#LIVE : GOOD MORNING EXCLUSIVE INTERVIEW NA JOEL NANAUKA NDANI YA WASAFI FM - DECEMBER 24, 2020
Пікірлер: 28
@ADMIN-yo7wu3 жыл бұрын
Miongoni mwa vitabu vyake ambavyo nimevisoma ni pamoja na : 1. Timiza malengo yako 2. Money formula 3. Mwongozo wa mafanikio 4. saikolojia ya mteja. 6. Mbinu sita za kujiajiri Hivi vyote ni vizuri sana. Asante Joel Nanauka
@twahaally19693 жыл бұрын
JOEL NANAUKA MY MENTOR ALL THE TIME
@alisele52993 жыл бұрын
Badilisheni staili yenu INTERVIEW na HABARI & MATANGAZO,tufikilieni na sisi watazamaji inatubowa
@tumainanthonychanya602 жыл бұрын
Yani kaka Joel Mungu akutunze daima
@yohanabtz73433 жыл бұрын
Asanteni sana wasafi mumenivusha hatua nyingine Mungu awabariki
@safiaawadh55213 жыл бұрын
Great😘
@shubackmashinga35353 жыл бұрын
JN you're the best
@agnesslyimo56773 жыл бұрын
🙏
@greatman2963 жыл бұрын
The mentor himself J.A.Nanauka
@mohammedrashid29066 ай бұрын
Upo sawa
@twahaally19693 жыл бұрын
first comment
@immajuzo24403 жыл бұрын
Ni interview hiyo au matangazo?
@rosadainnocent5093 жыл бұрын
💃💃💃💃
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Duuuuh
@jameselias79413 жыл бұрын
Kipindi cha Good morning kikiwa na content kama hizi kitabamba sana, watu wataianza siku yao kwa nondo nzuri
matangazo mengi mamae mpaka kelo yan yan kipind kina lisaa moja na dakika 44 lakin matangazo ni lisaa limoja
@alisele52993 жыл бұрын
Wamezingua kichizi na MATANGAZO yao
@shubackmashinga35353 жыл бұрын
Zina kera sana
@pixels_tech3 жыл бұрын
Story nyingi mno.matangazo pia yamekithiri
@khadijajuma71422 жыл бұрын
Sasa hii ni Interview au kipindi cha matangazo!!!!!! Mmemuweka Joel kama chambo ya matangazo. Interview haijapendeza hata wengine tumefuata kusikiliza nondo za Joel mnatuletea mitangazo yenu tu