CROWN SPORT: UONGOZI WA ENG HERSI SAID PALE YANGA KWELI NI BATILI?
Пікірлер: 17
@daynesakulu3169Ай бұрын
Watangazaji mko poa aana ❤❤❤❤❤ mna tangaza vizuri sana , na sauti zenu nzuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Crown Sports mpo vizuri, nawafata kutoka USA.❤
@spensajansaАй бұрын
Yanga mbele daima
@GastonPeter-k1dАй бұрын
We are young Africans 0:58
@charlesayubu6449Ай бұрын
Hukuwepo ila unasema kama aliambiwa kaa chini. Kama hukuwepo si ukaye kimya
@charlesayubu6449Ай бұрын
Jemedar utafeli sana
@Brother_kukuАй бұрын
Kwahio kumbe n sababu binafsi😅😅😅😅😅
@udiabdullah5261Ай бұрын
Hivi karibuni, kumekuwa na tetesi na habari nyingi kuhusu uongozi wa Eng. Hersi Said Ally katika klabu ya Yanga. Eng. Hersi amechaguliwa kuwa rais wa kwanza wa klabu hiyo kufuatia mabadiliko katika katiba ya Yanga ambayo yalihitaji uchaguzi wa rais na viongozi wengine wa kamati kuu Hakuna taarifa rasmi kwamba uongozi wa Eng. Hersi ni batili. Kwa kweli, uchaguzi wake ulifanyika kihalali na alikutana na vigezo vyote vinavyohitajika kwa nafasi hiyo Pia, mashabiki wa Yanga wameonyesha imani yao kwake kutokana na juhudi zake katika kuleta mafanikio kwa klabu, ikiwa ni pamoja na kushinda mataji ya ndani na kufikia hatua za juu katika mashindano ya kimataifa Kwa hivyo, habari kwamba uongozi wa Eng. Hersi ni batili hazina msingi wa ukweli. Inaonekana kama uvumi usio na uthibitisho rasmi
@user-lx7lb7sn8kАй бұрын
Yes
@aggreyissaya4342Ай бұрын
Jemedari chuki zake zipo waziwazi na kuna siku zitakutokea puani
@CassimoBicheSaideАй бұрын
❤❤❤❤❤❤
@charlesayubu6449Ай бұрын
Kikeke unashuhuli kubwa kuwafunza hao jama, ukitaka kuhabarisha watu lazima uwe na 80% ya ukweli. Kwanini asijiweki mbali kama anajuwa muongo na kesho sheria zitamchuw1
@JumaRamadhani-i1tАй бұрын
Mko poa
@charlesayubu6449Ай бұрын
Jama anasapoti hilo Mtuu wavurugu huyo Jemedar. Na hao body yawazamini walisikilizwa ?? Kivipi ??? Apo unasema walisikilizwa unauhakika ??? Kuwq mtangazaji wa recherche ??
@mosesgasana7109Ай бұрын
CEO wa Fountain Gate ni NUNDU na KAMONGO kutokana na majibu yake yenye utata wa deni la mchezaji😂
@ndackdominic_24Ай бұрын
😢
@AhmedAdan-po5psАй бұрын
Magoma yuko sawa bali tu machawa ndio wajinga
@g-makangarealitymbunge9290Ай бұрын
CROWN MEDIA ACHENI KUKAA NDANI KAMA UTUMBO KWANI KWENYE MATUKIO MAIRI MBONA AMPO KILA SIKU NINYI MUNACHUKUA VITU AMBAVYO VISHAOJIWA NA MEDIA NYENGINE WHY??? UONGOZI WA YANGA UPO LIVE NINYI KAZI HAPA NI NINYUMBANI 😐😐😏😏😏ATUKATAI KWAMBA NYUMBANI ILA MUSIKAE KAMA UTUMBO