LISSU AMJIBU FATMA KARUME SAKATA LA SIASA ZA UBAGUZI....

  Рет қаралды 18,313

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 193
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 ай бұрын
Lisu tetea haki za Tanganyika binafs niliwahi kuuliza faida za muungano sijawahi ambiwa
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 ай бұрын
Lisu umeongea ukweli sana shida Moja watanganyika hawajitambui elimu hatuna ila wazanzibar wanaakili sana sisini mbuzi tu hatujui lolote
@solomonadams6337
@solomonadams6337 4 ай бұрын
mikijua msijuie jijueni Passport inakuja mtaingia Zanzibar kwa Passport sawa!😂🤣🥲🧐😉
@faridhassan2308
@faridhassan2308 4 ай бұрын
Ukisema watanganyika wako wapi mbona hakuna Tanganyika na mlishaizika wenyewe,wazanzibar wanaakili sana hawakukubali kuizamisha Zanzibar kwenye kivuli cha muungano
@salma0000
@salma0000 4 ай бұрын
@@solomonadams6337 huyo bwana wenu nyerere aliweka passport kuingia Zanzibar au Tanganyika, imeondoka sio zamani sana tena cha ajabu nini hapo. Uvunjeni😏
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 4 ай бұрын
Lissu Mungu akulinde daima na kukutunza Upo Kwa makusudi makubwa ya kulitetea taifa letu na Watu wake...
@abdullahalkindi9673
@abdullahalkindi9673 4 ай бұрын
Lusi usibabaishe watu mbona hayati Aboud Jumbe ni mbara wa Kilwa na Ali Mwinyi ni mbara wa Mkuranga walitawala Zanzibar, Tundu Lisu Hana hoja Ndio analeta ujinga huo
@user-hb3ip9it2j
@user-hb3ip9it2j 4 ай бұрын
Wewe tulia kama imesaliwa mjini tulia hifo hifo wazanzibari wanatunyanyasa watanganyi Magufuli alikuwa anasema mtu mmoja hawezi kumiliki hk 1000 wakati kuna wananchi hawana mahali ya kukalia VIP
@FunnyProteaFlower-dg4gi
@FunnyProteaFlower-dg4gi 3 ай бұрын
Hawakuuza Mali za Zanzibar
@dianamilaji6690
@dianamilaji6690 4 ай бұрын
asante Lisu umeeleweka
@charlesnassary6689
@charlesnassary6689 4 ай бұрын
Hongera lissu
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 4 ай бұрын
Ndugu yangu Lissu, umenigusa pale penye uchungu
@mobilempula545
@mobilempula545 4 ай бұрын
TUNDU LISU nakupa asilimia zote uko vizuri sana
@user-ov5lq1kf3l
@user-ov5lq1kf3l 4 ай бұрын
Uko sawa mkuu wapige za USO mpaka wajue wananchi tunajuwa.
@isaacalex6327
@isaacalex6327 4 ай бұрын
Sawa kabisa wanauza kwa kuwa siyo kwao hawana mpango na sisi
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 4 ай бұрын
Lisu kwa ukweli wako huu,"wewe ni kiongozi na Mtumishi wa Mungu kama Daudi"
@dullahkalanjedullahkalanje1422
@dullahkalanjedullahkalanje1422 4 ай бұрын
upo sahihi sana mwamba aiwezekani chao ni chao chetu cha wote ni ujingaa sana tatizo viongozi wengine ni chawa tu
@CafeJohn-jz8ri
@CafeJohn-jz8ri 4 ай бұрын
Lakini ukimsikiliza lisu vizuri kunaukweli ndani yake uwa nimzee wa kukurupuka lakini apa namuelwa sisi watanizania kwenye ukweli uwa tunapinga sana kwenye ukweli kunawengine bado tunapiga wazazibari wanajitambua sana lakini lakini sisi wabongo tupo tu kama mbuzi wa kakafala
@user-wl6zs4sf5p
@user-wl6zs4sf5p 4 ай бұрын
Mwamba nimekuelewa sana kwa ufafanuzi hapa tumepigwa na kitu kizito
@deogratiusvalentino6248
@deogratiusvalentino6248 4 ай бұрын
Uzuri wa Lisu qnajenga hoja na kukupa uthibitisho wa anachokisema. Wale waliomsema mbaguzi baada ya hapa hawatoongea tena.
