VIDEO: MCHUNGAJI NA WAUMINI WACHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA WANANCHI KISA KUPINGA KAMCHAPE KIJIJINI

  Рет қаралды 88,628

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 353
@RoseKaiza-g2j
@RoseKaiza-g2j 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji naamin kuanzia sasa kanisa lako litajaa waumini kwakua imani yako imekuponya japo umepitia changamoto kama hiyo ilo ni jaribu lako na umeshinda mtihani hao wananchi wote walioamini lambalamba watakua waumini wako wapya jina la yesu libarikiwe!! Amina
@whiteangelhomedecorations2230
@whiteangelhomedecorations2230 7 ай бұрын
Sifa heshima na utukufu ni kwa Kristo Yesu Bwana, ikiwa serekali ya dunia huwaweka watu katika nafasi fulani, na kumlinda ili alifanikishe kusudi fulani la kiserekali, basi ni wazi kuwa serekali ya ufalme wa Mungu hutenda zaidi, katika kuwalinda watumishi wake na kuwaokoa dhidi ya hila za yule mwovu, Mungu awalinde na kuwathibitisha watumishi wake kwa ajili ya utukufu wa jina lake.
@aksamsemula3525
@aksamsemula3525 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji ,wewe ni mwamba imara umeipigania Iman, mungu ashughulike nao
@sparamcuthbert4530
@sparamcuthbert4530 7 ай бұрын
Bwana Yesu Kristo yeye mwenyewe atalilipa hili Roho ya uhalibifu itawaingia wao na familia zao. YESU mtie nguvu Mtumishi wako.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 ай бұрын
Mchungaji usiofu kwa lolote Mungu mkuu atashulika nao hao. Uko kigoma kuna nini hadi Watumishi wa MUNGU MKUU wanavamiwa ?. Ninyi ninyi haya Mungu amewaona na atashulika nanyi. Amen. Ungeomba Rehema ya kutiwa upofu hao wahuni mbona mamlaka mnayo. Poleni sana Mtumishi. Mungu mkuu awatetee. Amen.
@Shalom2018
@Shalom2018 7 ай бұрын
Mungu yu mwema,pole mchungaji na wenzio wote damu ya Yesu Kristo izidi kuwalinda na kuwapigania
@DorcusEmmanuel
@DorcusEmmanuel 7 ай бұрын
Amin Mung akuzidishie iman zaid n nguvu ya kusimama zaid n neno la kristoooo
@jeckobass7502
@jeckobass7502 7 ай бұрын
Daaaaah pole sana pastor MUNGU anakupenda sana
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 7 ай бұрын
Kwani haya mambo yanatokea Tanzania kweli nilijuwa ni nchi ya amani na watu wakarimu
@lumulyimage4826
@lumulyimage4826 6 ай бұрын
Amen. Mungu ni mwema sana.
@NeemaKipande-hr9rz
@NeemaKipande-hr9rz 7 ай бұрын
Pole Sana mtumishi MUNGU akuponye na hongera Sana kwakusimamia Imani hatimae wananchi waona uongo wakamchape
@Kidaga
@Kidaga 7 ай бұрын
Imani yetu ni nguvu yetu Yesu kristo akiwa mbeleyetu tutashinda na zaidi ya kushida. hongera baba kwa kuilinda Imani.. Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki. Amen
@alicemonyo5717
@alicemonyo5717 6 ай бұрын
Watu wanguwanaangamia kwa kukosa maarifa😅the funny thing ni apo wanajufanya wamefunguka lakin ukishakuwa n mtu wa kuamini iman za kishirikina n ngumu sana kushauriwa usikie 🤷🤷May God continue to strengthen you servant of God
@kabonakabona8121
@kabonakabona8121 7 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu pole sanaa mchungaji asante mungu kakuachia uzima
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge 7 ай бұрын
Daah!Mungu alituma malaika zake waje wakuokoe.ahsante sana Yah
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 7 ай бұрын
Uliwaona?
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 7 ай бұрын
Mbona wenzao wenye ngome ya shetani wako wengi kwanini wasiwape hela za kuzimu huko,,ila kweli wewe ni mchungaji wa kweli Ashukuriwe Mungu aliye kulinda
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 7 ай бұрын
Wenzao akinan ??
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 7 ай бұрын
@@hamisimkoma7380 hao wavamizi wanamtandao mkubwa walazimishe kanisa lichange iyo ela ,kwann??
