LEO NDIO SIKU YA ARAFA HONGERA KWA KWA KILA ALIEAMKA NA FUNGA YA ARAFA || MUHAMMAD BACHU | 15/6/2024

  Рет қаралды 21,765

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 214
@SharifuKombo-v6t
@SharifuKombo-v6t 5 ай бұрын
Naam shekh sadakta kuna ndugu yangu yupo urusi wametangulia kwa masaa kadhaa lakin Alhamdulillah wamefunga ila hao wanaoleta hoja zao wanajidanganya tu lakin twawaombea kwa Allah watuongoze pamoja na sisi
@LevinOtieno-tx1fd
@LevinOtieno-tx1fd 5 ай бұрын
Sheikh nassor bachu naona wengi wakikusemesha mtandaoni ila ni elmu ndo hawana..... Allah awajaliie elmu na Allah SWT akuhifadhi.... Ameeeeeeeeeeeennnnnnn❤❤❤❤
@azizayassin3623
@azizayassin3623 5 ай бұрын
Elimu adi angalie cm ndio ajibu swali jiongezeni nendeni mkamsikilize shekhe Othoman maalimu ❤ Allah ampe umri mrefu na siha njema Ameen na wala haringi wla kujibizana na watu yni full kujishusha atoe darasa sasa hawezi kutoka enje ya mada wla kumuita mtu kwa jina lisilo lake kuweni na abadu ya kuongea na watu yni sasa hvi wakiristo wnatucheka na kusema ndio maana tko masikini 😂😂😂😂 mno kwa chuki zisizo na maana
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 5 ай бұрын
ahekh ochu harumsililizi kwa sabab ni mtu wa BIDAA ​@@azizayassin3623
@NasoorUstadh
@NasoorUstadh 5 ай бұрын
Maashaa ALLAAHU mdogo mwanangu Mimi ni babaako Nassoro Mgaza wa korogwe Tanga ni rafiki mkubwa wa babaako fadhiolayu sheikh Nassoro bachu, Leo umenifurahisha sana umeitowa dar'sa Kwa utaratibu sana na Kwa ufadwaha wa Hali ya juu sana, Allah akubariki katika elimu Yako, akupe umri mrefu wenye baraka na fanaka, unafanya kazi kubwa sana ya kuwelimisha umma, jazaakumullaahu khayran
@jafarimalesi3872
@jafarimalesi3872 5 ай бұрын
Alhamdulillah for today Alhamdulillah for Islam,,Bachu may Allah reward you Ameen
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 5 ай бұрын
Sheikh Mohammad Allah akujazi kila la kheri na swiha njema.ameen
@KhalidHassan-om2yy
@KhalidHassan-om2yy 5 ай бұрын
Allah akulipe kila la kheyr tuwaombe duwa wenzetu ambao hawaja ijuwa haki Allah awajalie waijuwe haki na waweze kuifata
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 5 ай бұрын
Allaah akuhifadhi Shekh, kwakweli watu wanakuelewa vizuri sana, usione kimya hiki, watu wanakuelewa sana, na kila wanyanyuapo midomo kukujibu ndio huwafanya watu waweke maskio vizuri kwani unasema nini
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 5 ай бұрын
Mazuzu ndio mwamuelewa vizuri wenye ilimu wamuona bachu chizi na chizi kweli ilimu hana anapingana na maneno ya mtume na maswahaba na wema walio tangulia
@RehemaMkandawile-i3l
@RehemaMkandawile-i3l 5 ай бұрын
Mungu akujaalie heri shekhe wetu ,tunakuelewa vizuri
@salimuhujja
@salimuhujja 5 ай бұрын
20:32 Shukran sheh kwa elimu unayotupa Allah akufadhi mahasid
@hamisisaidi9525
@hamisisaidi9525 5 ай бұрын
Allah atujaalie mwisho mwema,katika maisha haya ya dunia. Hasa katik kipindi hiki kigum cha mikanganyiko.🙏🙏
@ashrafhashim2116
@ashrafhashim2116 5 ай бұрын
Vizur lakini alama hii🙏 imekatazwa na ulamaa ilikuwa inatumika na washirikina
@hadijaismail3619
@hadijaismail3619 5 ай бұрын
Asnte kwa kutujuza
@KhalifaSalim-s3f
@KhalifaSalim-s3f 5 ай бұрын
Mashallah yani katika video zote ulizo ziandaa siwahi ona video umetulia kama hii darsa inataka uwe kama hivi (kauli laini mtu akuelewe binafsi mimi sio madh hebu yako lakini nishaanza kukuelewa ALLAH AKUHIFADHI.
