Mwimbaji wa nyimbo kayengeyenge anaitwa Christophe Matata. Anatokea kwenye inchi jirani ya Burundi. Na kwasababu lugha ya kiha na kirundi vina ukaribu sana, waha na warundi wanaelewana bila mkalimani. Mimi niliishi Tanzania nikiwa mkimbizi hadi mwaka 2005. Nilipenda sana lugha ya kiha. Cha kuchekesha shetani kwa kiha anaitwa kilanga. Na kilanga alikuwa mungu wa warundi wakati wa mababu.
@festomishita33035 жыл бұрын
Home sweet home ..... tuliho muhila iwachu ntanoma bhagabho mweee nikudya ibhiharage.....
@mbanga67595 жыл бұрын
Kigoma ewe kigoma leka tutigite wishavu ameneke huko ndo k wetu bhana
@jameschamenda87872 жыл бұрын
Tulikumwe chane ebhne wachu
@osbertkagoma58775 жыл бұрын
Pazuri kwetu huko. Ntibhoshobhola kulimimyumbati
@musakwifashabahati73785 жыл бұрын
Nimewakubali sababu hakuna njaa.... Kama na wewe umewaelewa tupia like apa twende sawa
@jonyojaote65895 жыл бұрын
This is very good if food is available to eat and for sale,now the government should consider the place and construct a modern market for selling food and tarmac the road.
@kiangotv33295 жыл бұрын
KAMA NA WEWE UNAJUA WATU WA KIGOMA KWA UBISHI GONGA LIKE.......MTABISHANA MPKA KESHO
@ilovejesus93035 жыл бұрын
😁😁😁😁🤣🤣🤣
@janetchiza37954 жыл бұрын
Khahhhhhhhhhhh
@shabanisaleeh45416 ай бұрын
Pia na kusini kama wamwela na wamakonde nao kwa hubishi awajambo
@zabronndoroba82155 жыл бұрын
uzuri Wa hapo kibondo wanawake hawakatai wanaume nakavuvuuuuuuuu
@antoinea.katembo53264 жыл бұрын
Zabron Ndoroba “karibu kibondo ila FAHAMU kwamba UKIMWI UPO” kuna bango hapo linasemeka hivyo
@rebeccaevaristo38634 жыл бұрын
Kwetu kibondo,Kumshindwi ila wazaza wangu walihamia Kilimanjaro miaka ya 1989 mpaka sasa,,ila napapenda mnooo Kibondo.
@gka91474 жыл бұрын
Mtu wa Kigendeka upo
@ezekielndaraba72213 жыл бұрын
Hongera
@hakitv47173 жыл бұрын
Rudi nyumbani kumenoga
@zubedamrombo87925 жыл бұрын
Hatar jomon mmh cyo kwa wekundu huo but nimepapenda 😁
@hansbaruan3539 Жыл бұрын
Ukuje huku Chakula ni kama Uchafu tu 🥰
@felisterlutambi90645 жыл бұрын
Daah nakumbka enzi zile nasoma uko full kula mihogooo
@Nur10Mwal.waKitaa5 жыл бұрын
FELISTER LUTAMBI shule ipi.umesoma ferister0766772056
@felisterlutambi90645 жыл бұрын
@@Nur10Mwal.waKitaa Nimesoma shule moja inaitwa mkugwa secondary
@ilovejesus93035 жыл бұрын
🙈🙈🤣🤣🤣
@vaestkusten60413 жыл бұрын
@@felisterlutambi9064 Ayyyye, mimi nilikua mkimbizi Mkugwa, from 2000 until 2002, been living in Sweden ever since. But sitasahau kwenye nilitoka!
@MaryMary-df7eb3 жыл бұрын
@@vaestkusten6041 mimi nilikua kibondo 2009 kabla ya kwenda canada
@jamesngundateresia26005 жыл бұрын
NAPENDA LAFUZI YA WATU WA KIGOMA SANA TUKO PAMOJA SANA
@yahyamajidyahyahilalal-har87625 жыл бұрын
Kibondo Safiii! Ahsante Sana.
@danielelwin17785 жыл бұрын
waha ndio wanaongoza kwa ubishi nchi hii ,kama hutaki pasuka
@swaummihungo22693 жыл бұрын
Kama unapenda hm kibondoo weka like Twende home
@Regnard9993 жыл бұрын
NAIPENDA KIBONDO MY HOMELAND,, MUNGU IBARIKI KIBONDO.
@GSELgodoni7 ай бұрын
Iko vizuri bwana,kibondo,kifura,Kakonko,kasanda,kabingo etc