@ZachariaMichael-tl5rs
@ZachariaMichael-tl5rs 7 ай бұрын
Mmojawapo ni wewe mwenyewe unaye uliza swali
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 7 ай бұрын
Safi Kiongozi tunawaombea Sana Ubarikiwe kufungua shetami ameshindwa kwa Jina la Yesu Kristo Aliyehai
@gesha4759
@gesha4759 7 ай бұрын
Mungu akupe neema ya kwenda viwango vingine
@gililwise
@gililwise 7 ай бұрын
nimelia sana hakuna mtu ambaye amefanya huu unyama atapona yupo Mungu asiyelala wala kusinzia.
@annamussa185
@annamussa185 7 ай бұрын
Wote wana kijiji wakamatwe walipishwe faini nyumba kwa nyumba,walipe kila kitu wali choharibu
@kyannickk2be
@kyannickk2be 7 ай бұрын
kosa la kuchoma majengo au vitu sio la faini, adhabu ni kubwa sana miaka nadani si chini ya 20
@HussainMaula-d1g
@HussainMaula-d1g 7 ай бұрын
Pole sana pastor waganga wanaeneza chuki katika Jamii wakati familia zao haziko shwari zina matatizo kibao.
@MoabuYohana
@MoabuYohana 7 ай бұрын
Pole sana baba hivi ni vita vya imani yaani huu wakati (kipindi cha utawala wa shetani ) simama na Mungu:
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 7 ай бұрын
Duuuu 😭😭pole Sana mchungaji Ktk kitabu Cha Yoh 1:4-5 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima nao uzima ulikuwa Nuru ya watu nayo Nuru yang'aa gizani Wala Giza halikuiweza.Hakika Giza na Nuru haviambatani.
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 7 ай бұрын
Ndo raha ya kumtumikia MUNGU kwa uaminifu
@jameskasimba2084
@jameskasimba2084 7 ай бұрын
Polen sana mtumishi wa Mungu, hakika katika hilo Mungu anataka kusema jambo na hao wananchi,,Mungu atengeneze njia kwa upya
@MagayaneMisheli
@MagayaneMisheli 7 ай бұрын
Ivi izi Mambo za kamchape serikali imeshindwa kuzibiti tumechoka aiseee from KIbirizi
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 7 ай бұрын
Una mzigo ndani?? 😅
@demicratia4071
@demicratia4071 7 ай бұрын
Serekali iko bussy. HATA panya road wako bussy matapeli wako bussy wezi VIBAKA ni ubussy tuuuu hakuna msaada
@alexvenas2699
@alexvenas2699 7 ай бұрын
Sasa kamchape unataka serikali ifanye Nini? Iende kwa mganga? Nendeni Ibaadani acheni ushamba.
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي 7 ай бұрын
😂😂😂😂​@@geofreysadok4823
@Kalengashoppingcenter-y1o
@Kalengashoppingcenter-y1o 7 ай бұрын
Serikali haijashindwa tatzo wananchi Walio wajinga ndio chanzo
@romainehabamungu8547
@romainehabamungu8547 7 ай бұрын
Pole sana mucungaji , Mungu wetu ni muzima pia mwenye gufu sana.
@Madsan-q7i
@Madsan-q7i 6 ай бұрын
Imani yako ni kubwa Mungu akuzidishiee
@esromkanubo815
@esromkanubo815 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji Eliudi Mungu akulinde
@HellenaMky
@HellenaMky 7 ай бұрын
Pole sana askari. Hawana ushirikiano wowote. Wakirsto. Tusimame imara yesu atatutetea yupo nasi. Aliahidi hatatuacha.
@albertLemau-v2x
@albertLemau-v2x 7 ай бұрын
Pole sana Pastor Serikali iwasake wote wakaozee ndan
@trophywilson7211
@trophywilson7211 7 ай бұрын
huku ndiyo inawatuma Wakachape
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 7 ай бұрын
Kaneno kakifala sana eti....KAMCHAMPE!!!! Pole Sana Mtumishi wa Mungu.