@abubakarshalo3863
@abubakarshalo3863 5 ай бұрын
Mashalah sheikh mungu akubariki na ndugu zetu mungu awape hidaya inshalah
@HamidiYusuph
@HamidiYusuph 5 ай бұрын
Allah akulipe ujira insaallah na namuomba Allah amlipe ujira mkubwa babayako shekh nasoro katika mashekh ninaowapenda wakwanza ni shekh nasoro Allah amsamehe makosa yake na amlipe Pepo insaallah
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 5 ай бұрын
HUYU MOHAMED BACHU NI FASIKI KATIKA UISLAM NA WAISLAM ALLAH AMUONGOZE YEYE NA MAWAHABI WENZIWE PAMOJA NA SISI AMIN AMIN AMIN
@suleimanahmadaali5989
@suleimanahmadaali5989 5 ай бұрын
Namuomba Allah aaenze kukuongea wewe na akuwafikishe kuijua hakki
@Fatuma-t9m
@Fatuma-t9m 5 ай бұрын
Alhaju Arafa sheikh tena wanaokutana ni watu tafauti wakimomba Allah maqfira iweje leo siku ya Eeid ul'Adha ndio mtu afunge Arafa hao wangefika hija alafu waseme arafa yetu ni kesho hiyo inaigia akili Allah atufahamishe Masha'Allah Tabaraka'Allah sheikh
@saidali9255
@saidali9255 5 ай бұрын
Insha Allah Mwenyezi Mungu Akulinde na Wenye Mioyo ya Hassad,tunakuombea Allah akuzidishie Elimu yenye Manufaa kwetu! Nasi pia atupe Elimu na Maarifa na ufahamu maridhawa!
@feisaldesign4156
@feisaldesign4156 5 ай бұрын
The young to be come new generation Allah Akuhifadh ww na sisi
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 5 ай бұрын
❤❤❤❤اللهم اغفر لي ولوالدي وللمسلمين والمسلمات والمؤمنين والمؤمنات الأحياء منهم والأموات إنك سميعٌ قريبٌ مجيب الدعوات. اللهم أصلح أحوال المسلمين في كل مكان وشفِ مرضانا ومرضى المسلمين. اللهم اجعل القرآن الكريم ربيع قلوبنا ونور صدورنا وجلاء أحزاننا وذهاب همومنا
@dalfatsoud6119
@dalfatsoud6119 5 ай бұрын
Mashallah May Allah reward you with the goodness. Haki haishindani na batil Mwenyezi Mungu amuongoze sheikh Farid
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 5 ай бұрын
Barakh Allah Kher sheikh wetu kipenzi
@ShaibMussa
@ShaibMussa 5 ай бұрын
Mashaallah shekh letu mwenye akili atakufahamu vizur saan ila kwa waabudu makabur awafaham kabsa yani nyoyo zao zimekufa kwa kusujudia makabur
@mtunziofficial
@mtunziofficial 5 ай бұрын
JAZAAKALLAAHU KHEIR SHEIKH. MWENYEZI MUNGU AKULIPE, INSHALLAH...✍️
@rahimmbezi9936
@rahimmbezi9936 5 ай бұрын
Allah Subhaanahu Wata'ala akuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu... wewe na familia yako, akulinde kutokana na ushirikina na washirikina, bida'a na watu wa bida'a pamoja na hizbu salafi.. pia usisahau kutupa nondo kuhusu hizbu salafi
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 5 ай бұрын
HAPA inabidi wanaopiga watuambie Tanzania na SAUDIA tunapishana masaa mangapi???SHEIKH MUHMADI BACHU YUPO SAHIHI
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 5 ай бұрын
​@@HamisAbdallah-cj2scaliye kudanganya nani saudia kwa pambazuka sakumi Tanzania ni usiku na kwa pambauka kumi na mbili tafauti hio na siku zikichenji magrib saidia kuna miezi kumi na moja kushaingia magrib Tanzania kenya bado jua linangaa alafu bachu hayuko sahi mwanzo yuwapinga maneno ya mtume na maswahaba na wema walio tangulia bachu mpotoshaji na ilimu hana wallah
@BinmuhamadSuwayd
@BinmuhamadSuwayd 5 ай бұрын
Kila mtu yuwaelew na maneno yako wazi km waona nimpigoshaji kwako ww pekeako lkn watu wote wameelew wale wenye chuki na usufi ndio hawaelew
@RehemaMkandawile-i3l
@RehemaMkandawile-i3l 5 ай бұрын
mungu atujaalie Kila lenye heri shekhe bachu
@fatumasaidhussein5300
@fatumasaidhussein5300 5 ай бұрын
Nina swali kama unataka ufunge kesho arafa kisimamo unasimama usiku wa leo au baad ya kuftur
@saidjuma4547
@saidjuma4547 5 ай бұрын
inshallah kheri Allah atupe kheri
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 5 ай бұрын
فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة ‏ "♥"🤲🏽❤
@mohagurey2214
@mohagurey2214 5 ай бұрын
Wallahi umebainisha kama mchana ya saa saba na sisi ni shahidi wako. Mwenye kutaka kupoteza hio siku hatakuwa na wa kulaumu
@RashidSalim-n3f
@RashidSalim-n3f 5 ай бұрын
Swadakta barakallahu fika kwa hili Mola akupe kheri na atuongoze sote ila Mohammed bachu punguza kuwadhalilisha masheikh wengine tumia tu hekima
@SaumuBakari-kq8hh
@SaumuBakari-kq8hh 5 ай бұрын
Allah akuhifadhi pamja na waislam wote walioijua haq
@KhalifaSalim-s3f
@KhalifaSalim-s3f 5 ай бұрын
ALLAH akuhifadhi akufishe katika uislam ukiwa mchaMungu kweli kweli.
@nurdinmussa-vl4xn
@nurdinmussa-vl4xn 5 ай бұрын
Baraka LLAAHU Fik shekh
@destinymediapro2083
@destinymediapro2083 5 ай бұрын
Kwa. Hyo wengine hawasemehewi maisha yao? Kwa sababu mda huo unaosema ww wengine wamelala shekh... Una uhakika wewe uko sawa peke yako na nyie ndo mnaopendwa peke yenu...
@AishaSalum-hq8zq
@AishaSalum-hq8zq 5 ай бұрын
Ubishi na kejeli vyote viliwaponza waliopita kabla yetu.
@AishaSalum-hq8zq
@AishaSalum-hq8zq 5 ай бұрын
Uhakika anao Allah s. w sio binadam huyu shekh nikiumbe dhaifu kama sisi anachofanya ni kutufundisha kile anachokifahamu wala hana elimu ya ghaib anayojua ni Allah.
@Dilungatv
@Dilungatv 5 ай бұрын
Maalim bachu itapendeza sana ukiwa unaongea kama hivi yaan umetulia mpk raha kukusikiliza tunaomba uwe unaongea kama hivi kwa upole tunainjoy sana
@abulhassanchannel2741
@abulhassanchannel2741 5 ай бұрын
Mfano mzuri inchi za Ashia, India Nepal na zengine wao wapo mbele ya Saudia nashangaa watu wabidaa huangalia nchi zilizopo nyuma ya Saudia Allah atuongoze.
@MistersalohSaid
@MistersalohSaid 5 ай бұрын
Mtu wa bidaa ni wewe usiekuwa na hofu moyo wako tumia akili
@MAHMUDABDALLA-d4u
@MAHMUDABDALLA-d4u 5 ай бұрын
Nakumbuka zamani tulikua tukifuata Arafa ya saudia sote bila ubishi lkn sikuhizi kumekuja masheikh wakabadilisha msingi Ya Allah tujalie uongozo uliobora 🤲🤲
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf 5 ай бұрын
Wew na nan mlikuwa mwafata saudia wakati huo tv hakuna mlikuwa mwafataje,???? Hay mambo ya kufata saudia yameanza baada ya Tv kuwepo watu wanaona ibada zinavyo fanyika kule…. Funga siku ya ARAFA na kisimamo cha ARAFA ni vitu viwili tofauti…..
@BinmuhamadSuwayd
@BinmuhamadSuwayd 5 ай бұрын
Mpka nikutaje mwanangu in Sha Allh bachu❤
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 5 ай бұрын
MashaAllah sheikh bachu
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 5 ай бұрын
Allah akuhifadh, alupe ngumu na akukinge na kila balaa InshaAllah
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi 5 ай бұрын
Sheikh tupo pamoja na ww kw uwezo wa Allah InshaAllah
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge 5 ай бұрын
Uyu sheikh ni big memory
@MaulidFadhil-qi2dh
@MaulidFadhil-qi2dh 5 ай бұрын
جزاك الله خيراً وبارك الله فيك اخي الكريم
@ayoubmasenza1598
@ayoubmasenza1598 5 ай бұрын
Allah Ibaarik
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 5 ай бұрын
جمعنا الله وإياكم في الفردوس الاعلى دون حساب ولا سابقة عذااب
@meowzna
@meowzna 5 ай бұрын
Jazakallahu Kheir Sheikh🙏
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 5 ай бұрын
MashaaAllah, Jazakallah khairan
@farishfarish258
@farishfarish258 5 ай бұрын
Allah akulinde maalim tufikishie inshallah
@swahabahusein23
@swahabahusein23 5 ай бұрын
Nairobi tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 ай бұрын
Mm naamini Arafah ni 1 kweli lakini Shekh unasema Allah anashuka baadaa Lassir je kwa nchi ambazo tayar Lassir ishawapita inakuaje hapa naomba m2 anifafanulie
@Zanha582
@Zanha582 5 ай бұрын
Shukrani sana MUNGU akulipe heri
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 5 ай бұрын
MashaAllah ❤ na'am sheghe wetu
@MochammdHadija-pn7nn
@MochammdHadija-pn7nn 5 ай бұрын
Mashaallah tabarak Allah
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 5 ай бұрын
HII SAUTI LEO IMETOKA KAMA YA SWAHIBU YAKO SHEIKH ABUU UMEIR ADAM KHAMIS 😂😂maa shaa allah
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 5 ай бұрын
Bakwata wanatuchezea akili sana kwenye dini yetu 😢mufti wa Tanzania mwenyewe yuko hajj na lazima amefunga leo alaf anatuambia wengine iddi jmatatu😢😢😢
@nasirmmaka7188
@nasirmmaka7188 5 ай бұрын
Watu walioko Saudia wao hawafungi Bali wanasimama kisimamo katika viwanja vya Arafat, Sisi ambao hatupo kule ndio tunafunga mkuuu
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf 5 ай бұрын
Hamna kitu hapa, Maji fata mgumbo huu ni ujinga wenye mapembe nenda kasome huna ulijualo…..
@abdulhalimomar5329
@abdulhalimomar5329 5 ай бұрын
Yaani dini mambo yake yaanafananishwa na mambo ya kikafiri hatuwezi kufananiza na kalenda za wazungu ,maneno mazuri lakin ushahidi ndio kitu muhimu ushahidi ndio hoja sio maneno mazuri ,Allah ndio mjuzi zaidi
@NuzlaBunu
@NuzlaBunu 5 ай бұрын
Mashaallah shk bachu ❤
@SharafuAli
@SharafuAli 5 ай бұрын
Masha Allah
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 5 ай бұрын
Shehe ustadh said ywakusubili mombasa
@omarsuleiman9064
@omarsuleiman9064 5 ай бұрын
Shekhe kama siku zote unaongea kwa kutulia bac watu wengi wangekuelewa ila siku nyingine dah bac Allah atuongeze insha
@JumaHaji-zz8xk
@JumaHaji-zz8xk 5 ай бұрын
Alla akuzidishie wataelewa tu
@Raissaabdoul
@Raissaabdoul 5 ай бұрын
Allah akuifazi sheikh na kulipe kila laheri
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 5 ай бұрын
Allah atufanyie wepesi
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 5 ай бұрын
Maashallah
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf 5 ай бұрын
Wallaahi ni mtihani mkubwa san, Una fungamanisha vip kisimamo cha mahujaji na funga???? Mtume kafunga funga ya ARAFA mwaka wa Tatu wa nne wa tano wa sita saba mpaka mwaka wa nane.,…hapo hija bado… Je mtume alipo kuwa ana funga miaka yoooote hiyo ni mahujaji gani walio kuwa wakisimama katika viwanja vya ARAFA???????? Ukinijibu niko paleeeeeeeeeeeeeeeee
@rajababdallah9239
@rajababdallah9239 5 ай бұрын
Al-Akh. Nenda kasome vitabu hivi:- Al-Hulaasatul-qayyima fiy fataawa lajinatu ddaaima. Juzuu ya pili ukurasa wa 475. Kasome, Fatawa Aimmatul-islaami fiy swiyaam. Cha Mwanachuoni Abdullahi Ibnu Ahmad Al-Allaf. Ukurasa wa 95. Kasome. Almughni libni kuddaama Almaqdisiy. Kasome. Al-Hadiyyatu Almardhiyya. Sherhe ya Mukaddima.na hichi ni kitabu cha kishafi ukurasa wa 555.
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 5 ай бұрын
Mm nashangaaa hao mashehe wanao pinga unawakuta wengi wao leo hii wamefunga
@Sheba4651
@Sheba4651 5 ай бұрын
😂😂😂 Wanajidai ati hawajafunga kwa nia si siku ya Arafa. Lakini wamefunga, sasa funga yao itakubaliwa huku wamewaambia uongo wafuasi wao, kisha wao nia zao Arafa leo.
@hadijaismail3619
@hadijaismail3619 5 ай бұрын
Allahu ya Alam😔😔
@allysaid5800
@allysaid5800 5 ай бұрын
Shukran alhabiby anaa uhibbuka fillaah
@hajikomora703
@hajikomora703 5 ай бұрын
جزاك الله خيرا لبيان الحق
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 5 ай бұрын
Ma shaa Allaah shukran
@yousufbadrou32
@yousufbadrou32 5 ай бұрын
Alhamdulillahi tumemaliza saum ya arafa
@hamidualy6979
@hamidualy6979 5 ай бұрын
Mungu atupe kila la kheri
@Muharram-c5n
@Muharram-c5n 5 ай бұрын
Baaraka llahu fik
@gabaleali695
@gabaleali695 5 ай бұрын
mashaaAllah
@YassirmohdAli
@YassirmohdAli 5 ай бұрын
Takabbalallah minna maninkum
@MasaiIbrahim
@MasaiIbrahim 5 ай бұрын
Alhamdullah...
@NasirJussa
@NasirJussa 5 ай бұрын
Safii mashallah 😊
@msabahaali758
@msabahaali758 5 ай бұрын
Allah atukubalie aamali zetu
@meowzna
@meowzna 5 ай бұрын
Ameen Yaraab🤲
@salimbaalwy9388
@salimbaalwy9388 5 ай бұрын
TAQABBALA LLAAH MINNAA WMINKUM SAALIHAL A'AMAAL
@dhahirdin
@dhahirdin 5 ай бұрын
NAAM SAHIHI
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 5 ай бұрын
Tumemaliza Arafah salama Alhamdulilah
@destinymediapro2083
@destinymediapro2083 5 ай бұрын
Allah akukubalieni hijja yenu!
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj 5 ай бұрын
@@destinymediapro2083 Amin 🤲
@AhmedAlly-xe3uw
@AhmedAlly-xe3uw 5 ай бұрын
Alhamdulillah
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 5 ай бұрын
Juzi ile ulipomradi Sheikh Saidi siku hii ulituaminisha kuwa siku hii ni ndogo sana.Hukumbuki?
@azizayassin3623
@azizayassin3623 5 ай бұрын
Vp shekhe amesema wcha kutafri utakavyo wewe yko tayar akufate adi kwenu zanzibar 😂😂😂😂😂😂
@ShaibMussa
@ShaibMussa 5 ай бұрын
Mashaallah mafusi kazi mnayo
@MizaniOnlinetv
@MizaniOnlinetv 5 ай бұрын
Leo ni mwezi 8 dhul hijjah na 9 Saudia. Wanazuoni wote wanasema siku ya awaumu ni mwezi 9 wala sio mwezi 8. Acha kudanganya watu na heshimu maneno ya Mtume saw aliposema wanaotaka kuchika watazame mwezi ukiandama ndipo waan?e kuhesabu. Na pili hakuna hadithi ya Mtume saw inasem ili watu wafunve lazima watazame kama viwanja vya ARAFA MAHUJAJI WAMESIMAMA. PITIA SOMO LA ADABU KUHUSU IKHTILAF BAINA YA WANAZUONI.
@CytneSikilo
@CytneSikilo 5 ай бұрын
Wewe umeghafirika uelewa wako ni wakukalili
@allyabuukhalfan
@allyabuukhalfan 5 ай бұрын
Endelea na maisha yako ya kufata ikhtilaf
@MwalimJecha
@MwalimJecha 5 ай бұрын
Funga ya arafa iliyo sahihi ni kufunga Kwa mujibu wa mwezi Tisa wa nchi yako na Wala si vinginevyo. Kuna waropokwaji Fulani wanapotosha musiwafuate.
@allyabuukhalfan
@allyabuukhalfan 5 ай бұрын
Tumeambiwa tufunge siku ya Arafa sio siku ya 9
@OmarShela-p2z
@OmarShela-p2z 5 ай бұрын
Kwanza Allah hashuki, pili Allah hana sifa ya kuondoka sem moja kwenda sem nyengine halaf je iyo jioni ni jioni ya nchi gani? Mana jioni kila mda inakuepo duniani? Nakuomba nijipu ewe mheshmiwa padri Muhammad Bachoo
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani 5 ай бұрын
Ungemsikiliza pasipo mhemko ungemuelewa vema tu, ila kwa sababu kuna mahali unaegemea huwezi kuelewa akhy
@alimzee7397
@alimzee7397 5 ай бұрын
Inawezekana wewe sio muislamu mambo ya waislamu hayakuhusu tafuta mambo ya maaskofu ukoment
@OmarShela-p2z
@OmarShela-p2z 5 ай бұрын
@@alimzee7397.... Sio muislam kweli mana anawafata mawahabi na mawahabi ni wakristo no 2 sasa sijui na wewe ni padri au askofu?
@destinymediapro2083
@destinymediapro2083 5 ай бұрын
​@@LumumbaFarhani ndio manahizo ikhtilafu haziondoki kwa sbbu kila mmoja na ufhamu wake.. kilicho kibaya zaidi ni kuona ww ulofhamu ivyo ndio umeongoka na mwezio ndio kapotea... Hizo ni shida za mawahabi kwamba wao tu ndio wapo kwenye njia sahih lau tungeheshimiana kwa mujibu wa ufhamu basi kusingekuwa na vurugu hizo. Ila mnalazimisha watu kufuata njia yenu na kujikinaisha kabisa kuwa nyie ndio mko sahihi... Allah atukubalie sote kwa nia zetu muhimu tifnye kwa ikhlasi tu...
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 5 ай бұрын
Japani china new zelend korea philipins jumamosi imeanza kwao Arafa wameiaza wao na tutafuna nao pamoja kwani siku ni hii hii tu
@Albanabdullah1232
@Albanabdullah1232 5 ай бұрын
Nenda tena kenya ukaminyane nni arafa
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 5 ай бұрын
Maa sha Allah.. ALHAMDULILAH.. Umesema kweli nahil ndio inayokuletea chuki zaidi sabb hoja kama hizi Sio rahisi kuzipata upande wapili .. Nikweli kabisa hakuna nchi duniani tunayopishana masaa 24 kamili.. Nchi pekee iliyoko mbali zaidi nasisi tunayopishana nayo masaa 23 tu inaitwa Honululu pekee.. Zingine zote zipo chini ya masaa 24. Hivyo kwa mzunguko huo kila mmoja duniani mwenye imani anaweza pata ibada hii. Shukran sana Jazaqallahu khaira.
@ushindiushindi5749
@ushindiushindi5749 5 ай бұрын
Mashaallah
@AbdulkadirAbdalla-p7k
@AbdulkadirAbdalla-p7k 5 ай бұрын
Sheikh tumekuskia maneno yako mazuri sana ila kwann hayana dalili yoyote au tufate maneno yako bila kutumia miongozo tuliowekewa waislam (Qur-an au hadithi?
@athumanabubakary5930
@athumanabubakary5930 5 ай бұрын
Sema wew MUONGOZO upi unaopingana na shekh
@ibraaahmwanyello6233
@ibraaahmwanyello6233 5 ай бұрын
😂😂 mimi sipo makkah na nilipo kuna viongozi siwez potoshwa na youtube wala mtandao wa kijamii wowote funga ya arafa kwa tanzania ni kesho in shaa Allah... mashekhe na kutak umaarufu inafikia hatua wanatoka kwenye misingi yao any way mungu Awafumbue mlikolala
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani 5 ай бұрын
hata ukifunga kesho kutwa au mwezi ujao inaweza kukufaa vema ni kuijua kweli na kuifuata
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di 5 ай бұрын
Na labda ungeenda Hijja ndio angefata huko au ungesema yako Ni kesho
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 5 ай бұрын
Wanaopinga ni wale vibaraka wanaotumika wanaowapoteza waislamu
@athumanmlema1870
@athumanmlema1870 5 ай бұрын
Honolulu saa Mbili usiku tarehe 14/June Wakiamka wanaanza kufunga wakati mahujaj washamaliza Maana difference of 13 hours. Kama suala kuendana Na mahujaj hapo panaukweli
@FaaidaTVtz
@FaaidaTVtz 5 ай бұрын
Hayo masaa 13 ni ndani ya siku ile ile ya Arafa yenye masaa 24 kwa hiyo funga yao ni sahihi.
@destinymediapro2083
@destinymediapro2083 5 ай бұрын
​@@FaaidaTVtz ndio fubga ni sahihi kwa sbabu watakuwa kwao ni mwez tisa ila kwa hoja yenu ya kuafikiana nao si ndo itakuwa wamekosa fadhila za Allah anaposhuka mda wa lasiri mpaka maghrbi???
@FaaidaTVtz
@FaaidaTVtz 5 ай бұрын
@destinymediapro2083 Allah anashuka kwa ajili ya mahujaji walioviwanja vya Arafa ndani ya siku moja yenye masaa 24, kila aliyefunga siku hiyo neema za Allah zitamfika. Swali kwako, kama Honolulu watapadha udhuru kwasababu ya tofauti kubwa ya masaa na Saudia, vipi wewe wa Tanzania hufungi hali ya kuwa masaa yako ni sawa na masaa ya Saudia..?
@JailaniRamadhan-it3kp
@JailaniRamadhan-it3kp 5 ай бұрын
Tanzania leo j pili ndio arafa
@zimammbaruk4231
@zimammbaruk4231 5 ай бұрын
Tatizo lenu masarafina wa mchongo hamjui hata dunia inavyo enda, hizo kelele zote mnazo piga ziliazia 1980 hapa kuja juu,ikiwa ssivi tuko 2024. Hivi niambieni, Kuanzia -000 hadi 1400 hijiria, unataka kutuambia ibada za walio pita zilikua nakasone? Kuanzia kwa Mtume, Maswahaba, Tabiina, Tabii Tabiina, na Wana zuoni woote walio pita walikosea?. Mtume wakati anataka kuaga dunia aliwaita Maswahaba zake na akawasomea aya hii-- Alyawma akmaltum lakum diinakum, wa atmamtum alaykum niimaty, waradhitu lakum l-Islama diima, Jee !! Masarafina mnataka kutuambia nini kuhusu hii aya? Jee Mtume alisema uongo? Kaiacha dunia ya Kiislam na mfarakano.tambua Kama kuna bidaa kubwa mlio izusha basi nihii na mtaenda kujibu "WATU WA KALENDA" Mwezi mnaangalia kwenye kalenda
@abalhassan681
@abalhassan681 5 ай бұрын
Lakini wao watakuwa washaondoka katika viwanja na nyinyi mnafuata kitendo Cha Arafa
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 5 ай бұрын
Enyi majahili wa kidufi ,hakuna nchi duniani eti kwetu ni tarehe 8 na kwao ni tarehe 9 !!wala hakuna ktkt dunia hii kwetu ni jumamosi na kwao ni ijumaa!! kwa hiyo hakuna terehe za saudia na tarehe za Africa!!
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 5 ай бұрын
ان عرفة يوم يعرف الاءيمام Hakika ya ni siku anayotangaza IMAM ktk hadithi hii masluk ameomba maziwa kutka kwa bibib aisha r.a ili anywe ....bibi aisha alikuwa amefun arafa ..bibi aisha akamuuliza masluk ...je wewe hukufunga ? Masluk akajibu sisi tumfunga jana nd bibi aisha akamjibu masluk kwa maneno hay ان عرفة يوم يعرف الاءمام Arafa ni siku atakaytangaza imam wa MAKKA Hapa unaona kuwa masluk walikosea kwa kufunga kwao mwezi 9 sababu haikuwa siku ILOTANGAZWA NA IMAM WA MAKKA KUWA NI SIMU YA ARAFA HUYU MASLUK ALIKUWA NI TABIINA
@LumumbaFarhani
@LumumbaFarhani 5 ай бұрын
nadhani hapo jawabu limefanana na Sheikh Muhammad Bachu sasa hawa watu wetu tatizo lao ni nini mpaka masheikh wao wawe na Arafa zao?
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 5 ай бұрын
Mimi nawashangaa sana vijitoto viduuuuchu, kujivisha mbavu eti vinataka kupambana na myamba😂😂😂 kina haji upapa😂😂😂😂😂😂
@salimtz6
@salimtz6 5 ай бұрын
Tafuta Elim kijana
@JumbiSecondary
@JumbiSecondary 5 ай бұрын
Ni nani wa kusikizwa na kutiiwa?
@sadikadam5251
@sadikadam5251 5 ай бұрын
Nahisi kujibu kw clip sio sahihi lkn lakin muhmu tunataka munakasha tu
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 5 ай бұрын
Wewe ni mpotoshaji
@jabaruti001
@jabaruti001 5 ай бұрын
Rudi ukasome bwana ikiwa Saudia hawataki kufuatwa una ulazima gani kuwafuata nani atachukua hiyo dhamana
@MuhammadShali69
@MuhammadShali69 5 ай бұрын
Mungu hakuwaafikia wengine kupata Arafa🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bachuuu wallahy wabillahy huna akili timamu ww...kwenye ibada mungu aeza wakosesha wengne kweli? Haya na swala zao zitakuwa vp? Ama pia wamepata udhru huo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bachu the churchill sheikh
@nouhamour545
@nouhamour545 5 ай бұрын
Saudia wako mbele masaa 7 maanake hawa hawaipati arafah maisha yao yote je Allah amejaalia watu wa maeneo fulani kuipata arafah??
@muhammad-o8r9t
@muhammad-o8r9t 5 ай бұрын
Wapo mbele kulinganisha nanchi gani ?
@MussaYasini
@MussaYasini 5 ай бұрын
Mbona unachekesha wapo mbele kwamsaa7 ukilinganisha na nchigan?!
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 5 ай бұрын
Acha uongo wewe wapo mbele Na nchi gani? Au chuki imekujaa ?
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 5 ай бұрын
Acha uongo wewe wapo mbele Na nchi gani? Au chuki imekujaa ?
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 5 ай бұрын
Acha uongo wewe wapo mbele masaa7 Na nchi gani? Au chuki imekujaa ?
СКОЛЬКО ПАЛЬЦЕВ ТУТ?
00:16
Masomka
Рет қаралды 3,4 МЛН
Каха и лужа  #непосредственнокаха
00:15
WACHA KUPELEKA MKE WAKO KWA YUSSUF DIWANI NA DAWA ZAKE || Muhammad Bachu.
24:52
NASAHA FUPI ZA SHEKH MUHAMMAD BACHU AKIWA  KATIKATI YA BAHARI
8:46
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 4,5 М.
WACHENI MATUSI NJOONI MUJIBU HOJA $JE TAUHID TATU NI BIDAA$ || Muhammad Bachu
27:47
SURATUL KAH FI NA MAAJABU YAKE MUUMINI SHEKHE NASSOOR BACHU
45:54
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 1,3 М.
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32
KAMA MUNAKUBALI TAWHIYD INAGAWIKA SASA YANINI MUPIGE KELELE || Muhammad Bachu.
1:04:10
MUHAMMAD BACHU NI MFITINISHAJI ANAETAFUTA UMAARUFU SI MSOMI
8:26
Alwiy Muhanna
Рет қаралды 11 М.