watu wa Burundi nipeni like apa kama unamkubali Sat B gonga like apa
@frado45474 жыл бұрын
Mtoto wetu st b bujumbura 💞
@frado45474 жыл бұрын
Unaweza urashoboye umunyamuziki wacu
@frado45474 жыл бұрын
Tunamukubali sana anaweza💞
@johnsonartabou28555 жыл бұрын
Kama wewe nimurundi naunamini ipo Siku Burundi Itasongambere kimusiki. Gonga like hapa 🇧🇮🔥💯
@tantinebettynduwimana3805 жыл бұрын
Kupitia njia ya Natasha
@glorianikiza925 жыл бұрын
Burundi oyeeee warundi tujuane apa
@kdiana94835 жыл бұрын
Nuko yabesh vyinsh 😒😒
@laitaa88325 жыл бұрын
Oyeee
@prospernshimirimana60435 жыл бұрын
Gloria Nikiza tupo
@coffeesma73685 жыл бұрын
Oyeeeeee wanarundi tuko
@josephtwagiramungu30215 жыл бұрын
Team Satura From England UK, nipe Like zangu hapa twende poa!! You still KingOfBujaFlavour!!
@rigalugano87915 жыл бұрын
Aho wajama niwatangazaji wa nguvu
@thomasndayisaba99595 жыл бұрын
Kumbe Uko UK
@ruttenange92135 жыл бұрын
He is great and he is our star.Fière d'être burundaise🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Super-Diamond-Studio5 жыл бұрын
Ingereni kumuoatia Murundi iyo nafasi ila Ningeomba Musiishie apo Maana Wapo Wengine wasani Wenye Uwezo Mkubwa saaanaa Kwa Lugha mpaka Uimbaji mpaka Kazi zao Zimeishavuka mipaka ila apo Tanzania Amujawapatia nafasi Maana Tunawaamini Saana Tunaomba iyo Nafasi ,,,, Big up saana Jonijo na Team yako nzima.... Ila Msani Wetu ajipange kidogo ajuelewe Itapendeza zaidi
@lebonndayishimiye12595 жыл бұрын
Holla! Wew kama wewe kama kweli unakubali kua Buja🇧🇮 tuna weza music gonga like twende....
@blaisesayo17635 жыл бұрын
Sat B best artist here Bujumbura!!! Respect wasafi TV
@ngendakumana_mbasha5 жыл бұрын
Sat B is the Best in Burundi Superstar i mean Thank U WCB fm for your support
@yoghygenero52845 жыл бұрын
msani sio lazma awe na bodyguard.......mr blue sasa sio msani? nakubali sat-b endelea kupeperusha our flag +257🔥🔥🔥🔥🔥
@amolam975 жыл бұрын
Mr yoghy wambie
@mupigotv90975 жыл бұрын
Hhhh mbona amesema kama yuko na bouncers
@lyndalacostatv19365 жыл бұрын
Sat-B wetu mpole na Busara kwa kweli . Ila Enzi hizo Mgelimtambuwa 😂😂 Asante Wasafi kum connect Kijana Wetu , Ila Mnatisha Punguzeni Duuuh
@salprothemeek48695 жыл бұрын
Team Satura Forever!
