Mwijaku Afunguka Billion 1.3 ilivyotumika kwenye Nyumba yake! BABA LEVO Hana Mipango! Part 1

  Рет қаралды 17,995

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Baada ya kuwa gumzi kwa wiki hii, DC wa INSTA Mwijaku amekaa na Lil Ommy kwa Saa 2 na kuelezea nukta hadi nukta jinsi Billion 1.3 ilivyotumika katika ujenzi wa KASRi lake Kigamboni!, Tazama Full interview hapa, Subscribe, Like, Comment & Share!
Mwijaku aichambua Billioni 1.3 / amchana Baba levo Hana Mipango, alezea mambo kibao kuhusu UCHAWA ulivyomlipa na familia ilivokua inachukulia. ni stori ya kusisimua na kufurahia pia!
Muendelezo wa stori kali upo Part 2, 3 na 4!
Kijana tumia kinga, Zingatia uzazi wa mpango. #Sitetereki

Пікірлер: 64
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 9 ай бұрын
Chawa kanunua kitasa cha millioni 18 sisi wengne tunafer wap?😂😂😂😂😂😂😂
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 9 ай бұрын
Mwanzo alisema hicho kitasa kaweka chumban kwake TU Leo anatuambia kaweka sehemu tatu😂😂😂😂😂kwel muongo siku zote huwa Hana kumbukumbu
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 9 ай бұрын
Daaaah!Mwijaku matataaa😂😂,muongo hatariiii😂😂😂Mwijaku kibokoo😂
@hamisijumanne4137
@hamisijumanne4137 9 ай бұрын
Mfarume
@milanomilanogi
@milanomilanogi 9 ай бұрын
Mmmmhhh
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 9 ай бұрын
Uongo wa mwijaku hta shetan anauogopa😂😂😂😂😂😂😂😂
@jrsingham
@jrsingham 9 ай бұрын
Kuskim m300 kila fundi Kaskim kwa m30 😂😂😂
@maidimples8236
@maidimples8236 9 ай бұрын
Jaman one’s of his interview anasema ilibomoa nyumba ikiwa ipo kwenye renta so how come iko na wapangaj ndani
@josephkiwale374
@josephkiwale374 9 ай бұрын
Kaisikilize Tena interview,hukusikia vzur
@sonnyr1899
@sonnyr1899 9 ай бұрын
Kunahitajika kampuni Ya kutengeneza kinga za mdomo kama vile comndom Ya kuchuja MANENO Ya hovyo. Unaongea hadi hueleweki tena.
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Yusufu940
@Yusufu940 9 ай бұрын
Ungea kauli zuri sii za utu uzima
@jaffarmusafiri5729
@jaffarmusafiri5729 9 ай бұрын
Duh, huu Mwijaku ni muongo sana. Alafu hakuna kitu kizuri kama kuongopewa na unajuwa ukweli, Lil Ommy ametulia tu ila anacheka kimoyomoyo 😂
@pharesdismas8876
@pharesdismas8876 9 ай бұрын
Kila interview numbers za bei zinabadilika 😂😂
@Whoisthismantalking
@Whoisthismantalking 9 ай бұрын
Uongo pia huakisi kiwango cha ujinga
@saluuhans
@saluuhans 9 ай бұрын
Wahenga wanasema Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu 😂😂 mshenz muhongo huyu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana hii interview Kila interview Bei zinapanda 😂😂😂
@MonrichRichard
@MonrichRichard 9 ай бұрын
Oya ril ommy huyu jamaa adanganye mafala me ni fundi(Local engineer) hyo nyumba ya mwijaku kaka Skimming Primer binder Dawa za ant fungus Rangi za no 190000-240000 White za selling board+ urembo Chuma za kudzn board kweny zege floor za juu Mbao+ board+ srew+ gypsum powder (Labor charge) Yaan namahanisha skiming ya jengo Zima+ dzn ya board jengo Zima + finishing ya rangi ni mil 30-35
@allahisone6386
@allahisone6386 9 ай бұрын
Eeeeh 😅
@saluuhans
@saluuhans 9 ай бұрын
Kk tofautisha fundi bakari na ma engineer wa mwijaku 😂 sasa wewe ni fundi bakari ndio unabajet hizo 😂😂😂😂
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 9 ай бұрын
Hahahha uongo mwingi sana kwa hii interview 😅
@Kingkongchuma
@Kingkongchuma 9 ай бұрын
11:57 iPhone haha video ya mwaka Jana uki tumiwa Leo kwako itasema Leo urongo wa kishamba
@javanwatson6675
@javanwatson6675 9 ай бұрын
11:42 😁😁uzuri wa iphone haidanganyi, kwani simu gani jamani ambayo haioneshi tarehe
@MonrichRichard
@MonrichRichard 9 ай бұрын
Kuma Nina skiming+ binder mil 300 acha usenge we limbukeni
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 9 ай бұрын
Haya bb bora2 una gholofa yko modo kwsha ila kote huko umedanganya mno
@gataramaabdul9761
@gataramaabdul9761 9 ай бұрын
Number 1
@yogwemwakulola1634
@yogwemwakulola1634 9 ай бұрын
Nyinyi waandishi Mbona msimuulize kuhusu kakayeke aliropoka kwamba taa zinatoka Kwa duka lake hapo Mbona mnafuka hamumuulizi nipate tu nafasi ya kuwauliza maswaki Hawa machawa naona uchawa utafika mwisho maana napita humohumo Hadi watoroke interview
@dominicngeno4227
@dominicngeno4227 9 ай бұрын
You are speaking lies hio nyumba sio B no way
@HassanMbululo
@HassanMbululo 9 ай бұрын
🛫
@MonrichRichard
@MonrichRichard 9 ай бұрын
Hyo rangi anasema dark grey price yake Ni 190000 kwa ndoo (prascon) kampuni ya kwanza kbsa kweny rangi inamaana hyo nyumba imepigwa ndoo 100+ 😅😅😅😅😅
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 9 ай бұрын
kama kweli anavyosema kapigwa vibaya sana
@nk.t.shabani4217
@nk.t.shabani4217 9 ай бұрын
Mwijaku muongo jamani hizo taa kwenye interview ya zamaradi tv kaka yake kampa kwa bure 😂🤣🤣🤣 bongo ukifa kwa stress basi unajitakia mwenyewe 🤣😂🤣
@medidaudi8335
@medidaudi8335 9 ай бұрын
Umeokopa taa ya laki moja ukaendan kununuw taa la million 5. Mshenzi san mwijaku
@BrianKyai
@BrianKyai 9 ай бұрын
Nyumba kali ila 1.3B mh....hype tu hizi za mjini
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 9 ай бұрын
Sijapata kuona uongo kama uhuu, mambo hayo amwambie mwanae.
@sudiabdi4400
@sudiabdi4400 9 ай бұрын
Uongo mtupu
@ruu6592
@ruu6592 9 ай бұрын
Maskini awaijui ela ndio mana wanasema uongo ongera Aristote msechu Nandi mama pi ongeraa zenu
@JaphariMwangu
@JaphariMwangu 9 ай бұрын
ona kipara chake
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 9 ай бұрын
Kama jua 😂
@Broxnick
@Broxnick 9 ай бұрын
Yaani $398,807 😂😂😂 that’s a f*king lie
@amarido12
@amarido12 9 ай бұрын
Kama ametumia 1.3 B atakuwa ameibiwa 1.2 B mchana kweupe
@MonrichRichard
@MonrichRichard 9 ай бұрын
Lakin et skiming + binder mili 200 aah mwijaku, et rangi mil 48 duuh nimeamini Kuna binadam Ni waongo shetan akasome
@rajuxcharity
@rajuxcharity 9 ай бұрын
Hivi huu mwijaku anahisi 1.3B niutani nyumba anao ishi diamond platinum samani yake ni 1B 😝😝nyumba kama ilee hata 500M nyingi
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 9 ай бұрын
Mwijaku mtu wa kufurahisha tu😂
@imamhussein1104
@imamhussein1104 9 ай бұрын
Kwahiyo
@zeddybass6672
@zeddybass6672 9 ай бұрын
Daimond kapanga pale
@FredOdemba-rw1us
@FredOdemba-rw1us 9 ай бұрын
​@@zeddybass6672alishainunua wew sema ajaijenga yey lakin sio kam amepanga sahih 😮😮
@faidhacute
@faidhacute 9 ай бұрын
Mwijaku ni mtu ambae ana elimu lakn hajaelimika Kwa kweli Inahuzunisha sana kwakwel😢
@dereva0
@dereva0 9 ай бұрын
mara aseme taa elfu 45 mara milioni hamsini tuelewe vp
@Mkombozi255
@Mkombozi255 9 ай бұрын
Hiyo nyumba haizidi mil 200😅huyu jamaa fix saba
@kitumbayork5720
@kitumbayork5720 9 ай бұрын
🔥🔥🔥
@medidaudi8335
@medidaudi8335 9 ай бұрын
mwijaku muongo mtupu duuh. Gisi anaziongelea hizo millioni kama shiling 100 tu
@julianusjameskimodoi4186
@julianusjameskimodoi4186 9 ай бұрын
Muongo sanaaaa
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 9 ай бұрын
It's good house but it is not 1.3 B
@plumbingtanzaniaplumber7570
@plumbingtanzaniaplumber7570 9 ай бұрын
Sagwn hao
@hassanaloobaidan25
@hassanaloobaidan25 9 ай бұрын
Ila baba muongo huyu ndio mjengo ni Bomba ila b 1.3 ni uongo uongo
@Kulindwa
@Kulindwa 9 ай бұрын
DC daka maua yako ya mgebuka, au nyuma yupo accountant wife
@makengomshana8458
@makengomshana8458 9 ай бұрын
WEWE OMBA OMBA NIMUONGO ACHA UJINGA WAKO
@Yusufu940
@Yusufu940 9 ай бұрын
MUJAKU UNA ONGEZA ZERO
@ellymagoke6079
@ellymagoke6079 9 ай бұрын
Muongo wewe
@digital-d2t
@digital-d2t 9 ай бұрын
Unamaliza mabando ya wa2 paka ww.....
@eddobiz9452
@eddobiz9452 9 ай бұрын
Uyu baba muongo jamaan
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 334 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,6 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
MWIJAKU NA BABA LEVO HAWAISHI VITUKO
8:37
Wasafi Media
Рет қаралды 48 М.
STORY ZA LINEX NA BABA LEVO, KUISHI GETO MOJA, KUUZA STILI WAYA
12:07
FULL INTERVIEW ; BABA LEVO, MANDASI WANATOA SIMU KWA BUKU TU.
20:13
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 334 М.