Muko vizuri watumishi wa Mungu, ila hakika dhamiri zenu zinajua kile munachowasilisha na MUNGU anayo yake siku ya mwisho
@nicodemuswidambe51326 күн бұрын
Ubarikiwe mwl Mwankemwa!
@adamsonkyando-l4i7 күн бұрын
Mwalimu mwakemwa hapo utaumiza kichwa sana hawa watu,ni wagumu sana kuelewa Unajibu majibu mazuri sana lakini wanapinga! Roho Ni Mungu ,huwezi kumpata Roho wa Mungu bila kumwamin Yesu na kumkiri kuwa Bwana na mwokozi,unapo mkubali Yesu ,unasamehewa dhambi zote Ndipo Roho au Mungu anakuwa ndani yako, Roho ni Mungu,ndio mana anahuzunika unapo tenda mabaya,anajuwa yote, anazungumza, anakijina (He) ni nafsi
@japhetndoro65335 күн бұрын
We'we ni shabiki lakin husikiz
@jorgitolucasbaluth8903Күн бұрын
Mwakwemwa ANANJUWA SANA MUNGU WA KWELI,, NDACHA AMJUWI MUNGU ILA ANANJUWA MANDIKO TU
@DitramMsemwa7 күн бұрын
Mimi napenda kumwuliza mwalimu ndacha walaka wa paulo kwa warumi 14:14-17 mtume Paulo anatuhakikishia katika ujio wa krisito kuwa hakuna kitu kinaitwa najisi wasabato wanaamini kuna vyakula najisi je anaipinga bibilia?
@adamsonkyando-l4i7 күн бұрын
Mwalimu mwakemwa umejibu vizuri sana,Shida hapo ni msimamo wa Lila mtu anarcho amini. Lakini jibu la kusema Yesu ni Mungu uko sawa kabisa
@DitramMsemwa7 күн бұрын
48:28
@robertchache52125 күн бұрын
How to join
@adamsonkyando-l4i7 күн бұрын
!!Yesu ni Mungu Roho mtakatifu,ni Mungu huyohuyo, Hayo ni majina au mamlaka yake mwenyewe Mungu kwaajili ya utendaji tu kwaajili ya ukombozi wa Mwanadamu, Siku ya mwisho Ndipo Mamlaka itabaki Moja baada ya Injili kuhubiriwa,Yesu kurudi kunyakua kanisa lake mpaka hukumu ya mwisho Ndipo mamlaka au kazi ya Yesu na Roho mtakatifu kwetu,katika ukombozi unakuwa umekoma!!! Yesu ni Mungu,Roho mtakatifu,ni Mungu huyohuyo msipo taka kuelewa na ni nyinyi ufahamu wenu kuelewa,Ndo mana wsislamu wanasema Yesu ni mwanadamu kwasababu alilala usingizi,alikula chakula,ni uelewa wao lakin kwa wewe unae elewa mkristo unafahamu kuwa Yesu ninani!!
@richardmjema83217 күн бұрын
Mbona makabayo haipo katika kitabu cha Mungu
@BAYYINATDMTV7 күн бұрын
Ipo katika Vitabu vya Historia.
@presenttruthloudcryforthel53386 күн бұрын
Nani kaandika hicho kitabu maaana hicho sio kitabu tunacho kikubali maana historia yenyewe unayotoa hapo sivyo ilivyo unasoma dhana ya watu sio kile kilicho sahihi,,mmesomshwa na majesusi katika theologia ndo maana mnakubali hivyo vitabu vya mama yenu katoliki@@BAYYINATDMTV
@nicodemuswidambe51327 күн бұрын
We ndacha kila siku unasema hana maandiko wakati anakupa vitabu aluvyosema.
@renatusmtakyawa5945 күн бұрын
Izo amri ni kwa ajiri ya malaiika au ni kwa ajiri ya wanadam kama ni za wanawaadam mbinguni amri ni zanini Je fimbo ya Aruni na mana Mbinguni ni ushuhuda kwa nani Mungu aliagiza ili wana wa YAKOBO wa jue ukuu na matendo makuu ya Mungu
@nicodemuswidambe51326 күн бұрын
Mwankemwa upo vzr ila kichwa cha Ndacha kinataka anayoamini yeye tuamini wote.