@eliasnisagurwe137
@eliasnisagurwe137 4 ай бұрын
Wazanzibar ni wabaguzi kwa hoja hii
@SleepyDesert-nn7tk
@SleepyDesert-nn7tk 4 ай бұрын
Leo tenaaa hta hya hamuoni miaka mingp mumetawala nyny watangnyka leo mungu ametuona cc imekua shda pole xnaa aunty lissu😂😂😂😂😂😂w
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Tumetawala Kwetu, Zanzibar mna rais wenu
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 4 ай бұрын
Kweli Elimu inatakiwa kwa watanzania Lisu heshima kwako wataelewa tu
@f.a6043
@f.a6043 4 ай бұрын
Aisee kweli kama hivyo ndivyo katiba ya zenji ilivyoandikwa basi hapo kutakua na changamoto kubwa na haifai kabisa kua na uwiano na Tanganyika
@benardmwinuka6948
@benardmwinuka6948 4 ай бұрын
Point Leo nimekubali
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 4 ай бұрын
Wazanzibari hawautaki Muungano lakini Tanganyika wanatumia nguvu kuulazisha Muungano uendelee.
@salma0000
@salma0000 4 ай бұрын
Nashangaa, wanakataa mpaka utaifa wao walivyo washamba😂😂
@AbbasMwakichui-db9tn
@AbbasMwakichui-db9tn 4 ай бұрын
Huyu jamaa ni mbaguzi sana na ni hatari sana
@isaacalex6327
@isaacalex6327 4 ай бұрын
Hawa ccm wa bara wana juwa haya alooo nitaipenda chadema
@deusobadia8974
@deusobadia8974 4 ай бұрын
😮
@chuguletheodos3342
@chuguletheodos3342 4 ай бұрын
Hii ni kichwa ya mungu ni moto
@dullahkalanjedullahkalanje1422
@dullahkalanjedullahkalanje1422 4 ай бұрын
tatizo ujinga umetuzidi ila utaisha atumpi kura Mzanzibari
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 4 ай бұрын
Alafu piga kelele kwa hali uliyonayo hufai kuwa Rais wa nchi yeyote Duniani
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 4 ай бұрын
Ni kweli kabisa mama kagawa vitu vya tanganyika
@sahimm4767
@sahimm4767 4 ай бұрын
Na anakujeengeeni tanganyika yenu mbona hulisemi hilo au huoni
@sahimm4767
@sahimm4767 4 ай бұрын
Na anakujeengeeni tanganyika yenu mbona hulisemi hilo au huoni
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
​@@sahimm4767Kodi zetu ndiyo zinajenga yy hana hela
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 4 ай бұрын
Lissu ni mpuuzi sana yaaani bandari zako wewe ndiye uliejaza maji humo
@salma0000
@salma0000 4 ай бұрын
Hiyo bandari yenyewe ya Dar ilianzishwa na mwarabu, na Dar si sehemu ya Tanganyika
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 4 ай бұрын
@@salma0000 Lissu hajui Histolia Kama waarabu ndiyo walioanzisha bandari
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
​@@salma0000Acheni uongo hiyo bandari ilijengwa na wajerumani pamoja na reli ya kati,mwaarabu hawezi kukujengea bandari au shule zaidi ya misikiti
@salma0000
@salma0000 4 ай бұрын
@@FridayMwassaitakua hujawahi kuisikia Zanzibar Empire wewe. Mjarumani alitawala Tanganyika na hakuwafundisha hata kijarumani alvyokuoneni wajinga, aliwatumia kukamata ndugu zenu tu kuwauza utumwani.
