Tulio kuja mbio 🏃🏃🏃🏃 baada ya kusikia jina la harmonize tujuane please 🥺
@nasmasalimu9508 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@arakali8735 Жыл бұрын
Tupo😂
@MkutiNandaja-rz3nk Жыл бұрын
😅😅🎉
@akimbashirwa9371 Жыл бұрын
😂😂❤
@eliaspatiu2472 Жыл бұрын
Tupo kabsa
@cathbertkendrick68606 ай бұрын
6month ago ila tunao angalia interview saiz kusikia anatoka na Harmonize 👍🏽
@AmCool_6 ай бұрын
Mzee wa STAFF LIKE THAT 😂😂
@ivannoah Жыл бұрын
The king of interview @👊
@christophermhina6548 Жыл бұрын
Fire # The king of interview
@sophiemaseno64366 ай бұрын
Here because of Harmonize. From🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@itzsnazzyjazzy472 Жыл бұрын
Half man half amazing the Lil ommy himself big up ma brother ❤
@lusubilomwandambo57573 ай бұрын
Kumbe mnyakyuu
@kendricgeorge6036 ай бұрын
Kwa akili ya kujiongeza huyu mwanamke for me hafai kuwa mke wangu kama mi ningekua harmonize, because mwanamke anayejisifia anatafutwa na wanaume wengi, anaona kwamba she is the only who deserves good treatment, yani sura nayoipata hapo ni kuwa she is selfish in love and also anahisi kudate na mtu ni kama anamsaidia tu since anatafutwa na watu wengi. For me personally she don't deserve to be a wife. Am sorry kama nakosea
@blackwarrior-animations5936 ай бұрын
Don't be sorry bro! Speak your Mind .......ni kweli kabisa ulichosema
@geomangi61236 ай бұрын
true huyu ni malaya ka malaya wengine
@Mina.156 ай бұрын
😂😂😂 na nimuongo
@The_Royaltourer20065 ай бұрын
Inatakiwa waanze na kulipa kodi
@ericasamwangwa66713 ай бұрын
Upo sahihi kabisa...Anaona kama ukiwa nae kama anakuhurumia
@m___ck7997 ай бұрын
..and now their dating😊 Harmo&PoshQueen
@sheilacruz64586 ай бұрын
Mbona usitulete harmonize sasa kwa hii podcast
@kikombeselemani62786 ай бұрын
Ukweli najuwa, mwanamke wowote anadamu ya kinyaru( Rwanda) kwanza hela. Yangine yote baadaye . Kwakusema umumiliki ni kumpa hela,
@jforeign25411 ай бұрын
You got a new sub here 🎉 King
@user-qn1yq1pi7p6 ай бұрын
The lady is looking wow🤔
@wairimu9113 Жыл бұрын
Lil ommy my love,❤😊.. njoo nikudekeze😜
@user-wl4uy7qv7u2 ай бұрын
Huy dada mbaya jamn bora kajal
@JerinaNguto-vv1gt6 ай бұрын
Tunakupenda,sana
@alexboidy-or4ti6 ай бұрын
Really ideal bro ❤❤
@davidibrahim91386 ай бұрын
Huyo ni mnyakyusa wala hana damu ya kinyarwanda, hata moja
@misalabandimanya2423 Жыл бұрын
The king of interview
@limbomambo97286 ай бұрын
Wapenda pesa kuliko maisha yako
@Bob-kz2ql Жыл бұрын
Mamae walah tutafute mzigo yani HELA😂😂😂😂😂
@adkajisi45366 ай бұрын
Umeongea kwa hisia mkuu
@stevkaliona41076 ай бұрын
Mademu wa bongo rahaaaa sana hawana ndoto wanapenda maisha ya shortcut halafu yanawagharimu sana😂😂😂
@user-tf9gh8iu5s5 ай бұрын
Sio wot
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Nice interview 🥰🥰
@flinchclassic1531Ай бұрын
Kwaiyo harmo anapendwa juu ya pesa
@ShilalaShija6 ай бұрын
Posh queen, beautiful girl nakukubal san
@chainbre2756 ай бұрын
Sasa tuwache kusema o hamo kamuimba girlfriend wa dj wake kumbe poshy alisha mzimia harmonize kutambooo😂😂😂
@JojoMomo-et4zv6 ай бұрын
Ommy usijisafishe mzee… Mwanaume hajaumbiwa mwanammke mmoja Nevaaaaaa,kama yupo huyo hana pesa
@user-mv5iy9ih3b5 ай бұрын
Omy, kitambo Sana nakubali kazi zako kila unako amia ila nikichukizwa Sana mambo ya makundi kushiliki uchochezi hii sio poa unauwezo mkubwa wa kufikili na kusikika wwe Kama wwe na sio mtu na mtu
@user-ok3dm2yh4j Жыл бұрын
Bring Anjella next.
