Nakubali Sana Ayo umekuwa wa 🔥🔥 Hans ndo injinia kabisa Geof umeacha ujinga wa efm nakubali kiza ❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ceasarj67613 ай бұрын
Kimasiharamasihara tu #crown is taking over
@MarthaBura-or8fe3 ай бұрын
Na pia hongera nyingi kwa kocha kikeke big brooo
@abdalahnasibu33003 ай бұрын
Unyama sana crownsport tunapasua mawimbi👑
@dicksontimotheo76173 ай бұрын
Wa 3 kukomenti nauliza tu iv kuna mtu alitegemea kuwa alikiba anaweza kuifanya hii redio kuwa iv mpaka sasa?.....
@salamSalehhhhh3 ай бұрын
Hakuna dharau zilikua nyingi ila Mungu si wa kwao pekeeyao
@manrectorz3 ай бұрын
Crown mmetisha sana, mwanzo mzuri 👏👏👏👏
@mishlay81643 ай бұрын
Kwakweli mmetisha sana
@GiftTarimo3 ай бұрын
Nomaa
@JamalyzoMilanzi3 ай бұрын
Crown Tv 👑 hapo ni nyumbani twashukur sana kwa Abari za michezo na nyinginezo
@MarthaBura-or8fe3 ай бұрын
Hongera kigkiba .big brooo
@mwalimmwalim5453 ай бұрын
Kuna tofauti baina ya mashindano ya kirafiki yanayopangwa na vilabu vyenyewe anayoyaongelea Geof Leah na mashindano ya ushindani yanayoandaliwa na mamlaka za soka za kitaifa/kikanda.
@morganjamson38763 ай бұрын
Munaupiga mwingi sana crown ni nyumbani nite mo,G au Morgan ni kiwa kariakoo
@gracemtmbulo3603 ай бұрын
nawapenda sanaaaaa
@ramadhannjolesti3 ай бұрын
Hapa ni nyumbani👑💪🙏
@deusdeditsanga96663 ай бұрын
aisee mko vizuri kipindi kinakua cha moto wachambuzi wanachambua vizuri sana tunaomba muendelee na huu moto msije rudi nyuma tafadhari msije fanya makosa kuwaleta akina jemedari na oruma maana asilimia kubwa wamejitengenezea maadui kwaiyo inaweza kuwa ni rahis kupoteza watazamaji na wafatiliaji watu tuna wafatilia kutokana watangazaji na wachambuzi wako na weledi wajuu sana
Naitwa hamis kutoka kahama tuko pamoja sana crown fm
@samwelthomas13303 ай бұрын
Jaman naomba paul mkai awe anafungua kipindi kitapendeza sana maana anajua knoma
@gatsonmatiko80003 ай бұрын
Nikweli simba wanaweza kua wazuri musimu huu
@bevance4833 ай бұрын
Kwa mawazo yangu kusema Kagame cup team zije kama pre- season si sawa maana kama ndivyo basi why waweke KOMBE???? UKIINGIA UKILIKOSA HASA KWA TEAM KUBWA UNAHARIBU BRAND YAKO MAANA UNAENDA KUFANYA MAZOEZI WENGINE WALIO TAYARI WANACHUKUA KOMBE.
@HigombeyeBoazi3 ай бұрын
Habari za Leo ndugu zangu, sorry naomba kuuliza kuhusu fei naona mtandaoni imekuwa kelele hivi ni kweli anatarajia kujiunga na Simba au niuoongo?
@mbwana-fv2ir3 ай бұрын
juma ayo mwisho saa 6 tena braz
@cherryjoe95853 ай бұрын
Ududu ni mwingi jioni ya leo
@salamSalehhhhh3 ай бұрын
Am a big fan guys👑👑👑👑👑👑
@philipomkinga47083 ай бұрын
WAMILIKI WA REDIO WAKITAKA KIPINDI HIKI CHA MICHEZO KIWE KIZURI WAAIGE MFANO WA SKY SPORT AU SUPER SPORT WA KUCHUKUA WACHEZAJI WASTAAFU BAADHI KUA KM WACHAMBUZI KWENYE KIPINDI CHA MICHEZO. MFANO KWENYE KIPINDI ICHO AKIPATIKANA JULIO TU KIPINDI KITANOGA SANA.
