Kaka toka nimekuaa umenipa ujasiri wa kujijua mm ni nani... Hongera sana kwa kuwapambania watanzania.
@EMMANUELTHOBIAS-oe4wnАй бұрын
Joel kwakwel utaendelea kuish kwenye maisha yangu unapoint kuntu(I believe u).Naitwa Ema Thobias nipo kangae mwanza nakufuatilia sana barikiw na Mungu.
@NGUZOYAMAARIFAАй бұрын
See you at the top
@GodlyElizabethАй бұрын
Aaah Mungu akutunze Sana Kaka JN , wewe ni hadhina kubwa na njema sana kwenye Taifa Letu. This Talk imekuwa ni MY NUMBER ONE, THE BEST SPEECH kati ya zote nilizosikia 2024.Hasa kwenye kipengele cha identity, Spiritual & Mental Toughness. This speech Imefufua vingi vilivyokuwa vimekufa ndani yangu Na imepanda mbengu njema sana kwenye Maisha Yangu. GOD BLESS YOU HIGHER JN💚🙌
@hopezakskincare6745Ай бұрын
Asante Mungu kwa kukutana na huu ujumbe imenipa nguvu ya kuuanza upya kumbe kukataliwa ni daraja pia la kupita kwenda upande wa pili Mungu 2025 God una makusudi na mm
@AnethLameck-s1rАй бұрын
Ahsante sana Joel unanifundisha mambo mengi sana na nimeanza kubadilika kitabia, kinaisha na namna ya kuishi na watu.
@ALICIAKAIJAGE23 күн бұрын
Asante sana kiongozi kupitia maarifa yako mimi nimepona nimekuwa mtu mpya barikiwa sana na Bwana uwepe maisha marefu🙏🙏
@RehemaMmbaga-f7hАй бұрын
God bless you unanitoa hatua moja kwenda njingine Mungu akubariki 🎉❤
@RehemaMsuhaАй бұрын
mungu akubariki sana kaka joel Mungu akupe maisha marefu ili uzidi kutupatia maarifa
@MishaeligospelАй бұрын
Shalom naomba kujua utalatibu wa menta ship ya mwezi huu ni talehe ngapi
@EmmanuelyLukas-n8mАй бұрын
Ahsante Mungu kwakuipata hii Elimu nzuri ninaasema Ahsante sana Amen.
@brithosimkwai8577Ай бұрын
Long live Dr.Nanauka. J. You are spiritually and psychologically healer thriving for people's success God of heaven bless you so much.
@MarcoPeter-y5nАй бұрын
Asante sana MUNGU BABA wa Mbinguni Akubariki Sana Dr madini mazuri
@evanestory3711Ай бұрын
Thanks my son Joel umekuwa na maneno mazuri sana ya kunivusha kila ninapokusikiliza .sijawahi kukusikiliza nikabaki kama jana.Mungu akubariki sana na akuongezee maarifa zaidi.
@irenemakuta1719Ай бұрын
Nakushukuru sana Kwa mafundisho mazuri na ya kugusa maisha ya Kila siku.mifano ni mingi na yenye vitu vingi vya kujifunza .na vya kusaidia kubadilisha mfumo wa maisho.Utafute na mifano ya waafrika wenzetu kama IPO.be blessed abundantly.
@danielisaiya340Ай бұрын
Ooh Hallelujah. Amen Joel
@pendogwisuАй бұрын
Mr. Joel Mshukuru sana Mungu kukujaalia talanta ya kubadilisha mimd set za watu.
@ZachariaYohana-v8eАй бұрын
Stay blessed Nanauka Nilichojifunza kwako nikwamba unatamani kila mtu hasa mtanzania atimize ndoto zake, Mungu akubariki zaidi uwe Rais wa Nchi sio mbuge tu, please dream on it
@JAMILAH-l4s18 күн бұрын
Amiin,ni mbunge wa wapi?