@tantinebettynduwimana3805 жыл бұрын
Hapa tunamkubali natasha
@upendotv25745 жыл бұрын
You wark so hard my sister
@ndayikezeeliezel42085 жыл бұрын
Arakoz ivyananiy besh🙋♂️
@eliasmarley3125 жыл бұрын
Lynda Lacosta nakufuatilia saana kila kona wew
@LifeDailyX1235 жыл бұрын
So happy for him love from Canada 🇨🇦
@pasifiqueivuzimana4424 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@keviningabire80575 жыл бұрын
🔥🔥🔥mwana wa buja🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ndarenova52245 жыл бұрын
Sat-b Oyeee.king satur mabafl na boulle🔥💥🔥💥🔥🔥➗.wasafi media Big up sana🔑🔑
@nsanzabahizirahma71045 жыл бұрын
Uyo ni King 👑wa buja freva tuwakilishe kima tayifa kazi mbele utabaki kuwa kileleni 💕👊
@lucksonbonfilsbrown9075 жыл бұрын
king 👑wa Buja ni fizzo not sat b
@nsanzabahizirahma71045 жыл бұрын
@@lucksonbonfilsbrown907 wewe jo unasema anaye Julikana king St_B👑🦁atabaki kileleni ukubali ukataye yeye jo king wa buja freva kazi mbele
@mjoradaudi84155 жыл бұрын
Oya niambieni Burundi kuna mwana hip hop aliwahi kuimba na alikiba anaitwa mkombozi alienda wap niambieni
@nsanzabahizirahma71045 жыл бұрын
@@mjoradaudi8415 mimi ni naye mu fahamu aliye imba na Alikiba ni Lolilo yuko 🇧🇮 ila Mukombozi yuko Rwanda
@jojoiqramomy85355 жыл бұрын
@@lucksonbonfilsbrown907 ni general fizoo
@niyitangajalilu14045 жыл бұрын
Asante kwa mupa support dogo sat b
@dafxclass5 жыл бұрын
Sat B from Burundi keep Fire burning 💥✌💓🙌🤲
@ghjhggui64475 жыл бұрын
Je suis fière d être 🇧🇮
@jeanpierrekwizera64005 жыл бұрын
waooooo!!! nakubari sana King Sat-B , umeipepelusha Burundi yetu. much Love for You!❤❤❤❤❤❤❤
@josuebaribike15775 жыл бұрын
King 👑 satellite 🛰 Burundi 🇧🇮 tunakupenda sana♥️♥️♥️♥️♥️
@babangidambonimpa4645 жыл бұрын
Watangazaji mko wa kibongo, specialy nyinyi akina Jonijo kiwango chenu cha utangazaji habari kipo chini saana. Mnabahati kubwa, Sat B ni big artist saana zaidi ya mnavyo mchukuliya.
@nindajanvier15034 жыл бұрын
I love you Sat B unanikumbuka wakati ukingali unavuma nilikufikia kwako nikakuuliza kama tunaweza fanya ft japo kwabahati mbaa nilifika nasafili kwenda shuleni ila najua tutaonana tena Love you Bro
@massudbiz98285 жыл бұрын
Furahia matunda yakazi zako sat b Warundi wote tunakutakia mafanikio mema Gonga like kama imekugusa jamanii
@257onair43 жыл бұрын
Mungu amsaidie @satb wetu atatufikisha mbali inshaAllah
@donaahishakiye63945 жыл бұрын
Asante sana Sat b nakubali kuajibu yako thx
@laitaa88325 жыл бұрын
Sat B we support you and we ❤️ you ✨💕 From🇧🇮
@khizzer_jr5 жыл бұрын
Jamaa iko sawa,Sat B iko na album mbili na singles kibao tu
@ndayiragijeemilemarlon13695 жыл бұрын
Asante sana kwa wasafi media Sat B ni msani wetu tena anaweza na sauti mzuri
@amaniirakoze7725 жыл бұрын
sat b wew bado mdogo akia mungu fizzo hakudanganya ludi shuleni kusoma angalia kwanza hayo ma swala ume ulizwa na hao watangazaji umeshindwa kujibia hata swali moja wew alakini courage
@kkkkftbbhgft91185 жыл бұрын
Wantanzania pumbafu zenu unaona wa mecoment eti kiswahil kinasumbua warundi kwaiyo nyinyi munajua kirundi??
@kanyanahuguettelindsay96165 жыл бұрын
👍🏻
@rodriga255 жыл бұрын
Just tell them. In Burundi we speak kirundi not swahili
@Ndayaki5 жыл бұрын
Kweli hiyo
@ericnizigiyimana27375 жыл бұрын
Wa tanzania nikama mbuzi wanaongea lugha moja peke kama mbuzi.INOS B alipo kua studio mulikua mki lalamika eti kizungu kimekua chingi,Wasafi mnayifanya kazi yenu vizuri alakini kama nyinyi niwa tangazaji basi muwe matangazaji namusiwe maakim.JOHNY JOO is okey alakini mshikaji upande wapili nikama fans wa chelsea ubishi tu!! lengo lake kutegana mitengo sio professional
@fattyandruqyahbinthouthman80255 жыл бұрын
Tulizeni mizuka wa tz wana washinda vingi nyooo
@kaybogar77845 жыл бұрын
😀😀😀😀 wa Bongo sio watu wazuri mnafanza Sat b awe nakigugumizi cenye awagi naco 😀😀😀😀 shikamo wasafi 🙌🏽🙌🏽
@eliasmarley3125 жыл бұрын
Kay Bogar warahi unanichekesh saan dah. mbavu zangu jamani
@flavafleury5 жыл бұрын
Respect bro sat b 💥💥 like here kama unamkubari sat b kwakazi zake 👍
Sio fresh bhn, kumzarau mchizi hata kama sio star!!
