LISSU ATUHUMU CHADEMA KWA UTEKAJI

  Рет қаралды 1,678

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 15 сағат бұрын
Ni vizuri shekhe kutowa mchango wako kama MTANZANIA tumeupokea na tutaufanyia kazi Aman Aman Aman ndio Lego ya TANZANIA 🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿❤.
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 9 сағат бұрын
Hakika kiongozi upo sawa
@aminaamina3972
@aminaamina3972 12 сағат бұрын
Waleykum Salam warahmatullah wabarakatuh
@musarashid7873
@musarashid7873 9 сағат бұрын
Sema mwaipopo ambae hakuelewi uyo ni bubusa km mabubusa wengine 😊
@drnow1528
@drnow1528 11 сағат бұрын
Chadema haifai kuliongoza Taifa
@thamani5842
@thamani5842 18 сағат бұрын
ALLAH atayabainisha yote hayo. Ukweli ukidhihiri uongo unajitenga
@allysamson4821
@allysamson4821 17 сағат бұрын
Asalaam alaykum,Sheikh mwaipopo una heshima kubwa sana ktk nchi hii ila ni vyema unge deal na mambo ya imani ya dini ila siasa utajipunguzia heshima yako bure wakati wewe ni tunu ya taifa ktk kulingania dini.
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 10 сағат бұрын
Ndio anaitumia hiyo tunu ya Taifa hapo😮
@kibwetere1418
@kibwetere1418 9 сағат бұрын
Umeikata hiyo clip na kuunga unga maneno we ni mshenzi sikuamini tena shehe gani tapeli
@drnow1528
@drnow1528 11 сағат бұрын
Sheikh wewe ni mtanzania mzalendo
@LangiMwampamba
@LangiMwampamba 12 сағат бұрын
Achana na chadema wapongeze ccm Kwa mema wanayofanya Toka uhuru
@drnow1528
@drnow1528 15 сағат бұрын
Sheikh uko makini
@furahamwikombo-p7g
@furahamwikombo-p7g 7 сағат бұрын
We nipopo sio mwaipopo...Endelea kuloga...
@Isack-b9k
@Isack-b9k 8 сағат бұрын
Iga kwa shekhe kishk
@furahamwikombo-p7g
@furahamwikombo-p7g 7 сағат бұрын
Chawa katika obora wake
@omarinyahegs4539
@omarinyahegs4539 8 сағат бұрын
Shehe ubwabwa
@kibwetere1418
@kibwetere1418 9 сағат бұрын
Kwa kutendo hiki cha kihuni alichofanya cha kukata clip ya risu na kupotosha inatosha tu kutengwa na waislamu
@Peterkingu-m5o
@Peterkingu-m5o 11 сағат бұрын
Ivi ww mwaipopo ukosalama kweli hunakazi ya kufanya mbona una maneno ya kipuzi ivo
@beinafuu6219
@beinafuu6219 9 сағат бұрын
Huna jipya unalopoka tu njaa
@HassanMpinga-u6z
@HassanMpinga-u6z 11 сағат бұрын
wewe ni shekh wangu lkn unatakiwa uishauli serikali na viongozi wa kisiasa kwa kulinda amani na si kufanya siasa
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Kama huelewi anachokwambia kuhusu watekaji ni chadema nenda kaangalie waliokamatwa kutaka kumteka talimo utaona mmoja kati ya waliokamatwa amevaa nguo ya chadema hapo ndipo utakapoelewa kumbe wanaoongoza kuongelea utekaji ndio wanaiteka
@shaba822
@shaba822 13 сағат бұрын
Huyu sio Muislam,ni muovu flan anayetafuta rizk kupitia uchawa,apuuzwe tu
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 9 сағат бұрын
Huu si wakat wa wewe kuweka kichwa cha habari cha namna hiyo. Kama chadema wanateka watu wakakamatwe wahusika wafungwe. Haya yaache kaka
@Jumamussa-b6d
@Jumamussa-b6d 12 сағат бұрын
Kumbe ww nimwehu unaediti sauta acha utaila wako
@papsmicrocreditcompanylimi1443
@papsmicrocreditcompanylimi1443 17 сағат бұрын
Umeinganisha cripu mzee hapo lisu kasema watu wasiojulikana wanapanga kumuumiza wamsingizie mbowe hiyo hot hotuba ninayo full wewe umeikata na kuiunga upate mada shekhe hiyo crips mininayo full akusema hiyo kaka mwaipop nduguyangu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Ile clip ulimaanisha Lisu anamwogopa mbowe atamfanyia ubaya Ila lisu alitumia akili ili mbowe asifanye kitu kibaya lkn anamwogopa mbowe maana wasiojulikana wanamilikiwa na chadema,mfano mdogo, waliotaka kumteka talimo mmoja amevaa nguo ya chadema
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Tunafaham kbs watekaji niwatu flni kutoka chadema. Waliokamatwa kumteka Talimo mmoja Kati ya wale 6 waliokamatwa mmoja amevaa nguo ya chadema, manake wote Ni chadema Ila wakat wanakamatwa hawakuwa wamevaa date ya chadema. Huo ndio ukweli, hata bila tukio la talimo tulikuwa tunajua Ni wao.ndan ya chadema kunakikundi ambacho sy wanachama wachadwma wanajua hawajui Ila kikundi hicho Niko chadema .
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Mbowe anakikundi chakihalifu nakusingizia serikali siku zote watu wasiozidi 30 ndani ya chadema wanajihusisha nauhalifu kumteka nakuja nakutengeneza matukio hata yango mtu ametekwa hata Kama wanajua hajatekwa labda wamemhifadhi mahali kwamalipo.halafu akitoka wanamfundisha chakuongea ili ionekane nipolisi utakuta wanataka pingu ili wanue Ni polisi
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Guvu yautekaji wanafadhiliwa nawazungu kuleta machafuko yautekaji nakuja watu ili nchi isitulie tueipate maendeleo wazungu wake kutuibia hii lisu ndie dalali anaepokea hela zahivyo
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Lisu anajua watekaji wako chadema ndio maana amemwambia lisu kijanja ili asitekwe au asiuliwe maana anajua kazi ya mbowe kuhusu utekaji
@RamosOliveira-r2y
@RamosOliveira-r2y 15 сағат бұрын
Demokrasia Ni Hypokrasia
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 13 сағат бұрын
Yani huyu sasa ndio anazidi kujishushia heshima yani dunia nzima ilishasikiliza maongezi ya Lisu kuanzia mwanzo meisho leo anakuja huyu sheikh njaa anakata clip na kuunganisha kutaka kudanganya watu mtu kama huyu waislamu wamtenge ni fitna kubwa katika jamii njaa inamsumbua sana na hata misikitini siku hizi hawampi nafasi za kuongea washamjua
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 7 сағат бұрын
Mbona wewe mwenyewe ni wa kupokea tu na siyo wa kuchuja. Hivi kweli,mwenye akili timamu unataka akuamini kwamba Wasiyo julikana ni Wanachama wa CHADEMA!!? Serikali ina vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama,je imeshindwa vipi kumkamata japo hata mtu mmoja anayusishwa na wasiyojulikana! Mpaka leo waliompiga Lisu risasi hakuna aliyekamatwa hata kwa kuhojiwa tuu!!!?
@ValeriJummane
@ValeriJummane 14 сағат бұрын
Hili jamaa hua ni Lifala Sana
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Chadema wanawahen bila nyinyi kujijua Ila wapate umaalfu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Waliotaka kumteka talimo wakukamatwa mmoja akiwa amevaa nguo za chadema manake wale wote 6 au nane Ni chadema.katafute kilip uone ninachokwambia
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 13 сағат бұрын
Tazama Mungu anavyomuumbua sasa watu hawatakuamini tena hata kununua mafuta yako fake we acha uongo walii wa mungu sio muongo kwa kiasi hichi
@MzeeKigogo_
@MzeeKigogo_ 16 сағат бұрын
Mnafiki wewe! Umeweka kipande kidogo. Kumbe unatumika kipuuzi sana.
@beinafuu6219
@beinafuu6219 9 сағат бұрын
Umekata maneno.mjinga wewe
@ValeriJummane
@ValeriJummane 14 сағат бұрын
Eti lishekhe badala uhubiri Dini unahubiri siasa Jinga kabisa hili
@MaryamMasoud-s2b
@MaryamMasoud-s2b 12 сағат бұрын
Ile michungaji inayozungumza kuhusu serikali nayo vipi misenge au
@salehothman6144
@salehothman6144 12 сағат бұрын
Maaskofu wote wanazungumza siasa kuna wengine wanatukana serikali jinsi wanavotaks wao,lakini akizungumza sheikh siasa anaambiwa anachanganys siasa na dini ,vip lakini au dini inayotakiwa ijitenge na siasa ni Uislaamu pekee ? msifanye watu wajinga.
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 7 сағат бұрын
​@@MaryamMasoud-s2bhawezi kukupa jibu kwa sababu hawa wasiokuwa Waislamu huwa wanachuki na Uislamu lakini kila mara tunawasikia Viongozi wao heti Teki wametoa tamko hoo sijui hawaungi mkono kitu fulani mbona sisi wakati mwingine hatuwakejeli katika matamko yao ?
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 15 сағат бұрын
Mnafiki wewe sitaki hata kukusikia dini imekushinda unafiki tu
@Jumamussa-b6d
@Jumamussa-b6d 12 сағат бұрын
Eti ww ni muisilam ludi kweny ukafili wako Mungu aitaji wanafiki
@MwitaMwikwabi
@MwitaMwikwabi 15 сағат бұрын
Sheeeee ww nipuzi unaunganisha kilp shetan kweli ww
@babazungu3180
@babazungu3180 13 сағат бұрын
😂😂😂 ndivyo uislam ulivyokufundisha kutengeneza fitna.
Массированный удар РФ по Украине в Рождество
1:06
Euronews по-русски
Рет қаралды 130 М.
KAZI IMEAMZA WAISLAMU NA WAKRISTO USO KWA USO
22:37
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 723
SHEIKH KISHKI AITIKISA MALESIA WAISLAMU WAMPOKEA
30:38
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 666
SHEIKH ALIYEBATIZWA AOMBA MSAADA POLISI KENYA
25:52
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,5 М.
CHADEMA KUTABILIWA MABAYA NA WATANZANIA
15:31
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,4 М.
SHEIKH ALIYEBATIZWA AUMBUKA BAADA YA KUTUKANA QUR'AN
28:39
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 3,7 М.