No video

#LIVE

  Рет қаралды 48,915

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

#TANZANIA: Kijana amvaa Paul Makonda, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kuhusu ziara yake katika mikoa mbali mbali anayoendelea nayo, amesema anachokifanya ni maigizo kwani chanzo cha matatizo yote anayokutana nayo chanzo ni chama chake cha CCM, amedai wote hao wanaoleta matatizo ni makada wa chama cha Mapinduzi ambao pia ni wateule wa Mwenyekiti wa chama hicho ambaye pia ni Rais wa Tanzania, amehoji utendaji kazi wa mfumo wa utoaji haki nchini humo akihusianisha na kauli yake ya "wanyonge wasikimbilie Mahakamani waende kwake" amemkumbusha kuhusu aliyokuwa anayafanya Hayati JPM wakati wa utawala wake lakini tangu aondoke Wananchi wamerudi kuteseka tena, amemshauri awe wa kwanza kudai Katiba Mpya ili nchi iwe na mifumo mizuri ya kujiendesha.
Credit: Nguvu ya Mungu

Пікірлер: 609
@Ambwene
@Ambwene 6 ай бұрын
Kijana mwenzangu umeongea points, ubarikiwe saaana
@johnbundala7596
@johnbundala7596 6 ай бұрын
Brother mauwa yakooo umeongea point zoteeee dah Mungu akuongezeee saanaaaaaaa🎉🎉🎉
@NguvuyaMungu
@NguvuyaMungu 6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/rl7GeHd7Z7qneKcsi=T2iKctPe_jiqRuaY
@user-zw9es5gx5w
@user-zw9es5gx5w 6 ай бұрын
Umeongea ukweli mtupu Mungu akubariki sana ❤❤
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 6 ай бұрын
Akili kubwa sana hii ,Mungu akusaidie sana kijana ,natamani vijana kama Hawa katika nchi kama zetu zinazokuwa.
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 6 ай бұрын
Huyu Mwamba Awekewe Ulinzi, He is very True to 💯
@jamesmfinanga1717
@jamesmfinanga1717 6 ай бұрын
Hakuna haja kwani kuongea ukweli ni vita hata mimi namuunga mkono naitaji ulinzi
@amos878
@amos878 6 ай бұрын
Safi sana bro wewe kichwa ingekuwa vizuri sana wa Tanzania walio wengi wangekuwa na ufahamu ulio nao basi hii ccm tungeisahau kabisa 👏👏👏
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 ай бұрын
Ccm haiwezi kufa bila katiba kubadilishwa hii katiba ya 1977 inakilinda Chama cha mapinduzi kwa wivu mkubwa sana
@jameskagulu4228
@jameskagulu4228 6 ай бұрын
Inabidi tuanzishe chama cha vijana mi naona vijana tunaona tofauti sana kuliko waonavyo wazee labda kwasababu nyakati zimebadilika
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 6 ай бұрын
Hongera sana wewe Jemedari Umemwambia ukweli
@bonakiswaga7339
@bonakiswaga7339 6 ай бұрын
Hotuba ya mwaka. Tunahitaji vijana wenye kujimbua kama wewe. Hongera sana
@sk-wj9or
@sk-wj9or 6 ай бұрын
Workup call. Truth said. Mungu akulinde. Inatakiwa muheshimiwa Rais akuite utoe ushauri bila kutishwa.
