LISSU HAJAWAHI KUCHANGIA HATA TSH 100 CHADEMA

  Рет қаралды 24,989

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 251
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 күн бұрын
Lissu humuwezi hata mbowe mwenyewe anamjua lissu akitoka lisu chadema inakufa wengi wanampenda lisu
@elikyusimsigwa6608
@elikyusimsigwa6608 2 күн бұрын
Si atone sasa, watu wengine hamjui hata mnachosimamia, bora tu umeandika, kwamba hata chedema kikisambaratika Hamna cha kupoteza. Ni mbaya sana ni bora kunyamaza kuliko kushabikia uharibifu badala ya kuponya.
@deodatusmugalulamugalula
@deodatusmugalulamugalula 2 күн бұрын
Vichwa chadema vinavyoogopwa na Ccm Mni vitatu cha kwanza Lisu cha pili John Heche cha tatu Godbless Lema hao wengine wakawaida sana na hivyo vichwa kama vikihamia chama kidogo mfano UDP wanachama chadema asilimia kubwa watahamia huko na litskuwa chama kikubwa kama wanabisha waendelee na magumashi yao Mboe awe mwkt na ma kamu awe Wenje waone kama kutakuwa na chadema.
@abuusufian6506
@abuusufian6506 2 күн бұрын
Upo sahihi 💯
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 2 күн бұрын
Very true!
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 2 күн бұрын
Wengine woote wasindikizaji
@HassanSeleman-be9wi
@HassanSeleman-be9wi 2 күн бұрын
kaka usimkosee heshima mbowe ktk iki chama
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 15 сағат бұрын
​@@HassanSeleman-be9wi heri wewe umeona
@tumainikibona5252
@tumainikibona5252 2 күн бұрын
Lisu huenda aliona kuna upigaji ndio maana hataki kuchangia wala kutafuta hizo hela, kwa wale wenye uelewa wameshaelewa nini kipo nyuma ya paziaa
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 2 күн бұрын
Pesa sio msingi wa maendeleo. Kaka nikwambie kitu, Wewe Wenge na Mbowe hummwezi Lisu pamoja na umasikini wake! Lisu yupo smart mno! Labda mtumie mtutu wa bunduki kwa msaada wa polisi.
@BitaraWanjaraGondera
@BitaraWanjaraGondera 2 күн бұрын
Lissu ana akili sana ndo maana alikataa kuchangia kwenye saccos ya Mbowe hiyo million 30😂😂
@petermisungwi3229
@petermisungwi3229 2 күн бұрын
Kama chama cha siasa kinaendeshwa kwa staili hiyo anayoeleza Wenje hata kwenye uchaguzi wa ngazi za juu kama hizo ni chama cha maajabu balaa.
@deejeydaev
@deejeydaev 2 күн бұрын
Wanashindwa kisoma alama za nyakati . Mkateni lisu muone chama kitakavyo dhohofika..
@SamweliMango
@SamweliMango 2 күн бұрын
Wenje nakumbuka 2010 nyamagana alikuwa mshamba tu....ila kwa sasa mpiga deal mkubwa.
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 2 күн бұрын
Freedom anazo pesa za hongo Lissu hana. Sasa hapo huyo swaiba wa bwana Abdu anashangaa nini!
@StephanoGwelino
@StephanoGwelino 2 күн бұрын
Kama hakutoa hela ina maana alikiuka sheria ya chama kwa nini hakushughulikiwa na chama unakuja kuongea leo
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 күн бұрын
Walimvumilia alikuwa mgonjwa
@ce-08
@ce-08 2 күн бұрын
​@@johnmwasilu7087😂😂 CCM wanaakili sana wameshajua lissu atawasumbua hata wao wanataka mbowe wanamuweza
@salumuismahily
@salumuismahily 2 күн бұрын
Wachaga wengi niwabinafsi kwahiyo wanateteana wenyewe fateni mfano kwazito acheni ubinafsi.
