LISSU AKINUKISHA TENA MPWAPWA MJINI, AWAVAA MDEE, KINANA, NAPE NA MAKALLA, APIGILIA INSHU YA RUSHWA

  Рет қаралды 23,193

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

#TANZANIA: #Tundu #Lissu akinukisha tena #Mpwapwa Mjini, awavaa #Mdee, #Kinana, #Nape na #Makalla, apigilia inshu ya #Rushwa inayotembezwa ndani ya #Chadema

Пікірлер: 120
@ERNESTSuleiman
@ERNESTSuleiman 5 ай бұрын
Nakuombea kwa Mungu,Mungu akulinde sana sana vita uliyonayo ni kubwa sana
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 5 ай бұрын
Mungu ibariki chadema na viogozi wake
@jeremiaakyoo8179
@jeremiaakyoo8179 5 ай бұрын
Hongera sana Mheshimiwa. Endelea kutufundisha. Na tunaunga mkono katiba mpya maana hii ya sasa inatuumiza sana.
@MenruphKahimba
@MenruphKahimba 5 ай бұрын
Lisu mungu akuweke sana duniani
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 5 ай бұрын
God bless LIsu God bless chadema
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 5 ай бұрын
Hongera sana Mh Lisu
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 5 ай бұрын
Hongera sana tundu lisu
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 5 ай бұрын
Elimu itolewayo ni nzuri.
@MenruphKahimba
@MenruphKahimba 5 ай бұрын
Uko vizuri Lisu
@hajirashid-em5vj
@hajirashid-em5vj 5 ай бұрын
Hongera sana Lissu ukweli huo ndiyo kifo cha C C M
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 5 ай бұрын
Huyu jamaa msimchokoze, ukimrushia mawe utaumia mwenyewe.
@BozaDizamile-u1d
@BozaDizamile-u1d 5 ай бұрын
SAFI SANA LISSU ENDELEA KUWATOA WATU UJINGA AMBAO CCM HAWAWEZI KUWAMBIA WANANCHI CCM NIWAONGO SANA NA VIONGOZI WAKE WOTE WACHUMIA TUMBO CCM WAKATI WAKE UMEFIKA UONGO MWISHO WAKE NI AIBU
@saturinimushi4746
@saturinimushi4746 5 ай бұрын
Chawa Hawatokaa Wakuelewe Kamwe.
@bmdele5816
@bmdele5816 5 ай бұрын
Rushwaaaaaaa! Ni adui wa haki na maendeleo!.. 🔥🔥
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 5 ай бұрын
Lissu you are absolutely correct!
@JeremiaholendikaMakeseni
@JeremiaholendikaMakeseni 5 ай бұрын
mungu akuongeze miaka mingi duniani
@JoshuaLeonard-s3y
@JoshuaLeonard-s3y 5 ай бұрын
Jamani tuililie Tanganyika yetu hatuna bendela hatuna raisi hatuna wimbo wa taifa E,t,c
@AyoubMsonga-ch5xg
@AyoubMsonga-ch5xg 5 ай бұрын
Kwa elimu unayotoa Ni mjinga tu asiekuelewa
@ismailchimpele680
@ismailchimpele680 5 ай бұрын
Lissu Una Akili Mnooo
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 5 ай бұрын
Tundu Lissu ana ushawishi Mkubwa Nchini
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 5 ай бұрын
SAHIHI KABISA LISSU TUPO PAMOJA SANA.
@Chekibobu
@Chekibobu 5 ай бұрын
Tundu Lisu 🔥
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 5 ай бұрын
Halima mdee kaa kimya usije ukasababisha. Kuwa mwisho wa siasa za nchi
@JoshuaLeonard-s3y
@JoshuaLeonard-s3y 5 ай бұрын
Jamani iko wapi tanganyika yetu?
