Bwana yesu asifiwe familia ya siri za biblia,naomba mniambie hio nyimbo ya kuanzia yaitwaje na muimbaji ni nani ..naipenda sana .
@estermathias83542 күн бұрын
YESU naomba moyo wa shukrani na kkumbuka mazuri yako niondolee moyo wa kulalamika 😢
@JustineKabimbi-uo2soКүн бұрын
Namushukuru mungu wangu kwa kulinda mwaka muzima pomoja na jamaa yangu yote amene ❤❤❤❤❤
@JosephineOmari-t5j13 сағат бұрын
Eeee Mungu naomba uniondo lehe roho ya kua na hasira na hofu ndimi yangu pls 🙏😭😭🙏✊
@JosephineOmari-t5j13 сағат бұрын
Eeee Mungu naomba unisaidie bwana mwaka uhu niuanze vzr uniongoze kwakila atu katika maisha yangu
@EmmaBaya-g7t2 күн бұрын
Ameeeeen kwa mongozo wa maombi mtu wa Mungu barikiwa sana
@JacklineGabrielSumbizi2 күн бұрын
Baba kwajina la Yesu huwe Kila kitu kwangu na kwa watoto wangu Catherine na David na wazazi Wang,namume wangu Amina 🙏
@verynicejohn73842 күн бұрын
Asanteee Yesu kwa kunipa neema ya kushiriki maombi vaileth rojas🙏🏼🙏🏼
@JoyfulLargeTree-ed6ptМинут бұрын
YESU naomba uwe Kila kitu kwangu na familia yangu🙏
@SarahKilemelimbwa2 күн бұрын
uwe Kila kitu kwangu Yesu 🙏🙏🙏
@JamilaKusilukaКүн бұрын
Mungu namimi Kua kila kitu kwangu Kwa watoto Wangu Kwa familia yangu yote mume Wangu mama yangu wadogo zangu wote Biashara yangu onekana kwenye Bishara niendapo sokoni niuze mpaka watu washangae nisiabike bwana yesu
@GeofreyJones2 күн бұрын
Asante bwana kwa yote🧎🏾♂🤲🏽
@AugustinMfaume2 күн бұрын
Asante Baba nakushukuru kwayote unayo nitendeya usiku namshana
@SerahMagie2 күн бұрын
Mungu niongoze mimi na family yangu
@JudithMsaki2 күн бұрын
Uwe kila kitu kwangu yesu
@Magufuli.2 күн бұрын
🙏🙏
@judithnjunwa66682 күн бұрын
Napokea baraka
@judithnjunwa66682 күн бұрын
MUNGU niongoze na family yangu
@judithnjunwa66682 күн бұрын
Amen smen
@judithnjunwa66682 күн бұрын
Ntamtumikia MUNGU kwa Malli zangu,,,,ameni
@judithnjunwa66682 күн бұрын
Amen
@Emmanuelikimota2 күн бұрын
Asante Mungu wangu kwa yote naimani nitavuka salama nikiwa mwenye nguvu ushindi na mafanikio katika jina la YESU kristo Alie hai Ameen