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 күн бұрын
Wenje siyo mchaga
@Mendietadiamante7971
@Mendietadiamante7971 2 күн бұрын
Wenje siyo mchaga,unasema wachaga wabinafsi kwa utafiti gani ulofanya? ubinafsi ni hulka ya mtu siyo kabila,thats stupidity.
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 2 күн бұрын
Wabinafs wakawafundisha wengine biashara na kujenga mjini. kalale una uchovu
@boniventuresilayo1391
@boniventuresilayo1391 2 күн бұрын
sio kweli brother
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 2 күн бұрын
Jamani mshawishini Heche agombee umakamu mwenyekiti enyi wajumbe popote mlipo.
@salumuismahily
@salumuismahily 2 күн бұрын
Hamfai hata kuongoza nchi hii kwaajili yaubinafsi.
@sueddelft9069
@sueddelft9069 2 күн бұрын
Kweli kabisaaa.
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 15 сағат бұрын
Wenje lissu si boya atoe hela ambazo zinapigwa
@innotv5514
@innotv5514 2 күн бұрын
Wenje anaona hapo anaongea point wakati ni pumba t😂
@salummussa9871
@salummussa9871 2 күн бұрын
Chama Cha familia ya mbowe
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 күн бұрын
Acha ujinga wewe achangie kwenye saccos 😂😂😂😂😂
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 2 күн бұрын
Huyu jamaa si Mtanzania 😅😅😅
@mahyorokalokola4012
@mahyorokalokola4012 2 күн бұрын
Aligoma kwa sababu alikuwa anajua zitatafunwa makao makuu
@malikimrisho7844
@malikimrisho7844 2 күн бұрын
Alete pesa mzile😂😂, 250m siniapo kawanunua tiari😂😂😂 Maskini ya mungu wazee wetu kumbe ndio wako ivi😢
@bedabeda6348
@bedabeda6348 Күн бұрын
Kwa mambo haya Mama yetu asihangaike kupiga kampeni Kampeni waachiwe wakuu wa mikoa na wilaya
@Six-k4b
@Six-k4b 21 сағат бұрын
Bajeti ya uchaguzi ..kwa huu uchaguzi unaokuja.. Ccm pelekeni pahala pengine...zikaongeze maendeleo... Upinzani wanazikana wenyewe. Mpaka sasa...
@SaidMkome-p6s
@SaidMkome-p6s 2 күн бұрын
Nyinyi wenyewe amuwezi kujiongoza mtatuongoza cc nyau nyinyi
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo 2 күн бұрын
Kuna wakati Wenje akiwa bado kijana na mbunge nilimuona ana hekima sana.Lakini kwa interview hii kwanza naona kama kanenepa sana,halafu hekima imeshuka,hajui kuchagua maneno,halafu yale ya ndani ya chama anayomtuhumu mwenzake kuyaanika ndiyo anayoyaanika sasa hadharani.Kumbe mnamtaka Mbowe kwa sababu anafadhili chama kwa pesa nyingi? Kwa hiyo siku akiondoka chadema itakufa?Kwa hiyo chadema ni ya mbowe basi,eti?.
@venantrugabela6798
@venantrugabela6798 2 күн бұрын
Poyoyo huyo
@malambaya850
@malambaya850 2 күн бұрын
Ulitaka achange pesa akiwa hospital maana that time LISSU alikuwa anajitibu
@Six-k4b
@Six-k4b 21 сағат бұрын
Kuanzia leo nimeamini .. Chadema ni mali ya watu binafisi.. Hakuna chama hapo.. Nawasikitikia hata wanaoumia kwa kuipambania CHADEMA.. CCM Daima ...mitano tena mama...
@frbm1729
@frbm1729 2 күн бұрын
Hesabu za mpiga Dili wenje ni kukimbilia Ccm shikeni maneno yangu.
@2514SRK
@2514SRK 2 күн бұрын
Kwani Wenje akienda CCM Kuna Ubaya? Siku Zote Ukweli Unamuweka Mtu Huru na Unaweza Kuficha lkn itafika Muda Uongo na Ukweli Utajulikana.