@Charlesray-sv2lm
@Charlesray-sv2lm 7 ай бұрын
Mungu ni mwema hakika jina yesu litukuzwe
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 7 ай бұрын
Yesu 😂 sio baba
@josephmussa0625
@josephmussa0625 7 ай бұрын
​@@shebbythespyro5393wewe unataka nini simamia Imini yako ndugu. Amini unachojua
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 6 ай бұрын
Pole sana Mchungaji Mungu mwema
@FatmaIdrisa-u1j
@FatmaIdrisa-u1j 17 күн бұрын
Pole sana baba wata pigwa na mungu
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 7 ай бұрын
Nimkakati wa shetani kuya dhoofisha makanisa hata mwamgongo wanamtishia mchungaji leonidas kumuua kiss kawakataa kamchape
@hawakiza6067
@hawakiza6067 7 ай бұрын
Wewe ni mtu wa Mwamgongo?
@hawakiza6067
@hawakiza6067 7 ай бұрын
Nimesomea mwamgongo
@NeemaheriLainzar
@NeemaheriLainzar 7 ай бұрын
Pole.sana.mchungaji.mungu.akusaidie.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 7 ай бұрын
Sehemu kama hizo zinahitajika.karama za miujiza ya kudhibiti uchawi.hivi hivi.watu hawawezi kuamini.kanisa kunamchungaji Tukuyu mbeya alikuwa anashea uwanja mmoja na ngoma za asili nao wanategemea sana uchawi mchungaji kaalika mkutano.ngoma wakaalika mchungaji akawaomba wakakataa mchungaji akawashitakia kwA Mungu siku zote walizopanga kucheza ngoma mvua ilikuwa inanyesha palepale uwanjan vitu vyao vikaharibika vyote mpaka leo ngoma ilikufa.limebaki kanisa na uanja jAmani Mungu atusaidie sehemu zlizokaliwa na ushirikina Mungu atupage karama za miujiza
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 7 ай бұрын
Poleni sana mchungaji hao ni sawa na mjambazi sheria ichukue mkondo wake bila kuogopa
@alexmwalingo5020
@alexmwalingo5020 7 ай бұрын
Mungu mwema mchungaji umetetewa jina la bwana litukuzwe, pole sana hao watu wakamatwe wote kamati yao yote walipe vitu vyote walivyohalibu pamoja na waliochanga hela wote wawekwe ndani ili iwe fundisho na kwa wengine
@amedeusfredrick1614
@amedeusfredrick1614 7 ай бұрын
Waha mnapenda sana uchawi
@charlesolomi9514
@charlesolomi9514 7 ай бұрын
Siku hizi kabla hujafanya tukio la ovyo ogopa media kuliko polisi😂😂
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji kuna vitu vingine sio kupigana navyo hata yesu mungu animwambia yesu kimbia unatafutwa kuuwawa tunaishi na mijitu inayotembea ni mashetani barabarani
@giftyjackson2461
@giftyjackson2461 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji mungu akulinde
@jailosibrahim88
@jailosibrahim88 7 ай бұрын
Ukionyesha iman kwa Mungu nae Mungu hujionyesha kwako
@philipokusekwa7395
@philipokusekwa7395 6 ай бұрын
Jamani jamani shetani yupo kazini asante sana mchungaji
@evanestharold5079
@evanestharold5079 7 ай бұрын
Barikiwa baba Mungu akutie nguvu.
