No video

"MTOTO WA DAWA ANAVYOPATIKANA KWA SANGOMA NI HATARI"

  Рет қаралды 1,829

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
MKUTANO WA SIKU 16 wa nyimbo za Sifa ,Maanudu na Neno la BWANA kupitia Mtumishi wakeRV.OMARI MNYESHANI NA ADAM HAJI Waliye kuwa Muslim Wakaokolewa na Bwana YESU CHRISTO, sasa ivi Wanatangaza Makuu na Uponyaji wa YESU.
BUJUMBURA-BURUNDI BUYENZI 2Av n4b
ARESHE CHURCH BI
areshechurchbi@gmail.com

for more info please contact us to
+257 79 065 646/ +275 62 667 842

Пікірлер: 13
@anthonymaina7100
@anthonymaina7100 Ай бұрын
Please promover mwambie Mchungaji Shehe Omari amalizie lile somo la Aina za Malaika Na kazi zao...Hilo somo ni nzito kweli
@Bénigne-k4x
@Bénigne-k4x Ай бұрын
Waimbaji wananibariki nawao kabisa,Mungu awatie nguvu
@jeniphatemu2937
@jeniphatemu2937 13 күн бұрын
We love you servants of Almighty God. Tunajengwa na mafundisho HAYA ni maisha tunayoushi. Tunapata mwanga JAPO KIDOGO. Hakika Mimi ni maskini SANA WA ROHO. Nikipata CHOCHOTE chema kinaniinua kiwango Cha NGUVU ZA rohoni.
@CherieDeDieu
@CherieDeDieu Ай бұрын
Daah!! Kwa kweli kwa Yesu kuna raha; kwa shetani vituko vibaya tu!!
@aimerencentabagoyi8311
@aimerencentabagoyi8311 Ай бұрын
Yesu atusaidiye iyi dunia ina vitu vingi sana
@Bénigne-k4x
@Bénigne-k4x Ай бұрын
Oooh AsanteYESU KRISTO,
@pascalumira7271
@pascalumira7271 Ай бұрын
BWANA YESU KRISTO amulinde mtu wake azidi kumu neemesha
@danielmmaka2166
@danielmmaka2166 Ай бұрын
Somo la malaika muendelezo wake pls! Ni zuri mnoo Rev.shehe Omary aendelee kutufundisha na malaika wengine tupate kufahamu na kuwatumia ipasavyo kwa Jina la Yesu Kristo
@Bénigne-k4x
@Bénigne-k4x Ай бұрын
MUNGU atusaidie
@risanj-g9l
@risanj-g9l Ай бұрын
Mafunzo ya aina ya malaika na aina za majini pamoja na kazi zao bado Shehe hajamalizia, promover please do something
@danielmmaka2166
@danielmmaka2166 Ай бұрын
Kweli kabisa maana kaelezea malaika wawili tuu
@neemamassame8183
@neemamassame8183 Ай бұрын
Ev.Omary,je life span ya mtoto wa dawa ni miaka mingapi?
@pascalumira7271
@pascalumira7271 Ай бұрын
Nimesikia wali mpa pesa huyu aji ali zi kataa ni kweli?
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 70 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 12 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
SIKIA KINACHOTOKEA HUKO KUZIMU PALE WALOKOLE WANAPO OMBA.
1:12:16
#UKIJUA SIRI HII OMBA LOLOTE |PR.DAVID MMBAGA|
1:21:18
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 43 М.
MUNGU ANAKUANDAA KWA KILE ALICHOKUANDALIA || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
10:53
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 51 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 15 МЛН