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 4 ай бұрын
Lissu huna shukurani yaani wewe utahukumiwa na mungu
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Shukrani ya nini
@rashidomar2771
@rashidomar2771 4 ай бұрын
Lisu unasahau kama watu waliuliwa na polisi zanzibar na mpaka leo watu wanaumizwa unasahau
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl 4 ай бұрын
Lisu sheria unaijua ni sahihi kabisa kama kuna Zanzibar basi Tanganyika inatakiwa iwepo wala apo akuna ubaguzi wowote
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 ай бұрын
It's very ambiguous. One country, two presidents and two constitutions😁😁
@EnockKanduli-cv8yr
@EnockKanduli-cv8yr 4 ай бұрын
Tuwe na serkali tatu. Ndoo dawa yake
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 4 ай бұрын
Habishani anawafungua ninyi wajinga dodoma imejaa vyuo lkn wasomi hawapo hata hapo wamekalia mitandao jinga kabisa
@cachboy5218
@cachboy5218 4 ай бұрын
Mjing ww askal wa zenj
@alisonikihedu9614
@alisonikihedu9614 4 ай бұрын
Kuna kaukweli fulani
@bonifacemkanga6302
@bonifacemkanga6302 4 ай бұрын
Mmmmh aiseee huna issue tena
@JescaAcili
@JescaAcili 4 ай бұрын
Tanzaniya shadama 2024010
@user-hv9pv3sd1u
@user-hv9pv3sd1u 4 ай бұрын
Mm naelewa vzr maana naishi unguja na bala ila kwa machawa hawaelewi
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 4 ай бұрын
Asante
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 4 ай бұрын
Tundu unabishana na Fatima kwani unapoteza nguvu zako kwa mjinga kama hiyo anakojoa huku amechuchumaa!
@sahimm4767
@sahimm4767 4 ай бұрын
Hayo ni maumbile boy acha upuuzi kwn bi mkubwa wa kwako hafanyi haja kwa kuchutama?
@NanaMasalago-rh4ow
@NanaMasalago-rh4ow 3 ай бұрын
Kwani lissu tukitaja tanzania unafaham nini mbon haueleweki!
@faridhassan2308
@faridhassan2308 4 ай бұрын
Lissu unapotosha wasiojua ,katiba ya Zanzibar haiwezi kumzungumzia Mtanganyika,Kama katiba ya Zanzibar inasema kila mzanzibar atafaidi matunda ya zanzibar kuna kosa gani? Tanganyika haipo na ndio maana Mchungaji Mtikila alivyokuwa akidai Tanganyika ulikuwa ni mmoja wapo wa waliopinga,na pia elewa kuwa kila Mzanzibar ni Mtanzania lakini sio kila mtanzania sio mzanzibar,yote hayo unataka kupotosha hutaki kusema ukweli,lakini sisi tunajuwa wazi kuwa wewe ni mzuri sana kwa propaganda na hao wanaokusikiliza wengi wao hawajui kitu kwa hivyo unawaburuza,sema ukweli fafanua kiuwazi sio kupotosha
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 4 ай бұрын
Sasa Leo kakwambia ukweli umeumia sio
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 4 ай бұрын
Lisu wachane wanzanzibar wamezidi kila ck Muungano Muungano kwetu Muungano una faida gn?uvunjike uo Muungano wasije Bara
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 4 ай бұрын
Tundu sitaki Mimi ubishane na hiyo mjinga wa like!
@salma0000
@salma0000 4 ай бұрын
Anabishana na ccm bila kujua, ulidhani anabishana na nani
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 3 ай бұрын
Kenge yule!
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 ай бұрын
Zanzibar ni Nchi ! Wazanzibari wana yao !!
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 4 ай бұрын
Nimekuelewa sana ni ngumu kukuelewa
@KhaliluRahman-rc4te
@KhaliluRahman-rc4te 3 ай бұрын
kwan mlipoungan n wazanzibar hamkujuwa km zanzibar ndogo tanganyik kubwaaa mbon mnajizimaaa dataaa lkn
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 4 ай бұрын
Bara inabandari kutoka wap
@eliasnisagurwe137
@eliasnisagurwe137 4 ай бұрын
muungano hauna faida yoyote
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Eti Mpka wakuu wa wilaya na wakurugenzi wapo wazanzibar daah!