@msabahaali758
@msabahaali758 5 ай бұрын
lissu ni kiongozi hakika namuona Maalim seif ndani yake
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Maalim ni mroho tu wa Madaraka na ndie aliyetufikisha hapa baada ya kufitinisha Jumbe kwa Nyerere kwa kudhani atapewa yeye Urais. Nani alikuwa Makamo Mwenyekiti kwenye mkutano wa Katiba ya 1984, Nani aliunganisha TANU na AFRO na kuleta CCM.
@prospermalala6636
@prospermalala6636 5 ай бұрын
IQ kubwa sana ndani ya Taifa letu, Mungu akuongoze kwenye Taifa hili
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
IQ kubwa ni Rais Samia aliyesema tupate elimu kwanza. Kwa sababu kama Muungano una miaka 60 ndio kwanza leo unamuona Lissu ni Ujinga.
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 5 ай бұрын
Hata hivyo waisilamu hamnaga akili​@@hajihassan5433
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 5 ай бұрын
PAMOJA SANA LISSU.
@GiftBatista-u9l
@GiftBatista-u9l 5 ай бұрын
Haki
@SeifYusuf-jf7bn
@SeifYusuf-jf7bn 5 ай бұрын
TULIA WEWE TUNDU LISSU ANAHUTUBIA TAIFA
@ShalomNissitv
@ShalomNissitv 5 ай бұрын
Lissu unatufungua.
@GiftBatista-u9l
@GiftBatista-u9l 5 ай бұрын
Haki ikiondolewa na watu wake waondolewa, na dunia itapiganiwa kati ya wema na uovu!.
@FellaMbogela
@FellaMbogela 5 ай бұрын
SEMA SANA TUNDU A LISU UNAELEWEKA SANA NI WAPUMBAVU PEKEE NDIO HAWATAKIELEWA MUNGU AKULINDE NA KUKUTETEA
@chrissymarcus5051
@chrissymarcus5051 5 ай бұрын
I support you Lissu. I stand with you always
@exseviangaeje1158
@exseviangaeje1158 5 ай бұрын
43:58 lisu tunakuombea kwa Mungu uishi maisha malefu ili utukombomboe
@ZakayoSanga-ge4jr
@ZakayoSanga-ge4jr 5 ай бұрын
Tundulisu,wewe nizawadi kutoka kwa mungu ndio maana atawalipo kupiga lisasi hawakufanikiwa mungu alikua upandewako,endelea kutufumbua macho watanzania
@EdoKomba
@EdoKomba 5 ай бұрын
Hakika
@tobiasmbena7245
@tobiasmbena7245 5 ай бұрын
Huyu Lissu ni mwalimu, namuelewa sana
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 5 ай бұрын
Endelea kumsikiliza Lissu utajifunza mengi kupitia Lissu
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 5 ай бұрын
Hotuba ina nguvu utafikili unasikiliza mahubiri; kiukweli waliotaka kumuua lissu walaaniwe wao na vizazi vyao. Mungu akulinde mh Lissu wew ni mzalendo wa kweli wew ni zaid ya maslahi ya vyama.Mungu akulinde mheshimiwa.
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 5 ай бұрын
Lissu 🧠💯
@evelina9621
@evelina9621 5 ай бұрын
Ccm.hajafanya. vizuri.mpwapwa.watu.wamechaa.sana.huruma.hana Kitu.iokoe.inchi.mabadiko
@fraternshirima2474
@fraternshirima2474 5 ай бұрын
Piga nondo Mh Lissu mpaka wapoteane, ukweli ni mchungu sana.
@HenryMfalamagoha
@HenryMfalamagoha 5 ай бұрын
Tunakuelewa sana
@tumainielimwakiyambe6801
@tumainielimwakiyambe6801 5 ай бұрын
Mwamba
@frankpeter-of8xp
@frankpeter-of8xp 5 ай бұрын
Lisu ni zaidi ya walimu mambo mazito anafundisha kwa lugha nyepesi hata sisi wa darasa la Saba tunamwelewa mungu amlinde.
