#LIVE

  Рет қаралды 27,217

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

3 жыл бұрын

Пікірлер: 68
@timothywandera1681
@timothywandera1681 3 жыл бұрын
Leo mtumishi wa Mungu umegusa Moyo wangu sana, maana yote usemayo nilidhani umeniona kweli kweli, naamini Mungu wetu yuko na sababu kwa ajili yangu kupitia wewe, Mungu wetu akutende mema kwa jina la Yesu Amen 🙏 . Timothy Wandera kutoka Kenya county ya Eldoret.
@Lesley400
@Lesley400 3 жыл бұрын
Wewe ni Rafiki yangu mwalimu wangu mshauri wangu jirani wangu wa Mbinguni ninabarika sana namshukuru MUNGU pastor Mmbaga
@montteyfloki3953
@montteyfloki3953 3 жыл бұрын
Huyu pastor ni zaidi ya mwalimu.bwana yesu ninakushukur kwasabb ya mtumishi wako kwasabb anatujenga sana sana.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@ireneorina3560
@ireneorina3560 3 жыл бұрын
Nimejifunza mengi Sana, roho Wa Mungu azidi kukutumia kwa mafunza mengi kama haya. Ubarikiwe sana
@danielkisonde5667
@danielkisonde5667 Жыл бұрын
Naendelea kubarikiwa sana barikiweni zaidi
@pstbahavusylvain689
@pstbahavusylvain689 3 жыл бұрын
Amen Amen Mungu akutie nguvu kwa ujumbe. From Canada 🇨🇦
@cyrusmagonya2670
@cyrusmagonya2670 3 жыл бұрын
Asanti pr. Nimepokea uponyaji, katika Jina LA Yesu. Hakika ushindi daima
@sifunimuojikweba8635
@sifunimuojikweba8635 3 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi mchungaji Nakuelewa vzr unapofundisha/kuhubiri ninabarikiwa sana sana nafuatilia toka Oshakati Kaskazini mwa Namibia.
@romainesikujuwa2443
@romainesikujuwa2443 3 жыл бұрын
Amen! Jina langu ni Romaine sikujuwa. Niko Nederland. Minabarikiwa saaaaaaana na mahubiri,
@shabanabdul8979
@shabanabdul8979 2 жыл бұрын
Asante sana mtumich mungu akubariki
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 Жыл бұрын
Grace utasimama tena.
@lucianyerembe5691
@lucianyerembe5691 3 жыл бұрын
Unanitoa tongotongo Pastor. Barikiwa. Lucy Nyerembe. Mwanza.
@jamesmboga7325
@jamesmboga7325 3 жыл бұрын
Thanks pastor for educative teaching. I am with you since first day and I have benefited alot.may the Lord bless you
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@gladkathurima8702
@gladkathurima8702 3 жыл бұрын
Huyu ni mimi kabisa Unanenea, kuhusu kujenga. Mungu amenipa first step, Tafadhali niombeni kuna blockage.
@jacquesmwangu1541
@jacquesmwangu1541 2 жыл бұрын
Na barikiwa na fundisho hiyo
@tabithajeremiah2657
@tabithajeremiah2657 3 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu nimefuatilia somo hili tangu oart 1 hadi ya 6 nimebarikiwa sana.vilevile nimekuwa mfuatiliaji wa masomo yako kwenye KZbin ninabarikiwa SANA.MUNGU wa mbinguni azidi kukutumia kwa utukufu wake.
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 3 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana pastor Mmbaga
@imgracesamwel3999
@imgracesamwel3999 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa bwana mungu
@phinawatwego7260
@phinawatwego7260 3 жыл бұрын
Amina na Amina, Bwana Mungu asifiwe
@chancekambale3498
@chancekambale3498 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa.
@lindabarasa4316
@lindabarasa4316 3 жыл бұрын
Naskia kubarikiwa sana na mahubiri yako mchungaji mmbaga barirkiwa sana
@jimmyjangu6934
@jimmyjangu6934 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi kuna kitu nimekipata ktk jum hili
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 3 жыл бұрын
Umeona mengi Mchungaji. Mungu akubariki
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 10 ай бұрын
Amen 🙏
@hortensiaprotas9226
@hortensiaprotas9226 Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa mafundisho je unaweza kunisaidia naomba Yako? Pia mtu anawezaje kuvunja mambo yaliyopita au kumpoteza Mungu narudi lakini naona Bado by HP protas from Kilimanjaro
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 3 ай бұрын
Waimbaji stjawaelewa. Kuna mungu wa utatu. Anatoka wapi? Au walomani?