@jamesmzaki6041
@jamesmzaki6041 4 ай бұрын
Iko hivyo,,Hata huku nilipo DC ni Mzanzibar
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
@@jamesmzaki6041 wilaya gani vile
@sahimm4767
@sahimm4767 4 ай бұрын
Kwetu zanzibar raisi ni mtanganyika au hulijui hilo
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
@@sahimm4767 Mzee Mwinyi amezikwa Mwanza?
@maulidimwambala2127
@maulidimwambala2127 4 ай бұрын
Ungura mwamba
@hamzakhamis1575
@hamzakhamis1575 4 ай бұрын
Kwani tanganyika ameipoteza nani mpaka leo hii wewe ndo unalijuwa ilo? Marais wangapi wamepita tanzania na jee wote walikuwa wanatoka zanzibar mpaka mkashindwa kupata tanganyika yenu munayoidai?
@pantaleolaurentlaurentkavu2011
@pantaleolaurentlaurentkavu2011 4 ай бұрын
Mbona salum mzanzibar hamujamtoa chadema na mlifanya nae kampeni huku bara miaka yote.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Wamtoe kwasababu gani, wakati Lisu anampa ukweli Fatuma karume
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 4 ай бұрын
Et aende zake 🤣🤣
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 ай бұрын
Lissu wewe ni chizi ndio mana kidogo utolewe roho kuwa makini na domo lako hakika Magufuli alikua kiboko yako.
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 4 ай бұрын
Yeye na magufuli nani yuko hai??
@user-hb3ip9it2j
@user-hb3ip9it2j 4 ай бұрын
Wambie ukweli kama hawataki wazeme hiyo ukweli
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 4 ай бұрын
Lakini Wazanzibar wamekusave uhai wako,
@saidimpako5186
@saidimpako5186 4 ай бұрын
Shoga aki sev uhaiwako kwahiyo ushoga ni mzuri
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza 4 ай бұрын
Kwani wazanzibar ni mungu
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 4 ай бұрын
Nie wa bara si hamjitambui kama waznzibar acha muuzwe kwa waarabu.
@salummohamed2689
@salummohamed2689 4 ай бұрын
Hivi watu wa serikali mkitaka kujibu haya hamsomi katiba hizi mkazielewa? Kama mmezisoma kwanini hayafanyiki marekebisho au ndo yale mazoea ya kukariri kuwa Mtzia haulizi chochote ukimwekea kwenye maandishi?
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 4 ай бұрын
Sasa mtu kama nape mwenye akili ndogo . ATI anajaribu kumjubu lissu!!;;;Hana ada u kwa watanganyika
@jafarmlawa9627
@jafarmlawa9627 4 ай бұрын
Ushakua DJ sasa
@f.a6043
@f.a6043 4 ай бұрын
😂😂😂 kama ww🐸👈🏽🤣 ukweli unauma tulia ww🐸👈🏽
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 ай бұрын
Huyu jamaa akili yake haiko sawa hata kidogo pelekeni milembe
@user-wp8yk6ow8h
@user-wp8yk6ow8h 4 ай бұрын
RISASI ZA MAGUMASHI ZIMEMCHANGANYA AKILI ANAMTUKANA ALIEMSAIDIA SAMIA ALIENDA KUMKAGUA HOSPITALI KENYA NA ULAYA FATMA AMEMTETEA KORTI LKN HUYU NI CHIZI TUU
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 4 ай бұрын
Hajui Histolia na sehemu wanazotoka baadhi ya viongozi
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Wewe unayejua tujilishe
@user-dk8uf8ho9s
@user-dk8uf8ho9s 4 ай бұрын
Dah Lisu unaitia aibu tasnia ya Sheria
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 4 ай бұрын
Yani wewe kama humuelewi lissu wewe ni mtoto wa balozi na unatumia mavi kichwani kufikiria.