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 2 күн бұрын
Hahahahaha fact
@MariamDilla
@MariamDilla Күн бұрын
Hakuna Mh. Lissu ndani ya CHADEMA mjue CDM Itakuwa cuf ya 2...
@ConstanciaShangali
@ConstanciaShangali Күн бұрын
Duuh kwahiyo michango ya wanachama wenu huwa inaenda wapi🤓🤩
@kingmicky1002
@kingmicky1002 2 күн бұрын
Yanininaonekana wazi kabisa hata ndani ya chama kuna matabaka
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf 2 күн бұрын
Icho sicho 😂😂😂😂 sicho chama
@lwimikomwambene
@lwimikomwambene 2 күн бұрын
SAMIA MITANO TENA
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 2 күн бұрын
Washalamba pesa za ccm hao. Salama ya ccm ni mbowe apite lakini akipita lisu ccm wanakuwa na kibarua kikubwa sana! Shikeni hili
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 2 күн бұрын
Lissu hana lolote atakimbilia Ubelgiji
@kasimkassam9565
@kasimkassam9565 2 күн бұрын
nampenda lisuu awe mbunge awe pale bungeni lakini sio kuwa Raisi wa nchi yetu bado sanaa stara yake bado ndogo sanaa japokuwa ni mwanamapinduzi heshoma kwa kiongozi wa nchi ni jambo kubwa la kuonesha ustarabu wako
@adambaton5521
@adambaton5521 2 күн бұрын
Hukuna chama kitaondoa ccm madalakani wote hawa wote hamna kitu hapa
@petermasome3012
@petermasome3012 Күн бұрын
Jamaa anajiona bora kumbe mpumbavu mmoja ambaye hajitambui.nymagana tulikachaguaje haka jamaa kajinga
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 күн бұрын
Aligoma kwasababu anajua mnaiba
@JosephChrisant
@JosephChrisant Күн бұрын
Wenje ukisema hayo maneno kwenye mikutano ya hadhara nakuhakikishia utapigwa mawe. Na yawezekana Wenje unatumika kuihujumu Chadema.
@MariamDilla
@MariamDilla Күн бұрын
Mtu alikuwa mgonjwa na anaendelea na matibabu anawezaje changia Chama wkt hali yake haijakaa poa. Mh. Lissu kachambuliwa kwa sababu ya kutetea wa-tz sasa Bado anatibiwa Bado ww Wenje wataka mtu anaendelea na matibabu achangie pesa wkt wengine mna pesa chafu za kuchangia.
@walterkiwoli4585
@walterkiwoli4585 2 күн бұрын
Amechangia Damu Yake ni ya thamani kuliko Fedha
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 2 күн бұрын
Ukitaka kumjua Wenje anachuki mbaya, anatamani hata LISSU auwawe sikiliza kwanzia 3:05 - 3:14
@joseph-fc6ry
@joseph-fc6ry Күн бұрын
chadema ni maalufu kuliko lisu ajalibu kuama tuone c😊
@KelvinKapinga-lf1ul
@KelvinKapinga-lf1ul 2 күн бұрын
Jamaa hafai kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji.CCM oyeeeeeeeee.
@dennisungonella205
@dennisungonella205 Күн бұрын
Wenje anaamini kumbomoa lissu, chadema itabaki salama, ni ngumu sana
@MariamDilla
@MariamDilla Күн бұрын
Mchangiaji alitaka Lissu alamatwe ndio afurahi kweli uchawa mbaya afadhali ubalozi ulimwokoa mh. Lissu kumbe kikulacho kinguoni mwako waliokuwa wanamlengesha mh. Lissu ni mtu km huyo shame on U....
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 күн бұрын
Mimi sijapenda namna hawa wagombea wanavyovuana nguo hadharani.Lissu na Mbowe wote wana haki ya kugombea hiyo nafasi ya umwenyekiti ila chonde kampeni zenu zisiwe zile za kutaka kukiua chama.