@FikiriChilingo6 күн бұрын
Daniel huna kitu baba acha tafsil za uongo
@richardmjema83217 күн бұрын
Mim kama mim najifuza kwa ndacha kwasababu anafungua biblia kwa danieli sion chakujifunza
@SabihaibrahimRajabuКүн бұрын
😂😂😂😂😂mpaka kiama hii dini haitaungamwa na wakiristo kila mmoja anamungu wake ndani ya dini moja
@adamsonkyando-l4i7 күн бұрын
!!!! Mimi naomba uniulizie haya maandiko kwa Mwalimu ndacha haya maandiko yanamaanisha nini? Luka 24:49 Matendo 8:14-16 Matendo,19:1-6
@gabrielsaelie80916 күн бұрын
Naomba kumuuliza Mwakemwa hiyo bibilia ya Kiafrika imetugwa na nani na inatumiwa na kanisa gani.
@renatusmtakyawa5945 күн бұрын
Yeremia 3 16 Kisha itakuwa, mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo, asema Bwana, siku zile hawatasema tena, Sanduku la agano la Bwana; wala halitaingia moyoni; wala hawatalikumbuka, wala hawatalizuru, wala hayatafanyika hayo tena.
@YonaMayombya5 күн бұрын
Ninyi mnapotezaga mda mwakemwa hajui unabii Wala mpango wa kujua hana
@robertchache52125 күн бұрын
Daniel which bible is reading?
@BAYYINATDMTV4 күн бұрын
Did'nt you hear. Listen again!!!
@victorirengo38576 күн бұрын
Mdahalo huu haufundishi imani ktk yesu. Unafundisha historia na hii siyo gospel
@wickymbugunde92987 күн бұрын
Mwl Ndacha na Daniel je Yesu alileta au kuhubiri udini na udhehebu? Yesu alileta Ufalme nasi ni Wana wa Ufalme. Na Ufalme ni serikali sio dini wala dhehebu kwh Bwana MUNGU, Yesu na Roho Mtakatifu ni wafalme kwh sisi sio wa Kristo maana ya ukristo ni ufuasi nasisi sio wafuasi Bali ni watoto
@BAYYINATDMTV7 күн бұрын
Je, ungependa tukae kimya Wasabato wanapotuita sisi Waprotestanti ni wafuasi wa Upapa? Wakati sisi tunamfuata Yesu Kristo?
@wickymbugunde92986 күн бұрын
Kuwa mwalimu ni kipawa ulichopewa kabla ya kuzaliwa kwako Kuna kusudi umepewa hapa duniani kwa wanadamu uwafundishe ila sio mambo ya dini wala dhehebu ila watu wajue lengo la wao kuwa duniani na jinsi ya kutawala Dunia. Nyinyi mnabishana kwa vitu ambayo sio kusudi maana asili ya dini na madhehebu zimeanzishwa na watu kwa maslahi fulani na nyuma yake Kuna mkono wa shetani ili kuwapoteza watu wasijue kusudi Lao hapa duniani tukae tukibishania Imani Wakati shetani anazidi kujiimarisha kwa upotevu.
@gabrielsaelie80916 күн бұрын
Mwakemwa je waprotestant wanatumia kitabu cha Makabayo.??
@libangakennedy92546 күн бұрын
Wasabato naomba mnijibu swali langu nalo ni hili; marko 7;13-19 andiko hili je' mnalikana ?
@Fm-MornStar20147 күн бұрын
Wapendwa Wachungaji. Kuna COMMENTARIES nyingi kuhusu vitabu vya Ufunuo. Najua Walokole hampendi kwasababu ya ubishi, lakini unaweza ukapata chema kule. Nacheka mnavyohangaika na Ufunuo wa Yohane, lakini ni kitabu rahisi sana kuchambua kuliko mnavyohangaika. Mnashindwa kuchambua hata namba za ufunuo, lazima ujue kuzichambua baada ya kusoma Literature za kiyahudi, sasa nyinyi hakuna mwenye hio elimu, hadi huruma. Anyway, sina baya, nimewafahamisha tu.
@konandawise45505 күн бұрын
Nieleweshe ndugu kwa faida
@nicodemuswidambe51327 күн бұрын
Mi nashindwa kuelewa. Akina Ndacha mnapinga roho mtakatifu wakati huohuo unakubali kuwa YESU AMEZALIWA KWA UWEZO WA ROHO MTAKATIFU? Mbona huelewiki?
@GoodluckTumaini-o7p5 күн бұрын
Usimshuhudie jirani yako uongo.ndacha anamwamini roho wa Mungu,ira haamini mungu roho
@wickymbugunde92986 күн бұрын
Ni vigumu Sana kuielewa vizuri kitabu cha sheria (Biblia) kwa sababu Ni Katiba ya nchi ya Ufalme ni tofauti na Katiba ya nchi,ya demokrasi. Wengi wanatafairi Kidemokrasia pamoja na vyuo vyao vya theology. Lkn km utawlewa mfumo na uwedeshaji wa nchi za Kifalme na pia ukiachana na mambo ya dini na madhehebu na uwe mwana WA Ufalme raia wa Mbinguni hapa duniani utawlewa kuitafsiri maana Roho Mtakatifu atakuwa ndani yako nae ndio atakuongoza nje ya hapo mtabishana na hamtapa muafaka na hiyo ndio imepelekea mifarakano na kuanzishwa kwa madhehebu mengi duniani madhehe
@nicodemuswidambe51327 күн бұрын
Mnapangana kumlazimisha mwl Daniel kwa maswali lkn mmh mnakwama.
@FikiriChilingo6 күн бұрын
Tunataka biblia hatutaki makabayo
@RuyenziEricClapton6 күн бұрын
Hapo Ufunuwo kwa mke na mwana kuna kusudia mama yake yesu Na yesu pia Na huyo mnyama :Herodi anataka kuuwa Yesu Ndacha anasema huyo mke eti ni kanisa !,swali kanisa njo imezaa yesu ?!,ao Yesu anazaa kanisa na aihingiyi kwa akili timamu siyo sawa kabisa !, Ndacha amekosea !. Asante!.
@Nicholaskibewaithaka-qj4uj6 күн бұрын
Udini au uhehabu haina haha.haji je hii kitu kama itakufikisha binguni kwa baba yetu mungu period.
@deuisalon72487 күн бұрын
kwahyo mwankemwa hizo siku 1260 za huyo mtoto na mwanamke walioenda nyikani ni sawa na miezi 42 ya mateso huko kwa kina Nero 😂😂😂😂
@YudaNtemi6 күн бұрын
@@deuisalon7248 Haukuepo wakati anamzungumzia herode alietaka kuua Yesu wakati wa kuzaliwa kwake?🫢
@deuisalon72486 күн бұрын
kakosea bwana hata maelekezo yenyewe hayaeleweki na wala huyo mwanamke haendani na Mariam. Nyie kila mnachoambiwa mnakubali tu. Ila leo mwankemwa kajua kujibu kimaandiko ingawa alkuwa anayakoroga
@YudaNtemi6 күн бұрын
@@deuisalon7248 Naomba andiko la kanisa kuzaaa mtoto mwanamume. Mimi Nakupata mandiko ya maria kumzaa Yesu soma isaya 7:13 , isaya 9:6 , mathayo 1:23 ,Mathayo 2, .Nchacha kasema Mwanamke huyo ni kanisa la Waptrotestant huku tena anawaita SANAMU YA MNYAMA. Kana wewe unamwelewa Ndacha itakua ni wewe mimi hata kidogo.
@YudaNtemi6 күн бұрын
@@deuisalon7248 Halafu wamekomaa kumuuliza mtoto akanyakuliwa mbinguni, Swali kwamba Yesu alipaambingu akiwa mtoto baaada ya kufufuka????
@deuisalon72486 күн бұрын
@@YudaNtemi wewe ndugu kuna vitu huelewi ndo maana mnachanganya maandiko. Wewe unafikiri mimi sijui kama Mariam alizaa mtoto mwanaume. Kwa mantiki yako hapo ulipoona kwamba mwanamke ukajua ni mariam kwa akili hiyo nionyeshe wapi mariam amevikwa jua na mwezi chini yake na taji la nyota 12. Naomba pia nionyeshe huyo joka jekundu mwenye vichwa saba na pembe kumi ni nani kwa kupitia maandiko kama hayo maandiko uliyonipa kuwa yesu kazaliwa pia nionyeshe mariam akiwa na hizo sifa na huyo joka ni nani
@johnmayunga44457 күн бұрын
Kuhusiana na mkono wa kuume wa Mguu ni nomino inayoonesha Uungu, vinginevyo utasema Mungu ana mikono miwili kulia na kushoto.
@selemaniigosha7 күн бұрын
Kumbuka MUNGU alituumba kwa mfano wake kwa hiyo hakuna ajabu yeye kuwa na miguu na mikono!!!
@godfreymikmta50086 күн бұрын
Mbona ndacha anapinga vitu vilivyo wazi
@ElizabethMick-u2jКүн бұрын
Mwalimu danieli amesema egw mwongo kwa sababu amesema Yesu amesimama kando ya sanduku la agano, wakati biblia imeandikwa Yesu kakaa mkono wa kiume wa Mungu. Swali Yesu amekaa milele huko? Tuje kwa yohana. Ufunuo 1:9-18 "Nalikuwa katika roho siku ya Bwana nikasikia sauti nyuma yangu kama baragumu. Ikasema uyasikiayo andika uyapeleke makanisa saba. Akasema usiogope mimi ni alfa na omega nilikuwa nimekufa sasa ni hai". Swali. Yohana nae ni muongo kusema ya kuwa Yesu alimfata kisiwani patmo wakati biblia inasema Yesu kakaa mkono wa kiume wa Mungu?
@leonsbona97657 күн бұрын
Mwalimu @Bayyinat TV tujengee uwezo wa kurithi uelewa wako baba wewe umeshiba sana hawa wengine wanabisha tu kwanza siyo Wakristo 😂😂😂😂
@simonnjako53645 күн бұрын
Mwl mwankemwa,umejitambulisha kuwa wewe ni mkristo wa madhehebu ya kiprotestant,naomba kujua,unaprotest nini,na unaprotest KWA nani?
@nicodemuswidambe51326 күн бұрын
Hapa tunajifunza au mnashindana walimu? Maana naona Ndacha anasema Mwl Mwankemwa hawezi gusa, kwani ukisema kwa unavyoelewa biblia inasema..... Acha majivuno
@YudaNtemi7 күн бұрын
Inakuaje sasa Waprotestant wanakua SANAMU YA MNYAMA???? .Wakati wewe Ndacha huyohuyo leo kwa maneno yako unasema NDIO WALIOKIMBILIA NYIKANI kama Kanisa la Mungu??? Muongo sana ww hujui kwamba tunakusukiliza???
@godfreymikmta50086 күн бұрын
😂😂😂
@benedictormasatu29516 күн бұрын
Mwakemwa wewe umebobea katika mambo ya teolojia uko viziri
@victorirengo38576 күн бұрын
Biblia ya africa ya kikatoliki.........?
@Fm-MornStar20147 күн бұрын
Na huwezi kusoma kitabu Cha Ufunuo kwa kulinganisha na Synoptic Gospels moja kwa moja! Synoptics have elements in history of Jesus, Ufunuo is Revelation. You have a long road to go brothers in Christ.
@EmileClaver7 күн бұрын
Ndacha wewe ni ngumukuelewa hadi yesu mwenyewe atakapo rudi
@triuneapologeticsevangelis59126 күн бұрын
@Mwal Daniel,Asante kwa kuuliza maswali ya ellen g...huyu mama ni kama Muhamadi wa waislamu..theres book tittle :the white lie,which exposes her perenial lies of plagiarism 😂.Mungu aokoe ndacha kutoka kwa huyu mama
@mussashaha-iv7gg2 сағат бұрын
huna akili hata kidogo yaani una mlinganisha mtume Muhammad na huyo hellen g white nyingine ni wajinga hamna mbachokijua
@InnoInnos7 күн бұрын
Ni josephat, huyo mwa kemwa asome kudhibitisha kwa biblia takatifu, anatupeleka kwa vitu avieleweki, biblia inasema tafuteni katika kitabu Cha bwana mkasome
@BAYYINATDMTV7 күн бұрын
Nitafutie neno PAPA kwenye kitabu cha Mungu. Ninasubiri.
@FikiriChilingo6 күн бұрын
Hakika wew Daniel hauna chochote kumbe mnatupotosha hauna andiko unafanya ujanja kukwepa neno la mungu
@FikiriChilingo6 күн бұрын
Wew Daniel Acha ubishi mbona inaeleweka sanduku la agano lipo mbinguni
@gabrielsaelie80916 күн бұрын
@@BAYYINATDMTVPapa sio kiongozi mnaloliita kanisa mama katoliki la Roma?? Papa simnaamini ni mwakilishi wa Yesu duniani?
@FikiriChilingo6 күн бұрын
Wew Daniel Acha uongo mungu anakuona
@jorgitolucasbaluth8903Күн бұрын
Mwakwemwa ANANJUWA SANA MUNGU WA KWELI,, NDACHA AMJUWI MUNGU ILA ANANJUWA MANDIKO TU