@janifajani8875
@janifajani8875 7 ай бұрын
Asikar wachukuliee hatuwa polisi niwazembee sana
@JacoboStanley
@JacoboStanley 7 ай бұрын
Mungu azidi kuku imarisha uwe jiwe juu ya mawe mchungaji
@BethaKIBONA
@BethaKIBONA 6 ай бұрын
Pole mtumishi wa YESU KRISTO ALIE HAI yeye ni mwaminifu
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 7 ай бұрын
Bwana Atajitukuza hii ni Vita ya kumtangaza YESU KRISTO Aliyehai Atajitukuza kitaeleweka kuwa kuokoka Ni lazima Wakati umefika Sasa Tinaongeza Maombi Zaidi poleni Sana
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 7 ай бұрын
Serikali iwachukulie hatua kali za kisheria kwa hawa wahalifu. Tanzania isivumilie vitendo hivi viendelee.Mungu ibariki Tanzania. 🙏🙏
@alicemlelwa1981
@alicemlelwa1981 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji. Mungu atawashighulikia
@agnessvincent1736
@agnessvincent1736 7 ай бұрын
Acha Mungu azidi kujitukuza mwenyewe ..mataifa na makabila yote yapate kumkili yeye aliye juu ya miungu yote. Na madhabahu zote
@pillyogola6499
@pillyogola6499 7 ай бұрын
Poleni sana watu wa Mungu 😢Mchungaji pamoja na wazee wakanisa Mungu aendelee kuwalinda.Hizi Imani zingine ni za kishetani kabisa
@VumiDavid-lo1cl
@VumiDavid-lo1cl 7 ай бұрын
Mchungaji majalibu ni mtaji hakika umepata mtaji mkubwa sana mbele za mungu, mungu azidi kukupipigania
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 7 ай бұрын
Ni nchi gani hiyo😢 Enzi ya Mwalimu huu upuuzi haukuwepo Hata Enzi ya Pombe Hii ilikua haikubali
@ApolinaStella
@ApolinaStella 7 ай бұрын
Mungu tupo siku zote endelleaje kumtumukiya kwa uaminifu mchungaji😊
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 7 ай бұрын
Subuhanallah. Hivi kipindi wanaendakumfanyiamtu unyamahu. Wanafikilia kweri. .kama baadaekitatokea nini. ,
@mariamusaulo4429
@mariamusaulo4429 7 ай бұрын
Mungu yupo nawe pastor
@ESTERMADIRISHA
@ESTERMADIRISHA 6 ай бұрын
Pole sana ndugu mchungaji,ila nimeumia sana jamani
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 7 ай бұрын
Watu wampe yesu maisha ila kamchape kanisani hawausiki kabisa giza na nuru havichangamani waumini wanapenda uganga hawajatofautisha ndo wanaowasababishia mabaya wachungaji kama wacha Mungu wote mna msimamo wanarogana wao kwA wao kama mtume paulo alivosema watadanganyana wao kwA wao
@eliasmeshack7237
@eliasmeshack7237 7 ай бұрын
Nilshasema kwamba hao kamchape ni waongo sana pia ni wachonganishi je ni kwanini serikali inawavumilia watu hao?je Kwani serikali yetu imeshindwa
@RehemaMatowonambarikisanamungu
@RehemaMatowonambarikisanamungu 7 ай бұрын
Polenisana.mchungaji.Munguakutie.nguvu
@chany9950
@chany9950 7 ай бұрын
Mungu ni mwema jmn🙏🏾🙏🏾🙏🏾 pore baba yetu
@KinangaMakoye
@KinangaMakoye 7 ай бұрын
Mungu hamuachi mtumishi wake aangamie kabla ya wakati wa Mungu kufika
@ErastoMwantepele
@ErastoMwantepele 6 ай бұрын
Neema ya Mungu ikupe amani
@nancyatandi-s6y
@nancyatandi-s6y 7 ай бұрын
Amina roho mtakatifu nimwamifu ndo maana kakuficha kumtumikia mungu awezi kuku acha
@EsterBakary
@EsterBakary 7 ай бұрын
Pole Sana mchungaj mungu Yuko pamoj na wewe usimuache mngu wako😢😢😢
@ESTERMADIRISHA
@ESTERMADIRISHA 6 ай бұрын
Tanzania 😢😢😢 nchi yangu, tunaelekea wapi 😭😭😭😭
@gama_liely
@gama_liely 7 ай бұрын
Kwa jina la Yesu nuru yako imekuzukia una kwenda kua mtu mkuu sana
@MsanjilaTena
@MsanjilaTena 7 ай бұрын
Hapa ndio nimemkumbuka Magufuli Akh wangejua hawajui
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 7 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 7 ай бұрын
+MUNGU+ ni MWEMA MILELE ISAYA 54:10🙏🙌🙌
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 7 ай бұрын
Sifa na utukufu ni kwa Mungu. Na hatimae Mungu kaamua kuwadhihirishia wananchi. Nini kinachofanywa na hao matapeli
@AnaniaBulaya-rc3jv
@AnaniaBulaya-rc3jv 7 ай бұрын
Hapo wakamatwe Kijiji kizima wajenge hiyo nyumba.
