Ukiona mtu anaomba likes kwenye video kwa kuwa wakwanza au kwa namna yoyote elewa watu wa aina hiyo Huwa hawasikilizagi somo lililo postiwa na ikitokea akasikikuza basi hatoisikiliza video au audio yote na kuimaliza wao kwao muhimu ni kusema ni wakwanza kulitazama au kuomba likes
@Sanga_jr_2411 ай бұрын
Like za @Joel kwangu Leo 😅
@brackskinyozi32809 ай бұрын
Asante... coach Joel....haki....kw..siku bila kukusikiliza...hua najikuta siko sawa... napenda xana series... mungu azidi kukubariki 🙏🙏
@work24onme11 ай бұрын
HOLY SPIRIT , AMEN 🙏🏼 ASANTE SANA MWALI JOEL, MWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE NA KUKULINDA 24HRS, AMEN 🙏🏼
@veronicawangari808911 ай бұрын
Napenda sana somo la asubuhi 👂👂 kila siku. nikama Mimi nime ishi Kwa ngiza Kwa mda mrefu Sasa dio naishi
@JuniorKabicky11 ай бұрын
Daaaaaah umejua kuona nikitu gani nlikua napitia ayo yoteee uliosema yamenikuta nashukuru sanaaaa kaka umefanya niwe mtu bora kila siku 🙏🙏🙏
@elishamwalongo301010 ай бұрын
nimefrahi mnoo kuona kwenyee life wisdom umeongeza dakik kdg asante mkubwa
@shukranjulius952611 ай бұрын
Mungu akutunze kilasiku umekua baraka kwa mataifa mengi
@ahz690711 ай бұрын
Amyn amen amina🙏
@faudhiasalum727911 ай бұрын
Amen amen amen Ubarikiwe sana kaka Joel ❤
@Majariwauser-jj6si5vm6n11 ай бұрын
Kiongozi wangu mungu akulinde ili ufanikishe maonoyako uliyoyApanga na akupe afyavyema miaka mingi🙏👏
@johnjames-pw1dp11 ай бұрын
Elimu kubwa sana Bro unafundisha Asante sana 🙏🙏🙏🙏🙏
@ashangonyani798911 ай бұрын
🙏🙏🙏. Neno kuntu👌
@goldiegranted550111 ай бұрын
Somo 🔥🔥🔥
@edsonjosephat477711 ай бұрын
🙏
@imanihaitv668211 ай бұрын
Hongera sana kaka!
@EmmanuelHhawu11 ай бұрын
Thank you very much brother for your lesson .🙏🙏
@mhangwajr123011 ай бұрын
Nimejifunza
@michaelmulokozi151211 ай бұрын
Dah nilishatapeliwa 7+M Sijasahau mpk leo 🥺
@melodymutio72711 ай бұрын
Hello ,niliacha kazi,nikafungua biz na sikuona mwelekeo hata kodi ikawa changamoto,nilpata depression na niljipata katka hali ngumu,nmetafuta kazi nmekosa , kwa umri wangu48 yrs sijapata tena. Lkn nakusikiliza naona mwanga kwa mbali. nakusikiliza
@ahz690711 ай бұрын
Pole ndugu.nimeajiriwa kwa takriban miaka 15 hivi kwenye kampuni moja. Mwaka huu october ntatimiza miaka 40 tangu kuzaliwa. Nimekuwa nikifikiria kuacha kazi nijiajiri ninasita sita. Nadhani kuna mambo ya kujifunza kwako kwa kilichokukuta. Unaweza kunishaurije? Maana naona nimekinai kuajiriwa...pia nina hofu ya kuacha kazi then kujiajiri kusiwe na tija
@chance070911 ай бұрын
Ndugu sikiliza moyo wako! Kama inakukubalia ku jiajiri usisite kufanya hivio.
@zzeby204311 ай бұрын
@@ahz6907 anza kufanya biashara huku umeajiriwa
@zakariachacha757411 ай бұрын
Pole ndg yangu
@PlacidRitte-lo2br11 ай бұрын
Mm nilichukua laki nane kwenye kikoba asubuh nikatapeliwa yote siku hiyo hyo ila nikimaliza marejesho nachukua tena
@KassimHassanMajuto11 ай бұрын
Kuna kityuu umekiongez kichwan kwwñg kk Tang niañze kukuskiliza actually nilipitia situation ya kupteza màmb meng kwa wakt mmoj nikahis kufeli kabc