@edrisalusonge4141
@edrisalusonge4141 6 ай бұрын
Kabisa ila walivyo watamtafuta kwa ubaya
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 5 ай бұрын
Kijana yuko saw maisha Yako juu matbab petroliam Tozo sukar umeme mgao,, kwasbb wizara zimeongezwa ujenzi na uchukuzi Uwekezsji na mipango zote zilikiua zimenganishwa vx moja n m 500 x6 n b 3 hp bdo ma naibu,, ndiomaana hawataki katiba ndoo itakomesha ubabe imagine Latra ,130000 alafu fain yao n 2500000 jiuleze hapo anae umia n raia watoto wanauliwa shuleni,x Moshi,mwanza mtoto alipewa azabu kuchimba jiwe likamwangukia akafa,Lindi mschana kapigwa na mwlm kafa hao wabunge kimya Dodoma halfu we unashangilia, Tatizo wa Tanganyika Tatizo shule,tulia wew KIKWETE alipunguza wizara alikombaini wizara wa Tanganyika tulitesa, KIKWETE Allah akuhifadhi, KATIBA ndoo itakomesha ubabe,
@noelnchimbi1287
@noelnchimbi1287 6 ай бұрын
Umeongea point tupu - Fact zakutosha big up sana ...mwenyekusikia na hasikie
@kingngojea
@kingngojea 6 ай бұрын
Unaakiri sana we jamaa hongera sana Kwa utashi na uwezo wako mungu akubark broo
@linkreuben3108
@linkreuben3108 6 ай бұрын
Point nzuri sana!
@andrewfernandess8898
@andrewfernandess8898 6 ай бұрын
Elimu nzuri sana
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 6 ай бұрын
WELL SAID 🌷⚘️🌷⚘️🌷⚘️🌷⚘️
@dicksonshenkalwa5470
@dicksonshenkalwa5470 6 ай бұрын
Hongera sana ndugu kwa kumuelimisha makonda Hana akili za jitafakari anayofanya kweli ni naiguzo. MAKONDA TAFAKARI YALIYOSEMWA
@samsonrusagira5168
@samsonrusagira5168 6 ай бұрын
Very well presented.
@onetwo12981
@onetwo12981 6 ай бұрын
Kila m-TZ anapaswa aione hii, very STRONG opinions
@J_Pabloescobar0806
@J_Pabloescobar0806 6 ай бұрын
Kabisa kabisa
@happymarchiusnjungani1138
@happymarchiusnjungani1138 6 ай бұрын
Dah.nashaur huyu alindwe na apewe wadhifa kwenye chama chochote..amesema kweli ya Mungu sisi tukichoka siku moja nchi hii itavurugika mbaya mnoo.. Magufuli alinyoosha nchi hii saiv tunajiona mahangaiko tiliyonayo..Hasaa umemeee jaman Uhuru wa nchi yetu et hatuna umeme wakat ndo uchumi wetu yaan jaman watu hawa unataman kuhama nchi !! Inakera Sana. Uchaguz ujao tutaamua tu..Hongeraaa Mungu wako amesimama na wew Hapa Kuna mchango tu wa umeme Kuna watu wananufaika mnoo umeme kukatika 😢😢
@user-bi3et1qr5x
@user-bi3et1qr5x 6 ай бұрын
Makonda anauthubutu tungepata makonda wengine kila mkoa wawe kumi tungemaliza matatizo alithubutu kukemea madawa ya kulevya wale wauza madawa ndio wanao mchukia Makonda na ile mijizi ndio inamchukia Makonda
@mwitamarwa329
@mwitamarwa329 6 ай бұрын
Bashite ni comedian hana lolote. He is only exhibiting cheap propaganda that any sane mind can grasp. He lacks wisdom, integrity and credibility to do what he is doing.
