live: [29.12.2024] KONGAMANO KUBWA LA UKOMBOZI WA NYAYO NA KUCHOVYA MIGUU KWENYE MAFUTA YA UPAKO

  Рет қаралды 16,560

ARISE AND SHINE TANZANIA

ARISE AND SHINE TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@ArianaHosa
@ArianaHosa 18 күн бұрын
Namshukuru Mungu kwa kumiepusha Na ajali.leo Saa Tano Na nusu😢😢😢
@RosemaryMadale
@RosemaryMadale 18 күн бұрын
Mtumishi wa MUNGU Mwamposa unasaidia sana watu walioteswa na Shetani na mawakala wake. MUNGU AKUBARIKI SANA NA KUKUPA NEEMA YA KUISHI MAISHA MAREFU YA KIBIBLIA UKIWA NA AFYA NJEMA NA NGUVU KATIKA JINA LA YESU KRISTO. AMEN AMEN AMEN.
@RosemaryMadale
@RosemaryMadale 18 күн бұрын
Mungu Atuhudumue sisi sote tukapokee Neema na Rehema ya kuinuka Kiuchumi katika JINA LA YESU KRISTO. AMEN
@ShadyaJuma-k2h
@ShadyaJuma-k2h 16 күн бұрын
Ameen baba na mm pia napokea leo lazima nifike apo baba
@ShadyaJuma-k2h
@ShadyaJuma-k2h 16 күн бұрын
Baba naomba leo apa niripo upako napokea ameen
@sheilamanafi1862
@sheilamanafi1862 18 күн бұрын
Mungu nifungue mimi na familia yangu wafungue wanangu wasome wafanikiwe
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 16 күн бұрын
Mungu akulinde miaka mingi mtume umenifundisha na kuamini neno la Mungu
@NellyKiberenge
@NellyKiberenge 17 күн бұрын
Mungu amalize kesi zangu zote za magonjwa psmoja na uchumi yangu
@PENDOABERIMBUGI
@PENDOABERIMBUGI 18 күн бұрын
Mung awafungue wadogo zanzu sala na Anita waolewe wapate wanaume tokoka kwa bwan amin
@LaynessDaudi
@LaynessDaudi 18 күн бұрын
Ee Mungu wangu msaidie joaness apate kutoka salama hospital umpe afya iliyo njema Amina
@PENDOABERIMBUGI
@PENDOABERIMBUGI 18 күн бұрын
Naitwa PENDO ABERI mbughi namuomba mungu nijifungue salama mtume na mme wang apate mtaji tufungue duka tunalo lifikilia na tulilolo weka mipango litimie amin
@VailethKombe-h5m
@VailethKombe-h5m 18 күн бұрын
Nimepokea na zaidi ya kupokea.tupo pamoja❤❤❤❤
@Nyinawabera-cy4be
@Nyinawabera-cy4be 17 күн бұрын
Najiunganisha na ibada hii naomba mimi na ndugu zangu na watoto wetu tufunguriwe vifungo vyote watoto wetu wapate akiri nyingi shureni
@sheilamanafi1862
@sheilamanafi1862 18 күн бұрын
Nifungue nipate kazi mungu
@sheilamanafi1862
@sheilamanafi1862 18 күн бұрын
Waumbie moyo mpya mungu
@RosemaryMadale
@RosemaryMadale 18 күн бұрын
Mungu atuhudumie
@PENDOABERIMBUGI
@PENDOABERIMBUGI 18 күн бұрын
Nimepokea kwa jina la yes
@TupyelesyegeWilson-y6x
@TupyelesyegeWilson-y6x 18 күн бұрын
Napokea dabodabo utajir
@ShadyaJuma-k2h
@ShadyaJuma-k2h 16 күн бұрын
Baba naomba leo nikapokee upako wako siku yangu leo
@SwaumuAlly-l6d
@SwaumuAlly-l6d 18 күн бұрын
Napokea tupo pamoja
@LainaIsimail
@LainaIsimail 18 күн бұрын
Napokea
@LaynessDaudi
@LaynessDaudi 18 күн бұрын
Naamin ntapona kwa ugonjwa unaonisumbua kwa muda mrefu sasa naimb na kuamini moyoni mwangu kuw utatenda
@MathaEdson
@MathaEdson 18 күн бұрын
Mung wa mwaposa ndoa yang
@PENDOABERIMBUGI
@PENDOABERIMBUGI 18 күн бұрын
Mung awafungue wadogo zanzu sala na Anita waolewe wapate wanaume tokoka kwa bwan amin
@PENDOABERIMBUGI
@PENDOABERIMBUGI 18 күн бұрын
Mung awafungue wadogo zanzu sala na Anita waolewe wapate wanaume tokoka kwa bwan amin
JIFUNZE KUELEWA UKIMYA WA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:10:34
Reality of Christ Church
Рет қаралды 158 М.
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН
#live : [07.01.2025]   IBADA YA MAOMBI,MAOMBEZI NA KUFUNGULIWA
3:36:40
MWAMPOSA LIVE
Рет қаралды 2,8 М.
Mch Moses Magembe - KITABU CHA DANIEL
2:49:00
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 31 М.
1 "KUVUNJA MIZUNGUKO YA KIROHO INAYOJIRUDIA - RUDIA ILI KUKUKWAMISHA" || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
2:25:57
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 59 М.
live: [31.12.2024] MKESHA MKUBWA WA VUKA NA CHAKO (KAMATA MWIZI)
9:30:50
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 83 М.
#live : [16.01.2025 ]  MAOMBI MAALUM YA MFUNGO - SIKU YA 11
52:58
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 2,9 М.
SURAT AL JIN | ALAA AQEL
1:12:05
BerkahZone
Рет қаралды 296 М.
SIRI YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris
1:06:15
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 92 М.
HAUJAZALIWA UWE MASIKINI.
19:15
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 31 М.
ROHO MTAKATIFU(SEHEMU YA KWANZA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:27:16
Reality of Christ Church
Рет қаралды 72 М.
Вопрос Ребром - Джиган
43:52
Gazgolder
Рет қаралды 3,8 МЛН