Mbowe apata pigo jingine viongozi wake wamuunga mkono Lissu "Lissu ni kiongozi sahihi kuliko mbowe

  Рет қаралды 2,070

Linconmedia

Linconmedia

Күн бұрын

Пікірлер: 8
@JosephLukumay-wh8sc
@JosephLukumay-wh8sc 12 сағат бұрын
Lissu juu zaidi chama chetu Cha CDM kidumu na kiendelee kuwatetea wananchi Lissu juu sanaaaaa ❤❤❤.
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 11 сағат бұрын
Kusema mtu kachika kweli we u unaelekea wapii jitafakari
@petrokisaka6203
@petrokisaka6203 8 сағат бұрын
Ipo sahihi Tindulisu mbelekwa mbele🎉
@anosiata8242
@anosiata8242 6 сағат бұрын
Tunataka lissu.
@ElinaMbura-h7w
@ElinaMbura-h7w 3 сағат бұрын
Lissu ndo mpango mzima kwa sasa,hao wengine n wababaishaji tu
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 8 сағат бұрын
Hakika lisu ndo tunamhitaji
@AlexChacha-vc5id
@AlexChacha-vc5id 11 сағат бұрын
Nyeupe ni nyeupe na nyekundu ni nyekundu tu, wakati huu ni lisu huo ndiyo ukweli
@antonymomba8185
@antonymomba8185 6 сағат бұрын
Mbowe pumzika
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
Lissu Azungumzia Mahusiano Yake na Mbowe: 'Hali Sio Nzuri Sana'
9:13