@sirialemmy37
@sirialemmy37 4 ай бұрын
Yani huyu anayesema Lissu anaitia aibu tasnia ya sheria, anayo matope kichwani. Ni mjinga wa mwisho kabisa
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 4 ай бұрын
Wewe Ni ngombe unajua shria wewe
@f.a6043
@f.a6043 4 ай бұрын
Hapa anaondoa unafiki wote ktk tasnia hio ya sheria
@shinipapaya846
@shinipapaya846 4 ай бұрын
​@@sirialemmy37ni Mzanzibar huyo wala usipate tabu ndugu yangu 😂😂
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 4 ай бұрын
KUNA KAUKWELI FULANI HAPO!NAFIKIRI PAMOJA WAASISI WALIFANYA KWA SEHEMU YAO SIYO MBAYA NA SISI KIPINDI HIKI KATIKA KERO ZA MAMBO YA MUUNGANO BARA TUNGESIKILIZWA PIA.ILI KUBORESHA!!!!! KAMA ZENJI WANAKUWA NA KERO BASI BILA SHAKA HATA BARA PIA.
@obadiajuma436
@obadiajuma436 4 ай бұрын
Lisu MUNGU alikuacha hai kwakusudi
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 4 ай бұрын
Absolutely
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 ай бұрын
Huyu lisu hajielewi
@user-wp8yk6ow8h
@user-wp8yk6ow8h 4 ай бұрын
Lisu mchonganishi wapo wabogo kibao wamejenga zanzibar na wamepewa vitambulisho vya mzanzibari ss km ni hivyo muungano na uvunjwe basi na kila mmoja arudi kwao😊😊
@helencyprian8745
@helencyprian8745 4 ай бұрын
Haina shida
@isaacalex6327
@isaacalex6327 4 ай бұрын
Fatuma hana uzarendo
@MapenziMalanda
@MapenziMalanda 4 ай бұрын
Huyu Mzee ame ishiwa sera Mungu amusamehe
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 4 ай бұрын
Una akili ndooogounashindwa hata na panya. Yanihuelewi?
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 4 ай бұрын
Huyu kweli ni kichaaaa kabisaaa
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 4 ай бұрын
Kichaa ni wewe unaepigwa bei kama kuku alafu unamshangilia. Unatumia mavi kichwani kufikiria?
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx 4 ай бұрын
Bado hawajaelewa 2?
@DanielMollel-nu5yq
@DanielMollel-nu5yq 4 ай бұрын
Ni kweliiiiiii
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb 4 ай бұрын
Vunjeni muungano hizi ni nchi mbili nyie mmekubali muungano sisi hatkukubali muungano ndio zanziba hatukubali kuvunja kama mlivo vunja Tanganyika yenu sasa wabunge wawe sawa sawa kama Tanganyika kumi na Zanzibar kumi haijalishi ukubwa wa nchi hizi ni dola mbili sawa sawa tukubali kwamba muungano hauna ridhaa kwa wataanganyika wala waz
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 ай бұрын
Matako yako yavinje kwanza
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 ай бұрын
Naonaga napoteza mb zangu bre kumsikiliza lisu
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 ай бұрын
Hiyo katiba ya Zanzibar inatumika?
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 4 ай бұрын
Mbaguzi anajikosha sasa baada ya kufundisha siasa sio ulete ubaguzi
@MnubiMm
@MnubiMm 4 ай бұрын
Kazi kwenu nyie wazanzibar mlioko Chadema ndio mjitathimini Mnastahili kuwa huko
@helencyprian8745
@helencyprian8745 4 ай бұрын
Ukweli wacha usemwe
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 4 ай бұрын
Kataeni muungano nasisi hatutaki hata kuuona kwanza hatuwapendi mnatuharibia tamaduni zetu
@user-fk6mt5ib6g
@user-fk6mt5ib6g 4 ай бұрын
Kwani utamaduni wa Zanzibar ni upi? Kama sio Mila za waarabu wa Imani?
@nellyjr396
@nellyjr396 4 ай бұрын
Utamaduni wa kutolewa marinda au😂
@HamzaHeri
@HamzaHeri 4 ай бұрын
AJAKOSEA FATUMA YUKO SAHIHI NYINYI CHADEMA NI WABAGUZI NA WADINI SANA ALAFU MNATAMA YA MADARAKA NYIE MKIPEWA. NCHII MTAUWANA WENYEWE WEWE SISI WATANZANIA TUNAWAJUWA.
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 4 ай бұрын
Ccm. Wana tamaa ya mavi?