@KulwaSanga-d7q3 ай бұрын
Umetoa mawazo mazuri sana mkuu.Asante
@issahpaul45103 ай бұрын
Jee hawo watu wanauwezo wa ku present vitu hewani? Look at jemedari ni former player lakini hana professionalism yoyote hata ivyo hawezi kudadafua vitu. Ila ni wazo zuri sana
@ZakariaMachibula3 ай бұрын
Crown fm ni ya moto vipindi vyote haina mpizani hongera kiba
@moudyaliy9423 ай бұрын
Kwann hamueki matangazo kwenye vpnd vyenu au ndio hayajapatikana ???
@RehemaIssa-u5b3 ай бұрын
Nawapata kutoka oman vizuri kabisa
@gwamakakamwela95223 ай бұрын
Mbona wasafi siwapati live
@KHALFAN-m4o3 ай бұрын
❤❤❤
@YusuphJoshua-x6z3 ай бұрын
❤
@salamSalehhhhh3 ай бұрын
Mimi mac muga😁👑👑👑👑👑
@AhmadiManjaule-sz5hc3 ай бұрын
Hansi kk nimekufatilia toka wasafi na nimeamua kuamia craun kwajiliyako abari zauwakika unazoww tu apa bongo wengine wachambuz wamchongo😂😂🎉🎉🎉🎉
@abukhamisi50393 ай бұрын
Tunafata 100 kwa 100 cairo egypt
@Ashirafa-h9l3 ай бұрын
Crown chukueni maua yenu
@dicksontimotheo76173 ай бұрын
Niulize kwann crown ina namba kubwa kwenye views 1. Kwasababu inapatikana sehem chache ivo inapatikana sana youtube? 2 mapenzi tu ya watu 3 nguvu ya alikiba 4 mvuto wa watangazaji Ni nini zaidi mpaka asaiv sielewi
@Muneebyota3 ай бұрын
Hapa ninyumbani
@philipomkinga47083 ай бұрын
YAANI UNAMKATAA JEMEDARI SAID ALIECHEZA MPIRA NA AKAUSIMAMIA KAMA KIONGOZI WA SHIRIKISHO LAKO, AFU UNAWAKUBALI HAO WACHUMIA TUMBO WASIOWAHI ATA KUGUSA MPIRA. AZAM UNAYOIONA LEO MOJA YA MAFANIKIO YAO NI RAMANI YA JEMEDARI SAID ALIPOKUA MENEJA WA AZAM FC AKAWEKA MIUNDOMBINU AMBAO ATA LEO AZAM WANATUMIA. JEMEDARI SAID ANAPENDWA NA WATU WA MPIRA 1000 AFU ANACHUKIWA NA WASIOPENDA MPIRA WATU 12 TU.
@frankchibago32063 ай бұрын
👑👑👑👑👑👑👑
@NuruAbdul-w9u3 ай бұрын
🔥🔥
@ElishaNkunza3 ай бұрын
Duuuu na Mkai tena
@BarakaMwankenja3 ай бұрын
Poul mkai mkali wa dimba
@ismailhassan52093 ай бұрын
Coach mzuri ni yule anayeweza kufundisha mchezaji akaelewa bila kujali kwamba awe funding wewe Coach umfanye mchezaji aweze ku co op Mara moja na mchezaji wenzie kufeli kwa Simba ilikuwa ni wachezaji wabovu baadhi, mbinu za Coach zisizo badilika, uongozi legevu na ubdhirifu
@HiguainkizaHiguain2 ай бұрын
Naupata kaka ni mm HIGUAIN nipo Markani JOJA ATLANTA mm kaka nataka na baza simu ze nu
@johnmjirah40573 ай бұрын
Msije mkasajilii wa kin orum n jemedari said
@HassanSaburi-ge6ej3 ай бұрын
Mtuletee radio wa mikoano hswa morogoro mfanye mpango mje mapemaaaaa
@chng19903 ай бұрын
Mpira ni mkakati tu huyo kocha ataondoka 1 .kama hana ushirikiano 2.kama kikos kibovu mtamfukuza tu 3.nabi ukitaka kujua football ni project nabi keshakimbia huko 😂😂😂😂