@BarakaKiya-d9j12 күн бұрын
Nakuelewa sanaa brother
@hawahamza1085Ай бұрын
Congratulations Joel.Hii tuiite video bora ya mwaka imekusanya vitu vingi sana na ushahidi wa kutosha . Allah akubaaik na akupe umri mrefu,Hawa from Zanzibar.
@DicksonNelson-d1fАй бұрын
Asante sana ndugu Mungu ni mwema.Aendele kukupa kibali zaidi
@JAMILAH-l4s18 күн бұрын
Big up bro 🎉🎉👏
@khdj-x3wАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤nakupenda sana mungu akupe afya njema kufika mwaka mpya pamoja
@joykapaya1970Ай бұрын
It's only God who connected me to this page! Remain blessed son.
@AGINESELIASАй бұрын
Mungu ni mwema jani Asante yesu 🙏🙏🙏
@feddymwanga5462Ай бұрын
Thank you for a great lesson
@wendynkya1309Ай бұрын
Mungu akubariki sana sana kaka Joel,mafundisho yako ni mazuri na yanatutia moyo na kutuvusha wengi,una hekima sana na Mungu akupiganie
@eselinabibuka9610Ай бұрын
Yes mwalimu Joel, nimekupata: 'Longevity is vital for one's impact'
@FrankPaulo-y7rАй бұрын
Brother Joel katika speech zako zote hii umetisha kaka unareference za kutosha.
@AlexJefwaАй бұрын
Thanks sana kaka Joel...umebadilisha.... Sana maisha yangu toka... nianze kukufatilia... barikiwa sana kwa... kuendelea kutupa ukomavu wa akili 🙏🙏
@sweetbethmwacha584Ай бұрын
You really inspiring me Joel
@pulcheriamayombo5780Ай бұрын
Nakukubali kweli nimekataliwa ofisini sifai kuwa matron wa wauguzi hata Leo napambana.
@FadhiliNzogela-j6bАй бұрын
Asante kwa maarifa unayo tujengea hallo 2025 tutafanikiwa kwa viwango vikubwa sana.
@194summerАй бұрын
Barikiwa dkt Joe,,nakuelewa sana Kizazi hichi ni kizazi cha nyoka kinapenda tiktok vichekesho na ujinga mwingine ,,,ila kuna watu wanakuelewa katika hali hii hii,,.asante
@JumaMasanja-b4pАй бұрын
ubarikiwe mtumishi wa mungu Ila utamshauli vp mtu ambaye anapitia changamoto Kama yet anamaono lakin familia yake wanatumia pesa bila malengo
@timothykengere2535Ай бұрын
Shukrani Maisha ni yako Mtu asikuamlie jiamini pambana iposiku kitabu kizuri akubariki Mungu .........
@HalidimsalaTzАй бұрын
🎉
@JacklineGasper-th3jlАй бұрын
Nimepona katka maisha haya kupitia ujumbe huu..NAKUSHUKURU MUNGU WA MBINGUNI KWA YOTE UMETENDA KWANGU🙏
@KristofaPetroАй бұрын
Amin watu wakikutaaa mbingu zinakuandaaa utukufu
@julianabella4258Ай бұрын
Ubarikiwe sana Man of God🙏🙏
@JoynessAkankizaАй бұрын
Aise kaka Joel umenibariki kwa maneno yako Mungu abariki kipaji chako
@kolosii4351Ай бұрын
Kaka Joel asante sana kwa maarifa.
