LISSU: "NIMEGOMBEA KULIPA KISASI, Mbowe Alimtuma WENJE Agombee UMAKAMU!!!"

  Рет қаралды 9,035

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@BahatiS.wambua
@BahatiS.wambua Күн бұрын
Kwa kweli hufai kushika nafasi yoyote ya uongozi umeprove mwenyewe uwezo wako kiuongozi
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 күн бұрын
Tena we lifisiemu ukome hii nchi siyo. Yenu eti mtu akitetea wananchi ametumwa na wazungu peleka kule ufara kwani nyie fisiemu mnakopa kila siku huko kwa wazungu danganya misukule
@HamzaMkumbange
@HamzaMkumbange 5 сағат бұрын
Mmmh huyu jamaa nilikua shabiki yake sana ila mmmh baada ya tukio simuelewi nahis misimamo yake anaweza kuvunja chama kabisa
@Allyiddsud
@Allyiddsud Күн бұрын
Ivi jaman chadema mtu uyu andi anapewa nafasi yakungombea urais , ilikuaje mtu kam uyu. Uyu jamaa anajambo nyuma ya panzi tu. Kuaribu chama na kuleta fujoo tz.
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya 2 күн бұрын
Uyu LISU ni kichaa kabisa unamtukana mkuu wako kua ni Muongo, LISU ni mweu kabisa,Job ethics,mwanasheria nguli,hasiye Elimika.
@ikram-x3m
@ikram-x3m 2 күн бұрын
Wewe pia mpuuzi, wakati wamboe kukaa pembeni
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya 2 күн бұрын
@ikram-x3m Hizo akili za LISU,Hana busara myatukaji
@CharlesSomeke-p8m
@CharlesSomeke-p8m 2 күн бұрын
Mchungaji
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya 2 күн бұрын
Lisu Amevimba Amefura kama chatu,huyu kwa hiyo Hasira aliyo nayo hafai kua kiongozi kabisa.
@NtuliSuzan
@NtuliSuzan 2 күн бұрын
Unadharaulika sana
@SengalaRajabu
@SengalaRajabu 2 күн бұрын
Sasa wewe Lisu kwa Akili yako hiyo unathubutu kulielezea Taifa eti unalipa kisasi hivi kweli wewe kweli unasitaili kuwa Kiongozi wakati utakuwa unalipa visasi hufaa kuwa Kiongozi Fanya kazi nyingine hii haikufaa.
@danrappergangamaa1190
@danrappergangamaa1190 2 күн бұрын
Sikiliza taarifa wewe usijaji kwa kichwa cha habari, mm nimesikiliza mpaka mwisho hajasema hilo
@JoelKilemile
@JoelKilemile 2 күн бұрын
Huyu jamaa Hana Elimu,Badala ya kufuata maelezo ya msemaji eti anafuata kichwa Cha wambea.
@elishuaisaya4176
@elishuaisaya4176 2 күн бұрын
Tz Kuna mtu mmoja tu tAL
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 2 күн бұрын
huyu katumwa na wazungu samia kuwa macho siyo kuangalia nchi huwa zinaanza hivi hivi angalia wanavyo zodoana kanakwamba hawajawahi kukaa wote.Hii siyo siasa ametumwa kama alivyokuwa ametumwa kwenye makinikia
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
HARMONIZE AKUFURU TENA ?? Muhammad Bachu || 11 January 2025.
26:41
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 7 М.
KIMEUMANAAA!!!...Akina KIGOGO Wavujisha SIRI ZA MBOWE Hadharani!!
14:47
ZITTO AMLIPUA LISSU,  KUHUSU KUFUKUZWA CHADEMA!!!
20:26
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 45 М.
MNYIKA AUNGANA NA Lissu KUOKOA CHAMAAA!!!!
26:26
MALAVIDAVI Kenya
Рет қаралды 1,4 М.
Директордын баласы / қазақша кино 2022
25:18
Киностудия Мейрам
Рет қаралды 172 М.
ФИНАЛ / 4х4 ЖҰЛДЫЗДАР ШАЙҚАСЫ
5:3:21
DOSYMZHAN
Рет қаралды 93 М.
Хорошее время было!
1:00
Дмитрий Романов SHORTS
Рет қаралды 1,1 МЛН
Kardeşlerim 62. Bölüm @atv
2:13:03
KARDEŞLERİM
Рет қаралды 4,6 МЛН
Арсен & Мереке | 1-серия
20:51
Арс & Мер
Рет қаралды 65 М.