🔴LIVE:DAY 4 MKUTANO WA INJILI CCM KIRUMBA PASTOR EZEKIEL

  Рет қаралды 13,870

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 129
@OliviaBamuhiga
@OliviaBamuhiga Ай бұрын
Nyota yangu ingaeeeee nishangaze watu kwa Baraka zako , Jesus
@marykemunto3250
@marykemunto3250 Ай бұрын
I connect myself and my children to this high alter tonight wherever they are in Jesus might name 🙏🙏🙏🙏🙏
@OliviaBamuhiga
@OliviaBamuhiga Ай бұрын
Napokea hii Neema asubuhi ya leo ikanifunikeee 🙏🙏🙏
@gladyglady-nh7rm
@gladyglady-nh7rm Ай бұрын
Pastor niombee baraka kwetu na watoto wangu wafunguliwe kimasoma kwa jina la yesu.
@AdhiamboAnn
@AdhiamboAnn Ай бұрын
Mbana asifiwe mtumishi wa mungu naombo uzima na yoto yangu arejeshwe katika jina la yesu
@marykemunto3250
@marykemunto3250 Ай бұрын
Ewe Yesu badirisha maisha yangu,ondoa Kila roho ya I shetani kwangu na kwa watoto wangu in Jesus might name
@marykemunto3250
@marykemunto3250 Ай бұрын
I connect my son Edgar to this high alter tonight wherever he's in Jesus might name 🖐️🖐️🖐️🖐️
@victoriambithe8801
@victoriambithe8801 Ай бұрын
Natamani neema kweli pastor tafadhali niobee katika jina la yesu
@gladyglady-nh7rm
@gladyglady-nh7rm Ай бұрын
Pastor naomba hiyo neema nifanye naye kazi ya nice and lovely mungu nirudishie kazi yangu kwa jina la yesu nyota yangu ingae kwa jina la yesu Amen pastor.
@marykemunto3250
@marykemunto3250 Ай бұрын
I connect my son Elvis to this high alter today wherever they are in Jesus might name
@OliviaBamuhiga
@OliviaBamuhiga Ай бұрын
Jesus ❤
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki Ай бұрын
Nangaaaa leo kwa jina la Yesu kristo Ameeen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@KhamisiMwanyule
@KhamisiMwanyule Ай бұрын
Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@OliviaBamuhiga
@OliviaBamuhiga Ай бұрын
Atakae nilaani anioneeeeee 🙏
@gasperurassa6440
@gasperurassa6440 Ай бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 Ай бұрын
Napokea katika jina la yesu
@gladyglady-nh7rm
@gladyglady-nh7rm Ай бұрын
Ninatafuta kazi ya nice & lovely mungu nikumbuke nipate hiyo kazi hii mwenzi huuuuuuuuuu
@user-er5hr1od6k
@user-er5hr1od6k Ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏 🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇦🇨🇦
@KhamisiMwanyule
@KhamisiMwanyule Ай бұрын
Jesus amen amen
@DeborahMatiko
@DeborahMatiko Ай бұрын
Amen pastor naomba hizo baraka zije kwangu baba
@OliviaBamuhiga
@OliviaBamuhiga Ай бұрын
Aminaaaaaa
@gasperurassa6440
@gasperurassa6440 Ай бұрын
Amen Amen Amen I receive it
@user-er5hr1od6k
@user-er5hr1od6k Ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏 ❤❤
@davidziro784
@davidziro784 Ай бұрын
Jesus Jesus Jesus Ameen pastor
@reginajebet1555
@reginajebet1555 Ай бұрын
Amen amen
@SarahRuto-lg8yd
@SarahRuto-lg8yd Ай бұрын
Ubarikiwe sana Pastor Ezekiel na Pastor Sarah
@PamelaAkoth-ru3gw
@PamelaAkoth-ru3gw Ай бұрын
Otieno nimemweka lwako yesu . Haribu mipango yao mbaya
@user-tw8im4zv3y
@user-tw8im4zv3y Ай бұрын
Amen naunganisha familya yangu na madhabahu ya ni newlife
@IsaiahKabaya
@IsaiahKabaya Ай бұрын
Mtumizi wa mungu ombea Kenya na familia zetu
@SlyvestarSly
@SlyvestarSly Ай бұрын
Bwana asifiwe paster naomba ndoa pia naomba nyota pia naomba nyota kwa watoto wangu ambao wapo mashuleni naomb unifunguliwe katika jina la yesu. Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@user-np6wt2yk6y
@user-np6wt2yk6y Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@JangleGMuhias-x1d
@JangleGMuhias-x1d Ай бұрын
Amen
@NaomiNakhumicha4636
@NaomiNakhumicha4636 Ай бұрын
Ameeeen laana tulizotupiwa kwetu irudie wachawi wenyewe na wapigwe wafe 🙏🏻
@user-zs1dw5in5l
@user-zs1dw5in5l Ай бұрын
Napokea nyota yangu ya biashara inaenda kung'aaa kwa jina la yesu
@JulitaAndrea-nu6pz
@JulitaAndrea-nu6pz Ай бұрын
Yesu Yesu YesuAmeeeen
@samuelosuma8197
@samuelosuma8197 Ай бұрын
Siondoke zote nipokee huduma kwa jina la yesu kristo
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki Ай бұрын
Aaaaaaaaamen Napokeya 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@PriscaMassawe-vb4ix
@PriscaMassawe-vb4ix Ай бұрын
Amina napokea
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki Ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Aaaaaaaaamen
@elizabethmutinda6916
@elizabethmutinda6916 Ай бұрын
I receive
@DeborahMatiko
@DeborahMatiko Ай бұрын
Amen napokea nyota yangu
@MichaelKiambi-p4q
@MichaelKiambi-p4q Ай бұрын
Neema ikutoshe mtumishi.❤
@victoriambithe8801
@victoriambithe8801 Ай бұрын
Pray for me to get star of success in Jesus name
@user-dp7lx2vp2g
@user-dp7lx2vp2g Ай бұрын
Baba naombea watoto wangu wafunguliwa
@yohanaisayasimoni
@yohanaisayasimoni Ай бұрын
Karibu Manyara huku watumishi wengi wanatususa sana
@ManOg-zs2yp
@ManOg-zs2yp Ай бұрын
Ee mungu naomba nyota ya ndoa na aman katik familia yangu na nyota ya mwanangu
@SylviaMkami
@SylviaMkami Ай бұрын
Nyota yangu ingae kwa jina la Yesu kristo
@PriscaMassawe-vb4ix
@PriscaMassawe-vb4ix Ай бұрын
Yesu nifungue ufahami
@victoriambithe8801
@victoriambithe8801 Ай бұрын
Pray for to get star of success in Jesus name
@JulitaAndrea-nu6pz
@JulitaAndrea-nu6pz Ай бұрын
Napokea kwa Jina la Yesu .Napokea virusi vya injili na uponyaji katika jina la Yesu.Yesu uwaponye watoto wangu magonjwa sugu katika Jina la Yesu
@victoriambithe8801
@victoriambithe8801 Ай бұрын
Nifugue mwili wangu wote juu maadui wangu wananifuata
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 Ай бұрын
Mutumixi wa mungu naomba umuombee mama watoto apate safari ya kusafiri imekuama apate boss muxuri na matabau ya wachomaba iachilie hiyo safari ifunguliwe
@gloriagloria-g2e
@gloriagloria-g2e Ай бұрын
Amenii
@GabrielLusian
@GabrielLusian Ай бұрын
Ubarikiweeeeeeeeee
@user-zs1dw5in5l
@user-zs1dw5in5l Ай бұрын
Daddy nakupenda sana Baba yangu
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 Ай бұрын
Rahaana ya wajomba na matabau ya wachomaba iniachilie kabixa naomba uniombeee ndoto mbaya spiritual woman iniachilie unitenganixe na wafu iishe kwangu roho ya madeni iniachilie kabixa naomba umuombee mama watoto apate safari ya kusafiri imekuama apate boss muxuri
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki Ай бұрын
Aaaaaaaaamen Napokeya ungojwa takatifu kwa jina la Yesu kristo Ameeen
@gervasejerry
@gervasejerry Ай бұрын
Natamani neema
@user-dp7lx2vp2g
@user-dp7lx2vp2g Ай бұрын
Emeeeeeen
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 Ай бұрын
Matumizi wa mungu naomba umuombee mama watoto apate safari ya kusafiri imekuama apate boss muxuri
@PriscaMassawe-vb4ix
@PriscaMassawe-vb4ix Ай бұрын
Baba wafungue watoto wangu vifungo walivyofungwa
@PriscaMassawe-vb4ix
@PriscaMassawe-vb4ix Ай бұрын
Napokea Kwa jina layesu
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki Ай бұрын
Jeeeeeesus
@margaretkanini6683
@margaretkanini6683 Ай бұрын
Baba wa nyota 🙏
@PriscaMassawe-vb4ix
@PriscaMassawe-vb4ix Ай бұрын
Napokea kwajina layesu
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 Ай бұрын
Rahaana ya wajomba ikatike iishe kwangu roho ya madeni iniachilie kabixa naomba uniombeee ndoto mbaya spiritual woman iniachilie unitenganixe na wafu
@Nicky-c2k
@Nicky-c2k Ай бұрын
Napeda yesu yota yagu igae
@SlyvestarSly
@SlyvestarSly Ай бұрын
Naomba nyota ing'are na nisonge mbele niwe na naisha mazuri mpaka watu washangae nijenge majumba na ninunue magari. Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@PriscaMassawe-vb4ix
@PriscaMassawe-vb4ix Ай бұрын
Wafunguliwe ufahamu
@samuelosuma8197
@samuelosuma8197 Ай бұрын
Nadai hicho kibali usiku huu kwa jina la yesu kristo nipokee huduma inayo shangaza shetani.