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 күн бұрын
Kajamaaa kaongo
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 күн бұрын
Hivi vyama ndio vinazidi kuipa njia CCM 😢😢😢
@lwimikomwambene
@lwimikomwambene 2 күн бұрын
CCM FOR LIFE
@jacktonetiibuza9970
@jacktonetiibuza9970 2 күн бұрын
😢hacha ushamba Nadi sera zako wanachadema tu akili
@faizaannassir2568
@faizaannassir2568 2 күн бұрын
Wewe samaa toka povu tumekuchokeni wapenda democracy tunataka mabadiliko . Acheni ngonjera mtatawala hadi lini chana ni taacc ya umaa na cc ndo uma ww na mboe achini lisu tutachangi cc umaa . Mnazuia mabadiliko
@MasanjaJeremiah
@MasanjaJeremiah Күн бұрын
Hivi huyu wenje ndo chadema mnategemea awe makamu mwenyekiti me naona mwisho wa chadema ni huu mwaka
@davidngogo4011
@davidngogo4011 2 күн бұрын
Wenje mhuni kama wahuni wengine huwezi kujiafisha kwa kudharirisha Lisu
@BarakaLupande-m7u
@BarakaLupande-m7u 21 сағат бұрын
Acha kudanganya watu lissu alikua hajulikani kajulikana alipo pigwa lisasi nachama kimepoa yeye atoke hata leo
@reginaalbert9911
@reginaalbert9911 16 сағат бұрын
Lisu ametoa hadi damu yake kwaajili ya watanzania sio chadema tu
@Mumewangu
@Mumewangu 2 күн бұрын
Lisu bahili hatoi chochote Ila mijineno tu
@JamesMwakindu
@JamesMwakindu 2 күн бұрын
Izi redio kwa sasa muwachunguze watangazaji mwisho wa stori yeye kagungua nini je nahe kasoma makelele chuo kikuu uganda huyo mtangazaji apo maisha ni bora kwa mshala sio kuongea tuko wapi nani mtawala
@RwenyagiraShukuru
@RwenyagiraShukuru 2 күн бұрын
Unampiga vita lissu Kwa kuwa mbowe alikulipia deni la benk ml 40/ kunusuru nyumba yako
@ce-08
@ce-08 2 күн бұрын
Alaf mumlete na lissu hapo sio upande mmoja tu
@johnmlangi6890
@johnmlangi6890 Күн бұрын
Wenje hawezi Kuaminika mbele ya Well minded Mtanzania. Alishindwa hata ku mobilize Wanachama, wapige Kura kwenye Kata yake mwenyewe, anapo Kaa?
@walterkiwoli4585
@walterkiwoli4585 2 күн бұрын
Kwani Mbowe ili kungia chama ni mpaka awe mwenyekiti.... Je? Mbowe akifa sasahivi mtafanyaje? Acheni uzwazwa Now its Time for Lissu
@StephenKudaka
@StephenKudaka 2 күн бұрын
Hebu tuambieni 250m mwenyekiti alitoa kivipi
@SophiaSalimu-z1u
@SophiaSalimu-z1u 2 күн бұрын
We mwenyewe hujui niasilimia ngapi mnachangia acha kutupanga
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u 2 күн бұрын
Heche hufai ata kua kua mwenyekit wa nyumba nne hufai kabisa lissu hachafuki ni msafi hachafuki
@davidlinus6940
@davidlinus6940 2 күн бұрын
Watu kama hawa ndiyo maana mm siamkii yoyote yule hovyo tu
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 16 сағат бұрын
Mkijua hakuchangia mbona mlimchagua bila yeye kuwepo mkachuliia fomu mkachagua huku mkijua hakuchangia jamaa mmekosa hoja kabisa
@ommyyoutube6117
@ommyyoutube6117 2 күн бұрын
Ebu jamani mpekueni uyu isijekua kichwani ana kinyesi badala ya ubongo
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 2 күн бұрын
Nyie wote wachumia tumbo acheni kujipendekeza Kwa mbowe ukabila unawasumbua unafikiri tu
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 2 күн бұрын
Hilo boya watangazaji mnaliamini linacho ongea?