@somaliandnorway Жыл бұрын
Always amazing lil omy
@user-nb4gt2zf8d2 ай бұрын
Hatarii kabisa kazi ipo.
@FernandShabani-er1cw3 ай бұрын
Nawafyata toka Congo DRC
@gwidjiqshabani2082 Жыл бұрын
HARMONIZE 🐘 NI KING OF BONGO FLEVA 🇹🇿 ATA BOSS WENU ANAJUWA. NDOMAANA HAMSHINDWI KUMTAJATAJAA👊👊 KONDE GANG HQ. TUPO NGANGARIII.🐘🐘
@subirajohn728 Жыл бұрын
King wa wapi tutolee Uchafu waki
@chrisk.efreestylerofficial149 Жыл бұрын
Tukulaumu wewe au bangi?
@zaidiissa3714 Жыл бұрын
Ache kujaza upepe mmakonde bado underground sana
@tabiangonyani35265 ай бұрын
😂😂😂😂watu waoga Sana nilichogundua mashabiki wa konde hamjiamini kabsa Nacc tunawaambia mtasubir Sana Namba moja wetu hapa tz atabaki kuwa mmoja2😅😅😅
@singanoabbas6696 ай бұрын
Siyo kweli mwanaume akipata hivo vyote utulivu lazima.... Me ni mwanaume nina ndoa zaid ya miaka 17.. Nimeona when niko form 6... Ila kuna jamaa yetu mmoja hivi ana respect ya kutosha kwa mkewe 7bu mkewe ana respect na yeye... Tulisha mtumia wasichana tofautitofauti wazuri,,hadi kumfungia ndani na mwanamke ila jamaa ni mstaarabu sn haja cheat... Kwa sababu hakosi chochote kwa mkewe... Hivo kifupi... Wapo wanaume wenzetu ambao wako SMATER THAN... Wewe unao cheatiwa ujue kuna tundu kwenye bati lako... 😂😂😂😂
@minzamariamcasmir1896 ай бұрын
A man doesn’t cheat akiwa na discipline tu. Hizo zingine zote ni excuses. Kuna alot of steps to take kama kuna kitu unakosa kwa mkeo mpaka kufikia cheating ila wanaume wasio kua na nidham ndo wanakurupuka na kucheat because hawawezi kucontrol tamaa zao afu wanasingizia flaws za wake zao. Mbona hata nyie wanaume mna flaws but wake zenu hawacheat because of mapungufu. Wakicheat because hawana nidhamu and it’s a choice too
@andersonkipkemoi25276 ай бұрын
Dada anaota hela sana😅😂
@Chrisblaze-beats Жыл бұрын
HARMONIZE IS A BIG NAME.
@bestmilltz70715 ай бұрын
Wow, she has got an accent
@successpatience7641 Жыл бұрын
Yaani utumwa wa lugha ni tatizo sana
@stamillusatila90846 ай бұрын
Kweli kabisa
@jaffjeff69124 ай бұрын
Na hautoisha
@DianaMatete3 ай бұрын
Kweli kaka, yaani watu wanalazimisha lugha bhana
@user-kt2bi4pn6t5 ай бұрын
yup weng san
@charlesmasele8454 Жыл бұрын
Hiyo "poa baby" isisafiri sana maana #TAMBWEE sio pigo sake hizo.
