LIFE WISDOM : KANUNI YA DHAHABU YA MAFANIKIO YA KIFEDHA - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 3,184

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@Elias-s4b
@Elias-s4b Күн бұрын
Nashukulu kaka mungu akupe maisha maref
@geofreymahonje956
@geofreymahonje956 Күн бұрын
Nakuelewa sana sijui ni nini kinasababisha nashindwa naweza kuanza laking inafika wakati naishia njiani asante sana
@Elishanabagingisemvayle-ob4cm
@Elishanabagingisemvayle-ob4cm Күн бұрын
Asante, tunazidi elimika na kitabu chetu money formula ❤
@jacobnduya798
@jacobnduya798 Күн бұрын
Asante sana kwa somo zuri. Imenipa nguvu mpya ya kuanza kujilipa mwenyewe kwanza. Sema siyo rahisi hata kidogo mimi fixed account ambayo nitakuwa natoa pesa kila baada ya miaka miwili, lakini sina consistence, hata hove nimeona huo muda ni mwingi sana itabidi nipunguze kidogo iwe mwaka mmoja.
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w Күн бұрын
Kaka ubarikiwe ❤sana unabadilisha maisha yetu
@claudjohn
@claudjohn Күн бұрын
Asante mwalimu kwa somo, Mungu akubaliki
@aminalumbi7031
@aminalumbi7031 Күн бұрын
Nzuri Sana kaka joel Mungu akubariki Sana
@OmanOman-c9d
@OmanOman-c9d Күн бұрын
Ahsante dr joel
@JanethDotto-y1p
@JanethDotto-y1p Күн бұрын
Ubarikiwe kaka joel
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Күн бұрын
Sauti nzuri sana
@MilajiMpala
@MilajiMpala Күн бұрын
Nakubal kaka
@BenardJengela
@BenardJengela Күн бұрын
Bravo
@JimsonMsalilwa
@JimsonMsalilwa Күн бұрын
Naitaji vitabu
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 Күн бұрын
Ulichange style ya uongeaji sio😅😅unaongea kama mwana habari 😂..ongea kama mwalimu ndio tulikupendea hivo Mr joel
@Rehema815
@Rehema815 Күн бұрын
Unaskiliza sauti au unaskiliza kilichopo ndani ya hiyo saut hata ingekua nzito au mbaya kias gan, hatuskiliz saut tunaskiliza ujumbe uliomo ndan ya saut
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 Күн бұрын
@Rehema815 hahaha usijali nmejaribu kumchokoza tu mwalimu wetu
@joelnanauka
@joelnanauka Күн бұрын
😂😂😂hii ni audio book, hapo nasoma.
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 Күн бұрын
@@joelnanauka ooh safi sana master
@Rehema815
@Rehema815 Күн бұрын
@@ninjaisma7983 vzuri maana kungeanza kuchangamka
@DanMesha-u8g
@DanMesha-u8g 15 сағат бұрын
Kabla ya kuweka iyo akiba Anza na kumrudishia MUNGU Zaka inayobaki ndo itengwe
@JimsonMsalilwa
@JimsonMsalilwa Күн бұрын
Nahitaji vitabu nitavipataj
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 124 М.
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 112 МЛН
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 6 МЛН
PESA ZAKO HUWA ZINAKWENDA WAPI JOEL NANAUKA
6:00
Joel Nanauka
Рет қаралды 2,3 М.
UHURU WA KWELI WA KIFEDHA - JOEL NANAUKA
1:14:26
Joel Nanauka
Рет қаралды 59 М.
Jinsi ya kutoka kwenye madeni sugu.
1:03:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 111 М.
LIFE WISDOM : KWA NINI WANAKUCHUKULIA POA - JOEL NANAUKA
13:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 45 М.
LIFE WISDOM : KAMA HAUJUI UFANYE NINI, SIKILIZA HII - JOEL NANAUKA
7:43