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 3 жыл бұрын
Amina!! Yesu anatupenda
@FurahaKitsao-oq9rm
@FurahaKitsao-oq9rm 9 ай бұрын
Nawaoata kutoka Saudi Arabia
@user-ns1jw3rl3g
@user-ns1jw3rl3g 11 ай бұрын
Thanks alot
@celinalyimo1870
@celinalyimo1870 Жыл бұрын
PASTOR ROHO WA MUNGU AZIDI KUKUFUNULIA MAANDIKO TUPATE KUPONA MJIIBU KUHUSU UJENZI NIMEPONA KWANI KILA ULIPOKUWA UNAFUNDISNDISHA NIMEJIONA KAMA NINA NYUMBA TAYARI KWANI MIMI NI MMOJAWAPO NIMEKWAMIA NIiani kwa mda mrefu lakini sasa zab. 127 :1 na mith. 16: 9 ooh. Nitakuambia matokeo. Nakuskiliza nikiwa U.S.A.
@juharazanzi997
@juharazanzi997 3 жыл бұрын
Mchungaji nashukuru sanaa kuusu somo la ombi japo naisi lilikuwa limepita ila nimabarikiwa maana na mimi nipo miongoni
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@frank_luminous
@frank_luminous 3 жыл бұрын
Pastor naomba unisaidie kujua hili hivi watu waliokufa kabla ya YESU kufa na kufufuka watapata neema ya kuishi milele ikiwa tunapokea wokovu na maisha ya milele kupitia wokovu wa YESU KRISTO!?
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Soma Warumi 2:12-16
@eluyasillah1036
@eluyasillah1036 3 жыл бұрын
Naamini nitajenga sasa!Nina mabanda ya uani yanashindwa kuezekwa,sielewi sababu!
@onesmoelias8509
@onesmoelias8509 3 жыл бұрын
Amina nmebalikiwa
@juharazanzi997
@juharazanzi997 3 жыл бұрын
Nawapa na mimi nipo Muscat omani nabalikiwa sanaaa watumishi
@reaper5534
@reaper5534 3 жыл бұрын
Swali mchungaji, watu tunaowasaidia sio tunajiunganisha na madhabahu yao mana hatuwajui wengi? Je inatakiwa ukimsaidia mtu Kimtu kifedha unatakiwa kuiombea kwanza? Naomba ufaganuzi juu ya jambo hili. Barikiwa sana🤲🙌🙏
@user-wt2gz7by5j
@user-wt2gz7by5j 2 жыл бұрын
Amen thanks
@eluyasillah1036
@eluyasillah1036 3 жыл бұрын
Hakika me Na nyumba yangu tumebarikiwa Na semina,tunakuombeawewe Na familia yako MUNGU awatunze
@elieshambakatembo9280
@elieshambakatembo9280 3 жыл бұрын
DR congo tuna barikiwe kwa ujumbe, sasa kitabu tutakipata kwa njia gani?
@moisekitumaini8870
@moisekitumaini8870 9 ай бұрын
Salamu zangu zikufikiye. Tafadhali, nime sikiliza haya mahubiri, na kisha kusikiliza nime kuwa na hili swali: tufanye je? Tusipoteze tena muda kuomba msamaha wa zambi zetu kila mara tunapo tafuta kuomba ?
@moisekitumaini8870
@moisekitumaini8870 9 ай бұрын
Ubarikiwe na Mungu.
@victoriajames6190
@victoriajames6190 3 жыл бұрын
Amen
@chancekambale3498
@chancekambale3498 2 жыл бұрын
Lakini pasta hapo kwenye mutu aliye kufa kuku ambia kitu kwenye ndoto umesema sio vizuri! Mbona Yesu Kristo aliongea nao? Siwakumbuki majina lakini nafahamu kua walikua na mtia moyo waka alikua naenda sulubiwa.
@isabelavictor9964
@isabelavictor9964 3 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@violetteiradukunda7761
@violetteiradukunda7761 3 жыл бұрын
Asante sana Mchungaji,nawezaje kupata hicho kitabu? Niko America.
@keziaranga6329
@keziaranga6329 3 жыл бұрын
Nawapata vyema kutoka Australia, nabarikiwa na Mahubiri haya,
@richakilo
@richakilo 3 жыл бұрын
Im blessed with ur teaching pastor. May God continue to bless you pastor. Happy sabbath
@vicentndiholeye1067
@vicentndiholeye1067 3 жыл бұрын
nimebalikiwasana
@vicentndiholeye1067
@vicentndiholeye1067 3 жыл бұрын
namushukulu mungu kwakusikia kilasiku mahubiliyako napendwzwanayo lohoyangu inajisikia amanisana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
@lucykadeghe319
@lucykadeghe319 3 жыл бұрын
Amen. Naomba namba za pastor Mmbaga.
@perisbosibori8524
@perisbosibori8524 3 жыл бұрын
Today's teaching was awesome with a number of testimonies. I've been so blessed and i praise GOD wholeheartedly. Be blessed pastor and happy sabbath.
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 3 жыл бұрын
Kweli njaa nikifunga
@GeoffreyKithure
@GeoffreyKithure Жыл бұрын
Geoffrey kithure na kusikiliza ni kiwa muru kenya
@gladkathurima8702
@gladkathurima8702 3 жыл бұрын
Bwana asifiwe sana kwa Mahubiri anayoikupa Pastor David. Hakika nimeona Jesus in action in the present World. Sana testimonies za Huisho, Uponyaji, intervening of Angles and Heaven at work to bless us Spritually,, Mentally, Physically and Socially. Nasikiza kutoka UK. God bless
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 11 ай бұрын
Achana nae Abuu sio mtu mzuri ipo siku atarudia tena kukusariti .nakuona wewe ni binti mzuri sana utapata wako mwaminifu bado wanaume waminifu wapo wengi,pia imani yako iweke kwa Mungu na wala sio kwa waganga
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 3 жыл бұрын
Kuongea kwa signal!!
@aquilineanthony1115
@aquilineanthony1115 3 жыл бұрын
shaloom nami naomba hicho kitabu cha manabii na wafalme namba yangu ni 0753005444
@esthermsely3537
@esthermsely3537 2 жыл бұрын
Amen🙏
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 3 жыл бұрын
Amen
@chancekambale3498
@chancekambale3498 2 жыл бұрын
Lakini pasta hapo kwenye mutu aliye kufa kuku ambia kitu kwenye ndoto umesema sio vizuri! Mbona Yesu Kristo aliongea nao? Siwakumbuki majina lakini nafahamu kua walikua na mtia moyo waka alikua naenda sulubiwa.
@rosesimon4630
@rosesimon4630 3 жыл бұрын
Amen
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 3 жыл бұрын
Amen
@chancekambale3498
@chancekambale3498 2 жыл бұрын
Lakini pasta hapo kwenye mutu aliye kufa kuku ambia kitu kwenye ndoto umesema sio vizuri! Mbona Yesu Kristo aliongea nao? Siwakumbuki majina lakini nafahamu kua walikua na mtia moyo waka alikua naenda sulubiwa.
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
MAMBO YA KUZINGATIA ILI BIASHARA YAKO IFANIKIWE - JOEL NANAUKA
7:37
#LIVE; Pr David Mbaga. Ndoa yenye Furaha.
17:39
Sanga Richa
Рет қаралды 3,2 М.
SIRI HII YA YUSUFU IKUSAIDIE KUFANIKIWA KILA SIKU
33:24
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 35 М.
VITA YA MIUNGU (ACHA MUNGU APIGANE MWENYEWE VITA HII)
1:00:19
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 78 М.
Pastor Fred Msungu - Vita vya Kiroho
57:47
Fred Msungu
Рет қаралды 4,9 М.
MADHARA YA KUFUNUA NDOTO AU MIPANGO YAKO KABLA YA WAKATI SEH.( A)
30:44
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН