#Live

  Рет қаралды 24,263

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 90
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 ай бұрын
Me nafurah sana nikimckiliza mchungaji katekela jaman mungu azid kukutumia
@JulianaTryphony
@JulianaTryphony 11 ай бұрын
Amen SHUJAA wa KRISTO,, MUNGU akubariki sanaa.. Wewe ni Jitu la BWANA YESU anayejivunia..
@fitinamarando
@fitinamarando 11 ай бұрын
PROMOVER TV, mbarikiwe sana ,--Dsm
@tamarali8325
@tamarali8325 11 ай бұрын
Amen God is Great. Bless you pastor Katekela. Promover TV Barikiweni sana ❤
@NdanuMirrium
@NdanuMirrium 11 ай бұрын
Amen Bwana hata akuwezeshe kuwataja ao manabii.
@RodiaKibona
@RodiaKibona 3 ай бұрын
Mimi ni kijana nafurahia mafundisho yako mtume wa MUNGU inatupa urahisi sisi vijana kuwajua tunaotakiwa kupambana nao katika kuwahubiria mataifa na kumshinda shetani UBARIKIWE SANA.
@Pendo-hc4hf
@Pendo-hc4hf 6 ай бұрын
Ee Mungu wa mbinguni akulinde mtumishi ubarikiwe kwa kazi ya mungu
@GisubizoTheddy-xg3mh
@GisubizoTheddy-xg3mh 4 ай бұрын
Amen tena amen 🎉🎉🎉🎉🎉
@LydiaKwamboka-oj3pi
@LydiaKwamboka-oj3pi 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@DinaKisigalile
@DinaKisigalile 11 ай бұрын
Hongera mtumishi katekelo injili Yako naipenda imenyooka Kiukweli tumechoshwa na viambata vinavyotolewa makanisani
@rahabuaoci2152
@rahabuaoci2152 11 ай бұрын
Amina kubwa mtumishi ubarikiwe sana sema kweli tu wakusikia wasikie sifa kwa Mungu
@graceshayo5763
@graceshayo5763 11 ай бұрын
Nakupenda Amieli mtumishi wa Mungu Mungu aendelee kukulinda
@neemamarko176
@neemamarko176 11 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu Amiel katekela
@arsi8092
@arsi8092 4 ай бұрын
Ameeen
@failaprince9250
@failaprince9250 11 ай бұрын
Amena kwaimani nimepokeya uponyaji MUNGU akubariki sana mchungaji
@aminakyungu8414
@aminakyungu8414 5 ай бұрын
Ameni Yesu akulinde
@graceboke4346
@graceboke4346 11 ай бұрын
Mungu akupe ulinzi wake siku zote
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 11 ай бұрын
Hakika Nimbarikiwa mnoo YESU Ni Mshindii
@HappinessElisha-b6x
@HappinessElisha-b6x 11 ай бұрын
Hakika utapewa taji ndef kwakazi ya mungu azidi kukuinua zaidi
@GroriminaVenancempua-fe1xi
@GroriminaVenancempua-fe1xi 11 ай бұрын
Asante sana kaka yangu fishua vyote usibakize
@jameskajenge3109
@jameskajenge3109 7 ай бұрын
MUNGU Muumba mbingu na nchi aikumbuke Promover Tv na Mch Amiel
@dorcaschadimile6386
@dorcaschadimile6386 5 ай бұрын
Bwana Yesu akutunze mtumishi najifunza mengi kwako
@MawazoYves
@MawazoYves 9 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa kazi kubwa unayo
@MawazoYves
@MawazoYves 9 ай бұрын
Nina ulizo kuusu mababu Wale waliokufa tayari wakimfikia mtu nishetani anawatumiaga kwaku aribu maisha ya mtu, dada najiulizaga swali sijawai kupata jibu je!? Wale mababu waliokufa wenye wanakujaga wapa Watu madini yaan OR tunaita ukukwetu Congo kuna mababu watokea mtu nakumwambia nimimi fulani nataka kuwasadia pesa nendeni kwenye mlima fulani, nafasi fulani mkachimbe pale, nakwel kwel Watu wanachimbua pale na wanafanikiwa nakutajirika , ndoo zamadini( OR) je!? Hao aina zamababu wanatokaga wapi? Wafa wanatumwa Nani?
@FurahaMtitu90
@FurahaMtitu90 6 ай бұрын
Amina,, mtumish
@elishaodas4358
@elishaodas4358 11 ай бұрын
Mch Amiel urudi tena na huku kwetu Simiyu,,bado tunakuhitaji ukomboe family zetuu🙏
@gahunguleonidas2606
@gahunguleonidas2606 11 ай бұрын
Malayika wa Bwana anawaponda wakome kilifuata Kanisa la Yesu. Amen Amen.
@HarryMbale-ie1ex
@HarryMbale-ie1ex 11 ай бұрын
MUNGU unirehemu uturehemu AMEN 🙏
@salomeSamali
@salomeSamali 7 ай бұрын
Mungu akubariki mutumishi Wa mungu nabarikiwa San nashuhuda zk pia napend mahubili yK sababu nijasili
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 8 ай бұрын
Tena kweli mungu akubaliki hubili SEMA ukweli mungu akulinde akupe siku nyingi watu wanamwami nabi kuliko mungu musema kweli nimpezi wa mungu
@elegantthriftcollections8101
@elegantthriftcollections8101 11 ай бұрын
Mungu akulinde Mtumishi wa Mungu
@MosesWakristo-ko5ze
@MosesWakristo-ko5ze 11 ай бұрын
Yesu Yesu
@jessicaanania6326
@jessicaanania6326 11 ай бұрын
Semina Bado inaendelea?ni ukonga sehemu gani?
@alexpaster4853
@alexpaster4853 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi...
@martinihassani6760
@martinihassani6760 6 ай бұрын
Nam hii ndo kazi ya Mungu ndo kazi yakweli iliochwa na Mwokozi Yesu
@fridberthahaule9489
@fridberthahaule9489 11 ай бұрын
Yesu tusaidie kwa kweli
@TravisScort
@TravisScort 7 ай бұрын
MUNGU atusaidie,peke yetu hatuwezi
@GroriminaVenancempua-fe1xi
@GroriminaVenancempua-fe1xi 11 ай бұрын
Jamani Mungu niaaidie
@GetrudeHekelia
@GetrudeHekelia 5 ай бұрын
😂mtumishi tunaomba Mungu akutume kwetu Kenya mombasani
@angelamugoywa4917
@angelamugoywa4917 11 ай бұрын
ameen 🙏🙏🇰🇪
@japhetzachariah105
@japhetzachariah105 11 ай бұрын
YESU KRISTO AKUBARIKI ZAIDI MTUMISHI
@AinekishaGodwin-ru8bn
@AinekishaGodwin-ru8bn 11 ай бұрын
Kweli kabisa
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 11 ай бұрын
Amen Amen
@cyruskulusi
@cyruskulusi 11 ай бұрын
Mtumushi usiongope kuhienezai ijiri ya Bwana yesu kristo. kwakuwa unaye mshuhudia niyule aliye kutoa kusimu, nitawaombea, kwakuwa kama cio promover tv, tungeyajuaje!!? Haya yote ya sirini. mubalikiwe Kwa jina la yesu, nimebarikiwa sana.
@RodiaKibona
@RodiaKibona 3 ай бұрын
MUNGU AZIDI KUKUPA NEEMA NA UZIMA,AFYA NJEMA NA KUIKUZA HUDUMA IFANYE KAZI ULIMWENGUNI.
@emmanuelmatowo2434
@emmanuelmatowo2434 11 ай бұрын
Amen
@AnnaLadsilaus
@AnnaLadsilaus 10 ай бұрын
Ameeeee kubwaaa kwa yesu wetu
@mpandawiliam5390
@mpandawiliam5390 11 ай бұрын
Sema baba
@elizabethsimbenga4773
@elizabethsimbenga4773 11 ай бұрын
Majina yangu nimetuma
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 11 ай бұрын
Mimi ni mwana wa Mungu,jasusi la mbinguni, nuru wa ulimwengu
@FelixMwinuka-p3z
@FelixMwinuka-p3z 5 ай бұрын
Mchungaji mbona ww ulirudisha vitu vyao na mali zao na ulisema ulifirisika sana??
@JaneKuyokwa-ng2qf
@JaneKuyokwa-ng2qf 8 ай бұрын
Tena kweli Yani ongea ukweli mama mungu ana kusudi nawewe
@JoviahFaoh
@JoviahFaoh 7 ай бұрын
Yooooo Mimi Niko Rwanda munini kigari nope namba yakoo
@GggyJhh-y4x
@GggyJhh-y4x 5 ай бұрын
Amina bendera chuma mulingoti chuma❤❤😂😂😂😂😂😂
@dafrosamonko8254
@dafrosamonko8254 9 ай бұрын
Hii imeenda
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 8 ай бұрын
MUNGU aturehemu sana mana hatujui,wana wa giza wanao ufahamu lakin wana wa nuru hawana
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 11 ай бұрын
Sifa na shukrani na utukufu tunamregesheya MUNGU wambinguni hakuna kama yeye
@adeladamasi4391
@adeladamasi4391 11 ай бұрын
Tuliyo mbali majina.yawatoto.tutume.kwa mtandao
@TimotheoSHEBILA
@TimotheoSHEBILA 11 ай бұрын
Njoo myumishi hizi biashara zipo sana. RUSIFA amekusudia mabaya kwa kanisa
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 11 ай бұрын
Ameeeeeeen
@muttagodfley
@muttagodfley 9 ай бұрын
Pga wachawi amiel kamanda wa BWANA.
@EvalineSule
@EvalineSule 9 ай бұрын
Wewe uliokoka nahizo pesa na uliziweka wap?
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 11 ай бұрын
Amina baba!
@mathewmutuki-qh3tn
@mathewmutuki-qh3tn 11 ай бұрын
Please am asking the book I saw you selling , would like to have it am in Kenya Mombasa
@OlivreKimario
@OlivreKimario 5 ай бұрын
Naomba uje mireran kuhani wa bwana
@fathima7617
@fathima7617 11 ай бұрын
Amenaaaa
@fridberthahaule9489
@fridberthahaule9489 11 ай бұрын
Yesu okoa Kanisa la leo nakuomba
@gahunguleonidas2606
@gahunguleonidas2606 11 ай бұрын
Maji ya upako ya manabii wa uongo yame kufaaaaa, ubalikiwe sanaaaa.
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 11 ай бұрын
Amen ucnyamaze katekela tupone
@Loice-c9o
@Loice-c9o 7 ай бұрын
Shamsa na yusra wako Kenya mm niko saudia
@JoviahFaoh
@JoviahFaoh 7 ай бұрын
Jyamani mucungaji katekeraa njooo nchinii Rwanda kingari nakukaribishaa nitumie namba yakoo jamanii huku Rwanda tunaishaa wacungaji wa kanisa ra kkkkt Rwanda kigari wanaishaa mume wangu mnngaji muzigura arikufaaa kigafuraaaa njo utuhudumieeeeee
@TimotheoSHEBILA
@TimotheoSHEBILA 11 ай бұрын
Mtumishi njoo na Arusha huku pia maji na mafuta na frito na chumvi vinatolewa kwenye ibada Katekela njooo uokoe kanisani,
@failaprince9250
@failaprince9250 11 ай бұрын
Pasta kwanini kujiwekatena Karina kundiilo? Etiyunasema mulikuwaka nasema weusijiweketena kwailokundi amina
@AndasonAbinel
@AndasonAbinel 10 ай бұрын
Mchungaj nime balikiwa sana naibada yako mung aku bal
@salomeSamali
@salomeSamali 7 ай бұрын
Kaka Sema watu tupone
@happinessmgonja8573
@happinessmgonja8573 10 ай бұрын
Mchg Amiel kuna wale wanaambiwa mje na mafuta yenu nitayaombea hiyo nayo ikoje...msaada plz
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 ай бұрын
Baba uwe unatutajia hao manabii ili tuwajue kwa jina la YESU KRISTO
@annajohn419
@annajohn419 11 ай бұрын
Kuna zile dawa za kuua mbu za udi je sio za kuita mapepo kweli
@Tumu-zr2ez
@Tumu-zr2ez 11 ай бұрын
Baba hata mm unikumbuke
@zuberiwilson4947
@zuberiwilson4947 11 ай бұрын
Mch amieli nakuamin
@MRHURUMAHuruma
@MRHURUMAHuruma 11 ай бұрын
Mtu anaona sifa kuhubiri ushetan uchawi hao wachawi mbona wapo tu na hawawezi kufanya kitu maana wao siyo Mungu ,umejifunza jifunza ushenzi ushenz huna lolote kijana unafuta umaarufu mafuta yanatengenezwa kiwandani na maji na yale yale ya bombani acha kijana kutenda dhambi ya makusudi hakika haya unayo yasema yasipokuwa kweli sijui utaenda kutubu wapi
@graceshayo5763
@graceshayo5763 11 ай бұрын
Na ww ni mmjo wapo wa watumiaji wa maji pole yk ujumbe huu ukufikie ukikaata ukatae ili siku ukifika utaambiw uliambiwa
@MRHURUMAHuruma
@MRHURUMAHuruma 11 ай бұрын
@@graceshayo5763 kwan wew unatumia mkojo siyo maji ,acha upumbavu maji ambayo inaombewa inatoka viwandan wahubiri wanaweka lebo tu
@salomeSamali
@salomeSamali 7 ай бұрын
Wew nawe unasema nini Sasa ht km unatumia hayo mafuta tumia wew Ila sipoteze watu Wa mungu Sawa na akusamehe mana 😂
@victorianchimbi8640
@victorianchimbi8640 7 ай бұрын
Ni wale wale
@FainesMrwale
@FainesMrwale 5 ай бұрын
Naona umetekwa ufahamu
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 11 ай бұрын
Amen
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 11 ай бұрын
Amen
@everlinekemunto267
@everlinekemunto267 11 ай бұрын
Amen
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 63 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 58 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
UTIISHO WA MUNGU  NDANI YAKO ITAMFANYA KILA MTU AJUE UKUU WA WAKE NA NGUVU ZAKE NDANI YAKO.
7:03
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 316 М.
LIVE ;USHUHUDA WA ASKOFU GEORGE  MUSA ALIVYO KUTANA NA YESU
1:24:29
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 63 МЛН