@emyhelenKichaweleАй бұрын
Mungu akubariki kaka unaiamsha ajili yangu upya
@happiejackson6662Ай бұрын
May God Bless You Brother! Speech zako ni 🔥 🔥
@FilbertMkomaАй бұрын
Kila mafundisho Yako Joel uwa yananipeleka ktk mafanikio ya ndoto yangu, ahsante sana mungu akubaliki
@OmarHemed-k1yАй бұрын
Shukran mno 🙏🏾❤
@AnethLameck-s1rАй бұрын
Ahsante sana
@muginiryoba99Ай бұрын
✍️hongera Sana Dr.joel elimu nzuri tunapoenda kuanza 2025 🎉
@SophiaKibitanyiАй бұрын
Mungu AKUTUNZE sanaaaa Dr
@NeemaTimothy-h8kАй бұрын
Mungu akutangulie maan tunapat vitu vizur kuhusu speech zako
@FatumaRamadhani-p1fАй бұрын
Ubarikiwe na mungu akulinde kupitia wewe tunapata vingi sana
@imeldasanga6465Ай бұрын
Barikiwa sana kwa ujumbe mzuri kaka
@JoakimNikobibaАй бұрын
Kaka Joel una content nyingi xana huu mwaka umenifanya niwe na uwezo kuamua maamuzi ya kujaribu kufnya mm kama mm kaka mungu ana male go na mm amin
@LinusMbezi15 күн бұрын
Asante kiongozi
@MwitakihaniАй бұрын
Joel hakika una kitu umenisaidia sana siku Moja nitakuwa sehemu ya juu
@kingbrand5141Ай бұрын
Akika kaka kunasehemu umenitoa Mimi toka nimeanza kukujua mungu akubaliki sana nategemea hii 2025 ntakuwa mkubwa zaidi kwenye biashara yangu kaka
@WankyoGonjoАй бұрын
Barikiwa sana kaka
@kalengashoppingcenter1108Ай бұрын
Kila navofatilia mafunzo ya Joel's napata maalifa yake mengi yanatokana na usomaji wa Vitabu. Hii inanipa picha ya umaskini wa wa Mwafrica dawa yake inefichwa kwenye vitabu
@YohanakahindiАй бұрын
Uakikaaa tuwe na habt ya kusoma vitabu mara kwa mara
@yudamoshaАй бұрын
❤❤
@easterngiriti5335Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu kaka joel nina mda kidogo toka nikufaham lkn nilikuwa skai nikatulia kukusikiliza, lakin vile nilianza kutenga mda kujifunza maisha na namna ya kuishi aisee mafundisho yako yamenijenga mno na namshukuru Mungu kwajili yako akupe maisha marefu pia kwajili ya watu wake..❤❤❤
@amonmethodАй бұрын
That is great, be blessed 🙏
@DianaHaule-v3zАй бұрын
Aminaaa napokeaga sana Toka kwako japo sijatoboa
@Eva-q7t9eАй бұрын
Amina nimejifuza mengi kwako mtumishi
@FaithBolikoАй бұрын
Akika,mungu akupe maisha marefu umenitia nguvu akika
@josephkahindi1713Ай бұрын
Barikia sana nanauka
@DonathCholelaАй бұрын
Asante kaka
@ShamimShamyАй бұрын
2025 ninaomba mungu kupitia Joel nibadilike na Maisha yangu yabadikike ni kwa mstari ni siwe mguu moja ndan mwingine inje,, noooo
@PetroMashaka-z8gАй бұрын
Kaka shukuran sana Kwa marifa nayoyapata Kila ninapo fatilia video zako
@nelsonngilisho9426Ай бұрын
Good words to hear
@SamuelCimengeАй бұрын
Mafundisho nzuli sana,ila kingereza yapo mingi kwenye maneno Yako hadi nashindwa kukuelewa
@florahchristopher383Ай бұрын
Your speech. I see new life again i very proud of u so may God bless u brother Joeli
@ELIASMANCHANАй бұрын
Amen thanks
@ponsianaprotas8990Ай бұрын
Asante sana Joel, Mungu azidi kukubariki.
@josephatdubi6038Ай бұрын
Asante Sana Mtumishi wa Mungu kwa maarifa unayotoa. Nakuelewa vizuri Sana! Ombi, Kwa mtu yeyote aliye na namba ya simu ya Mtumishi huyu,nisaidie
@evalema470Ай бұрын
Najifunza pia kuwa wamama wana nafasi kubwa sana ya kuwatiq moyo watoto wao
@MaombiMwasumbiАй бұрын
Amen mtumishi MUNGU akubariki sana but naomba kuuliza nawezaje kupata vitabu vya nanauka Joel?
@NGUZOYAMAARIFAАй бұрын
joelnanauka.selar
@AngelMassawe-nz9skАй бұрын
Nimeipenda jinsi watesi wanavyohangaika kuharibu na Mungu anavyo wasarambatisha hatimae tunachanua kwa viwango vipya safiii mwl unatuongoza vizuri jinsi ya kujingamua ktk hisia za uongo na kumiliki hisia za ukweli ktk viwango vya ufaulu
@EsterSwai-n9qАй бұрын
Good speech
@KalebeNsomba-d9fАй бұрын
Vizur
@rahmakassim1632Ай бұрын
Shukriyeee ❤❤
@zakazakazi-fn6zyАй бұрын
Joel daima utabaki best nakubali in the future 🔮
@NkangaMwinamila-m9pАй бұрын
Wowoo! Nanauka you well enough
@dorahmushi-we6tsАй бұрын
Kwa mara ya kwanza kukusikiliza lkn nimekuelewa sana, mafundisho yako yana nguvu ya kubadilisha na kuinua, nimewahi kupitia mazingira magumu sana, kukataliwa,lkn sikujikataa, niliinuka nikasonga mbele na leo niko hapa namtukuza Mungu.
@JumaShekha-y4cАй бұрын
Good lesson Dr,Joel.
@Victoria-bv6xuАй бұрын
God bless you 👏
@MaltinJonАй бұрын
Mungu akujalie maarifa zaidi ya hapo kiongozi
@OmariMwasi-t4zАй бұрын
God bless dear brother!!
@SalehHajiOthman18 күн бұрын
❤
@JonathanDavid-n4wАй бұрын
Barikikiwa saana ninapokusikiliza nakuelwa kwaelimuunayotoa wewe ni tunuya taifa. Endelea kutendea haki taaruma yako umetuokoa wengi kwaunachokifanya tunakuombea barikiwa.
@zitashio7920Ай бұрын
Amen mtumishi
@ngiyimberejustin3731Ай бұрын
Asante Sana mtumishi barikiwa sana
@salmayusufu4299Ай бұрын
100% True
@josephdaud1103Ай бұрын
Nakukubali sana joel, vitabu vyako navipataje? Kimoja, ninacho!!
@NGUZOYAMAARIFAАй бұрын
Joelnanauka.selar
@EmmanuelDeus-fs8wvАй бұрын
Asante sana JN brein kubwa
@joycembabazi-y9nАй бұрын
Najifunza Sana kutoka kwako ubarikiwe sana
@zabronkalala6043Ай бұрын
Ujumbe mzuri
@EnelisaMtafyaАй бұрын
God bless you nanauka
@FelisterDotto-c5yАй бұрын
Asantee mtu wa mungu uzidi katika haya
@JONASMATHIAS-b1kАй бұрын
Ubarikiwe Sana rafiki
@shabanngondavi143Ай бұрын
Da muheshimiwa, yani kusema ukweli hii speech zako nikizisikiliza ziko vizuri sana, mungu akuongoze mana una athari kubwa sana kwenye maisha yetu.
@blackangel.58Ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉 thank you
@bestcakes7098Ай бұрын
Asante sana
@frankalfredy4991Ай бұрын
Great
@UwesuKalamuАй бұрын
Umeniamsha san mr
@MariamMtweve-g8lАй бұрын
Asante kaka yangu, nilikuwa nakata Tamaa leo umeniinua sana
@ESTHERTHOMAS-w8bАй бұрын
Ubarikiwe sana
@hopezakskincare6745Ай бұрын
Asante Mungu kwa kukutana na huu ujumbe imenipa nguvu ya kuuanza upya kumbe kukataliwa ni daraja pia la kupita kwenda upande wa pili Mungu 2025 God una makusudi na mm