@MussaSelemani-wz5np
@MussaSelemani-wz5np 5 ай бұрын
amen
@MussaSelemani-wz5np
@MussaSelemani-wz5np 5 ай бұрын
@@mwitamarwa329yaani katika mtu anaaibisha ccm makonda namba moja
@vincentmwaya6910
@vincentmwaya6910 6 ай бұрын
Ndg yangu shule imekusaidia Sana upo vema kabsaaaa 🙏🙏🇹🇿❤️❤️
@peterkitima4383
@peterkitima4383 6 ай бұрын
Hongera sana kijana, akili kubwa sana. Sauti inatosha asiye sikia anajifanya KIZIWI kwa makusudi. Big up brother
@daudimwita-bk6mg
@daudimwita-bk6mg 6 ай бұрын
Sahihi kabisa, ugonjwa uko ndani ya mfumo ovyo wa utawala
@user-kh4kd7us9e
@user-kh4kd7us9e 6 ай бұрын
Hongera sana kaka cc wenye kuona mbali tulijua ni Maigizo tu hayo
@NguvuyaMungu
@NguvuyaMungu 6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/rl7GeHd7Z7qneKcsi=T2iKctPe_jiqRuaY
@user-ey9fh5pt1j
@user-ey9fh5pt1j 6 ай бұрын
Hapo sawa nmekukubali Sana kijana watanzania tunaendelea kuelimika na ipo siku watajitoa wenyewe madarakani Wana ccm
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur 6 ай бұрын
Wambiye kijana huo ndiyo ukweli lakini kwa wapumbuvu hawakuelewi kabisa huu ujinga utaisha lini?
@levissanga8867
@levissanga8867 6 ай бұрын
Mungu anainua watu wake. Ubarikiwe kijana
@ZabuJohn
@ZabuJohn 6 ай бұрын
Brother big up sana umeongea uhalisia kabsa
@giftyjackson2461
@giftyjackson2461 6 ай бұрын
Safi Sana kwa kutoa elimu nzuri
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 6 ай бұрын
BRAVO KIJANA MZALENDO NA MSEMA KWELI WA TANZANIA YETU.....UMEMPA MANENO MAZITO MAKONDA.
@user-hv6ui1ef9t
@user-hv6ui1ef9t 6 ай бұрын
Hongera sana ,umeeleweka
@bmdele5816
@bmdele5816 6 ай бұрын
Well said big brain🎉
@user-ne2sv9el3q
@user-ne2sv9el3q 6 ай бұрын
Respect San kaka, mungu akujalie utashi mkubwa na akulinde daima maan saiv ulivoongea ivo unaweza kutafutwa kuuwawa ndg yng Tz hii cyo ya mchezo acha kabs
@marthadominick2212
@marthadominick2212 6 ай бұрын
Good kijana waelishe wananchi wanafanyiwa changa la macho
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 6 ай бұрын
Mimi kidogo na pingina na wewe hili tatizo sio la chma hili tatizo nila elimu walio someshwa viongozi Hawa kufundishwa uzalendo Wala Imani ya kuhofu dhuruma hata like chama Cha aina gani wata fanya haya haya
@glorydenis5111
@glorydenis5111 6 ай бұрын
Nani anayewasomesha hao kama sio ccm
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 6 ай бұрын
Nimekukubali Sana umeongea ukweli mtu lakini wananchi tunaakili zetu anatuhakikishia kuwa CCM imeoza na haifai tena kuongoza nchi hii 25 labda mtuzulumu kama mlivyo zoea mabao ya mkono
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 6 ай бұрын
Kaka umenena wenye akili hatulewi na makonda bali tunaangalia CCM wametufanyia nini Kwa miaka 60 .Na je wanao tufukarisha ni chama kilichopo madarakani wala hakuna mchawi mwingine Kwa watanzania Hawa Hawa ccm wala tusilewe na mwenezi wao kwani dhamira yake yaweza kuwa nzuri Ila watakao leta uhalifu ni wao tena ccm
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 6 ай бұрын
Safi sana kijan kwa uchambuzi wako muzuri na wakueleweka, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸
@talents7934
@talents7934 6 ай бұрын
NIMEKUELEWA MAANAKE KATIBA MPYA INATAKIWAAAA🖤💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
@diegoshanga8184
@diegoshanga8184 6 ай бұрын
Kweli kabisa!! Matatizo ya nchi hii yamesababishwa na ccm!! Maana wao ndio wanao ongoza nchi!!