@marykemunto3250
@marykemunto3250 Ай бұрын
I connect my doughter moraa to this high alter tonight wherever she's in Jesus might name 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@samuelosuma8197
@samuelosuma8197 Ай бұрын
Huje karibu nami usiku huu unipe huduma kubwa kwa jina la yesu kristo.
@Edwinochieng-tf5od
@Edwinochieng-tf5od Ай бұрын
Pastor naomba uniombee nimechoka na umaskiniii nipate kazi na familia yetu pia wafunguliwe
@user-dp7lx2vp2g
@user-dp7lx2vp2g Ай бұрын
Eyeeeeeeeees
@SlyvestarSly
@SlyvestarSly Ай бұрын
Paster naomba nyota kwa bint yangu wa form6 afaulu vizur na maisha make yawe mazuri
@user-zs1dw5in5l
@user-zs1dw5in5l Ай бұрын
Daddy naomba urudi tena Dar es salam
@PaulSanga-bn2zv
@PaulSanga-bn2zv Ай бұрын
Napokea kufunguliwa
@PriscaMassawe-vb4ix
@PriscaMassawe-vb4ix Ай бұрын
Napokea
@denniskilonzo6287
@denniskilonzo6287 Ай бұрын
Ndio baba,,
@ZackBlessing
@ZackBlessing Ай бұрын
Amen Amen nyota yangu ingae kwa jina la yesu Cristo Amen
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 Ай бұрын
Naomba kupokea nyota
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki Ай бұрын
Aaaaaaaaamen
@victoriambithe8801
@victoriambithe8801 Ай бұрын
Pastor natamani neema ya familia yangu yote
@SlyvestarSly
@SlyvestarSly Ай бұрын
Pia paster naomba nyota kwa bint yangu wa darasa la saba afaulu vizur na umpe uwezo mkubwa katika masomo yake
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 Ай бұрын
Mutumixi wa mungu naomba uniombeee ndoto mbaya spiritual woman iniachilie unitenganixe na wafu wananikujia kwa ndoto mbaya spiritual woman iniachilie unitenganixe na wafu iishe kwangu
@roselyneaseka
@roselyneaseka Ай бұрын
Connected
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki Ай бұрын
Aaaaaaaaamen nyota yangu ingaee Kwa jina la Yesu kristo
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 Ай бұрын
Mutumixi wa mungu naomba umuombee mama watoto apate safari ya kusafiri imekuama ifunguliwe
@RaymondMandro
@RaymondMandro Ай бұрын
😮
@SlyvestarSly
@SlyvestarSly Ай бұрын
Naomba nyota make wangu amateur ujauzito naomba nyota yangu kila ninacho kitafuta nikipate
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 Ай бұрын
Mutumixi wa mungu naomba umuombee mtoto wangu afunguliwe kimasomo uwatengenexe na ndoto mbaya spiritual woman
@elizabethmutinda6916
@elizabethmutinda6916 Ай бұрын
Amen😂
@PriscaMassawe-vb4ix
@PriscaMassawe-vb4ix Ай бұрын
Amina
@NaomiNakhumicha4636
@NaomiNakhumicha4636 Ай бұрын
Wanakulaani na unasonga ki huduma na wenyewe wako hapo hapo tu hata huez sikia kwao wameomba mtu amefunguliwa wapigwe wafe na laana zao
@wilfredmatoke9922
@wilfredmatoke9922 Ай бұрын
Mutumixi wa mungu naomba uniombeee pamoja na family yangu rahaana xa matabau ya wachomaba iniachilie unitenganixe na wafu wananikujia kwa ndoto mbaya spiritual woman iniachilie unitenganixe na wafu
@GladysKadzo-fl6gc
@GladysKadzo-fl6gc Ай бұрын
Amen amen
@Nicky-c2k
@Nicky-c2k Ай бұрын
Amen
@ZackBlessing
@ZackBlessing Ай бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@getrudandabita1651
@getrudandabita1651 Ай бұрын
Napokea kufunguliwa kiuchumi kwa jina la yesu
@user-zs1dw5in5l
@user-zs1dw5in5l Ай бұрын
Hallelujah
@PriscaMassawe-vb4ix
@PriscaMassawe-vb4ix Ай бұрын
Amina napokea
Evangelist Ezekiel - Natamani Kuomba
41:37
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 911 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 6 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 8 МЛН
MAOMBI YA WATOTO by Innocent Morris
34:26
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 45 М.
ASHUKURIWE MWENYEZI
3:08
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 2,6 МЛН
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
PST. GILLACK AUNGANISHA FAMILIA ILIYOTENGANA KWA MIAKA KUMI.
36:56
NEWLIFE CHURCH - KISII
Рет қаралды 7 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 6 МЛН