@ZaitunAbdallah-ol1bb
@ZaitunAbdallah-ol1bb 4 ай бұрын
Vunja muungano kama hamtaki hayo nyie mna wabunge wangapi tuwe na wabunge sawa sawa kama Tanganyika kumi na Zanzibar kumi
@salma0000
@salma0000 4 ай бұрын
Wameukataa utanganyika wao na kuukumbatia utanzania then kutuita wazanzibari wabaguzi kwa kuupenda utaifa wetu, sasa watulie wavune matunda ya muungano.
@user-wp8yk6ow8h
@user-wp8yk6ow8h 4 ай бұрын
Kwa kweli ndo lililobakia sisi tumesema mpaka tumechoka na huyo samia bzdo hajatufanyia kitu kuliko anavyo wafanhia wao hadi makanisa anawachangia michango pesa kibao kweli mfadhili mbuzi binaadamu ana maudhi tuwachilieni nchi yetu ns mbakie na yenu mkesha muuwane wenyewe kwa wenyewe kama vile ruwanda nyoko zenu nyie michogo na migozi km kutukana ndo uungwana nasie tunajua msimtukane ndg yetu bureeeee😢😢😢😢😢😢😢😢
@salma0000
@salma0000 4 ай бұрын
@@user-wp8yk6ow8h hawa jirani zetu tulpokua tukilia na muungano waliufyata na kutuita wabaguzi leo eti wanasema Zanzibar tunanufaika na muungano wakati tumefika kuuliwa na masheikh kuwekwa jela kisa tumekataa muungano
@mugambarazidjuma846
@mugambarazidjuma846 4 ай бұрын
Huyu atakiwa auwawe uyu ataketacshida inchini huyu mana haja elewa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 4 ай бұрын
Akiuwa wewe unapata faida gani,na wakati huo unajifanya mshika dini kumbe una kama ya shetani
@user-wp8yk6ow8h
@user-wp8yk6ow8h 4 ай бұрын
Chizi huyu
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 4 ай бұрын
Risas zimegawa ubongo
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 4 ай бұрын
Sasa wewe hata kibao hujapigwa lakini akili zimeaambaratika Sasa unatumia mavi kufikiria utamuelewaje mtu mwenye akili?
@mindicarrashid3131
@mindicarrashid3131 4 ай бұрын
@@zawadimbwambo1091wewe nimlango, wanakuingilia muda wote
@Gelenya-ne2ip
@Gelenya-ne2ip 4 ай бұрын
Siasa za maji taka!
@MnubiMm
@MnubiMm 4 ай бұрын
HAKUNA zambi kubwa kama ubaguzi na huwa hauishii kalibu unatafuna kila kona iko siku hata bara tutabaguana hatutokuwa salama kwa sbb kila kabila tunatofautiana mila na desturi endelea tu iko siku utaelewa
@user-bl1tx8fc9v
@user-bl1tx8fc9v 4 ай бұрын
Kama hivo bora tubaguane tu,,, kama hutaki kuambiwa ukweli bora uumie ili ujue ,,, sa unaendaje zanzibar na passport na wao wanaingia kwetu bila passport who does that
@sarahdeograthias9097
@sarahdeograthias9097 4 ай бұрын
Uyu jamaa kiukweli najuta sana kusikiliza hoja zake,niwaajabu sanaaaaaa sijawai ona
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 4 ай бұрын
Wewe akili ya kuona kesho huna fungua ubongo usiwe mvivu wa fikra 😢
@MnubiMm
@MnubiMm 4 ай бұрын
​@@lovenessvisent9408Afazari yake kuliko wewe mlevi wa Akili Kila atakachosema huyu alipigwa risasi wewe ndio kwani haya anayoyasema lisi nyerere hakuyaacha alikuwa hayajui Unazungumzia Ukada na Mapenzi yako huwezi fikili ni ndio tu na yyt anaetofautiana nae kwako adui na Hana akili Akili ni kuunga mkono Kila hoja ya lisu
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 4 ай бұрын
Huyo mbaguzi hafai kuwa raisi huna sera Fatma karume kakunyoosha labda uwe wakili wa wamasau
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 4 ай бұрын
Wenzenu kivipi?