@johnkerrysibomana90625 жыл бұрын
Yaani wamemshusha ile mbaya kabisa ila ifike wakati tuache kujikomba na kujivika vyeo
@ruttenange92135 жыл бұрын
Ni star bro.Thanks
@emdybwoy76904 жыл бұрын
Love from Emdy Bwoy bujumbura byz nampenda gacugere
@peresirakoze63535 жыл бұрын
+257 lets show support to our brother. keep representing Sat B. tunakukubali
@eastmusicmrk83205 жыл бұрын
Iyyii jonijoo. Uyajamaaa kwaburundi ni mwambakweli
@kozzomix1205 жыл бұрын
Sat b wew ni mtu wangu sana big up nayipenda wasafi Tv
@abasiabdoul47775 жыл бұрын
Qqq
@NimuFx5 жыл бұрын
daaaaah! kiswahili safi, majibu poa sana. ongela sana Mtoto wa Burundi Sat B.... Bendela letu in EAC bado lipo juu 🇧🇮🇧🇮 penda sana from Burundi
@directormc_official5 жыл бұрын
Uko buraye siko bwirirwa impumyi ninyinshi gusa intambwe yabonetse ndizera ibikorwa katari bibi nanje nkumuhinguzi wa music video tz # Burundi ndashima urugendo rwa sat b warundi gongo like hapa kama umependa hili tokeo la sat b
@aminaabdallah56425 жыл бұрын
Tatizo la hawa watangazaj n waswaili saana ila sasa huwez amin huy mnaejifany kumtish ye mwenyew kawadharau kama umegundua na yeye kawahoj na kuwadharau kiutudhim yan kuwadharau kitusi na kuwahoj labda mniulize kwanin diamond hhh kaon wanamuhoj ujing wamejifany kumuhoj kibabe lakin yey kawahoj k staarab lakin kwa jeuri huy sat nae sio mdogo waburundi nooma kama umegundua kua satb nayey kuwadharau gong like hapa twend sawa
@zainabuamadi40125 жыл бұрын
Big Up watu wa nyumbani 🇧🇮💪
@gitegagitega65435 жыл бұрын
Wasafi fm asanteni Sana ma Zee interview nzuri ,🇧🇮🎤🎶👊🔐💪💪💪
@bubusafrika63775 жыл бұрын
That is a big star from Burundi love from TANGANYIKA BOY 🙌
@vnsindayigaya4645 жыл бұрын
let thx DIAMOND for Wasafi Media!🙏 DMN proud 2 be 🇧🇮❤. BDI forLIFE😊🙌 SATURA hppy fr u✊
@nishimweabel49034 жыл бұрын
Nice Satilite of Bndi nakubali sana big up sana!!.