@FintanMkesha
@FintanMkesha Ай бұрын
Mm natoka nyumbingwa ila kiukwel kigoma hasa wakaz wa rungwe mmekosea sana yaan hao kamchape wakija wauwen wanawatapel
@hamujames8200
@hamujames8200 7 ай бұрын
Pole sana Mchungaji
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 7 ай бұрын
Umefanya vema kufungua Mtumishi kwa Jina la Yesu Kristo Aliyehai Tumeshidaaaaaa
@daudic.mpinga4606
@daudic.mpinga4606 4 ай бұрын
Mchungaji wew wala usijali mshukulu MUNGU ,,maana naamini MUNGU ndye atakaye shughurika nao
@gloryleonard1563
@gloryleonard1563 6 ай бұрын
Mungu muumba wa.mbingu na nchi mlinde huyu mtumwa wako wote waliohusika nyoosha mkono wako kwao maana wewe unaweza.
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 7 ай бұрын
Ni kweli huwezi kumtoa shetan kwa shetan mwenzake yesu ni njia pekee ya kuepukana na ushirikina
@deogratiussaru3074
@deogratiussaru3074 7 ай бұрын
Pole sana mchungaji wangu
@christianchando7041
@christianchando7041 7 ай бұрын
Mtu wa kwanza kukamatwa hapo anapaswa kuwa mwenyekiti wa kijiji na mtendaji, kwanini aliwaruhusu?
@pastoreliwkimaroni8332
@pastoreliwkimaroni8332 7 ай бұрын
Pole Sana Ila wavhukuliwe hatua ya kisheria maana wanajulikana
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono 7 ай бұрын
Ila jamani kigoma uamsho unahitajika Kigoma
@mchangweje
@mchangweje 7 ай бұрын
E pole sana mchungaji
@faustineedward2425
@faustineedward2425 7 ай бұрын
Nakumbuka Kuna siku mheshimiwa makonda alisema wananchi amukeni mnapigwa wajikuta wajuaji, Sasa wapelekea madhala kwa mchungaj
@rerisamba
@rerisamba 7 ай бұрын
Waa pole sana hio hasara jamani
@magrethedward5635
@magrethedward5635 7 ай бұрын
Amen Amen......! Hallelujah
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 7 ай бұрын
Serikali inahuska kuwalinda na kuwatetea hao kamchape. Polis hua wana subili watu wapoteane kwanza ndo wafike
@FatmasaidhamesaHamesa
@FatmasaidhamesaHamesa 7 ай бұрын
Mungu atawalipia
@robertmasha173
@robertmasha173 7 ай бұрын
Daàaah millard ayoo inatakiwa upewe ukuu wa mkoa wa kigomaa ukawasaidieee
@RachelMethod-rt1qx
@RachelMethod-rt1qx 7 ай бұрын
Ndyo maana kigoma hakuna maendeleo
@stellajerome-kw4rg
@stellajerome-kw4rg 7 ай бұрын
Kweli
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 7 ай бұрын
Kigoma mnahitaji maombi mko pagumu kwa ajili ya uchawi
@alfrednyamnini7352
@alfrednyamnini7352 7 ай бұрын
Hivi ni kweli hawa kamchape kigoma serikali imewashindwa Mkuu wa mkoa yupo kamanda Mkuu wa wilaya yupo na makamanda wa police mkoa na wilaya wapo mapolice wapo Raia wanateseka kwa kuibiwa pesa zao. Na kunyanyaswa . Mama samia ingilia kati hali ya kigoma si shwari Hali hii haikubariki
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 7 ай бұрын
Kinachoniuma nikwamba hii laana itaenda had Kwa watoto na vizazi vyao hata visivyo na hatia😥😥 Mungu tunaomba rehema zako
@barakamanga5502
@barakamanga5502 7 ай бұрын
Hatari saana
@tomasokaniki5253
@tomasokaniki5253 7 ай бұрын
Wahusika wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa wengine.
@alfrednyamnini7352
@alfrednyamnini7352 7 ай бұрын
Kiukweli hali hii inasikitisha sana hali hii imeenea kigoma yote hasa vijiji hasa wilaya ya kasulu vijiji vya kalela munzenze kigogwe na maeneo mengine Watu wa kigoma ujinga wa imani za kishirikina umetapakaa sana Kigoma inahitaji kukombolewa .
@lucymrosso6930
@lucymrosso6930 5 ай бұрын
Mungu ni mkuu kuliko chochote
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 7 ай бұрын
Kama wamejitolea kuchapa wachawi pesa ni za nini
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 7 ай бұрын
Haaaaleluuuuuyaaaaa Yehova
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
Incredible Moments Caught on Camera
30:40
UNSORTED
Рет қаралды 4,6 МЛН