@SamweliMango
@SamweliMango 2 күн бұрын
Mbowe vs Wenje..wafanyibiashara
@SimeonCharles-j5x
@SimeonCharles-j5x 17 сағат бұрын
Kachangia damu
@DottoMulungu-s1x
@DottoMulungu-s1x 2 күн бұрын
Muongo huyo alikuwa wap kuongeza hayo wakatwanampitisha kuwa makamu mwenyekit wa chama Hawa ni mafisadi wa chama wameona upepo wa lisu umewakalia vibaya na wakishindwa kwa kura tutawatoa Bora waaende ccm yeye huyo mpuuz na mbowe wake hiki chama ni Cha kwetu wote hakuna mwenye hati miliki ya hiki chama mpuuz mmoja wenje
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 2 күн бұрын
Mnajaribu kumponda lisu il lisu ndio chadema sasa muondoeni muone mtakavyopoteza wanachama
@lusupi
@lusupi 2 күн бұрын
Ina maana chama miaka yote hakina akiba yoyote miaka karibia 30 mna 100mil
@samsonpaschal5044
@samsonpaschal5044 2 күн бұрын
Hivi Huyu Wenje, kila siku Lisu, sera zake ni nini? na huyu mbowe hizo mil 250 ndiyo rushwa yenyewe hiyo...
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 22 сағат бұрын
Dhairi unaonekana muongo
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 2 күн бұрын
Chadema mnajidhalilisha sana
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 2 күн бұрын
WENJE KAMA LISSU HAIJAWAHI KUKATWA PESA KATIKA UTARATIBU WENU MLIOUWEKA WENYEWE BASI MNAWANYANYASA VIONGOZI WA CHINI. EBU BOMOENI CHADEMA MJE MJIUNGE NA CCM ALAFU MUOMBE WACHEZAJI MPEWE KWA MASHARTI ILI MUONEKANE TENA KATIKA USO WA DUNIA😂😂😂
@dennisungonella205
@dennisungonella205 Күн бұрын
Mbowe hizo 250 mil anazitoa wapi? Hii mifumo sio sawa....
@reginaalbert9911
@reginaalbert9911 16 сағат бұрын
Wenje we mwizi tu Huna maana akili huna
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 2 күн бұрын
HIZO HELA AMECHUMA KWENYE CHAMA MLIKUWA MNACHKUWA SH.800 ML ZA RUZUKU MBOE NI FISADI
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 2 күн бұрын
CCM wako kazini ili Mbowe ashinde uchaguzi. Watanzania tujiandae kuteseka maana watetezi wetu tuliowaamini ndiyo hawa,wamebaki akina Lissu,Lema,Heche,Mdude,Mwabukisi,Dr Slaa na wengine wachache,wengine wote wapiga dili tu.