@lesportetlanutritionpourla99565 жыл бұрын
kwenye magroups nimeona maneno meeeengi nkasema hayo maneno ya kuambiwa wacha nkahudhurie mwenyew niliskia eti wamekutoa nje kwa mateke lakini kumbe uongo.king wangu nakupenda sana bro.masnicth lazima wawepo kwenye maendeleo ya mtu.we cha msingi never give up and keep it up
@aal18555 жыл бұрын
Satura amabafle 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Tunakupenda saana
@afroeastmusica.e.mourhomeo88625 жыл бұрын
its so easy kum'take easy mtu when hamjui mtu but when he knows his point ata take easy yote ili atobowe
@moullaommywayneofficial11995 жыл бұрын
Thx wasafi TV but mko kama vile na dharau kwenye kazi yenu mtu akikuomba msaidie bila khashifa nawapenda sana mazeee nawafwatiliaga sana kizazi sana but nimeona mnadharau Frani msani yoyote msapoti alivyo akiwafwata kumbuka boss wenu diamond ameanzaga kuja Burundi akingali na level ndogo kama iyo ya sat B na tuka mpokea fresh yes apa moulla from 257🇧🇮🇧🇮🤙
@m-dhiba93665 жыл бұрын
Satb mtuu wangu 💪 next level
@arielchavez45075 жыл бұрын
Sat-b unajibu ma suala kidiplomasia,
@kkkkftbbhgft91185 жыл бұрын
Kitu cenye sipendee wa tz wanazarau sana warundi .....pumbafu zenu
@valentineshembilu12565 жыл бұрын
Tutake radhi aisee watz hatuko hivyo tunaheshimu kila mtu, kosa ni la satb mwenyewe kutokujiamini awapo studio
@vangiftshine5 жыл бұрын
Mambo ghani ao Tena kumdhalau kivipii, wanaco Sema ni ukweli Instagram yak iko chinii, tu jifunze ku pitia WA Tz
@ericininahazwe86355 жыл бұрын
Shauli nzuri sana@@vangiftshine
@mariamoman50574 жыл бұрын
Waaooo 🥰 🥰 Very Nice 🥰 🇧🇮🇯🇲
@husseinkudra2725 жыл бұрын
Oyoooo nakubali mzee nimefuray sana kukuona umefik wasafi tv
@ndayikundaedmond3375 жыл бұрын
Ndagufana ariko ahohantu witwaye nabi kuri panic ndende!!!ariko congratulations bizoza
@irakozesadikiallytv76003 жыл бұрын
Sat. Mi namukubali sana anaweza kama unataka maelezo mazuli nenda kwayoutube channel yake ujioneye bana
@fistongaston70665 жыл бұрын
Yaani kama kwelo mmefuatilia vizuri hii interview huyu jama amedhalilisha burundi. Fizzo njoo ukabatilishe uongo Wa huyu mshambega
@lievinhatungimana39915 жыл бұрын
fiston gaston fizzo the bantu bwoy akuje awatumbuwe kbs satb anaogopa san tena hajiamini mwenyew
@samykhalifa215 жыл бұрын
Jama anadanganya sana
@valentineshembilu12565 жыл бұрын
Amedanganya nini tuambieni ukweli
@ndayikezececile27622 жыл бұрын
Nyie hamumujuwi sana Sat B huyo kaka anapambana Sana na ametoka mbali sana Huyu ni jembe kwetu sisi
@nathanjunior67595 жыл бұрын
Sat-b satura💪💪 big up sanaaa nakubali
@yussufadidja4335 жыл бұрын
💗💗napenda anavyo iba 😍😍🌹
@uwimanaaisha52475 жыл бұрын
nawakirisha from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jorgettemwajuma54283 жыл бұрын
Tuna mpenda sana sat b from 🇧🇮 🇧🇮 🇸🇦 🇸🇦
@remybikorimana56645 жыл бұрын
Big up sana kwa Sat b,anaweza sana!
@abdulndash92145 жыл бұрын
Ingiya Instagram ya big Fizzo apo ndio utakubali jonijooo
@nzitondaantoine63155 жыл бұрын
Huyo sat b anaweza kabsa🔥🔥
@michelnintije26125 жыл бұрын
Pole sana underground sat.b umepata haya kwa maswali lakini jikaze
@thegreatwise32805 жыл бұрын
ASANTE SANA KUMU ONGERESHA SAT B KWENYE WCB SAT-B hapa Burundi ni baba wa wasani anaweza saaanaa
@amolam975 жыл бұрын
Alafu kama nikusoma tumesoma SAT B i think umesoma bro ila never give up my bwoy amakosa bagutoye wayabonye musaza nukuyakosora
@amigoontheflo12345 жыл бұрын
Though u supported him but I disliked this way of underrate him or bring him down. For this u did nothing to him than to offend him . Remember diamond comes in Burundi. ..we showed him hospitality n care but what u did our burundian is rubbish Better u apologise
@theochumelody3 жыл бұрын
He didn’t even introduce him clearly. If you’re not good in Instagram show them the way you do..
@15centerckz602 жыл бұрын
I like you satb nafanya vizuli Sana nic musc
@mosesmichaelmichael67685 жыл бұрын
Aise burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪oyeeeeeee jonijo mzee hiki kitu ulichokifanya mzee much respect coz kwenye hii nafasi mlompa huyu star wetu tunashukuru sana sana tena sana🙏🙏🙏
@muhitiraamissy71982 жыл бұрын
Satb siopowaa noma sana
@lucksonbonfilsbrown9075 жыл бұрын
we wish one day u can invite big fizzo from Burundi the king of music in Buja fleva even diamond was his fan before being super star his the really Simba
@bizoskiyagistrapper24795 жыл бұрын
Burundi to next Level
@monicaandrew82925 жыл бұрын
Muziki wa Bongo mkubwa jamani msimshangae kuja kupush Bongo
@theoniyonkuru64235 жыл бұрын
Sat b haja skiya haya sema sisi warundi tuskiye haya kwa kuto ku saport mziki wetu
@nadegeniyonkuru97395 жыл бұрын
Yayayaaaa unanishangaza sana Sat b. Apo kwli ulisema nini kweli? Njomana najipendeyaga NATACHA kwaju anajuwa kusema tena apo angekosa cenye atasema.
@annicknsengiyumva52215 жыл бұрын
Natasha ni reine de la scène halingani nahuyoooo
@nadegeniyonkuru97395 жыл бұрын
Annick Nsengiyumva Inasema kweli kabisa. NATACHA angali number 1 👌👌👌
@salprothemeek48695 жыл бұрын
Sat-B King of Buja Flava,Keep it up!
@solangepyana42445 жыл бұрын
Pole sana satb! Sasa satb umehenda uko kufanya nini? Hona umepata haya
@blaisesayo17635 жыл бұрын
Karakurya
@solangepyana42445 жыл бұрын
@@blaisesayo1763 suguha
@Officialswala5 жыл бұрын
Kuna wababe kibao kama big fizzo, sat b, kidumu, t-max kingorongoro, b-face nawengine kibao mze
@calixtewizland2125 жыл бұрын
Jama anaweza kabisa
@lydiairakoze52265 жыл бұрын
Apo ingekuwa Natasha la namba labamba naamini tungekufurayi sana, sat b unatuangusha🤣
@stephanemizero14055 жыл бұрын
Bambiyeee mma yakeee🤣🤣🤣🤣🤣
@officialmrtop10185 жыл бұрын
Big up sana *Burundi's Satellite*
@johnkerrysibomana90625 жыл бұрын
Dah!!sat b hujui hata kujibu maswali??mi ni murundi ila hapo bhana umebolonga saana unaanzaje kujitambulisha kweny nyimbo ya mtu??kiswahili chako chenyewe mazoezi pumbavu unaanza kujivika vyeo jamani haya yataishaje BUJUMBURA
@mjoradaudi84155 жыл бұрын
Nyie huyo ndo diamond wa Burundi ingawa munamuhoji kwa madharau
@afandechanel15075 жыл бұрын
Hawaja muoji kwa dharau sat B hana maelezo ya kujitosheleza ili watu wamuelewe kiswahili chake anaongea kwa uoga
@philbertndayikeza37295 жыл бұрын
Kwl wanathalau saana washenzi awo wajama mafala kbs
@afroeastmusica.e.mourhomeo88625 жыл бұрын
😅😅😅
@lievinhatungimana39915 жыл бұрын
Mtu tunaekubali uku kwetu Bdi ashafanya mengi ni BigFizzo
@psposui26335 жыл бұрын
Mjora Daudi 😂😂😂 eti diamond wa Burundi
@kabeyaaladin5475 жыл бұрын
noma saaana haw majama hii apa sio kazi
@NicholasKarume5 жыл бұрын
Sat-b big up sana tunajoin kazi yako bro
@tantinebettynduwimana3805 жыл бұрын
Msanii ambaye tunamkubali hapa Burundi ni natsha anafanya vizuri sana
@anicetjames17745 жыл бұрын
Alie ona kwamba jamaa alipoulizwa mapigo ya kutisha kaonyesha saa gonga like 😃
@knablessingkuri10325 жыл бұрын
King sat-b🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jamilamanariyojamila14874 жыл бұрын
Jaman kelelekwawatuwaburundu weweeee🥂💃💃
@annasistus66245 жыл бұрын
Anaitwa satura mabom na mabuye
@tantinebettynduwimana3805 жыл бұрын
Natasha ambaye amefanya collabo na yamoto band,barnaba classic,banana zoro ziko nyingi sana na ndie msanii wa kwanza hapa burundi
@kinigilianesylvie50265 жыл бұрын
baragayana basii big up sat- b naho ndi team fizzo ongera man