@meiruzibwe9145
@meiruzibwe9145 6 ай бұрын
Umenyosha rula. Mungu akubariki 🙏
@meiruzibwe9145
@meiruzibwe9145 6 ай бұрын
CCM WAJINGA😂 CCM mavimavi kweli kweli 😀
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 6 ай бұрын
Kama majaliwa alipewa nafasi baada ya kuokoa watu katika precision air,huyu kijana nae aangaliwe
@batengagloria6993
@batengagloria6993 6 ай бұрын
Thanks
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 ай бұрын
Watanzania wengi wanawaza mpira wa yanga na simba na uchawa
@JonathanMwandala-hs3ld
@JonathanMwandala-hs3ld 6 ай бұрын
Big up sana bro
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 6 ай бұрын
Kihitajikacho ni taasisi imara, huru, zitendazo haki....taasisi ambazo zitalindwa kwa katiba mpya na sheria nzuri za kulinda haki! Siyo watu wanaokuja na kuondoka. Nakubaliana nawe sana kijana uliyechambua vizuri ziara za Makonda! Hongera!
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 6 ай бұрын
Upo sahihi kabisa ccm wameshindwa kuongoza nchi hii
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 6 ай бұрын
Mwalimu Nyerere alituambia siasa safi na uongozi Bora,wametubadilishia wanasema siasa mchezo mchafu ndo wameharalisha uovu unaendelea Kwa mwamvuli siasa mchezo mchafu
@kingmzebez7786
@kingmzebez7786 6 ай бұрын
Mungu akupe uelewa zaidi ya huu ww ni mzarendo✌✌✌✌💪💪💪💪💪💪💪💪💥💥💥💥💥💥💥💥🤳🤳🤳🤳🤳🤳🤳
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 6 ай бұрын
Jaji Nyalali,Alishauri nautaratibu huo Ulikuwa mzuri mtumishi wa umma asiwe mwanasiasa,Leo tumeharibu mambo ya kiutawala
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 6 ай бұрын
DED,DC,DAO,DAS,RAS,RAO,RPC,OCD,VEO,WEO,DS, wote hawa makada wa chama tawala awe na taalima au hana anateuliwa au anaajiriwa ofisi za serikali zinaendeshwa kisiasa
@MihayoMageta
@MihayoMageta 6 ай бұрын
Big up brother!!!!
@shabanizayumba5432
@shabanizayumba5432 5 ай бұрын
Bravo brother,god be with you
@placidpeter6775
@placidpeter6775 6 ай бұрын
Very nice big up
@user-od8wd9uu2x
@user-od8wd9uu2x 6 ай бұрын
hongera Sana. kwa. ukweli huu. kwa. ujumla. CCM. imefeli.na.makondà.nampongeza.kwa,kutuonesha. jinsi. gani. serikal. ya. CCM. iña. watumishi. wabovu
@Kwarasi
@Kwarasi 6 ай бұрын
Ndio kaka umeongea vizuri sana kwanza ngoja nishee Facebook na ni subscribe na kulike.
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 6 ай бұрын
Kaka au mdogo wangu ccm ni tatizo kuliko tatizo asa wote ni wezina ndio mfumo wao ata bashite nae kafanya mangapi adi kugombania nyumba ya ghalbu akiwa kizito je makonrena ya sofa bila Kodi adi magufuli akaingilia na kutoa maneno makai Leo uyo ndie mkombozi ccm yote asa vigogo labuda mtu asie na cheo nae ni mpanbe ndilo kosa lake
@Wakateezo
@Wakateezo 6 ай бұрын
We jamaa safi sana
@user-xl9bp9jb3i
@user-xl9bp9jb3i 6 ай бұрын
Sahihi kabisa hiyo kweli ni akili kubwa tunachohitaji ni mfumo
@ChristerShao
@ChristerShao 6 ай бұрын
Huyu kijana mungu amlinde,ukweli unauma tuupokee.
@user-jf2uh3ow8c
@user-jf2uh3ow8c 6 ай бұрын
Kaka mungu akulinde
@NguvuyaMungu
@NguvuyaMungu 6 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/rl7GeHd7Z7qneKcsi=T2iKctPe_jiqRuaY
@benosilwani5208
@benosilwani5208 6 ай бұрын
Big brain
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 6 ай бұрын
Kijana Yuko vizuli hongela sana
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 6 ай бұрын
Uko sawa kijana CCM yenyewe ndo Serikali mhm
@user-py9jj5yr9l
@user-py9jj5yr9l 6 ай бұрын
Mungu akulinde kijana
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 6 ай бұрын
Hongera sana mwanangu sana kwa sababu dhuruma zote ni zao zote. Kwa sababu karibu wamegeuza CCM ni mahali pa kujificha kuiba ba karibu wote ni wezi. Hata mtu akijenga kibanda cha biashara barabarani atapaka rangi zao hizo na hakiwezi bomolewa kwa sababu wote wako katika kuiba na kfanya maovu tu
@user-qp1fd4np3v
@user-qp1fd4np3v 6 ай бұрын
Hongerasana 💯 💯 💯..............
@user-ep3jz8zj7u
@user-ep3jz8zj7u 6 ай бұрын
Kweli watatufanyia maigizo na gar zote wanazotumia ni zawalipa kod wanafuja pesa za wanacnchi kwa matatzo waliyozalsha wenyewe
@Msilu198
@Msilu198 5 ай бұрын
Uko vizuri kaka ,CCM ni inapenda tu kusifiana ila ipo siku watachokwa na wanchi
@ChristerShao
@ChristerShao 6 ай бұрын
True.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 6 ай бұрын
Ndugu yangu unaakili timamu kabisa. Na kila mwenye akili timamu anaelewa mchezo wao ni kama BABA ni mchawi anawaroga watu na watu wanajua. Halafu anamteua mtoto wake awe mganga wa kienyeji anayetibu matatizo. Mtoto anatibu magonjwa watu wanamshukuru nakuipongeza familia hiyo hiyo ambayo baba kamteua mtoto hadharani atibu magonjwa wakati yeye ndiye mchawi na bado mtoto anampigia promo baba yake kwenye matibabu yake. Kama wao sio kitu kimoja huyo mtoto anawapenda sana watu kwanini mtoto asirudi kumwambia baba yake aache kuroga watu ili watu wasiwe na maradhi apate ahueni ktk utibuji wake. Bilashaka mtoto kama hamkatazi baba yake na yeye anafurahia kuitwa mganga BINGWA mwenye kuwajali watu, mwenye kuwapambania, wakati huo familia yake ikiendelea kuneemeka 😢😢😢😢
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 6 ай бұрын
Kwa hiyo ulitaka aditatue jinga mkubwa na afya mbovu
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 6 ай бұрын
@@judithtitomalyeta4000 unaakili timamu wewe au unaongea ongea tu!?. Umesikiliza video hiyo kwakutumia akili na umesoma comment yangu kwa kutumia akili!!?. Nyie ndio wale matahila wa darani mnakuja kuleta utahila mliokuwa nao shuleni huku mtandaoni....
@robertphilip385
@robertphilip385 6 ай бұрын
Kijana ukovizuri watanzania tungejaliwa akili kama ya kwako ccm tungeigaragaraza mchana kweupe
@robertphilip385
@robertphilip385 6 ай бұрын
​@@judithtitomalyeta4000kama hujamwelewa huyu jamaa utakua na shida ya akili dada yangu
@kilianjulius9882
@kilianjulius9882 6 ай бұрын
​afya mbaya waijuaje ww,, sikiliza pointi hakikaka mtoa mada ameongea kizalendo na huyo ndiye mtanzania halisi,,, hongera sana kaka ubarikiwe sanaaa na mungu akujalie na akuongezeee hekima zaidi na zaidi
@ngamugamahonzelosanga3316
@ngamugamahonzelosanga3316 6 ай бұрын
Hongera kijana kwa kujitoa hadharani na kuwaambia CCM ukweli ukitaka kuthibitisha hilo angalia kipindi cha uchaguzi rushwa ni nje nje lakini ndani wanaimba rushwa ni adui wa haki lakini kwenye matendo ni tofauti na kinachoimbwa ukitaka kujua hilo njoo kwa wajumbe utajua ukweli ulivyo
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 6 ай бұрын
Mimi ni Mwana CCM, lakini kubomoka kwake ni dhahiri kabisa... Kiburi, Majivuno na Kujikinai kwa Viongozi na Wanachama wengi ni sababu kubwa ya kukivunjavunja Chama
@masoudsalum
@masoudsalum 6 ай бұрын
Yaani ipo siku watu tutachoka hongera sana kaka
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 6 ай бұрын
CCCM, MMESHIBA, HAMUONGEI KWA KUNYOOKA, MNASIFIANA LAKINI KIJANA HUYU ANA NJAA AMENYOOKA, BADILIKA
@williumgeofrey9587
@williumgeofrey9587 6 ай бұрын
Sio tu kula tunakula ili tushibe😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅😅 hongera sana kaka, wewe unafaa kunishauri mimi nikichukuwa kiti cha Urais
@robertphilip385
@robertphilip385 6 ай бұрын
Nakweli tangulini mtu moja akatatua matatizo ya watu milioni 65 ? Hata Mungu wenyewe anatumia mitume na manabii
@bundalamabula6264
@bundalamabula6264 6 ай бұрын
Kampeni za ccm na makonda zimeshaanza tayari, ila watu hawajui, kuna watu vichwa maji
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 6 ай бұрын
Umesema kweli MUNGU akubaliki Akulinde
@johnkimaro3588
@johnkimaro3588 6 ай бұрын
Makonda sii kwamba ajui hayo unayosema ila ccm wanatuona sisi wananchi ni sawa na nyani atujui kitu
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 6 ай бұрын
Well said bro
@VictorMgodomi-xj1ey
@VictorMgodomi-xj1ey 6 ай бұрын
Dah anaweza kamà nachowaza mimi makonda amegundua watanzania wengi ni mbumbumbu kwahyo tuwaigizie kwa kujifanya kuwaona huruma
@user-tv9zu6kv6l
@user-tv9zu6kv6l 4 ай бұрын
Mungu akulinde
@user-zt5pf8ze4q
@user-zt5pf8ze4q 6 ай бұрын
Hata Makonda nae kapambana saana.. Ni HATUA njema..
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 6 ай бұрын
Ukiona mtu Ana sapoti ccm ujue hayuko timamu
@AnnaMtulo-fc5tg
@AnnaMtulo-fc5tg 6 ай бұрын
Nawenye shida ni wengi ila anatatua Kwa 1 au 2 wakati wengine wanarudi na shida zao nyumbani na huwa wanalia unapoondoka uwanjani na hakuna wa kusaidia
@perpetuamuna1633
@perpetuamuna1633 6 ай бұрын
❤❤❤
@charlesgeorgemollelmollel5693
@charlesgeorgemollelmollel5693 6 ай бұрын
Mungu akulinde ndugu ysngu
@Boaz22
@Boaz22 6 ай бұрын
Sio Mungu amlinde, vitu vingine watu wanajitakia, we sasa hivi unasikia watu wanatekwa, halafu unajitokeza kuongea hivi, we unafikiria watamuacha?? 😢
@talents7934
@talents7934 6 ай бұрын
​@@Boaz22Hakuna dhambi kubwa kama "UOGA" By Lema from CHADEMA
@Boaz22
@Boaz22 6 ай бұрын
Unaona ukawa shujaa na kutokua muoga halafu unakufa kabla ya siku zako.. faida yake ni nini ​@@talents7934
@Fesary
@Fesary 6 ай бұрын
​@@Boaz22jamaa anatoa ushauri, ili gari lisipasue tail
@geraldgedi4657
@geraldgedi4657 6 ай бұрын
Asante kwa uwakilishi bora wa kundi la vijana.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 6 ай бұрын
Kweli vijana wajitambue. Hii nchi ni yao
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 6 ай бұрын
Mwongeaji anaakili za cha chadema zakijinga. Mambo yalipokuwa mabaya ccm hamkuongea leo makonda anasema vizuri kusaidia wananchi mnalalamika. Tunajua kwamba ccm ikifanya vizuri chadema wanateseka. Ccm ikifanya vibaya chadema hawaongei tena wanafurahi. Ukiona wanalalamika ujue umefanya Good.
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 6 ай бұрын
Akili zako zipo matakoni wewe
@nizwaoman8378
@nizwaoman8378 6 ай бұрын
Safi sana kaka
@meteomusoma6834
@meteomusoma6834 5 ай бұрын
Ahaha haaaa, kumbe Mwenezi sawa na Diamond tu! Kazi kujaza watu.
@JaysMatumbe
@JaysMatumbe 5 ай бұрын
Big up bro
@user-do5by8jl6g
@user-do5by8jl6g 6 ай бұрын
Kweliiiiii una akiri sana mwanangu
@temesjames8867
@temesjames8867 6 ай бұрын
Kaka uko sahii kabisa yaani umasikini wote tulionao umesababishwa na CCM haiwezekani watumishi wa serkali wawe watu wa chama husika hasa kwenye ngazi kubwa ya uongozi wote ni Ccm hiyo inatuferisha kweli kweli.
@ellentukiko5699
@ellentukiko5699 6 ай бұрын
Umesema yote kijana, ukweli Mtupu 100%, Mungu Akubariki na akufikishe mahal👍❤
@nguvuchengula1092
@nguvuchengula1092 6 ай бұрын
Well said kwa ajiri ya utekelezaji
@johnmalale3860
@johnmalale3860 6 ай бұрын
Hongera sana kijana unayoongea ni kweli matatizo yote ni ccm': ccm ni viongozi maslahi tu;! Hakuna aliye msafi HATA MMOJA!;
@user-or2od2rz1c
@user-or2od2rz1c 6 ай бұрын
big point mazuzu walio isha logwa na ccm hawawezi kukuelewa kamwe
@franktibikunda5717
@franktibikunda5717 6 ай бұрын
Asante Kwa uwasilishaji kijana mwenzetu. Maoni yangu nionavyo ni kuwa Katiba ya nchi na hata ya chama pia kama ulivyoieleza sio tatizo tatizo lipo kwenye baadhi ya watendaji wachache ambao hata ukitoa katiba kutoka mbinguni bado watashindwa kuiheshimu. . Makonda yupo sahihi na ni vyema afanye Kwa wakati wake. Japo hukujitambulisha ila nikupongeze sana na nikuombe wakati mwingine jaribu kutumia muda mfupi, umetumia muda mfupi kuelezea vitu vitatu, Makonda, ziara na suala la katiba na Sheria mambo ambayo yangeweza tumia muda wa Dk sio zaidi ya 10 pamoja na maelezo tofauti na muda ulioutumia ambao naamin wengi wetu ni ngumu. All in all Nikupongeze sana
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 6 ай бұрын
True brother nchi ya hovyooooo hii
@jestardluvanda5748
@jestardluvanda5748 5 ай бұрын
Very nice guy
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
The Joker saves Harley Quinn from drowning!#joker  #shorts
00:34
Untitled Joker
Рет қаралды 68 МЛН
Harley Quinn's desire to win!!!#Harley Quinn #joker
00:24
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 16 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,3 МЛН
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 52 М.
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47