@evelina9621
@evelina9621 4 ай бұрын
Waa.mbie.kupewa.kanga.na.v itambaa.mpwapwa.changamkeni.mpate.uongozi.roho.zenu.zuri.
@jacksonndiu1070
@jacksonndiu1070 5 ай бұрын
lisu Lindi unakuja lini?njoo huku
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 5 ай бұрын
Kwa nchi hii sioni mwanasiasa wakumjibu Lissu akaeleweka!
@isacktesha6659
@isacktesha6659 5 ай бұрын
Kinachonishangaza ni kwamba hasomi popote
@AlbertKilinga
@AlbertKilinga 5 ай бұрын
NAOMBA KUJUA BENDERA YA TANGANYIKA IKO WAPI,
@fahadabdalla8194
@fahadabdalla8194 5 ай бұрын
Wanayo mbwa ccm wameiweka makalioni
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 5 ай бұрын
Tunakupata vizuli sana meanasheliya tundu
@tumainielimwakiyambe6801
@tumainielimwakiyambe6801 5 ай бұрын
Ss wengine tunamwelewa sanaaa kama umwelewi kaa kimya
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 5 ай бұрын
Hapa ndio naelewa Mungu mkubwa
@LinusAmanimbeye
@LinusAmanimbeye 5 ай бұрын
Watanganyika mda wetu ni huu mwenye sikio na asikie
@chadogsichela3528
@chadogsichela3528 5 ай бұрын
Chadema mwendo mdundo ✌️ nguvu yauma tundu lisu yupo sahii ulitaka abumbe maneno acheni kuleta ubabe mnauza mali zataifa 🙆
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 5 ай бұрын
Lisu nawe ni mla rushwa tena kubwa ya kuuza nchi
@evelina9621
@evelina9621 4 ай бұрын
Ccm.ya.sio.kama.siku.hizi.sasa.uchumi.wanavuna.wasicho.panda
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 5 ай бұрын
Mother give birth for a reason
@mwaluchenye2002
@mwaluchenye2002 5 ай бұрын
Elimu,Weledi,Ukweli=Tundu Lissu
@hebronmalatila6186
@hebronmalatila6186 5 ай бұрын
Taasisi ya CHADEMA! inaumizwa na Rushwa,kwa kuwa Mbowe ni mpenda rushwa na Ufisadi ndani ya CHADEMA. Ndo hivyo na Edwin Mtei,alivyowahi kuwa ! Uwenyekiti wa bwana Edwin Mtei,hauna tofauti na Uwenyekiti wa Freeman Mbowe. Maana Umaarufu wao ni State nyuma yao! Na siyo Juhudi na Jitahidi zao juu ya Ukombozi wa taifa letu la Tanganyika.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
WALIVYO WAPUMBAVU BADALA YA KUKASIRIKA, WANACHEKA. WATANZANIA BWANAA.
@evelina9621
@evelina9621 4 ай бұрын
Lisu.hali.rushwa.ww.,ndio.
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 5 ай бұрын
Yani lissu na maalim self niwatu hatari sana nikama mayele
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 5 ай бұрын
Wee MKURYA wa wapi huna akili mayele anaingiaje kwenye mambo ya nchi yetu punguza ujinga
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 5 ай бұрын
Kamuulize mama Yako akikujibu kama yeye ni mjinga njoo unambie mm baba yako
@hebronmalatila6186
@hebronmalatila6186 5 ай бұрын
Bwana JK. Nyerere! Kuruhusu rasilimali na mali za taifa la Tanganyika! Haki ya watu wa taifa la Zanzibar. Kwa mujibu wa Katiba batili au fake iliyopo hivi sasa,ilikuwa rushwa kwa Watu wa taifa la Zanzibar. Kusudi kuwanyamazisha Wazanzibari hawasiniteoe ktk Muungano fake! Usiyowahi kuridhiwa na Wazanzibari wenyewe.
@hebronmalatila6186
@hebronmalatila6186 5 ай бұрын
Wazanzibari walifanikiwa kutunza jina la utaifa wao,kutokana na Abed Amani Karume kuwakataza Wazanzibari wasikubali kuridhia hoja ya Muungano wa bwana JK.nyerere. Lkn huku Tanganyika! JK.nyerere aliwashinikiza Watanganyika kuaachana na kujiita Watanganyika.
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 5 ай бұрын
UMBUMBUMBU juu ya watanzania
@evelina9621
@evelina9621 4 ай бұрын
Nakumbuka.uhuru.nikiwa.mtoto.13.baba.zetu.walimunga.nyerere.kutoa.ngumbe.mbuzi..mayai.kumsaidia.lakini.?
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 5 ай бұрын
Kwani yote anayozungumza hakuzungumza wakati yupo bungeni? Ulikuwa bado unanyonya? Fuatilia historia Kama bado ulikuwa chekechea!
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 5 ай бұрын
Wajinga kupita kiasi hamuwezi kosekana
@MswadikuOmary
@MswadikuOmary 5 ай бұрын
Ukosahihi risu
@miraabdul7470
@miraabdul7470 5 ай бұрын
Tumshukuru sana Nyerere kwa Kutunganisha, Hawa wanasiasa uchwara wanatugawa tu.
@solomtz7049
@solomtz7049 5 ай бұрын
Wewe ni mjinga usomi nyakati wa Zanzibar wanafursa nyingi bara kuliko kwao
@solomtz7049
@solomtz7049 5 ай бұрын
Wewe mtanganganyika kwako wan Zanzibar wanakuja kukutawala
@solomtz7049
@solomtz7049 5 ай бұрын
Eti wan Zanzibar kwNini sissi twende kule na pass port
@miraabdul7470
@miraabdul7470 5 ай бұрын
Katembee Zanzibar brother ujionee mwenyewe uwone watu kutoka Pembe zote za Tanzania wanavyofanya kazi bila ubaguzi . na wanamiliki chochote wanachotaka Muhimu fata sheria tu!
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 5 ай бұрын
Mjinga hujielewi.mnagawanywa vp hujui
@miraabdul7470
@miraabdul7470 5 ай бұрын
Tindu Lissu hatimae rangi yako ya kweli tumeiyona ni mbaguzi
@ibrahimandrew848
@ibrahimandrew848 5 ай бұрын
Wewe Ni MATAKO
@miraabdul7470
@miraabdul7470 5 ай бұрын
Bro umeanza matusi You don’t know who you messed with.
@simonnjovu586
@simonnjovu586 5 ай бұрын
Miraa ukiingia humu usitishie watu. Mjibu Lissu kwa hoja, usikimbilie kusema tu mbaguzi.
@isacktesha6659
@isacktesha6659 5 ай бұрын
Hoja hujibiwa Kwa hoja ,ACHA atufungue akili
@miraabdul7470
@miraabdul7470 5 ай бұрын
Unaweza ukawa mtu intellect kama Lissu na ukawa mbaguzi pia. Alipopata matatizo na Magu aliwakimbilia hao hao Wazenji ndio wamuakilishe kwenye kesi zake. na yeye mwenyewe amekiri in public.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 5 ай бұрын
Hakuna hata anayekuelewa hapo! Unapiga tu kelele! Kunywa maji ukalale!😅😅😅
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 5 ай бұрын
Wewe ndie jinga hujitambui lisilojua haki zako.au ndio kikundi Cha kutunyonya.wewe ndie unywe maji😅😅
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 5 ай бұрын
@@albinusmkono5887 Nadhani mjinga zaidi ni mama yako! Ukiniita mjinga jitafakari ujue mimi ni mama wa wenzako! Kwa hiyo mjinga pia ni mama yako!! Upo!..
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 5 ай бұрын
@@albinusmkono5887 Ungejua haki zako usingetukana! Kumwambia huyo tundu anywe maji sijamtusi! Unajikuta wewe nani hadi uniite nmjinga! Narudia tena MJINGA NI MAMA YAKO! Pokea hilo kama ni tamu!!
@hulukasefu3526
@hulukasefu3526 5 ай бұрын
chawa wewe
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 5 ай бұрын
Angalia ulichoandika.kumbe unaandika bila kujua unaandika nini.pole basi nikusamehe.nimejua unaandika andika TU kutimiza maelekezo.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 5 ай бұрын
Ulitembea dunia nzima ukipokea rushwa ili uitukane nchi yako! Sasa vjnakurudi unaanza kulia lia! Au umesahau?? Mdomo unaponza kichwa. Ukumbuke hii ni nchi na sio familia yako!
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 5 ай бұрын
Wewe Doroth.ndie mjinga mkubwa wa kwanza kama huna hoja kaa kimya watu tunaelemishwa haki zetu unasema alizunguka kutafuta rushwa hao wanaotembea na bakuri na matozo.na baadae wanazichota.CAG.kila Leo anaripoti hakuna hatua.mbona huwasemi.!!!jinga kubwa sana.wewe wewe ni njinga sana
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 5 ай бұрын
Hakuna jema hata moja! Wewe tu ndio una uchungu na nchi yetu! Nchi ingekua mbaya wewe ungekua hivyo! Umesoma una familia lakini unahubiri ubaya ubaya ubaya kila kukicha! Uwe na aibu kidogo! Uraisi utausikia nimekaa paleee!😂😂😂
@Expedito2512
@Expedito2512 5 ай бұрын
Wewe ni mjinga kati ya wajinga. Hujui hata mambo ya muhimu. Wewe hata darasani hukuelewa chochote
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 5 ай бұрын
Jema gani lililofanyika zaidi ya umasikini tulishindiliwa na ccm
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 5 ай бұрын
@@philimonndinadyo2120 ungekua maskini ungeweza kuonekana huku?? Mshukuru Mungu hata kwa hicho ulichonacho pia na amani inayokufanya ufanye haya!
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 5 ай бұрын
Mnatumia amani kutudhibiti.wananchi.haki kwanza ndio amani inakuja.mjinga wewe kibaka wa fikra
@frankcharles3980
@frankcharles3980 5 ай бұрын
​@@dorothmsuya1686WE NIRIJINGA LIJINGA TU KICHWA HASARA
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Mhe. Lissu maelezo yako ni mazuri LAKINI tunachosemea ni ya KIBAGUZI ni kwamba toka Nyerere hadi Magufuli hatukukusikia ukizungumza haya na uliwahi kuwa hata Mbunge.
@Expedito2512
@Expedito2512 5 ай бұрын
Wewe ndiyo hukumsikia
@deluxwoiso999
@deluxwoiso999 5 ай бұрын
Kwani ujawai msikia kipindi cha bunge la katiba
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 5 ай бұрын
Wewe ndie hujitambui lisu ni kiongozi mzalendo
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 5 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu haji.naona umekurupuka sana bila kujitambua.hivi wewe ulikua wapi wakati lisu akiwa bungeni akitetea wazanzibar kuhusiana muungano.??? Nenda ukagugu utaona anavyotetea. ubaguzi uko wapi.???.kipi anasema Cha uongo.?!!!.kaa kimya au ndio wapokea kofia na chumvi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
@@albinusmkono5887 Sasa aliwatetea kwa lipi ikiwa leo anasema ndio beneficial wa Muungano kwa kuwa tu Mhe. Samia ambae ni Mzanzibar ni Rais. Tokea Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli wote Watanganyika. Huu Muungano ni Tanganyika na Zanzibar Rais NI lazima atakuwa ama Mtanganyika au Mzanzibar ni mwanamke au mwanamme kwani ulitegemea kusiwe na Rais Mzanzibar milele.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 120 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
MWABUKUSI ACHAFUA HALI YA HEWA MKOA WA KILIMANJARO
16:19
Chadema Media TV
Рет қаралды 10 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН