael5265 Жыл бұрын
Mm siwaelewagi hawa yani mtu katoa kusaidoa wanachi tena hayupo chama chochote sio kampen wewe unakuja unaongea utumbooo upuuz wewe umesaidia nn
@jofreymligo457
@jofreymligo457 Жыл бұрын
Hana sera kabisa kanisa linakuhusu nn siasa zimekushinda ww rema ndio mnafiki umesha poteza muvuto kabisa
@theresiamichael5817
@theresiamichael5817 Жыл бұрын
Factlyyyy......boraaa umesemaaa.....kwaniiiii aliend kanisan akakuta hmn tyres au anajifurahsha tu?
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Жыл бұрын
Ukweli unauma
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Жыл бұрын
Elewa anachoongea, sisi waoga labda kama CCM wanakufadhili huez elewa hili, pia kanisa lile linafadhili mijizi kwani uongo,
@akidahamad142
@akidahamad142 Жыл бұрын
Hvi magu alkua ni dume au alkua ni mtumwa wa kuogopa wanaume sasa aliamrisha lema afe lisu mbowe vp yani alkua anajua ataishi milele et aaah hyi dunia tunapita tu iwe leo au kesho tutaondoka tu hapa magu ndyo watu wote hawa wanamshingzia et
@piusitarimo9676
@piusitarimo9676 Жыл бұрын
Hizo ni siasa za majukwaani ukweli haupo ndani yake
@ibrahimsamson4193
@ibrahimsamson4193 Жыл бұрын
Ana matatizo ya afya ya akili....msivute bangi hamsikii ona huyu sasa
@JstvTanzania
@JstvTanzania Жыл бұрын
Bangi anazozivutaga zitamfanya aishie sehemu mbaya sana baadala ya kutengeneza hoja unaanza kutukana watu hawezi fika kokote huyu
@jasiriasili3694
@jasiriasili3694 Жыл бұрын
Upuuuzi mtupu wewe unautajatifu gani ulionao
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
Ongea hoja zako. Achana na dini au utakumbana na upinzani mkubwa
@barakabaraka848
@barakabaraka848 Жыл бұрын
Mnaomtukana lema tafuteni pesa nawaita wajinga sana acheni unafiki pigeni simu kwa wazazi wenu wasalimieni watumieni pesa wawashukuru sio kutukana lema
@namelocksaiboku-yk3ks
@namelocksaiboku-yk3ks Жыл бұрын
Lema mm sikukubali Kwa hicho ulichokiongea kumhusu nabii Geodervie ,you are lying
@jofreymligo457
@jofreymligo457 Жыл бұрын
Tatizo wivu Yana mhusu nn Mambo ya kanisa
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@jofreymligo457 Labda anataka kufungua kanisa lake jamani!!! Manabii wapo wengi...
@ritaromward
@ritaromward Жыл бұрын
​@@mamboshepea8888 Lema auna jipya tena kaa mbari baba yetu tutakuzengua ujue.
@ritaromward
@ritaromward Жыл бұрын
Acha wivu rema sema tu kama unataka upewe wewe pesa utapata baba yetu hana u baguzi
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 41 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
UJUMBE WA MONICA DAVIE KWA MARA YA KWANZA 2023 - GeorDavie TV
32:44
GeorDavie TV
Рет қаралды 171 М.
KIDUM KIBIDO APEWA UNABII PAMOJA NA MILIONI 20 - GeorDavie TV
19:37
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН