🔴

  Рет қаралды 11,479

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 14
@globaltv_online
@globaltv_online 10 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 10 ай бұрын
MAGU ALIMFUKUZA MAKONDA UKUU WA MKOA NA PIA AKAHAKIKISHA KUWA HATA UBUNGE ALIOGOMBEA JEMBE MAKONDA HAUPATI ALIKUSUDIA KUMFILISI KISIASA KABISA .TUMSHUKURUNI MAMA SAMIA ALIEMUAMINI NA KUMPA DHAMANA KUBWA. MAMA SAMIA HOYEEEEEE
@DiniMwambashi
@DiniMwambashi 10 ай бұрын
Makonda chapa kazi mimi ninaimani nawewe naombaupewe mamlaka yakutatua migogoro bilakizuizi naswala la vyakula liangalie sana nakufananisha na rais wangu mpendwa alietangulia mbele zahaki munguamlinde na moto wa jehannam amin
@SurprisedDandelion-ec2ws
@SurprisedDandelion-ec2ws 10 ай бұрын
Makonda jamani hope Muda wa kupumzika hata mwenzi mmoja
@jacobevaristkagoma4985
@jacobevaristkagoma4985 10 ай бұрын
Kwakwel makonda amefanyika badala ya magufuri hakika makonda ni jembe mungu akupe maisha malefu
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 10 ай бұрын
Makufuli yupi Jembe?Huyo Magu muuaji,mtekaji,mmpiga wanyonge risasi,mbambikiaji wanyonge kesi za uongo,dhulmati aliiba trilluoni moja na nusu na Proffessor Assad cag alipomwambia wizi wake akamfukuza kazi fissdi mkubwa,aliuiba uchaguzi wote,mchukiaji wa demokrasia,muoneaji wanyyonge,si ndio yeye aliemfukuza Makonda ukuu wa mkoa na akamkosesha ubunge wa kigamboni kwa makusudi tumshukuru Mama Samia aliemleta na kumpa dhamana na kumuamini.Mama Samia Oyeeee
@PaschaliKigona
@PaschaliKigona 10 ай бұрын
makonda hongera kwa mambo unayefanya kwa mtoto na mamaye
@WILLIAMCHINA
@WILLIAMCHINA 10 ай бұрын
Mheshima Makonda Chama Changu Cha Mapindizi Ni Chama Bora Sana Kwa Kuongea ,Lakini Kiutendaji ,Kinatuteulia Watumishi Wanamarazi Kwelikweli Hatuwezi Kuonea Watu Kwa Madaraka Yetu ,.
@DicksonJoelyshija
@DicksonJoelyshija 10 ай бұрын
Hayo ndo tunayo yakataa , kwamba tunaomba, kwani mpanda hawawezi kjjiendesha wenyewe binafsi kwa kutumia fefha zao zandani? Hiii inchi imesha kuwa omba omba Sana, amukeni wanainchi!!
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 10 ай бұрын
Mkuu mbn hujaja rombo kimanyatu ubetu wama msangai tunalipia umeme wa rea mpaka laki 500000😢😢😢
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 10 ай бұрын
Katavi imejua kutema watu. Makonda ananyota km magufuli
@lucaschipanga4466
@lucaschipanga4466 10 ай бұрын
Pauro makonda ninge penda unje usikirize kero zawana Dodoma kata makutupora tarafa ya homboro veyura urivo fika veyura wakakuchomo chapu bira kusikia kero zawana veyura fikaaa makonda
@josephlorri431
@josephlorri431 10 ай бұрын
Makonda ...jeshi la mtu moko
@DiniMwambashi
@DiniMwambashi 10 ай бұрын
Tumbua wazembe
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 53 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 109 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 38 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,2 МЛН
MAMA AANGUA KILIO ADAI KUIBIWA NG'OMBE 9, MAKONDA AMPA NG'OMBE 15
11:42
Новости дня | 16 декабря - утренний выпуск
4:42
Euronews по-русски
Рет қаралды 67 М.
Diwani ALIEZUILIWA kuongoza awasha moto kwa MAKONDA Kasulu
23:28
Habari Digital
Рет қаралды 24 М.
APOCALYPTO 2006 FULL MOVIE SUB INDO..
2:18:22
Sheva.05
Рет қаралды 26 МЛН
LENNOX LEWIS vs SHANNON BRIGGS
14:35
FRIZALZ
Рет қаралды 1,8 МЛН
#LIVE: MAKONDA ATINGA KATAVI ANASIKILIZA KERO ZA WANANCHI
2:04:52
Millard Ayo
Рет қаралды 13 М.
Майотта готовится к большим жертвам
1:36
Euronews по-русски
Рет қаралды 3,8 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 53 МЛН