Wewe ni mtumishi wa Mungu unaetumiwa kufungua akili za watu. Barikiwa!!
@mkilimamoses2311Ай бұрын
Hongera sana mwalimu wetu.Mungu akubariki kwa mafunzo mazuri.
@MarcoPeter-y5nАй бұрын
Asante sana Kaka MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki
@ImaniMandotoАй бұрын
NAKUFUATILIA SANA MAFUNDISHO. YAKO KIUKWELI YANA MCHANGO MKUBWA SANA. NAKUSHUKURU SANA NANINA KUOMBEA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU ILI TUENDELEE KUFAIDI MAFUNZI HAYA MUHIM KWETU.
@ThomasMmary-r7wАй бұрын
Tunabarikiwa sana mtumishi 🎉 Amen 🙏
@charlesoputi7101Ай бұрын
Without this channel I have no need ya kungia KZbin
@ruwaidamabrouk1797Ай бұрын
Ahsante kaka joel always najifunza vitu vipya kutoka mungu akubariki
@SkambiAthumani-cv3rjАй бұрын
Sijawahi kucoments Ila hijya Leo nanauka ndo nafunga nayo mwaka good sn brother
@consolathabalole4029Ай бұрын
Ubarikiwe nakupenda sana kila siku unaniponya kwa jambo moja.M7ngu akutunze
@bushimani1544Ай бұрын
Tajiri namba moja Nita kuwa mm bor namiaka 4 nakusikiriza Bondo zako umeninyooshwa Sana mtaani naonekana Kama na PhD vire mungu akurudwe iko siku Nita kutafuta
@francehenry4271Ай бұрын
Nashukuru sana kwa ujumbe mzur Mungu akubariki sana umechangia sana kubadili muelekeo wa maisha yangu tangu 2018 mpka Leo nimejifunza mengi sana kwako
@AlexJefwaАй бұрын
Asante kaka Joel nimejifunza kitu mungu azidi kukubariki 🙏
@evadindi7243Ай бұрын
Da nilkua na njaa kaka mpaka nimeshina asante sana sana
@farajmanuar3589Ай бұрын
Madini mazuri sana haya,..
@JumaNziku-z3s21 сағат бұрын
Kaka unatufungua wengi Sanaa🙏
@AlexVenance-s1bАй бұрын
Asante Mungu 🙏
@TumainEmanuel-e8kАй бұрын
Fantastic sana bro mungu akupe maisha marefu sana
@LilianFares-gg7tzАй бұрын
Amen amen nimepata kitu hakika
@eleneosindano5633Ай бұрын
Asanteee sana kakaa mungu akubaliki
@erickkikwa-b1eАй бұрын
Always you develop my mind ,Thank you Brother Joel.
@GerigaJoramАй бұрын
Jambo la heri Mungu kukuleta duniani
@nuruazizi9983Ай бұрын
Your my role model.naendelea kujifunza.
@FredJacob-ve8ftАй бұрын
God bless you the work of your hands . See you at the top
@elizambawala7790Ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki Sanaa.
@kuruthumukondo7149Ай бұрын
Shukrani kaka ❤❤
@DeogratiusJoachim-f7yАй бұрын
Asante sana
@janetmbwana553Ай бұрын
Shukran sana
@KauyeMohammed-wm8cdАй бұрын
Joel me aman hapa good
@clementmuheheАй бұрын
Very sensitive 📌🏷️
@khurlainashly568616 күн бұрын
📌
@sosteneselias7764Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@eliasludamila4600Ай бұрын
Uishi milele kaka mkubwa
@Mayungasimba-i9jАй бұрын
Mbona ww ni mtu mwenye akili sana, hakika umesoma sana,