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 күн бұрын
Muambie mbowe akuoe
@JooLusajo
@JooLusajo 2 күн бұрын
Uyu Jamaa elimu yke ni mbululu😅
@kelvinmasungakilunguja7539
@kelvinmasungakilunguja7539 2 күн бұрын
Lissu ondoka yan leo nimechaka lissu ni gachagua
@BeatrriceMuya
@BeatrriceMuya 2 күн бұрын
Mwenyekiti wa chama anatakuwa awe na uchungu na chama.lis asifikirie ni kazi nyepesi
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 күн бұрын
Kwahyo uchungu wa chama anakua nao mwenyekiti peke yake? Kwamba yeye abaki peke yake? 😂😂. Au unadhani ni yeye peke yake ndo amewahi kuwa mwenyekiti? 😂
@ntegrity277
@ntegrity277 2 күн бұрын
Huyu mkenya ni fisadi, taira, Lissu amechangia karibu maisha yake wewe ulikimbia Nchi wewe ni fisadi na huyu ni mjinga tu mnafki wewe ulisema Lissu ni rafiki yako sasa leo unamvua nguo kisa alikuumbua kuwa wewe ni dalali! Kumbe Mbowe anahonga wajumbe
@jameskayobera
@jameskayobera Күн бұрын
Huyo wenje ameshakula kula
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 2 күн бұрын
hiyo nisacosi ya Mzee mbowe
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 2 күн бұрын
Kama chama chs kudegemea mtu mmoja hatuombi Mungu akimchukua chama kinakufa muwe na mikakati chama kisiwe tegemezi
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 2 күн бұрын
Kumbe umeweka dau kuichukua nafasi Yke kwasababu hajatoa mchango Huyu wenje kwani anazaliwa na Joan Mwaipaja ama😂
@richardhosea8827
@richardhosea8827 2 күн бұрын
Daa hayati mkapa huwezi endesha chama ukiwa rofaaa
@kodahalo9248
@kodahalo9248 2 күн бұрын
Sasa hata yeye anaetoa maelezo hajui inakatwa shingap kwenye kuchangia chama
@JosephJumbe-w6h
@JosephJumbe-w6h 2 күн бұрын
Huyu jamaa ukimsikiliza unagundua anauwezo mdogo sana
@nyamarungujr7834
@nyamarungujr7834 2 күн бұрын
Acha inyesheee😅😅😅
@josephmchila6467
@josephmchila6467 2 күн бұрын
Acha uongo,hatuchagui matajiri
@ignasmahundi4734
@ignasmahundi4734 2 күн бұрын
Wenye point huna kiukweli
@ManjanoPaschal
@ManjanoPaschal 21 сағат бұрын
Kama hakuna anachangia mlimchukulia hatua gani kama hukidhalilishi chama
@songombingo108
@songombingo108 2 күн бұрын
😂😂😂Lissu hebu anzisha Chama bhana😂😂
@Jumamaduka240
@Jumamaduka240 2 күн бұрын
Hawezi kusavive
@petersilas4234
@petersilas4234 2 күн бұрын
Sijawahi kusikia Lissu kachangia kitu, na alikwenda Washington na EU kuomba Tanzania inyimwe misaada. REA iliyokuwa inafadhiliwa na US ikaondolewa Lissu akashangilia . Huyu mtu!!!
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 2 күн бұрын
Kweli kabisa, Lissu kazi yake kuzunguka dunia kuifitinisha Tanzania inyimwe misaada. Huyu ni mnafiki, mzushi, mfitini na mchochezi!
@UrassaPaschal
@UrassaPaschal 2 күн бұрын
Nyie misaada mnafikiri ni bure acheni utumwa wenu misaada halafu msururu wa magari zaidi ya 100 @500mil kwenye msafara????😢
@petersilas4234
@petersilas4234 2 күн бұрын
Hiyo Lissu mwenyewe hujui vyanzo vya mapato yake. Nchi hutofautiana kimaendeleo na interdependence ni kanuni ya maisha, huwezi kwenda peke yako.​@@UrassaPaschal
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 2 күн бұрын
Huyu jamaa hakufaa hata kuwa mbunge wa nyamagana! Udhaifu wa CCM kumweka Mtu ambaye hakubaliki. Lkn kweli sidhani km naweza kumpa kura!
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 2 күн бұрын
Wenje nyie mmekula pesa za mama Abdul SS mnataka mumshuhulikie Lisu ili mumuweke pembeni
@JohansenRumuliEustace
@JohansenRumuliEustace Күн бұрын
Hizo pesa mbowe anaitoa ccm
LISSU NI MUONGO SANA   WENJE
5:50
Wasafi Media
Рет қаралды 29 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
🔴#LIVE: MASHAMMSHAM NDANI YA WASAFI FM  (O3/01/2025)
Wasafi Media
Рет қаралды 93
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 127 М.
LEMA ANATOA TAHADHARICHADEMA KUPOROMOKA
7:43
Wasafi Media
Рет қаралды 1,1 М.