LISSU AZUNGUMZIA KWA UCHUNGU BAADA KUKAMATWA NA POLISI MBEYA

  Рет қаралды 28,358

Yuhai media

Yuhai media

Күн бұрын

LISSU AZUNGUMZIA KWA UCHUNGU BAADA KUKAMATWA NA POLISI MBEYA

Пікірлер: 48
@GoodTeck90
@GoodTeck90 28 күн бұрын
Ila Poliso mnatia aibu, hivi hakunaga wasomi ndani ya Jeshi hili la Poliso
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 29 күн бұрын
Amka mtanzania ,,,,hii nchi nitajiri kisenge ila tu,,, basi😢
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 28 күн бұрын
FANYA KAZI HAKUNA MIUJIZA 😢😢😢
@user-gi6xv2kt8o
@user-gi6xv2kt8o 29 күн бұрын
Lissu hapo nimekukubali Sami mm namshangaaaa kazungukwa na wanafiki sana Ila hapo kwa Magufuli naona unamgusa vibaya mwache apumzike salama mzeee Magufuli
@zuberimangi5168
@zuberimangi5168 29 күн бұрын
Muda utasema
@kadlovetv
@kadlovetv 29 күн бұрын
Lissu kachoka sana akili imezeeka
@EmanueliErasto
@EmanueliErasto 28 күн бұрын
Lisu achana nasiasa
@EliasPaul-qs2ib
@EliasPaul-qs2ib 28 күн бұрын
Lissu ana mambo ya kipumbavu sana
@peterjengela1770
@peterjengela1770 24 күн бұрын
Ni vizuri uwe unasema upumbavu wake ili watu waujue kuliko kutukana matusi hawezi kujirekebisha
@onesmokamgisha9580
@onesmokamgisha9580 29 күн бұрын
LEO NDIO NIMEELEWA KWANINI JOMO KENYATA ALISEMA NYERERE ANAONGOZA MAITI
@AngelJelas
@AngelJelas 26 күн бұрын
Cjakuelewa lissu, kwahiyo lengo la hiyo sherehe kwenu Ni kumuongelea Magufuli na Samia! au umelenga nini limbe hata mzuiriwe Ni haki Haina jipya.😂
@AlexcpetroCpetro
@AlexcpetroCpetro 28 күн бұрын
Power CCM majambazi kabisa
@user-oi8ml4vb3o
@user-oi8ml4vb3o 28 күн бұрын
Namkubar mwamba atutetee wanyonge
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 29 күн бұрын
Yaaani MAMA SAMIA HURUMA YAKO KWA LISSU MAMA YANGU NDIYO HAYA HEBU BADILIKA MAMA YANGU
@EdgarLaizer-s9k
@EdgarLaizer-s9k 29 күн бұрын
Huyo apo maguu
@StellaRingo
@StellaRingo 29 күн бұрын
Nchi huru na ya Hak malumbano ya Nini?
@MbwanaKivava
@MbwanaKivava 28 күн бұрын
Mabunduki na mabomu yote hayo ya kumuua nani? Hao Chadema hawana hata mawe😡
@Mkrist
@Mkrist 29 күн бұрын
Haha! Watu huzeeka vibaya kweli 😅
@ManjonjoCompan
@ManjonjoCompan 29 күн бұрын
Kifo nae kinamwitaji acha afe magufuli kaacha watoto na mke awe samia uongo uende ukweli ubaki, Rest in peace ccm
@LebahatiOlemoko
@LebahatiOlemoko 29 күн бұрын
🙏
@SebastianCharles-f6s
@SebastianCharles-f6s 29 күн бұрын
Hapo ndipo pakuanzi mchakato watume huru na katiba mpya
@DoctorRengeda
@DoctorRengeda 29 күн бұрын
Kabisa mkuu ,, maana katiba na tume huru ndokila kitu , amka mtanzania Acha ufala wa kufagilia ma ccm yaliyo shindwa kuongoza wa tz😢
@LemaliMeyasi-r4c
@LemaliMeyasi-r4c 28 күн бұрын
Tanzania jamani wanawafata watu na mabunduki mtu Hana silaha yoyote kweli waoga
@EmanueliErasto
@EmanueliErasto 28 күн бұрын
Utakufa wwe muze lindafamiliya yakotu
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 29 күн бұрын
Unamaliza umri wako Kwa kuogea bora utafute kheri maana duniani utaicha na uogozi utaucha mnyaturu mqenzay
@sadikiabdul2639
@sadikiabdul2639 28 күн бұрын
Ya kina mama vipi?
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 29 күн бұрын
Ogopeni Mungu.Kiini.cha.maandamano ni sherehe kweli? Hivi watoto.wenu wapo hapo kwenye maandamano? Ww una matatizo zaidi.kuliko.samia.
@DivaMsukuma
@DivaMsukuma 29 күн бұрын
Kweli apo mmechemka ssmmkubali mmeshashindwa
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 29 күн бұрын
Hawa jamaa hawanaga sela
@laupetpet7779
@laupetpet7779 29 күн бұрын
Wew hujui Lolote kale
@trophywilson7211
@trophywilson7211 28 күн бұрын
​@@laupetpet7779kalale
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 28 күн бұрын
WAHUNI
@raymondmushi9019
@raymondmushi9019 29 күн бұрын
Hii siku kumbe ni ya kimataifa kumbe ni siku ya vijana wote duniani,ccm tuache uoga wa kisiasa.na huo mzunguko wa ziara ya mh nchimbi,mbona yeye polisi hawaangaiki naye.tena yeye ameanza kampeni za uchaguzi wakati bado hazijaanza rasmi.hivi nini matokeo ya ujinga huu.ni kuleta chuki.kwa baadhi ya wananchi wanaopenda kuona haki inatendeka.
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 29 күн бұрын
Na ndio ujue ni kuropokwa tu unaropokwa unarudia rudia maneno siuwe na malengo manzu ndugu
@simongwandu7392
@simongwandu7392 29 күн бұрын
Wanambeya mnagombanishwa na hao wa kuja mjiangalie watawaacha hewani Lisu asiwapotoshe anawadanganye
@user-uy2ot2so9l
@user-uy2ot2so9l 29 күн бұрын
We una akili kliko Lisu mbwa wewe!!
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 29 күн бұрын
Ata wacha kumutaja taja baba wa taifa magufuli magufuli hivi ww usie jielewa magufuli angekuwepo Tanzania ingekua tajiri sana alavu ndio unamutajataja Ovyo kama vile unataka nyanya
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 29 күн бұрын
Yeye ndo alimuua??
@trophywilson7211
@trophywilson7211 28 күн бұрын
​@@nabimanyafesto5014Lissu hafai
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 29 күн бұрын
Ona sasa unavyo ongea vibaya atakama ajachagulia na sindio raisi wetu na ww ulikua wapi wakati akipewa uraisi wewe siungechukua uwe raisi lissu bana wachaga kuchochoa maneno ya sio mpendeza ata mungu
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 29 күн бұрын
Shida wewe unamtaja na Mungu usie mjua
@umfahad2609
@umfahad2609 28 күн бұрын
Lisu sio mchaga. Ni mnyaturu. Mimi naishi Oman nalijua kabila la Lisu. Wewe upo Tz hulijui???
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 29 күн бұрын
We lissu auna lolote wewe kazi yako ni kuwafunza watanzania ujinga na uwo ujinga ya kuwafunza watanzania sio nzuri ata kidogo jifunze kujitetea kwa ukweli sio kuongea tu kuropokwa wacha kuropokwa bana ndugu yangu
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 29 күн бұрын
We wewe ndo hujielewi
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq 29 күн бұрын
Anaagaza macho punduki ipige moja hapo wote hawapo utaachwa peke yako 😂😂
@umfahad2609
@umfahad2609 28 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 29 күн бұрын
We lissu na ww wachaga kuchochoa ubaya apo mbeya kwani kunae mtu ata mmoja kapigwa na jeshi la polici kama utataka kura tafuta kura kwa njia nzuri ya amani usiwe unachochoa ubaya ndugu yangu
@umfahad2609
@umfahad2609 28 күн бұрын
Lisu mnyaturu sio mchaga.
MAPYA" MASHUHUDA WAFUNGUKA A-Z KUTEKWA MPAKA KIFO "WATATUMALIZA"
19:53
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 17 МЛН
TAMKO KALI LA LISSU BAADA YA POLISI KUZINGIRA OFISI YA CHADEMA MBEYA
8:59
TUNDU LISU
5:39
Marhaba Online TV
Рет қаралды 36 М.
#TBC: NYOTA WA WIKI - BRIGEDIA JEN.(MST) BAYEKE EP 2
26:33
TBConline
Рет қаралды 3,1 М.