MWABUKUSI ACHAFUA HALI YA HEWA MKOA WA KILIMANJARO

  Рет қаралды 9,984

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@johnmlangi6890
@johnmlangi6890 6 ай бұрын
S. C, Mwambukusi. Nakupongeza sana kwa Hotuba yako Saafi & Naamini Umeeleweka Vizuri sana na Wananchi
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 6 ай бұрын
TUNATAKA KATIBA MPYA . TUNATAKA TANGANYIKA YETU. TUNATAKA WALETE HATI YA MUUNGANO WA TANZANIA
@jovinjoseph1247
@jovinjoseph1247 6 ай бұрын
Sasa huyu ndio awekwe agombee urais Chadema lazma tuwakaange sio mnyimage people's power
@JacksonFrances
@JacksonFrances 6 ай бұрын
Hii Nchi imetawaliwa Kienyeji Sana Miaka Mingi, ila Kw Kipindi Hiki CCM Wajipange Lazima Tuwanyooshe Hatutakubali Ujinga Wao Tena Maana Wametunyanyasa Miaka Mingi Sana na Taifa Limetafunwa Sana Miaka Mingi, CCM Jiandaeni Kulia Uchaguzi Huu"
@omarimaftah-wu5zb
@omarimaftah-wu5zb 6 ай бұрын
Nasikitika kwa ujinga wa hùýu wanasema ni mwanasheria eti. hata tafsiri ya KUSTAARABÌKA..nani ulikuambia wachaga ndio walio staarabika awali..p'mbaf toka lini mchaga akawa mstaarabu...rudi shule kuna ustaarabu huku akitembea bado harufu ya kinyesi imemganda kukuta maji ktk choo cha mchaga. pengine utaona hilo ni dogo tembelea silka na hulka mila na desturi za hao ndg zenu ktk mas hala ya uchumi Mbeya mpaka mnachunana ngozi Kilimanjaro mtoto ubwabwa mpwa mpunga tunaambiwa hadi chuçhu za Bi mkubwa unashughulika nazo eti mganga kashauri ili BESA ingia bomani.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 6 ай бұрын
Bandari hamuwezi kuendesha WATANGANYIKA ni WEZI na wala RUSHWA.
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 6 ай бұрын
Tuweze tusiweze hauwahusu bandari yetu haiwahusu na itarudi.
@edesaron9070
@edesaron9070 6 ай бұрын
Mwamba
@axmedcali5097
@axmedcali5097 6 ай бұрын
Huyu jamaa hana hoja anapitosha hivi huu utanganyika unatokea wapi?
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 6 ай бұрын
Wewe ndiyo usiye na hoja. Kama kuna Serikali ya Z'bar, lazima kuwepo kwa Serkali ya Tanganyika. Utanganyika unatoka wapi?? Jibu lake ni Uz'bar unatoka wapi??
@OscarKasalile-u4k
@OscarKasalile-u4k 6 ай бұрын
Kwanibwewe umezaliwa wapi uhuru wetu wa kwanza tulipata tukiwa Tanzania au tukiwa watanganyika ndo tukaungana na zanzibar ndipo tukaipata Tanzania? Kama hujui kitu nyamaza acha kuwa shabiki wa vitu usivyovijua.
@stanleymuhimbula5590
@stanleymuhimbula5590 6 ай бұрын
Nenda shule wewe!.😮😮
@solomtz7049
@solomtz7049 5 ай бұрын
Wewe ndio huna hoja ebu msikilize, serikali tatu, Zanzibar ni nchi bhana sasa tanganyika ipo wapi, wazanzibari wana fulsa kuliko bara
@Naomianthonyreige
@Naomianthonyreige 6 ай бұрын
Watu wa Tanganyika tumefunga akili, kama waliomsulubisha Yesu, eti baada ya kukata roho ndo wakafunuliwa mnakaa Dodoma na masuti ya kijinga tu, kazi kulinda maslai yenu, bila kujua mna watoto. Tunatawaliwa na ki mkoa sijui Kijiji.
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 6 ай бұрын
Mwambukusi enzi za uncle magu ulikuwa wapi mbona hukusubutu hata siku moja kukemea mauwaji ya watu na kutupwa ktk fukwe ? Na wengine kushambuliwa kwa risasi? Au uliunaungana katika kuwashambulia raia pamoja na kupora mali zao?..
@aloycemruma6552
@aloycemruma6552 6 ай бұрын
Wachangiaji. Wetu naona wengi Wana shida ya Afya ya akili
SIGLADA MLIGO AMUWASHIA MOTO MKURUGENZI WA HALMASHAURI NJOMBE MJI
6:50
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 9 МЛН
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН
NI KAULI YA MUNGU. OLE WETU TUKIZIDI KUIPUUZA
17:39
SK Media Online TV
Рет қаралды 15 М.
NGOMA YA BENSON KIGAILA MKOA WA KILIMANJARO SIO YA KITOTO
7:32
Chadema Media TV
Рет қаралды 3,3 М.
Lema Awawashia Moto CCM Kuhusu Wagombea wa CHADEMA Kuenguliwa.
30:41