@officialjorkeper5049 Жыл бұрын
Lil ommy kula chuma hyo 📌
@faustinhommedetatnifasha96696 ай бұрын
Jina la #harmonize limechangia veuws kuwznyiiiingi saaana Nando video imekuwa nawatazamaji wengi kazidi in#2023 #Harmonize💪
@FernandShabani-er1cw3 ай бұрын
Nafurahiya sana interview zenu
@mashaurimasolwa26015 ай бұрын
staff like that
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
HELA NI NATURE KUIPENDA LAZIMA, AU YE ALIAMBIWA NA NANI, WENZIE HAWAPENDI HELA
@user-vm7bk3xr1z3 күн бұрын
Elewa kauli ya mdada anaesema anakupenda sababu ya ela
@ndally7864 Жыл бұрын
Kuna siku nitasema 🙏
@ngayaimkwe5175 Жыл бұрын
Mdangaji kama wengine
@user-he9wf2uf7y Жыл бұрын
sana🎉
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Posh queen
@EmanuelNicholaus-vn9gl6 ай бұрын
King 👑 of interviews
@hajiali8820 Жыл бұрын
Nimeingiya baada yakumsikia conde
@user-rr6zh5uf9y6 ай бұрын
Ommy We miss @country WIZZY here
@subirajohn728 Жыл бұрын
Mond❤️❤️❤️
@user-fd4dt9zo2g Жыл бұрын
Huyu mrembo nimempenda bure, very smart
@cassianmkeko1514 Жыл бұрын
Hiyo akili yenyewe ya kuajiliwa anayobasi ni kilaza no 1 show off tu Eti mdogo🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@spreadlove5300 Жыл бұрын
Are you a genius one 😮😮😮 negative azz
@SuphianiSemunyu6 ай бұрын
Hao wanaume wengine wanafata maji
@kelvinstewart6595 Жыл бұрын
so money is the thing she cares most........kazi ipo
@ahz69076 ай бұрын
Amekuwa mkweli..😂
@alantonio855 Жыл бұрын
Kaka Ommy unaendaga mjini ukimzungumzia Kondeboy...watu wengi walikuja kukuskia baada ya kuandika jina la Harmonize
@IssahYasini6 ай бұрын
Nah hatar sana mamb ya maokoto😂
@Lanihsarumu4 ай бұрын
❤❤
@user-oi3pf6dj8t6 ай бұрын
Namkubali kwel huyo jamaa
@evansdecaprio81966 ай бұрын
We muuza k tu yani unaweka mambo hazarani kabisa
@lusseraymond5449 Жыл бұрын
Enheee
@Mohaa4309 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@odetharwaibale49636 ай бұрын
Brabraaaa and staff like that 😅😅😅😅😅😅 dah mwandishi kiboko
@majaissa Жыл бұрын
NATAKA KUMUOWA UYO DADA.SHIDA NI MUNYERWANDA
@Mondkingali Жыл бұрын
I’m here bcz of harmonize name
@ellgodfather2826 ай бұрын
Brother interview mmetuibia MB
@Mina.156 ай бұрын
Kachaa ndio nini 😂
@ashakijaji58694 ай бұрын
Yaani majanaume yanapenda kuheshimiwa,wakati hiyo heshima haiji bure
@hajiali8820 Жыл бұрын
Kumbe bila kuandika jina la harmo interview zenu aziwezi kwenda
@user-id8bu6lw8x6 ай бұрын
😅😅😅😅
@umsulaiman7468 Жыл бұрын
Posh uraho amakuru uri mwiza koko urumunyarwanda mama wawe nu mutusti niyo mpamvu uri mwiza
@homeandaway2811 Жыл бұрын
English sasa aaaam uuuuh ummm mhhh like like 😂😂😂😂 hapo anajiona mmarekani 😂
@user-ug3lu2km4c6 ай бұрын
😅😅😅😅nimecheka c waongee tu kiswahil tunajua wanajua
@user-xh7xf2ki3r2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kunogesha interview
@Official_craizejaw Жыл бұрын
Ashh
@salomemlagila57572 ай бұрын
Mnyakyusa mwenzangu
@shuckahboy4241 Жыл бұрын
Nime view hii interview after see the name of konde 4 real
Mademu wa Kibongo makuma sana yani wanapenda kuchanganya lugha kwenye interview
@hamisiissa86286 ай бұрын
Acha ushamba na ww ongea tuu
@adkajisi45366 ай бұрын
Nani alisema ukimbie shulee
@user-id8bu6lw8x6 ай бұрын