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 4 ай бұрын
Wacha uchonganishi...wakati wa Magu bado lawama, hata akija mwingine bado lawama hazitaisha... huyo ndio binadaam!!
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 4 ай бұрын
Ujinga ni ugonjwa augu kwako huwezi kunielewa akilikubwa hio.. wewe qaelewe malimbukeni wenzio
@uwezotv
@uwezotv 4 ай бұрын
Sasa halafu chadema itaenda kuomba kula zanzibar kweli ipate nitawaoma wazanibar watakua waninga sana wakikichagua chama cha chadema watakua watu wa ajabu sana huyu mbaguzi sana akili hana laana ina msumbua ana mtindio wa ubongo
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 4 ай бұрын
Lisu kichaa mkubwa
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 4 ай бұрын
Mwanasheria uchwara huna mpango mbaguzi kiboko yako Fatma karume kakunyoosha
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 4 ай бұрын
Amewafukuzia wapi?
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 4 ай бұрын
Lisu huyo ndi Lisu
@faridhassan6834
@faridhassan6834 4 ай бұрын
Hizi sasa ni siasa gani wewe pimbi
@user-id7ws5hl5p
@user-id7ws5hl5p 4 ай бұрын
Nenda falla ww huna sera mbaguzi makufuli alikutia adabu kwa mdomo wako huo mbaguzi
@RutinikiGosbert
@RutinikiGosbert 4 ай бұрын
Sasa yuko wapi aliyemtia izo adabu Mungu wetu ni mwema aliona mambo yasiyokuwa ya haki
@nshoyachacha3497
@nshoyachacha3497 4 ай бұрын
Tundu Lissu unapayuka mno. Umepoteza mwelekeo na ndiyo maana CCM wamegundua hilo na hawajali utapayuka kiasi gani. Wao wako busy kuhakikiaha serikali za mitaa wanashind asilimia tisini. Kudai Raisi Samia ameuza bandari ni uongo na unadanganya watu wasio na ufahamu wa dunia na biashara. Tundu Lissu ni bora ujitafakari ili kuepusha kuiangamiza Chadema kwa sera zako za hasira.
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 4 ай бұрын
Elezea alivyopoteA muelekeo? Kama una akili tuone.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 4 ай бұрын
Huyu jamaa hana akili kila siku me nasema hiki chama kina mihemko sana, mbona magufuli hakuwafukuza na aliwatetea sana watu wa hao wa masai na ukamuita diktekta
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 4 ай бұрын
Shida watu kama ninyi hamchukuagi pointi ndio shida; na ndio maana Mungu alimuacha haiiiii.
@MuriduAli-cf3xh
@MuriduAli-cf3xh 4 ай бұрын
Acha ujinga lisu.kama hujuwi.ndugu zako wapo Zanzibar wanajiuza nawala hawafukizwi.pia kuna wengine wameeacha udangahji.wanafanza kazi.sikta binafsi.hata Hao wazanzibari..hawapati hizo kazi.usitake tussle yote
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
NEXT EPISODE CHADEMA 🤧🤧🤧🤧🤧🤧WAZEE WA MATUKIO
@f.a6043
@f.a6043 4 ай бұрын
🐸🐸🐸👈🏽🤣🤣🤣
@salma0000
@salma0000 4 ай бұрын
Lissu umeshindwa kumuona big white elephant in the room(ccm) , nilikuona wa maana kumbe huna akili.
@user-ng7fi7nl2r
@user-ng7fi7nl2r 4 ай бұрын
Tundulisu nimlopokaji anahoja zamsingi hoja zake zakupandikiza chuki hoja zake zakijinga alafu ana shukurani alikimbia nchi lakini samia kwahuruma yake akamludisha nyumbani leo anamdhalilisha anaongea utumbo tu
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 6 М.
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 40 МЛН
Now it’s my turn ! 😂🥹 @danilisboom  #tiktok #elsarca
00:20
Elsa Arca
Рет қаралды 12 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 52 МЛН
NO JOKES! LISTEN TO WHAT DP GACHAGUA SAID IN CHURCH TODAY!
16:36
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 902
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН