Born Catholic, Raised Catholic, Forever Catholic ❤️❤️
@siatemu28603 жыл бұрын
Leteni ndama walionona madhabahuni kwa Bwana tena toeni bila kinyongo moyoni ndipo mtabarikiwa naye x 2 1. Leteni ndama aliyeshiba majani ya kondeni, mkamtolee Mungu Baba yenu kwa shukrani. 2. Peleka sadaka yako iliyo safi na ya kupendeza, ndipo utakapokitikisa kiti cha mwenyezi. 3. Kumbuka yule mjane aliyetoa senti moja, alibarikiwa na kuongezewa na mwenyezi. 4. Sadaka iliyo safi ni ile inayokugusa wewe, hiyo ndiyo sadaka iliyo safi sana. 5. Isaka alitolewa na baba yake kama sadaka, hivyo Abrahamu alizidishiwa uzao wake.
@patelkanyiba87653 жыл бұрын
Tafadhali tuandikie wimbo Wa tunaleta matoleo by Mukasa pia. Asante sana Kwa kazi nzuri
@CollinsTuikong4 жыл бұрын
Mungu ailaze moyo wa Mtegeta mahali pema. Mwanga umwangazie eeh Bwana.
@emmanuelmsoffe72243 жыл бұрын
Amina.itoshe t mm kusema hivyo.maana nahisi nafsi yangu imeokolewa na nimekuwa mtu mwema kwa ujumbe huu mzuri na wakufana sana
@Kary_254 Жыл бұрын
Alililiiii nice song
@benjaminkundy1284 жыл бұрын
More blessed to be a Christian above all under Roman Catholic ...
@timotheomassawa10473 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni amrehemu
@vincentkioko3797 Жыл бұрын
Nice one 👍
@musyokipeter80555 ай бұрын
Very nice❤
@mariachuri71233 жыл бұрын
Wonderful...wimbo wangu pendwa sana,,,hongereni sana kwa utume
@mercykiarie90282 жыл бұрын
Kali
@collinsshake71313 жыл бұрын
wimbo mtamu sana
@raymond_anthony954 жыл бұрын
Mtunzi Faustine Mtegeta
@stephenstrathmore12853 жыл бұрын
kazi nzuri
@pulithosh.kic-hug.70843 жыл бұрын
Melodious Voices...,🔥🔥🔥
@BonaventureMbwile14 күн бұрын
Sauti ya pili twape like zaooo
@geofreykange65264 жыл бұрын
Upokelewe Mbinguni kwenye makao ya Bwana,RIP Mwalimu
@JugoMedia4 жыл бұрын
Amina
@enriqueonsakia4 жыл бұрын
Hongera waimbaji
@donaldkaseka19384 жыл бұрын
Mbona Tempo kasi sana?
@traudkamugisha80514 жыл бұрын
tempo mbona iko speed sana?? Mpiga kinanda punguza make umepunguza utamu wa wimbo kwasababu ya tempo yako kuwa speed sana.
@amedeuslyimo23154 жыл бұрын
Kweli lakini ni wimbo mzuri sana
@emmanuelykutyala38933 жыл бұрын
Tempo imepoteza radha...
@petergeorge77573 жыл бұрын
Kwao utamu ulikuwa vile,,,am sure the song has no directions as to what tempo should be used leaving it at their discretion
@ktkkilan Жыл бұрын
This is the best tempo for this kind of setting, it's celebratory!