Yes they do bored
@user-pe8wh5bw2h2 ай бұрын
Umepend hel au jic alivyo
@maryannqueen73563 ай бұрын
Mimi Nikolai’s harmonize ametajwa, mbio ninayo kimbia sio ya umri wa miaka 50.. 😂Tembo world wide and age wide
@harmonaize3.1m18 Жыл бұрын
☝️
@wardaridhwankassim4774 Жыл бұрын
Instaf laik zat😢😢 badilik omy baaana
@AsdDsa-fi5qk4 ай бұрын
Mwanamke mzr niyule mwenye kujistir
@Mundi-oz7os7 ай бұрын
Nimewahi kuona watu wanajidhalilisha lakini huyu binti amevunja records zote. Lugha anayotumia ya kujifanya mzungu , kujishauwa, kisha philosofia yake ya maisha kama kupenda fedha sana. Ati pesa ndiyo itakayofanya asicheat. 🙄 Ni vigumu kuona umuhimu wa kumsikiliza mtu kama huyu ila tu kujifunza kuwa baadhi ya watu hawana thamani yoyote bali vyombo tu🤮
@ladislausngoyinde43845 ай бұрын
😂😂, kabisa na nyongeza ni kuwa watu wa aina hii hawana muono chanya wa mbele, ukiwa naye usitegemee atakushauri chochote cha maana zaid ya starehe tu
@MarthaBura-or8fe2 ай бұрын
Ila hamornaz anatakiwa kuwa makini sana na Hawa wanawake
@shaanaseeb9423 Жыл бұрын
😍😍😍😍🔥
@jahhloveyou4462 Жыл бұрын
Mona Hawa madada wana Sauti sawa
@panzamarthinie99585 ай бұрын
😅😅😅😅😅 mimi apoo
@twentyacresfarms34643 ай бұрын
Hongera Ommy kwa Kazi Yako, ila naona kama unakuwa unajua vizuri mgeni wako ila unamwelezea sana hadi yeye hawezi kukupa extra answers anasema yeah yeah kukubali unachosema, tengeneza mbinu za uulizaji maswali vizuri Ili guest aweze kufunguka mwenyewe
@startz24 Жыл бұрын
Baby tena mzee kukwamuwe apo
@msafimedia Жыл бұрын
03:2
@chris_jabari Жыл бұрын
Harmonize ameongelewa dk ya ngapi?
@sayukimwakisu6801 Жыл бұрын
Dk ya sita
@sayukimwakisu6801 Жыл бұрын
Dk ya sita
@sayukimwakisu6801 Жыл бұрын
Dk ya sita
@barakarobert1029Ай бұрын
Umefata hela kwa konde hakuna love pale unaigiza mbongo movie
@magolla92096 ай бұрын
Bro kama unafanya interview ili uwe mtam zaid tumia lugha moja kifup hh umefanya like like like like nyingi paka zinaboa aiseeeee shshshshshshsgshsjsjsgsjsgsjssgsjsgshsj blah blah blah
@badmanno.16506 ай бұрын
Kaa kaaida
@vickynyakio73465 ай бұрын
Lilommy tuletee zuchu sasa kwa hayanaendelea tumsikie pia kwa yake
@awadhrajabu14036 ай бұрын
Mkiwa Mnawaoji Wenye Kusema Wao Ni Warembo Muwambie Wakijaga Kuojiwa Wasivae Nywere Bandia Wasipake Mekap Yani Waoge2 Na Kupaka Mafuta Tuwaone Vizuli Nasi Tanzania Tuone Kama Tuko Na Warembo Au Sanaa2 Ya Urembo Wawe Na Viungo Vyao Halisi Kuanzia Miguuni Mpaka Kichwani Jamani Ndio Urembo Halisi Nasio Kuvyaa Viungo Vya Shetani Muaite Warembo Acheni Kufuru
@sakinaomary72074 ай бұрын
yeye namba mbili sanchi anaanza
@morevibesmedia.8480 Жыл бұрын
Anapenda pesa na hamo anapenda matako makubwa nampa pole hamo haangali shape anaangalia manyamanyama
@festonindi41402 ай бұрын
Fanya kitu kinachokupa raha usiwazie nan anasema nini,Dunia hii tunapitia tuh kama maisha ya kuku....
@talents79346 ай бұрын
Hana ata kalio kama la Kajala😢😢😢😢ukimweka Pima Maji kuanzia Mgongoni hadi mguuni itasoma level
@annasolomon98556 ай бұрын
Unaota ndoto za mchana ukiwa umekaa kwenye Kochi.. huyu dada anashepu nzuri sana kajala haingii hata robo.. acha kimcompea na kajala. Kajala mashalla lakini poshy umeumbika vizuri kubali ukatae 😊😊